Kuna wanasanii na kuna YOUNG KILLER. Vitu viwili tofaut
@oscartheboy47032 ай бұрын
mwamba wa miamba jeshi langu
@ayushabdallah17272 жыл бұрын
Wow band Iko vizuri sana mashallah..,sound Iko vizuri sana salute Kwa music director...natamani na Mimi nishiriki kwenye unplugged...yooote dada wa chorus unaniua.
@kinglineaslah3193 Жыл бұрын
kwakweli msodoki n'a mshangaa sana ana fanya live ata baba lao diamond sija wai ona
Usijali sana hayo matangazo ndyo yanawafanya wawepo kaka mkubwa vumilia ili nao wapate faida
@johncloud7photographer394 жыл бұрын
Daah kudadeki huyu jamaa anajua aisee !
@homefilmz74004 жыл бұрын
Noma killer
@bobdeomayunga75764 жыл бұрын
Xhow Kali mxodok nakubali !!
@darviswantana76694 жыл бұрын
Uyoo mdada back vocal ni shidaaaa
@michaelkibirity81134 жыл бұрын
Killer💯💥💥💥mzee umetisha sanaaa
@francismngumi51254 жыл бұрын
Secreto noma sana
@jamesteflon60994 жыл бұрын
killer atabaki msodoki na sio kila young ni killer..Ee bhana
@greatmangii4 жыл бұрын
19:00 ndo show inaanzia hapa gonga hapa
@killerbona50184 жыл бұрын
Exavery Joseph Umetisha kaka
@ervinlihawa4 жыл бұрын
Back vocal huyo nimemkubali
@heronandrea3224 Жыл бұрын
Msodokiiiiiii 2023
@mohamedymkopi58874 жыл бұрын
Hiphop vocalist Tanzania number moko Young Killer wanene wameweza sana shoutout to them for live show ✊
@mrishojoseph79874 жыл бұрын
Huyo mdada back vocal ni shida anajua kinoma...
@mdigitalbeatz53164 жыл бұрын
Anaitwa nan
@kisasarob7514 жыл бұрын
Huyo anaitwa mtt nurath...back vocalist wa wasanii kibao kashafny kwa fid album yke ile live, hata boy from tandale alikuwapo ktk team ya vocalist pmoja n zuchu...anajua sna
@lightnesswilson.90754 жыл бұрын
Anaitwa Gifted....instagram anatumia @gifted_tz
@lightnesswilson.90754 жыл бұрын
@@kisasarob751 huyo ni @gifted_tz
@mugadimon35634 жыл бұрын
Huyo dada wa back vocal anajua
@cuteworld22694 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌killer unajua mjinga wew
@charlesatanas32704 жыл бұрын
huyo dada wa back vocal ni hatari anaimba vizuri
@denismartini2874 жыл бұрын
Killa umeniuaaaa mzeee sarut wewenoma
@Kadesablack2 жыл бұрын
Msodokii nakesha na hii 🔥🔥
@hendricswitbert69804 жыл бұрын
Punguzen hilo tangazo mwanzo
@camw4664 жыл бұрын
Killer km Killer mtu mbaya sana... sio kila Young ni Killer bali uwezo utajielezaa!!
@johncloud7photographer394 жыл бұрын
Msodoki , unajua kaka !
@sylvestermeshack25184 жыл бұрын
Mmetisha sana🔥🔥🔥🔥🔥
@salehlule77454 жыл бұрын
nime enjoy sana
@technasi12354 жыл бұрын
Nzurii sana hii mzee
@johnmsengi80063 жыл бұрын
elimU DuNia sio Elim ya KUpUuzA
@yohananyabu40404 жыл бұрын
Wanene mmefanya kitu kikubwa sana✊
@technasi12354 жыл бұрын
Huyo dada hapo nyuma katisha sana aseee
@sylvestermeshack25184 жыл бұрын
Emmanuel gripa umetisha🔥🔥🔥🔥🔥
@charlzzesonconsciousness66854 жыл бұрын
Nomaaa
@irenetheonest24774 жыл бұрын
Matangazo marefu mnaboa
@tayojackson59834 жыл бұрын
Muuaji mdogo
@mubasharatv87584 жыл бұрын
Killer & backup mmetisha ww mdada wa backup heshima yako
@ismailnzengula97174 жыл бұрын
Dah!mwana umeaua humu Killer kama Killer
@echagwhy44424 жыл бұрын
Killer kafanya show kal
@professormuammar81734 жыл бұрын
Tunangoja album mwana🔥🔥💪💪
@oscartheboy47032 ай бұрын
mbon mnafanya kiupendeleo
@godfreykyando33454 жыл бұрын
Dada sauti nzuri uje uchukue zawadi yako
@francismngumi51254 жыл бұрын
Back vocalist noma sana
@fekechempare75104 жыл бұрын
new girlfriend umetisha kwa kuiperform asee.
