When I watch this ,I get hope that my missing elder brother will come back home one day in Jesus Mighty name
@judynjerimwaura9433 жыл бұрын
Kuna Mungu binguni... Believe at arudi pia
@thevineyard71493 жыл бұрын
Atakuja na tutoto
@favouredblessed26313 жыл бұрын
Amen
@wambui1853 жыл бұрын
@@thevineyard7149 😆😆
@nancymwihaki89013 жыл бұрын
@@thevineyard7149 😂😂😂
@culistusmumbura47393 жыл бұрын
Welcome back home sister your family is so strong because they believe and trust in God 🙏🙏
@margaretnjeri23103 жыл бұрын
The whole problems is the homestead where she got marriied. The husband n his parents/family members could have wanted to know the parents of Wangari as we hear she was very young instead they took advantage of getting KITU YA BURE which is VERY VERY BAD. God remember mercy for your people.
@evawangari24173 ай бұрын
You set standards for your inlaws to follow if she showed them hana haja na kwao who hates free things?
@karanjajane43223 жыл бұрын
Msijifanye hamuoni chapo😂😂😂
@Wambuiwakori3 жыл бұрын
😆😆nimeona. Nimemis aki
@naominjenga91293 жыл бұрын
Chapo kana waru icio?
@hannahmwangi43243 жыл бұрын
Imebidi ni sukume mbele
@agnesmuchina54253 жыл бұрын
Waaru
@wangariann60443 жыл бұрын
😂😂😂
@ryanolivias66843 жыл бұрын
Do not judge her, ask me also why i dont go home.... Everyone has his or story.. if you're blessed to have a peaceful n loving family thank God and remember others going through hard times there outside
@owenburke48823 жыл бұрын
True! Sometimes you can walk away from your own family with reasons.
@CWEIEducationalVlogsTV3 жыл бұрын
Be strong and forgive them to have peace in your heart
@premierleaguehdedits94423 жыл бұрын
I truly agree with.you sweet background and we'll upbringing is not for all .it might seem being wicked..but remember..a mad man is only funny if he or she is not from your background
@wanja.g.36032 жыл бұрын
So true peace of mind is better
@naominzaomi12022 жыл бұрын
May God grant you peace and success, be blessed.
@milly20063 жыл бұрын
Heee 27 yrs🤦♀️anyway glad you're back...eku andu marie waru na tushafashi reu💃💃
@shiiwakush67063 жыл бұрын
Hope pia one day my siz atarudi....kutoka 1998please rudi home big siz popote ulipo
@suzzyyank74463 жыл бұрын
May God bring her home
@bethnduta61403 жыл бұрын
Wao,, what happened May God saw her the way
@marypflugngugi21643 жыл бұрын
Tunamdai katika jina la yesu
@suzzyyank74463 жыл бұрын
God you are Alfa and omega tazama hii familia kilio chao twakuomba Baba mahali huyu dada ako Roho wamungu amlete kwa wazazi wake twa omba Na kuamini Amina Amina .....may the Lord almighty bring a miracle to this family
@Bangala7733 жыл бұрын
Atarudi tu Coz of God
@maryshiro53083 жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏 congratulations 👏 pia wetu ninajua tu siku moja ata lundi aki pia sisi tufulahie imagine tutoka,204,adi sasa 🤔,na alikua na miaka 10
@Maryblessedgirl3 жыл бұрын
Poleni sana.
@monicakahenya64413 жыл бұрын
Maybe something had happened between her and the parents.
@monicahgathuri70763 жыл бұрын
Shameless woman and she can afford a smile after putting her mother through all the pain.
@pnelpharttemungai5973 жыл бұрын
Watu ni funny hata simu hawezi piga
@danielwairimu77543 жыл бұрын
@@pnelpharttemungai597 ati hizo miaka zote alikua anatafuta fare.
@pnelpharttemungai5973 жыл бұрын
@@danielwairimu7754 it's serious imagine kama umezaa watoto wako na roho ngumu hivi!Mimi huwa naomba Mungu sana wangu wakuwe na utu kwa roho zao.Ati fare All that long
@agneskimani19183 жыл бұрын
Tht woman is stupid! How could she??
@joycewaweru68233 жыл бұрын
U never know why she left n never look back I know there must b a story behind this this earth is hard my people
@yousfomar24483 жыл бұрын
Waaa!mungu a nampenda sana àmepata hata wazazi wake bado wako hai😊😊😊.glory to God🙏
@marywaplmedia35343 жыл бұрын
Eno ni duriika ya fiu maa.
