PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA YOUNG KILLER

  Рет қаралды 427,912

WAZO TV

WAZO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 336
@oscarhimxelf2666
@oscarhimxelf2666 8 жыл бұрын
uyuuuuuu kweliiiiiii ni Muuajiiii mamaeeeeeee hahahah....... shikamooo young nimekubaliii
@straightkonect1613
@straightkonect1613 5 жыл бұрын
Huyu ndio yule msodoki fulani mwenye swaga zake YOUNG GENIUS
@alexander_nyimbi
@alexander_nyimbi 8 жыл бұрын
"kwa hali ya magufuli nikionga demu kihepe ni lazima nimtembezee Rungu comrade kipepe" huyu Young Killer amepiga mistari kwenzi ya hatari sana
@emaasevere4572
@emaasevere4572 7 жыл бұрын
KAMA UNAMKUBALI YOUNG KILLER MSODOKI GONGA LIKE 👍
@ibrahimmasoud7069
@ibrahimmasoud7069 6 жыл бұрын
Emaa Severe uyoni fundi
@condetz7tz908
@condetz7tz908 6 жыл бұрын
Nom 😋
@mussaoswardy1625
@mussaoswardy1625 6 жыл бұрын
Cn
@nasolosaid6634
@nasolosaid6634 6 жыл бұрын
Nakupa likazi zako
@rumbastar_official235
@rumbastar_official235 6 жыл бұрын
noma
@miltonemusumbah2544
@miltonemusumbah2544 7 жыл бұрын
Nimeifwatilia sana KUMI ZA MAANGAMIZI kutokea Nairoberry. Mnikubali niseme kuwa hii ndiyo bora zaidi...... msodoki anaweza
@BeCofterMnyamwengaFredyMkamuna
@BeCofterMnyamwengaFredyMkamuna 5 жыл бұрын
Miltone Musumbah 254 haa
@mchuganisttza4436
@mchuganisttza4436 2 жыл бұрын
Wangapi tunaitazama hii saaiii 2022 🔥🔥🔥
@abbasboniphace5444
@abbasboniphace5444 8 жыл бұрын
kuishi na watu Shida ukishida ukipendwa linga ukichukiwa basi jipe shavu daaaamnnn😃😃😃😍😍
@martin_mjb3917
@martin_mjb3917 8 жыл бұрын
ukipata basi usisahau utokako na ukikosa kajifiche uone nani atakupa tako😂😂👐
@josephelisha5323
@josephelisha5323 8 жыл бұрын
Wow you guys are the best to bring my favourite rapper of all time 🔥🔥🔥
@saulmwakyusa1001
@saulmwakyusa1001 8 жыл бұрын
ukimwi ndo gonjwa la heshima / toka nimebalehe cjabahatika kupima / noma sana mleteeni na joh makin naamini joh anabebwa haiwezi kitu yule
@stephanosaganda1585
@stephanosaganda1585 7 жыл бұрын
Mh
@magnucjames1855
@magnucjames1855 8 жыл бұрын
Usingizi mbolea ndo mana ukilala tu unaota. we c young but ni ADULT KILLER. i appreciate what u do guy. the second FID Q
@ezraelyanthony758
@ezraelyanthony758 6 жыл бұрын
Magnuc James konki
@mwaipajajosephfadhili_mwai5988
@mwaipajajosephfadhili_mwai5988 8 жыл бұрын
Kweli we yoang genius msodoki flan mwenye vyeo vyake
@kitolano1
@kitolano1 8 жыл бұрын
Young killer msodoki 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🤝🤝👏🏻👏🏻👏🏻 YOU are doing pretty good bro. I like the way it flow. After Fid q is you bro. There is no competition. You can see far then your age😜😜🤝🤝💯💯 keep up, I enjoy your rap
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 7 жыл бұрын
umetisha sana bana mdogo yaani umewaua wenzako wote kama jina lako lilivyo kwny hz dk10
@danieljacob7724
@danieljacob7724 7 жыл бұрын
Jaman kwakwel huyo dogo huwez mfananisha na hao watoto salute xana msodoki
@mohamedjuma8768
@mohamedjuma8768 7 жыл бұрын
home boy hakuna young anaekufikia tisha sana ila mkumbuke na coyo mc tunyanyuane kwani hata yupo vizur big up bro acha wala sembe na wanywa acid waeendelee kubonga
@FatumaSandari
@FatumaSandari Жыл бұрын
Mwenyeazi mungu akujaalie kila lenye kheri young killer nakukubal sana kaka angu
@alishomar7549
@alishomar7549 8 жыл бұрын
kwa hali ya magufuli nikimuhonga demu kiepe ...namtembeza rungu komredi kipepe. ...Killer u kill it young bro
@RajabuBlack
@RajabuBlack 3 күн бұрын
Hakuna kama young killer
@cynthiacherop9775
@cynthiacherop9775 8 жыл бұрын
Mkali wa rhymes huyo... Big uuup
@sefa.24gomez36
@sefa.24gomez36 6 жыл бұрын
kw3r## nimuuaji kamooooooooooo daa noma saana . unajua mpaka unabo444.
