Wapi Kanisani Mmeambiwa Muingie na Viatu-Nipe Nikupe ya Mwalim Shabani na Mchungaji wa Mchongo

  Рет қаралды 5,819

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@suedomary
@suedomary 10 ай бұрын
Wooow!! Maaashaallah shekh Allah akulipe maana umejib majibu yootee yanayotakiwa hapo hakun nyongezaa
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 10 ай бұрын
Alhamdullah kw majbu mazur shekhe wet2 Allah Awape mwsho mwema pamoja nacic waislam,Wapen elmu hao wakrsto mana gawana mategemeo na din yao,
@SarhaSaid
@SarhaSaid 10 ай бұрын
Maashaallah maalim wetu shaaban waelimishe hao wazushi
@JumaKitutu-t4s
@JumaKitutu-t4s 10 ай бұрын
Hacha maneno mabaya
@hassanmohammed6229
@hassanmohammed6229 10 ай бұрын
Maashallah ust shaaban una upeo wa juu sana ndacha ataslim
@HamisiHemedi-u8k
@HamisiHemedi-u8k 10 ай бұрын
Shukrani mwalimu maana ukristo unaenda veisivesa vile vilivyo katazwa ndio wanavyotenda wameambiwa wavue viatu wao wanavaa bali wanavua kofia😂 wasile ngurue wao wanakula tena wanafuga mpaka kwenye mashamba ya kanisa enendeni mkaijaze dunia ndio kwanza marufuku padri kuoa na muumini aoe mke mmoja tu n.k n.k
@saidiamissi8083
@saidiamissi8083 10 ай бұрын
Mze baba wape somo ❤
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 10 ай бұрын
Allhahu akabar.. Takbirrrrrrrr Allhah akupe umri mrefu
@MaulidAli-f4q
@MaulidAli-f4q 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ mashaa allha mwalim shaban allah akulip kila la kher am
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 10 ай бұрын
Uko vizuri maalim Shabani
@Markazabuuhanifa
@Markazabuuhanifa 10 ай бұрын
Uislamu upo vizuri hauna shak na sheria zake zinaendana na wakati Hivyo kulingana na hali misikiti ilivyo mikeka mazulia hivyo kwa kua kuvua viatu inakua ni sbb ya kuuweka msikti ktk mazingira mazuri ndio maana tunavua pia tuna ruhusiwa kuswal na viatu kulingana na mazingira yalivyo na kwa kua viatu havipo katika sharti la swala basi tunavua
@fabimbilinyi2529
@fabimbilinyi2529 2 ай бұрын
S👏
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 10 ай бұрын
Maashaallah tabarakallah shehewetu shaabani
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 10 ай бұрын
Mwamba uyo ktk uwisilamu Allahu akbar Allahu Akbar
@KarimMtiga
@KarimMtiga 10 ай бұрын
Masha llaah
@omarytobaomary7148
@omarytobaomary7148 10 ай бұрын
Mashallah muelimishe uyo mkiristo
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 10 ай бұрын
Mwl Shabani napenda majibu yako kwa sababu unajibu bila hamaki kisha kwa tabasamu. Tunapenda waelimishaji wa aina yako. Wewe umeingia katika uislami kwa Bahati mbaya tu,kwa sababu Waislamu wengi ni watu wa hamaki, lakini Wewe na Shekhe Michael Ukristo unawafaa Sana.
@RajabJr-r6y
@RajabJr-r6y 9 ай бұрын
Mkristo yyte msomi na mkweli bac haki hua anaijua iko wap lkn wanapinda tu ndimi zao kw ajl ya kutetea upofu wa Roma kw maslah ya matumbo yao, ndio maana wanawapotosha watu km ilivyokushasema Yeremia 50 : 6 lkn ukisoma bible utakuta matendo ya Ibada yaliyokua yanafny na manabii na mitume na wale walioamini ktk zama hizo ndio matendo yanayofnywa na waislamu na sio wakristo bali matendo Yao ya Ibada yanatoka Roma kw Mila za kipagani.mf X mas ,qwares-ma , Trinity etc.
