Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti
Пікірлер: 88
@shakeuabuu885110 сағат бұрын
Mwendazimu kweli
@AishaTabi-e2z10 сағат бұрын
Anawazim uyu mzee 😅😅
@Zuhuranadadoita5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂Mzee apunguze anachovuta yaani ufukuze watu kwao Kheee
@Drsilo-v5k9 сағат бұрын
Ila hawa ndo makafir Ila baada ya dhiki huja faraja
@shakeuabuu885110 сағат бұрын
Natamani niwe raia wa Gaza Palestinian
@ankalmzito25410 сағат бұрын
huyu nae kwani mganga wake alimwambia ukichukua uraisi uanze na kufukuza watuuu???????
@nasseralhatmi17629 сағат бұрын
😂😂😂
@atutweve41608 сағат бұрын
@@nasseralhatmi1762simlikua mnampenda eti ushoga ushoga 🙄🙄, kumbe dunia nzima inaweza kuwa manipulated kirahisi tu kwa point ya ushoga tu 🤣mkome kwakweli kumpenda huyu jinga
@mohamedaley563210 сағат бұрын
Uzur ulioje wa iman iliokuwa ya level za juu kama hii... nataman niwe pamoja nao.... free Palestine biidhnillah
@yollah10 сағат бұрын
Trump anaishi kwenye ndoto c maisha halisi mpaka amkee 😅😅
@nellymans-f1vСағат бұрын
😅😅😅akija kushituka eeh kumekucha
@abdallahkhalfan39668 сағат бұрын
Misri na jodani n vibaraka wa hao shetani 2 waliopo hapo naamin taifa la Palestina litasimama kwa uwezo wa Allah
@ameirzapy1318Сағат бұрын
Swadakta
@nellymans-f1vСағат бұрын
😅😅kama wameshindwa kuwafukuza kwa njaa na mabomu je,watawezaje kwa maneno tu ety😅😅😅 huu msemo ushikiliwe vizuri
@salumuomary81909 сағат бұрын
Gaza imefanya chama cha Biden kushindwa sasa Trump atapinduliwa
@christinewomanoffaith54793 сағат бұрын
Thubutuuu
@FxL_872 сағат бұрын
TRUMP hawezi maliza miaka yake mitano kwa uwezo wa Mungu na imani ataingilia maslahi ya watu Fulani na yatamtokea yaliyomtokea JOHN F KENNEDY NA ABRAHAM LINCOLN@@christinewomanoffaith5479
@SmilingCityMap-xb9mdСағат бұрын
Jamani mwacheni mungu aitwe mungu kila alilosema katika neno lake linatimia hivi hivi machoni pa dunia yote dunia yote heka heka kulitimiza neno la mungu pasipo wao kujua kweli nimeamini bibilia ni neno la mungu na ni kweli ya milele isiyopingika kamwe hata wanadamu wangepinga litasimama na ahadi ya mungu kwa islaeli ni imina na kweli ee mungu ibaliki islaeli milele amina
@user-nd3sc6lk2n10 сағат бұрын
❤
@ezekiakiwovele779410 сағат бұрын
Trump NI chizi kwer akiri kidg
@yahayaannu36632 сағат бұрын
Anaota huyu 😂😂😂😂
@MrFella-e9w8 сағат бұрын
Dj Smaa alisema 😂😂🎉🎉
@donatusbenjamin36609 сағат бұрын
Tangu trump aingie madarakani dunian kumechangamka sana
@سعدههوام6 сағат бұрын
Ni mwehu uyo mzeee mbwa huyo azime kwanz moto kwake shetan mkubwa
@RandB_Channel7 сағат бұрын
Tulifurahiya Trump kuwa president sasa leo tunashanga kwanini anakuja namambo yahajabu sana eeee Mungu tuteteye
@FredWabwire-w3qСағат бұрын
Wagaza, mambo Bado watakiona moto.
@zenajustus57318 сағат бұрын
Milki za kiarabu wamechelewa walikua waseme hayo kabla maafa,leo izo kauli zao ni longolongo tu,ingawa nyuki anapigwa moto sababu asali yake wawacheni hao wapalestina waliobakia wakae nchini mwao hii sasa ni too much ingawa lengo lilikua hilo but sasa imezidi haifai.