@danwanyinaalice37783 жыл бұрын
Kwani fare ni ngapi ya kwenda Murang'a 250 shs from CBD ndio uli kua una tafuta 27 yrs.uli kua una pata za Maternity una kosa fare ya kwenda kuona mamako 🙄🙄🙄 burekabisaa
@janekamau71693 жыл бұрын
Walai hii nikama uchawi coz 27yr aiiii naako Kenya sio gulf hehee tutigitjie
@marcyasasafgs67643 жыл бұрын
Haha ati unanshow aje
@danwanyinaalice37783 жыл бұрын
@@marcyasasafgs6764 ata ili kua ina vaa aki fika huko home kwao after kuelezea hio stroy yake afinywe 🤣🤣
@marcyasasafgs67643 жыл бұрын
@@danwanyinaalice3778 hahaha aki juu iyo niupusi alikuwa nayo ata hawezi abika akisema nifare alikuwa anakosa na amezaa watoto tano
@rugendorunene5453 жыл бұрын
Welcome home... May the grace of God prevail ✔✔✔.
@essymwas77953 жыл бұрын
Wangari wihinya roho juu 27yrs ucio niuguruki
@margaretmugwe50383 жыл бұрын
Niguruki wa biu nanioi kwao tikura
@kenchege883 жыл бұрын
Waruma uria ugi Niki? Nduui marĩa agêriire ni mariku. Conoka, no okorou wi thata nduciariite ndugaconoke, no okorou wi muciari Conoka dinoho ino
@Bangala7733 жыл бұрын
Lol
@hisgracesuffient60463 жыл бұрын
Dont say that hata kidogo. Kwetu tunangoja watu wawili. And we dont care how long it has been.
@gorretnjenga58713 жыл бұрын
@@kenchege88 waah nikii nawe kariwe mùthuriwe wa Wangari...nigúkena andù riria megúthika mùndú útari wao Wangari ehaha limuru ...Tiga irumi onawe
@ashleygatheru33153 жыл бұрын
Wangari ni thina wamuruta limuru Niko acoka mucie😢😢😢
@petermbugua64923 жыл бұрын
Nikumo kwa ngomere agathii kwa ngomererie. Thina niguo wa murehe nginya atua mikwa ; ati mucii ni mucii
@gorretnjenga58713 жыл бұрын
Thinking the same
@evawangari24173 ай бұрын
Atawasumbua sana
@danielmacharia59453 жыл бұрын
Only what i can say is that,”Thanks to the Living God”🙏🙏👏👏
@Bangala7733 жыл бұрын
Amen
@TabithaLydia0843 жыл бұрын
Uga maa..ti kwaga mbeca nikunyarara...27 yrs kiambu na muranga aaaai niagitherio na mburi tondu uguo marongoretie na mageka mathiko niharabatara igongona
@loisekigio74383 жыл бұрын
27 yrs waaah waaah
@florencekariuki71203 жыл бұрын
Wah! Miaka 27,hihi niweroragira njanjo uko na uria andu magirikaga magietha andu ao, weciragia andu anyu marauga atia?
@gorretnjenga58713 жыл бұрын
Ngai fafa ati limuru Wangari , gwitù mùcii n for sure you look familiar...ici ndeto nùngùhùngirira wega ..wooi miaka 27 ùgicokereria mbeca cia kùinùka nima kwindeto na hii....congratulations nikùgia mùthuri ùtakúragia kwanyu nikú...ciana ni kirathimú nii ndikwaria cia cio
@janetwangui10323 жыл бұрын
Haki huyo Mzee wake maybe kuna another story behind,
@jaccyfigure88453 жыл бұрын
27yrs na bado alikuwa Kenya😳🤔🤔🤔🤔,kuna watu roho juu aki 😄😄.inaonekana aliamua kuzaa kwanza ndio aletee mum wajukuu😄
@susanmwangi72673 жыл бұрын
Roho juu kabisa
@thevineyard71493 жыл бұрын
😃😃
@gitongambugi34533 жыл бұрын
this gives me hope that my sister who left in 1995 will come back alive one day.