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 2 ай бұрын
Hadhiti inamanisha umtu akikuomba mafunzo ya Dini ya kiisilam usimnyime mafunzo.
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 10 ай бұрын
Anataka Ayaa ety waislam kw nn mnavua viat2,hajui km yesu kambiwa hvyvhyo,na yesu alpotia uzu alvua viatu
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 10 ай бұрын
MashaAllah Alhamdulillah
@hassanmohammed6229
@hassanmohammed6229 10 ай бұрын
Shida wanamitego na japo elimu haina mwisho ila ust shaaban unajua
@sonnyr1899
@sonnyr1899 10 ай бұрын
Alafu maalim Shaaban uwa napenda unavyowaalimisha ukiwa umevaliya kapero na uku unawapa dozi
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 10 ай бұрын
Utaigia je kwenye nyumba yamungu naviatu ulio kanyaga mavi mkojo nauchafu ??? hio ninyumba ya Allah hâta musa akalazishwa yavuke viatu mungu anamwambia hapo ulipo nipahali katakatifu
@saidamur5747
@saidamur5747 10 ай бұрын
Ss.unaingia.mcfu.kanisani.naroho.itakuwa.chafu.unatakiwa.uwe.msafi.wamwili.mpaka.roho
@dudemussa6715
@dudemussa6715 10 ай бұрын
Aah! Sheikh waachilie wasio na dini hao. Kwani kanisani ni sehemu ya ibada? Mimi naona ni mahali pa wanawake kukaa uchi na kuimba tu.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 10 ай бұрын
Wapi pamesema tusiingie na viatu
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 10 ай бұрын
Jibu kuntu
@alawithebestconcept-as1005
@alawithebestconcept-as1005 10 ай бұрын
The problem of this pastor of Christian he don't know his book bible first and he want to lied the people about he's know QURAN and QURAN it's not easy for reading also understanding . 🇰🇲 🇰🇲 Comoros Islands
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 10 ай бұрын
Kama utaabudu ukiwa huna viatu na huku una wake wawili ina saidia Nini,kama utavua viatu huku unawaombea rehema marehemu inasaidia Nini? Unavua viatu lakini ibada ni pamoja na majini inasaidiaje? Mungu anahitaji moyo wako utakatifu wako na sii dini (ujue tuu kua sujudu ya wakristo sii kugusa paji la uso chini sisi wakristo tunagusisha utosi na hio ndio sujudu halisi ,lakini Mungu anachohitaji ni utakatifu ,kumkubali YESU na kukubali kua ni Mwana wa Mungu .na kuokoka ,mbona Hilo hamlisemagi na lipo kweye. Hizo Biblia mnazo soma? Yaani ninyi mnavituko halisi ,YESU mna mpinga kua sii mwana wa Mungu na hiyo hiyo Biblia inamueleza kua ni Mwana wa Mungu ,yaani mmeona Hilo la kuvua viatu ndio la kweli tuu bas lakini mengineyi sio ? Umeaminije Hilo la viatu lingine unalipinga ,tafadhali Sana mhubiri YESU KRISTO kua ni Mwokozi wa ulimwengu na wewe okoka usidhani kuongea Kiarabu ni jambo la ajabu kwani Halina tofauti na kinyaturu na kindengereko ..