@Youngruler_9998 сағат бұрын
Trump anajikuta nani kwanza 😂
@MohamedRashid-py7ro9 сағат бұрын
WATU WA KUHAMA NI ISRAEL TU SIO KWAO
@zulfaibrahim19294 сағат бұрын
Afadhar siku ziende aondoke watu wapumuwe’ mara Canad ‘ Africa’ Sasa gaza’ kesho sijuwi nini ‘
@ameirzapy1318Сағат бұрын
Huu mpango Israel kuivuruga Gaza hivyo lengo kuu ni hili Kauli ya trump 😢, ndio maana mauwaji yale yalichukuliwa ya kawaida 😢
@hanifa91534 сағат бұрын
Mashetani hayo Netanyahu na Trump wake yaan ufukuze watu kisa kujenga mji mzuri wakitalii watu wote duniani kwenda kula bata kwenye ardhi iliyochkuliwa kwa dhulma na dam za watu ikiwemo watoto wadogo alaa wajibakie na midhambi yao wenyewe wasitake kuambukiza watu moto umeendaliwa kwaajil ya watu madhalim malaanifu hayo majitu ya kiyahudi ilaaniwe😢😢😢
@MOSESIMCHUNGUZI46 минут бұрын
HAYAYOTE YAMESABABISHWA NA HAMAS WENYEWE, NDIO WALIANZA ACHA WAFE PUMBAVU SN WALIANZA WENYEWE
@PlickaChacha5 сағат бұрын
Anaadaa september 11 nyingine
@ImamAbas-f9b3 сағат бұрын
Dunia imesinyaa maji yamekauka mzingo mzito wazambi unawaelemea
@adiaygo85464 сағат бұрын
Miàka4 atamaliza akiwa hoi analaniwa kila kukicha bricks wanamlaani umoja wa ulaya wanamlaa haya gaza tena wanamlaani duh!!!😅😅😅 atamaliza muhula wake akiwa hoi
@JoeZeno-q1b8 сағат бұрын
Miaka 4 ya Trump itamalizika Jamaa yuko na Trend Kila siku! Vituko ni Vingi kwa Donald J Trump
@hassangaddafi23472 сағат бұрын
Free GAZA
@SalmaAthuman-hp3en4 сағат бұрын
Ila Trump mwanzo nilikuwa namkubali sana ila naona anakoelekea dishi limeanza kuyumba sifa zikizidi ugeuka mwehu huyu mzee anazeeka vibaya maana atagombana na kila taifa😂😂huyu mzee vp
@nsusabudda2951Сағат бұрын
Sijawai kumkubali Raisi yeyote wa marekani
@kelvinMakene10 сағат бұрын
Trump anawafariji waisrael
@far_hard13019 сағат бұрын
Historia ya marekani ni hv ili uchaguliwe kuwa rais lazima upitishwe na waisrael ukubali matakwa yao utawasaidia nini.JF Kennedy aliuwawa na nani jiulize na kwanini?
@sponsor78823 сағат бұрын
trump ataleta vita tu
@popiya23688 сағат бұрын
Moto wa LA imchome haswa
@Mwachuomo10 сағат бұрын
Pamoja na warab
@YohanaJoshua-h2j8 сағат бұрын
Wapalestina wanakiburi
@Uesilamsiodiniyakweli8 сағат бұрын
Wa filisti mbona wa bishi sana si waame tu tangu shujaa wao goliati kupigwa na Mfalme Daudi kutokea israel, akilizao zilienda na lile jiwe
@Pianharoun-nt7zh7 сағат бұрын
😂😂😂😂😂daaah
@Mrsalt-zs7 сағат бұрын
Usiongeeusichokijua ukiwa na ubinadam usingefurqhi watu kufa
@Uesilamsiodiniyakweli7 сағат бұрын
@ nanialikuambia nafurahia watu kufa?? Au unalopoka kama mfuzi usio na bleki
@josephpeter851110 сағат бұрын
hapana muame pajengwe pameharibika sana ni lazima pajengwe upya na baadaye mtakaribishwa.
@sultanbakary429210 сағат бұрын
Hatoki mtu hapo
@graysonpastory191810 сағат бұрын
Mjinga wewe
@zebedayokatamaduni967610 сағат бұрын
Hiyo ndiyo faida ya kufuga magaidi Hamas
@ivyroses90199 сағат бұрын
Mtu hafukuzwi kwao kisha akakaribishwa. Mtu hukaa kwao akapatengeneza upya,mgeni anapopewa jumba bovu alirekebisha basi ujue amefika atasema nilifanya hiki na kile,ataweka utawala,atafanya mamlaka juu ya kila kitu na atataka awe juu ya kila kitu. Leo nyumbani kwako ukifukuzwa kwasababu ya uharibifu flani ,akaingia mtu flani na kurekebisha sahau kwamba ni kwako. .. Utahangaika wewe bila msaada wa haraka,ogopa sana mtu mwenye kujiona kwamba ana nguvu na ikiwa hela ipo na watu wanao msapport anao wenye mamlaka na walaji wenye kupeana support. Utaambulia patupu,Trump analeta sera za Hitla kama utani utani tuu. He must stop or must be stopped 😢😢😢
@fadhilngalanda75209 сағат бұрын
Huna akili hawajataka msaada wenu mnajipendekeza kwa WaPalestina
@BunzarMarco9 сағат бұрын
Kumbe ina umae mbona urus anafanya hivo Ukraine 😱😱😱😱😱
@GeorgeChitemo-kt8sw10 сағат бұрын
Safi trampo fukuzeni hawa wapalestina hii nchi NI ya Israel
@mosescharles192110 сағат бұрын
Una laana wewe na wa Israel baadhi wenye roho kama yako
@mamboshepea888810 сағат бұрын
Ningekutusi lakini namuogopa Mungu!!!
@graysonpastory191810 сағат бұрын
Acha upumbavu wewe soma vzr history ya dunia na raman ya dunia, sio uongea tu kuonyosha kiwango cha ujinga wako
@GeorgeChitemo-kt8sw10 сағат бұрын
@@graysonpastory1918 kwani history inasema nini??
@GeorgeChitemo-kt8sw10 сағат бұрын
@@mosescharles1921 tutaichukua Tu hata Kama unakasirika Hili Jambo la Kimungu
@currencynetwork30649 сағат бұрын
Mpango wa trump umependwa na wengi kila mtu ameupenda