Hawa mbuzi watakuwa wametokana na wale mbuzi pori wa milimani. Ndo maana wako hivo. Mbuzi wa kawaida hawana huo uwezo wala hawawezi kupanda juu ya mti.
@emmanuelmwakibolwa73511 ай бұрын
Pronounce " claimbing" not "climbing"
@ibrahimally807311 ай бұрын
Mzee ongea lugha yako.. achana na lugha za wenyewe maana hujui matamshi... badala ya kutamka klaimb unasema klimb.. na video zako nyingi sana huwa unatamka lafudhi mbovu za kiingereza.. usimfanye mwalimu wako aliyekufundisha primary akajiskia aibu kama atakuwa anakufatilia posts zako... Bora tu utumie kiswahili..