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 10 ай бұрын
Ss huyoyesu. Akuokoe mbonamwenyewe hajajiokoa na hayomajini kanisani yamejaa nandiyomaana wanakemea kilasiku ushasikia msikitini wanakemea. Wwusilopoke.somakwanza Dini uiyelewe
@yohana1242
@yohana1242 5 ай бұрын
Kwani nyinyi kanisani munaend kufany ibada au ni sehemu ya wanawake kukaa uchi na kuimba imba tu nyimbo za kishetani
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 5 ай бұрын
@@yohana1242 Tangia enzi waabuduo ukweli lazima waimbe kwani kama hujui Hata manabii waliimba Sana tuu,kingine ujue kua sisi tunaabudu alie hai YESU KRISTO MUNGU wa kweli , ,dini yoyote ambae mwanzilishi wake amekufa ujue sii dini ya kweli ila Niya kuabudu mizimu au wafu ,tunamwamini YESU kwa kua Yuko hai milele yote na atakuja Tena kulichukua kanisa , elewa tuu kua unayo kazi ya kumwamini na kumpokea kama mwokozi wako na usipo fanya hivyo ujue jehanam utaona bila shida,SISI tunamtukuza Mungu wa kweli wewe unaitukuza dini sisi hayupo kuabudu dini kwakua kiongozi wa wakristo yupo hai milele, (jitahidi Sana kujua Alka aba Kuna Nini muke ndani ya kijumba cheusi ndio utajua unaabudu Nini
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 5 ай бұрын
@@HanifaOman-oo4pl shetani hawezi kukemea shetani mwenzie , yakifumuka waganga wanayapigia ngoma
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 10 ай бұрын
Waislamu mpo kimwili kuliko kiroho ndio maana kumuelewa MUNGU ni ngumu kwenu huo ndio ikweri
@AliAli-lw9bj
@AliAli-lw9bj 10 ай бұрын
Wewe unaemuamini kiroho. Tunaeleze. Unamjuwa vipi Mungu?
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 10 ай бұрын
Hoja umetetea kiasi
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 10 ай бұрын
Hamuna tulipo ambiwa wala hamuna tulipo katazwa, kuingia na viatu kanisani
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 10 ай бұрын
Je mbona hampandi vitandani kulala na viatu?
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 10 ай бұрын
@@RamadhaniLukambuzi hatujaamuliwa bila shaka hata ninyi hamukuuamliwa
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 10 ай бұрын
@@mj.tv.forpeople992 Hatujahamuliwa kivipi huweleki!
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 2 ай бұрын
Sikiawewe Waislam siwajinga tumesoma sana.mitego hiyo tunaijua.
@minaziparasu9074
@minaziparasu9074 10 ай бұрын
Kama hakuelewa basi yy nimbishi tuu
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 10 ай бұрын
Kuvua viatu ni ustaarabu wa kimwili Mungu ni Roho anapo zungumza anazungumza kiroho .acha uwongo wa baba yenu shetani Kina la YESU KRISTO lina ponya.kama unadawa zako unauza uza usiltaje kina la YESU KRISTO kwa uwongo.ndio maana tunaoelewa tuna pinga uwongo wenu
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 10 ай бұрын
Nenda muhimbili ukawaponye tuone mmezoea kudanganywa
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Daah kiroho 😂😂😂...
@omarteethomar1533
@omarteethomar1533 10 ай бұрын
Naona Mungu alimwambia Mussa avue viatu kabla ya kukanyaga mahala patakatifu. Jee Kanisani SI mahala patakatifu?
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 3 ай бұрын
Yani nyie na hiyo mambo ya kiroho yamewavuruga asee na kuna siku mtaingia kanisani uchu wa mnyama na mtakuja na hoja yenu hio hio ya kwamba Mungu haangalii mambo ya kimwili bali huangalia mambo ya kiroho...ebu funguka bc wr kafiri jmn...KAH
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 86 МЛН
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
PATANISHO: Marafiki wa mpenzi wangu wananitongoza
20:42
GIDI GIDI
Рет қаралды 24 М.
Inshu ya Ismail na Is-haqa Mfuasi wa Kikiristo  Aporomosha Matusi Kwa Mwalimu Shabani
9:57
Filauni Mungu wa Rasta wa Tanga-Apapaswa na Maalim Shabani
12:19
Ustadh Shafii Online Tv
Рет қаралды 10 М.
SABATO SIO DINI WASABATO NJOONI MUSOME KWANGU Pro MAZINGE
14:49
arkas online tv
Рет қаралды 7 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 86 МЛН