@agnesmwikali5393 жыл бұрын
Mathikire u🤔🤔
@aishawangui66353 жыл бұрын
Najiuliza ivo walizika nani ...sasa mama wahuyo walizika huishi akingonjea mtoto wake arudi
@marthaglorymichael45833 жыл бұрын
Ngaii 27yrs mbila kurudi home eti alikosa fare mungu tusaidie
@margaretmugwe50383 жыл бұрын
Fare kitu gani kwani alikuwa nje ya kenya niamboa biu
She is not serious.fare yakwao kwani no milioni ngapi
@tynahkariuki62593 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ezekielngarega51423 жыл бұрын
Îîî ,na no eka wega gucoka
@ziggyken46203 жыл бұрын
😀😀😀😀😀aih Wangaree onawe
@rosalindmwangi4433 жыл бұрын
Andu ni mohangwo no Ngai ehinya
@waruth14453 жыл бұрын
@Rosalind hapo umesema ukweli Ngai ehinya.
@marykafietrasha45323 жыл бұрын
Am a woman ad a mother as well,but shame on you Wangari all those years huwezi imagine vile mama alikuwa anafikilia, hata kama ni shinda huwezi kosa fare that just ignorance ad you don't care about whoever brought you in this world.(your mom)nkttt
@jonmika3 жыл бұрын
Let nobody condemn her.hata wewe umeoa miaka kumi na haujapeleka dowry.life is full of challenges
@margaretmugwe50383 жыл бұрын
Hapa si mambo na dowry hio kupotea na ananjua kwao jameni hakuleti shangwe
@jonmika3 жыл бұрын
@@margaretmugwe5038 yenyewe pia yeye angejikaza tu.huo miss ni mrefu sana
@Jayjaywaziri3 жыл бұрын
No ndurika ota Iria ingi wiriga kurehe. Kwaga fare nikuga atia miaka 27? 🤣🤣🤣
@gitongagitonga3 жыл бұрын
Aaii huyo bwana yako ako chini tu sana How come for all these years hakujishughulisha kujua wazazi wako?
@shirumaina48273 жыл бұрын
27yrs😳😳. Weeeh una roho Ngumu kama kangumu
@susanmuthoni11673 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@vgeegodseed17203 жыл бұрын
Matihana kwaga tigiti Aya🤔🙄
@ruthkamau44893 жыл бұрын
Niurimu 😅😅😅😅kari ndege marihaga
@wanjira88813 жыл бұрын
27🙆♀️okay
@امرائد-ط9ق3 жыл бұрын
Wah....ata sikuaga nimezaliwa
@marymata89773 жыл бұрын
Kuna kitu irikuwa imemufunga i think ni hio kuzaaa na huyo mzeia wa kofia sauti iko chini ata kuriko ya mwana mupotevu
@catherinemuiruri86503 жыл бұрын
Hadi kumepikwa chapo😂😂😂😂
@duncanndegwa16672 жыл бұрын
Parable of Lost son welcome back home.... Likes the sherehe gaka na gaitu aaiii
@bintibinti65743 жыл бұрын
I beleave one day ill see my dad who went missing 1998
@emmystevenjengah82893 жыл бұрын
Bure kabisa kai limuru na muranga ni ruraya uturie ashiari na kiriro....ona korwo ni maguru niungiakinyire
@nancykinuthia2508 Жыл бұрын
Wangare ti fare agite ni kumena amenete kwao..Nikii ageŕeria aciari ake ruo runene ouguo?
@ambitiousalicemwenenaivash5213 жыл бұрын
Uronaga cia njuiri ukaaga fare🤣🤣🤣🤣we ma
@wakenyaskytv69373 жыл бұрын
Ng'ombe kabisa, unapata nguvu ya kuzaa mara tano na nguvu ya kwenda kuona wazazi 27 years hauna? What a generation
@leahnjeri90703 жыл бұрын
Sikupeda kwake ni uleuchawi ulimtoa kwao ndio umeisha guvu after 27yrs
@naomiwanjiku36267 ай бұрын
Ucio ni witikio wa shaitani tuturagio ni mahogany gutiri urogi ukirite mahoya
@faithn52133 жыл бұрын
Wangare ma conoka weeee miaka 27 kai tigiti wari wa mbia ciganai?icio ni daimono !
@WaitheraChomba3 жыл бұрын
anakaa kufugwa na mapepo pia ana furaha familia inafulahi yeye ngo
@naomiwanjiku36267 ай бұрын
Aiiii ucio niungui rimuru na muranga atakiri somaria na sudan
@mariakiky26003 жыл бұрын
It's not good at all....If you get married alert your family kwani 27yrs hungepata fare
@radicalljinari38632 жыл бұрын
I love those chapatis
@davidmuringu9802 жыл бұрын
Thanks God a lot
@janewangaringoiya57043 жыл бұрын
Waah waah kari ni wamakia .