@delartone3016
@delartone3016 7 жыл бұрын
Young genius, Msodoki fulani mwenye vyeo vyake, A.K.A ndimu yaani uchachu wangu ndo ubora wake, mwake.
@iganizarichard8197
@iganizarichard8197 7 жыл бұрын
Safi sana nimekuelew sana Msodoki mwenye vyeo vyake,yan mwake
@chrispinedamas4853
@chrispinedamas4853 6 жыл бұрын
weng walikwepo ila wamepoteza mwelekeo duuuh killer you killed this song
@thomastinega271
@thomastinega271 2 жыл бұрын
huyu jamaa anaspeed kwa mdundo🔥🔥kwa hili mtakiri Youngkiller mwotooo
@DemasterWabundu-s6s
@DemasterWabundu-s6s 3 ай бұрын
Hawakomboi msee iko sawa punch hawawezi
@shawnshadow9621
@shawnshadow9621 3 жыл бұрын
Young killer 2021 likes zikam
@dominiquetorredo4464
@dominiquetorredo4464 6 жыл бұрын
All ze way from atown lkn mwanzaaaaa inatotoa vipajiii balaaaaaaaaa
@lilwizzy-xi1ms
@lilwizzy-xi1ms 6 ай бұрын
2024 plz like zangu from +254🇰🇪
@RobertBagumirabingi
@RobertBagumirabingi 4 ай бұрын
The 1 and only 1 in hip hop industry.
@erically6912
@erically6912 7 жыл бұрын
yupo vizuri sana Mi namkubali sana anakwambia ;; ukiona mwenzako anachanga moto basi nawe unachanga unga mnatoa dongo ;; hahaha mwisho wa siku wote mnashiba.!!
@salimgeyana7547
@salimgeyana7547 6 жыл бұрын
TAMADUNI MUSIC FOUNDATION... kambi ya masoldiers kila aliyefankiwa kukatza kambi ile hawez kuwa mwepesi..MSODOOOKIII
@denistiyo7193
@denistiyo7193 5 жыл бұрын
This is raw talent at its best!
@photidacealphonce485
@photidacealphonce485 7 жыл бұрын
Mnamkosea sana kumfananisha na kina young d na janjaro , Msodoki kiboko yao ana punch lines zilizoshiba next time mletene one the incredible a.k.a moko wa miujiza
@michaelwambura878
@michaelwambura878 5 жыл бұрын
Young killer ni sumu kwenye hip hop
@frankmanga3721
@frankmanga3721 8 жыл бұрын
kaka tuleteeni one the incledible uyo mtt umo kamuua mbka baba maclom
@johnsonmbwana9696
@johnsonmbwana9696 4 жыл бұрын
Asikuambie mtu kitu babu, kuishi nawatu tabu ... Ukipendwa Linga ukichukiwa wewe jipe shavu, sikuhizi hakuna love maisha niyakipumbavu .... Dada zetu wanapewa mimba kisa chips kavuuuu....hatareeeee young pigaa uyoooooooooooooh
@filvobrowbrown3573
@filvobrowbrown3573 2 жыл бұрын
Congrats our congratulations
@adilinsekanabo2996
@adilinsekanabo2996 7 жыл бұрын
the best young raper
@siahjoseph3828
@siahjoseph3828 5 жыл бұрын
Hii ndo dakika kumi ss zngine miyeyusho tu big up ma niggha young killer
@TheNdaki
@TheNdaki 7 жыл бұрын
Respect ✊✌🏽🎶 #mistar A+ #rockcirry #rockcity #youngkiller #mkubwa_wa_kazi
@robahkweli9878
@robahkweli9878 7 жыл бұрын
NAIROBERRY (KENYA) twa mkubali Young killer kwa sana
@acmewinner
@acmewinner 8 жыл бұрын
Hahaa hahaa..na wamechukia haswaa zaidi alivyochukia mwenyewe..na mkininukuu vibaya ni we na mungu wako
@gaspermagambo3928
@gaspermagambo3928 6 жыл бұрын
watatupa kwa dahrau okota kwa thaman. kwa usawa huu wa magufuli nikimhonga demu kiepe....hahahha fire young killer msodoki.yani toka ufanye hizi puch nadhan ni zaid ya mala 10.big up EAradio kwa segment hii.