@mugadimon35634 жыл бұрын
Bonge la dop songs
@snagmann79954 жыл бұрын
Msodoookiiiiii
@rahimjuma18324 жыл бұрын
💪
@asaphag55074 жыл бұрын
Killer, ni balaaa hakuna kama yeye
@mdigitalbeatz53164 жыл бұрын
Jaman huyo dada anaitwa nan please
@lightnesswilson.90754 жыл бұрын
Anaitwa Gifted....instagram anatumia @gifted_tz
@bongoulaya4 жыл бұрын
Gifted_tz
@pboymsafiipeterfundii46914 жыл бұрын
punguza maelezo killer kujua unajua ila hujui kuhost show
@Brandmedia20194 жыл бұрын
Hiki kichwa cha Mwanza hakifai
@calvinngede3 күн бұрын
Alaf nisikie Kuna mpuuzi anamfananisha na Lunya
@Heiskann2554 жыл бұрын
Sio Kila Young Ni Killer Uwezo Utajieleza
@phrasalverbs48154 жыл бұрын
Na sio kila sharobaro imeandikwa atafia muheza
@Heiskann2554 жыл бұрын
Nkbl
@Kenzowakitaa-lm3uf11 ай бұрын
Mwambie mbuzi wenu atasfili mistari yake .. MSODOKIIII
@akilicomendyakili58294 жыл бұрын
Kama hakusumbui hakupendi
@kivoonj36874 жыл бұрын
Sound ipo perfect
@GsmMrsoft3 жыл бұрын
😍😍
@IfakaraTelevison4 жыл бұрын
Nice✊
@darviswantana76694 жыл бұрын
Mmmmh huyu kijanaa n sumuuu..
@denismartini2874 жыл бұрын
Mrudisheni young lunya malayapil
@rosemaiko94054 жыл бұрын
Nice
@johnsamwel22994 жыл бұрын
Killer
@mussamaster85404 жыл бұрын
killer
@petersimon21154 жыл бұрын
Tangazoo ama ni Usenge hebu kuweni makin bac
@michaelgeorge65884 жыл бұрын
Killer uyo anaepiga dram ni xhida
@darviswantana76694 жыл бұрын
Sikuizii tuna rap huku tumetupiaa single Bataan
@deusdeodavid53604 жыл бұрын
Iv ni phone zangu ndio zina donda vizur au set ya sound yenu
@cazoramahussein19984 жыл бұрын
oy uyo dem unaecheza nae n wako
@ahmedaziz78534 жыл бұрын
Huyo anaepiga electrical guitar ananikosha nananikonga nyongo kabisa
@dottokishiwa37894 жыл бұрын
King killer 🔥
@eddyink43574 жыл бұрын
Killer 🔥🔥
@ahmedaziz78534 жыл бұрын
Sasa mziki wa tz umekua hizi show kama wanazofanya wenzetu tena kwa ubora uleule yaani kama bbcxtra1
@Janu_Rocka4 жыл бұрын
✅
@edwardsimon27884 жыл бұрын
Advertisement nyng ad kero
@martin_mjb39174 жыл бұрын
Project kama Hizi msikate tamaa mkaishia Kati. KALI SANAA🔥🔥🔥
@Nesphore14 жыл бұрын
Inaanza 19:18
@martin_mjb39174 жыл бұрын
Idea kama ya feel good live session ya SA
@obeidjoseph36104 жыл бұрын
Show love
@fmbitz4 жыл бұрын
Keroo ,,, matangazo meng,,
@vincentmasalu89224 жыл бұрын
MSODOKI🔥
@shukriabdiahmed30944 жыл бұрын
💥💥💥💦🎤🎤🎤🎤
@hamzanasry80114 жыл бұрын
Killer kanifanya nipende hipap
@boylinu28484 жыл бұрын
🔥🔥
@samsonantony85044 жыл бұрын
Leo mm wa saba
@mudrickjunior17824 жыл бұрын
nkbl
@أبوكعكعكالطبطباء4 жыл бұрын
Mnazingua bwana matangazo marefu ya kazi gani watu tume subscrib kuwapa sapot ila mna boa kama hali ndo ivo me bina unsubcrib
@sonaratanzania55734 жыл бұрын
Hayo matangazo ndio yanawapa pesa ndugu pole Sana
@dutchsafari75624 жыл бұрын
Hela hzo broo nivyema kuyaangalia ili kuwasupport
@najimmoshi72644 жыл бұрын
Hello ndo matangazo dakika 19 hzo mb we unazo too much bhana afadhali hata dakika 2 au tatu