@elizabethnganga3 жыл бұрын
Wangarī waumītie o kumīria! Karibu nyumbani.
@mburulucky95803 жыл бұрын
So many people in wathire kuuuu are somewhere in this country
@catherinemuiruri86503 жыл бұрын
This teaches me one thing life must go on alidhani atakuta wajaendelea cz hakufukuzwa yeye tu ndiye amejileta akichekacheka
@DaxL_net3 жыл бұрын
Leave her alone she probably has a reason and justified according to her own heart. People has reasons even though they don't tell us the whole story even though I travelled several times a year from overseas to see my Grandma.
@katewabwile90533 жыл бұрын
💯
@wanjiruciru62373 жыл бұрын
What has happened to the same reason.Heri watu wenyu wajue unakuwanga mahali Fulani hatakama hutaki kuwaona.
@mageembarikiwa29913 жыл бұрын
Me i understand..unaesa umizwa roho uede kwanza utulie ukingoja upone kidonda ya moyo...mimi sisemi anything..naelewa huyu gal.
@paulinewanjiru76423 жыл бұрын
Alice witu noagacoka kuma 2000,coka muciii kwambari ya Ngahu😭😭😭
@danielwairimu77543 жыл бұрын
@pauline wanjiru,atarudi in Jesus name.bora kuamini
@joiceanne81953 жыл бұрын
Woi how hio miaka yote even the hubby never bothered kujua kwenu welcome home
@reginadavid44543 жыл бұрын
Mmmm kugia aciari riu watumire mathike mundu ungi 😏😏
@margaretmugwe50383 жыл бұрын
Iii maa akwenda iboko ti kurugirwo
@fridahskitchen83613 жыл бұрын
No comment. Let no one judge why she disappeared for 27 years...may they give thanks to God for her come back.
@milkahwangui23533 жыл бұрын
We rebuke poverty in jesus name. Africans let us continue working hard..maneno ya kukosa fair.....ni shida
Shame on the family where she got married.shame on Wangare too.she could have told them she has parents .and the family could have taken a step to know Wangaris home.27 years wangari?hauna adabu
@NyokabiWaweru3 жыл бұрын
Riu mwathikire uu maa😳😳bamiri ya mundu ucio igutura mamuethaga 27 years onawe wii mugeria
@BG-gt1xy3 жыл бұрын
Pesa ya Salon na Maternity ulipata aje ? Ata ungeenda kibarua na hao watoto wakumbwa mungepata pesa ya kwenda ata Marsabit. Saitani !
@gorretnjenga58713 жыл бұрын
Heheeee
@rachaelndegwa70523 жыл бұрын
Huyu ako na shinda ..
@ezekielngarega51423 жыл бұрын
Ata Kama ako na shinda amerundi nyumbani, na wazazi wake wamefurahi.utanjiri na pesa badaye
@yousfomar24483 жыл бұрын
Si kupenda kwake mambo mengene hutokea kwa maisha ya mtu, jambo la kwanza huwezi jua alitoroka kwanini.
Muthuriwe eku tumuone na tuigue ihoto cake cia guikara na mburi yene miaka io yoothe.
@mawama67193 жыл бұрын
eat, drink and make merry for that what was lost has been found.
@janewairimumaingi31753 жыл бұрын
How can you do this to your family knt
@queenyakinangop40963 жыл бұрын
Nginya ndaigua maithori maa
@marygithua Жыл бұрын
Waa 27 years 😳😳 huyu ni roho juu sio siri
@idonttrustwomen62153 жыл бұрын
People complaining saa ii kupata fare ni ngumu I salute you gal
@mwauragidion10313 жыл бұрын
Nimeskia gaturi I can't blame wangari
@kenchege883 жыл бұрын
Whoever is condeming her, take care, sometimes life can force you to do what you considered unthinkable, don't judge, siku maisha yatakupinduka ndio utajua hujui,
@bensonwekesawekesa62083 жыл бұрын
You are a male or female?
@brendahkangai90233 жыл бұрын
my dad ujawahi ona her mum from 1969 na tunaishi same county........
@chrispusnyamu64973 жыл бұрын
Aiiih ata kama ii ni too much,kufanya wazazi wakuzike ukiwa hai......not fare made u not 2 go home,jiite mkutano na roho yako,ulifanya parents wa go through pain
@nancywairimu14533 жыл бұрын
Tumeshangaa kabixa hata hutuamini imagine mwenye tulizika watoto wake hua wakuja kusalimia Cucu
@chrispusnyamu64973 жыл бұрын
@@nancywairimu1453 ni challenging sana coz,I can't imagine how u can stay away from ua biological parents for 27 yrs without visiting them n without any communication.......iko kitu fiche chenye yeye mwenyewe 2 ndiye anajua....