@cosmaskavagu2138
@cosmaskavagu2138 7 жыл бұрын
Young killer msodoki baba wa all youngs in thiz world unajua nn unachofanya waacha wale sembe
@kinyuastephen3744
@kinyuastephen3744 7 жыл бұрын
KING WA RAP.....Nimekubali.
@lwijimsafiri6545
@lwijimsafiri6545 8 жыл бұрын
young killer aka ndimu yan uchachu wako ndo utamu wako big up sna killer.
@dhahilmasoud6610
@dhahilmasoud6610 8 жыл бұрын
Next time mumualike nchama the best
@chrisv-panda9295
@chrisv-panda9295 Жыл бұрын
Za maangamizi zote zilizo tumia beat hii,, hazijatetea haki zaid ya Mnyama Msodoki! Jaribun kusikiliza 10 za maangamizi zilizotumia beat hii wadau,, alf wenyew mseme nan kaendana na beat mwanzo mpaka mwisho,,, Msodoki
@crispindeezy4811
@crispindeezy4811 7 жыл бұрын
killer we nomaaaah
@Lekwilembaz255
@Lekwilembaz255 7 жыл бұрын
nishavurugwa Boss nilipe nisepe ......killer badman
@frankbundi7713
@frankbundi7713 3 ай бұрын
Kenya tuko pamoja🙌 🙌 🙌 🇰🇪
@drmubarakhassan8010
@drmubarakhassan8010 6 жыл бұрын
tamadunimuzik where hiphoptz lives... thanks kwa duke tachez
@shamssaid7632
@shamssaid7632 7 жыл бұрын
Huyo ni rapa wa kichawi. Yaan namaanisha magic.
@jonathanenock2329
@jonathanenock2329 5 жыл бұрын
Young killer daaah!!!!! uwezo binafsi boy safi sana
@mercymwimanzi1298
@mercymwimanzi1298 6 жыл бұрын
Ur so good sana young killer
@ntawurusigajaphet813
@ntawurusigajaphet813 5 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali Sana🇧🇮🇧🇮
@erickmushi2013
@erickmushi2013 8 жыл бұрын
msodooooooooooooooooki achana na hao woote killer kashamaliza maninaaa...
@dennislwmi2556
@dennislwmi2556 7 жыл бұрын
views zinajie;eza ....yong isthe best
@edwinwasoka3129
@edwinwasoka3129 8 жыл бұрын
nimependa sana hii show
@mtotowaraila5397
@mtotowaraila5397 7 жыл бұрын
isiwe muoga kama kuku alie kula mchele na yeye jioni kaliwa na wali ume niuwa👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@gavanaunstoppable6093
@gavanaunstoppable6093 5 жыл бұрын
umetisha san msodoki nakubal 100000000000%
@husseinabdallah2426
@husseinabdallah2426 7 жыл бұрын
Unajua sinaga swaga kabisa!!
@irangajames9931
@irangajames9931 7 жыл бұрын
young killer wee noma sana mchizi wangu
@brightnaison9264
@brightnaison9264 Жыл бұрын
Oyyyyyy p 1 Young Miller msodokiiiiiiiiiiiiiiih
@ahmadabeid7407
@ahmadabeid7407 7 жыл бұрын
Umetishaa we ndio mkali wao. Tofauti ya mm na ww, mm na ww. 😂😂😂
@digosmart4179
@digosmart4179 3 жыл бұрын
Msodoki the sun
@dennardleonard1228
@dennardleonard1228 Жыл бұрын
Punchlines master
@tabiasaidi2931
@tabiasaidi2931 Жыл бұрын
Nakubali kinya maaaaa
@anthonylister754
@anthonylister754 7 жыл бұрын
iki kichwa sina pingamizi nacho... UMETISHA JANANGU
@ahmadkhattar6760
@ahmadkhattar6760 7 жыл бұрын
Young killer kachafua haliyahewa aiseee big up sana
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS Ай бұрын
Bado napambana maana underground wanakaza💯
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 7 жыл бұрын
Arusha makuma 2 hipopu ya mwanza 2mkoa mngne mnaiga2
@gideonbenson3264
@gideonbenson3264 4 жыл бұрын
Mwana anaweza sanaaaasss
@michaelmasijah724
@michaelmasijah724 6 жыл бұрын
Young killer unajua kinoma yan 👏💪💪💪
@EmmaMzume
@EmmaMzume 8 ай бұрын
YOUNG KILLER NOMA 2024
@kitatakitata8678
@kitatakitata8678 6 жыл бұрын
Team #Sinaga Swagga Gongq #liked APA
@harachimussa5185
@harachimussa5185 6 жыл бұрын
Simjui vp NitadAlod vp naitaka hii
@tracejeezy8917
@tracejeezy8917 7 жыл бұрын
Hii ndio The Best dk. 10 za Maangamizi ever
@gysevengeorge9549
@gysevengeorge9549 7 жыл бұрын
we ndo rais wa madogo,, unajua Mdogo Wang,, wala haubatixhii
@kelvinmakoko1109
@kelvinmakoko1109 7 жыл бұрын
respect ma bro ure dangarious on fall stly
@alexchido5893
@alexchido5893 7 жыл бұрын
Nakukubari sama msodoki wambie wadanakudis wambie wapambane na hari yao
@mwaipajajosephfadhili_mwai5988
@mwaipajajosephfadhili_mwai5988 8 жыл бұрын
First
@KelvinChahe-bn3rv
@KelvinChahe-bn3rv 12 күн бұрын
2025 bado nasikiliza vina kutoka kwa mkali wa vina
@elkanachalz2420
@elkanachalz2420 7 жыл бұрын
Vitaaa# mwakeeee....
