UFUGAJI WA MBUZI Ni ufugaji ambao mtaji wake ni mdogo, na mavuno yake utaweza kupata kwa haraka ,katika kipindi cha siku 150 tu unanza kuvuna maziwa,mbolea pamoja na mbuzi wenyewe
Пікірлер: 33
@joseesiara90123 жыл бұрын
Yaani mtangazaji, umenifurahisha umeuliza maswali ya msingi sana hongera sana, kadhalika Richard uiso wew unajibu maswali kwa usahihi wa hali ya juu sana. Good job
@selemanimsofe73213 жыл бұрын
Richi meti wangu nakuona unakula shavu tu mtaalamu
@rahimfeka62762 ай бұрын
Kabisaa nimewaelewa sana
@carolsalvii2812 жыл бұрын
Mmelezea vzr sana sana tunahitaji mawasaliano ili tuwatafute
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante.
@GregoryLyimo-kw8re Жыл бұрын
Naomba elimu juu ya ufugaji wa mbuzi
@gordondavid60632 ай бұрын
Kila dakika jamaa anataja newmonia aaah inatosha sasa
@catherinemloka1020 Жыл бұрын
Niko Dar, ninaomba nipate contact contact pls nitapata je mbuzi wa nyama
@leonardrevelian47332 жыл бұрын
Iko poa
@yusuphkigogo8782 жыл бұрын
jamani no zenu mbona hamjaweka namba zenu
@josephmhagama87912 жыл бұрын
Nimejifunza vema,by Joseph mhagama kutoka chuo kikuu cha dodoma
@DaudNdola-t2h11 ай бұрын
Pamoja sana kiongozi na naomba namba yako kwa ushauri zaidi nahitaji nianze kufunga mbuz
@benpa22302 жыл бұрын
Jamaan mawasiliano tunaomba
@adambago40952 жыл бұрын
baraka
@ImaniSaid-m8u Жыл бұрын
Natak mawasliam
@ShidaIbra Жыл бұрын
Nahitaji mbegu ya sah nen
@carolsalvii2812 жыл бұрын
Tunaomba nawasaliano yenu please
@juliusvicent82473 жыл бұрын
Asa mbona wafugaji wengine hawana banda kama ilo laki sasa ilamifugo yao inakua bora sana na inanenepa vizur sana vip hapo
@BnyMangi11 ай бұрын
Mbuzi wa maziwa shingapi
@BnyMangi11 ай бұрын
Mm nipo Mkoa wa shinyanga
@dullymo95862 жыл бұрын
Nahitaji mbuzi wa kufuga wa nyama Niko pwani sehem za kibiti ntawapataje kwa haraka naombeni msaada wenu ndugu
@CrissKyungau10 ай бұрын
mtu akihitaji hao atapaje
@ismailomary66263 жыл бұрын
Hao mbuzi munauza???? Bei gani??? Nataka wanaozaa watatu
@floraelias11862 жыл бұрын
Tunaomba mawasiliano yenu Somo ni zuri sana
@jackurio98483 жыл бұрын
Mnapatikana wap nahitaji mbuz wa maziwa
@majaliwamaingu28254 жыл бұрын
Hao mbuzi mnaowafuga mnawauza? Na kama mnawauza ni kwa kiasi gani?
@davidfaustinebuluba5213 жыл бұрын
Sasa haombuzi wanapatikanaje mdau?
@skylerfranklin70893 жыл бұрын
I guess it is quite randomly asking but does anybody know a good place to watch new series online ?
@keatondamien99753 жыл бұрын
@Skyler Franklin I use FlixZone. You can find it on google :)
@bodhibrian38203 жыл бұрын
@Keaton Damien Yup, been using Flixzone for months myself :D
@skylerfranklin70893 жыл бұрын
@Keaton Damien thanks, I signed up and it seems like a nice service :) I really appreciate it!