@carolinenyambura46483 жыл бұрын
Ngai ... Nie maya maundu maa
@janejoseph93913 жыл бұрын
Kiambu County neighbors muranga, its not adding up. Anywhoose ,the beauty is she is alive and the mother is happy to see her back.
@peterkamau76082 жыл бұрын
Am happ 4 the family especially parents.
@shiroalice37543 жыл бұрын
For 27yrs hakupata fare kwani fare ilikua million ngapi
@catherinekariuki86923 жыл бұрын
Maya maundu maa,,,,
@mburuwambui23193 жыл бұрын
Kwani hajakuja na mzee🤔🤔🤔
@wanjikukabisajane76723 жыл бұрын
Sasa huyo mliezika mtamfanya nini
@gorretnjenga58713 жыл бұрын
Úyú Wangari ona guakwa niarutite wira...I know you but ni wamakia
@wanjikumunene58783 жыл бұрын
Khai ata sikuwa nimepangiwa kuzaliwa akipotea☹️☹️.. Earth is hard
@seedahmad95743 жыл бұрын
Ichio ni ngoma miaka 27?..atì nìkwaga fare haiyaaee
Ata kama ni nini, 27 years without thinking about home sio miaka kidogo alaaah na uko kenya bado 🙆♀️
@pattiek15903 жыл бұрын
Uko tu central 😥
@SamuelWangui-yz2by Жыл бұрын
I too know one day I will locate my pipo ...its under God plan
@Funnyvideos111-z9c3 жыл бұрын
Ety alikosa fare for 27yrs Ata km ungesave 5bob daily ungeenda home after an year I can never allow my mom to suffer bcz of me may mom live long to see my success
@eunicemukuru61913 жыл бұрын
Nuanga kuhuguya hakiri, timbeca
@estherkasua56453 жыл бұрын
Gutiri itathekwo🤣🤣, niwanjaka muno
@wangariann60443 жыл бұрын
😂😂😂
@kimanijohn95293 жыл бұрын
Victory belongs to Jesus
@cathykimani6013 жыл бұрын
Pia mimi nitapotea ndio nipikiwe hivo😋nikirudi😜
@kimanijohn95293 жыл бұрын
Cathreen, stop that, remember your toung is very powerful, sorry
@sabinamaringa46173 жыл бұрын
Kai wi ngoma we
@cathykimani6013 жыл бұрын
Eni, niwangoma👿
@rachaelndegwa70523 жыл бұрын
Alaaaaa...
@BG-gt1xy3 жыл бұрын
@@kimanijohn9529 tongue 👅
@loisegitau48973 жыл бұрын
27yrs ni mingi but GOD is good umerudi ukiwa hai na watoto wake.
@loisekigio74383 жыл бұрын
Haiii,ata kama hio miaka yote
@precious61623 жыл бұрын
Yani uko kenya huwezi enda home🤔🤔🤔🤔🤔🤔😒🙄🙄
@ruthmuthoni46323 жыл бұрын
Its only 2 years I'm away from home I just called my family last week nikawabia naeda in 2 months the question was unakuja tukulange nni😪😪😪but sini life
@irenewangari74153 жыл бұрын
Thz is madness God have mercy on us
@emilywanjiku72213 жыл бұрын
Lakini ata kama ni fare, hakuna njia angetafuta ya kupigia wazazi? This is really sad
@davismate69993 жыл бұрын
ati miaka ngapi..27 years, all those years hakupata fare ya kutoka Kiambu to Limuru, aaaaiiii apana....naye mzee wake kwani anakaa je? wawezaje ishi na mtoto wa mtu mpaka mnazaa naye watoto na huendi kujua kwao ni wapi na wazazi wake, kwanini hakmshow huyo mzee wake au hata hakumsidikiza baada ya hiyo miaka yote..
@carolinenjoroge90922 жыл бұрын
Its social media era. Unaeza ata tafuta sister brother ama cousin on Facebook. 27years. Wah. Hao walimuoa hawampendiiii
@WaitheraChomba3 жыл бұрын
Uyu anafaa deliverance bado mapepo yamemfunga ona vile yamemkausha hata smile kwa wa zazi aaii wee