@digosmart4179
@digosmart4179 3 жыл бұрын
Hatar mzee
@jayloko4325
@jayloko4325 5 жыл бұрын
young killer juuu kaka una kubali gonga like apa oyoooooo
@suletengeza8135
@suletengeza8135 7 жыл бұрын
ni noma atareeee
@muhammadbanda7661
@muhammadbanda7661 6 жыл бұрын
Umetisha killer
@sidemakuka2844
@sidemakuka2844 6 жыл бұрын
Salute kila nikianza utakubali
@chidiali3339
@chidiali3339 7 жыл бұрын
me nawambiaga mwenye macho hambiw ona watasubr xana kwa killer ye amesha kill wengne naona wanaj kanyaga kanyaga2 kama wanatongozwa
@saingonbrigedia1435
@saingonbrigedia1435 2 жыл бұрын
Nakubali unauwa chali yngu
@yahyaahmad2425
@yahyaahmad2425 5 жыл бұрын
Young killer noma sana like na comment. Kma tupo pamoja
@benbranco3688
@benbranco3688 7 жыл бұрын
Huyo mtoto mkali sana basi tuuu
@gerrardkibiki650
@gerrardkibiki650 8 жыл бұрын
plz sir dullah young killer arudiee tenaa afu asiimbe nyimbo zake apige tu mistari maana ana hatariiiiii.....
@diamondplatnumz5572
@diamondplatnumz5572 7 жыл бұрын
umeinaaa heee
@tomplexbrigedier2282
@tomplexbrigedier2282 7 жыл бұрын
BADOOOO SIJAONA KITU
@officialmatambi5550
@officialmatambi5550 6 жыл бұрын
+TOMPLEX Robert hebu imba yako tuisikie
@harunarharuna6803
@harunarharuna6803 7 жыл бұрын
Mnyama killer boy nakukubali sana yan heet after heet
@robbynerobine5712
@robbynerobine5712 8 жыл бұрын
duuuuuuuh ni nomaaa aiseeee
@pendoayo6402
@pendoayo6402 7 жыл бұрын
anatisha young
@waduduinctv6537
@waduduinctv6537 7 жыл бұрын
Daa nangoja hamorapa kama akimbiu
@peter1018ful
@peter1018ful 6 жыл бұрын
last to view n comment
@lazaroedwald1183
@lazaroedwald1183 4 жыл бұрын
Ametisha dj king
@samuelkalova9788
@samuelkalova9788 7 жыл бұрын
young mwenye kila zake unatisha
@shabaniidd1651
@shabaniidd1651 7 жыл бұрын
mimba kisa chips kavu noma sana killer
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 766 М.
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Dakika 10 za Maangamizi : Duga Mawe
11:30
EastAfricaRadio
Рет қаралды 221 М.
PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA FID Q
10:50
WAZO TV
Рет қаралды 282 М.
Young Killer na Dogo Janja Wachanana Live Kuonyesha nani mkali zaidi?
10:52
Dakika 10 za Maangamizi na Bunaya
12:24
EastAfricaRadio
Рет қаралды 137 М.
RAP BATLE | MTU KACHANWA HADI KAOMBA MSAMAHA - BIG SUNDAY LIVE
13:24
PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA GODZILLA
11:09
WAZO TV
Рет қаралды 262 М.
Dakika 10 za Maangamizi  - Matrex | Planet Bongo
12:40
EastAfricaRadio
Рет қаралды 216 М.
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - F MORE MCHUNYA
10:25
EastAfricaRadio
Рет қаралды 29 М.
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН