#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 991,731

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

#EXCLUSIVE: ZUCHU NA DIAMOND WAFUNGUKA MAHUSIANO YAO, UKWELI KUHUSU KUISHI PAMOJA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#Zuchu #Diamondplatnumz #FAO

Пікірлер: 852
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
Zuchu my dear umepigwa kitu kizito hapo .. yan zuchu loves daimond so much maskn mweeee ..
@sheilablessing5041
@sheilablessing5041 2 жыл бұрын
Am wishing them all the best, hope this time round Diamond atakuwa serious about his relationship! Back in my country Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunataka kuona wakiendelea pamoja.
@briindiana7306
@briindiana7306 2 жыл бұрын
Am out😂
@daisywamboi5298
@daisywamboi5298 2 жыл бұрын
Asha kata kiwazi but her iam ningependa wakuwe pamoja juu zuchu she is enough strong te be
@agneciavin.7972
@agneciavin.7972 2 жыл бұрын
From 254 in 001 I support u
@kinyanjuicarlos8899
@kinyanjuicarlos8899 2 жыл бұрын
I think he finally found what he has been looking for' he can settle down now.....man has been smashing almost everything that comes his way😂😂😂😂
@truphenaombati5700
@truphenaombati5700 2 жыл бұрын
😂😂😂😂Maybe yes, maybe no. Only him knows if he will be serious 🤣🤣🤣🤣
@gladysrugut7458
@gladysrugut7458 2 жыл бұрын
Zuchu you are in love but be ready to let go when time comes......He knows how to play safe....
@evahpaul1390
@evahpaul1390 2 жыл бұрын
It's the body language in the question segment for me🔥🔥🔥♥️watu wapendane
@fatmanasir6691
@fatmanasir6691 2 жыл бұрын
Diamond is a legend,great artist,very hardworking&focused artist. I commend him for collabos. If I got the chance, I would work with him.There's nothing wrong in leaning or riding on someone's success to soar higher if they provide the patform for you. I think there was too much pressure from the interviewers to get a spicy story. Relax. Zuchu has earned her own place as a global musician. Her vocals are great,she always reminds me of Mombasa,Coast, Taarabu when she sings. I agree with Diamond, hayo maswali yanatoka kwa kasi sana, LOL!! I'm dripping sweat here too.
@cktamunga2356
@cktamunga2356 2 жыл бұрын
Napenda kiswahili ya diamond platnumz sana i love you so much my brother ❤♥💙💖💕💓
@mzunguzainab8688
@mzunguzainab8688 2 жыл бұрын
It's a one side thing, maskini Zuchu yeye ndio anaugua mapenzi, Diamond hata hayupo huko
@Kobe_254
@Kobe_254 2 жыл бұрын
There’s a point Zuchu voice goes deep.. that proves it all in a woman, Diamond playing safe so safe but Zuchu is disappointed of something mashabiki atujui
@sureiamboo
@sureiamboo 2 жыл бұрын
Diamond trying to protect Zuchu on them being on a relationship because he knows what type of a person he is, just a player that knows it is just a matter of time before the game ends! While Zuchu is blinded with love like all other women that fall in love! My advice is Zuchu; Stay guarded & be prepare for the NeXT move for counselling yourself♥️. I real hope that you read this baby girl. Enjoy now & let go when it is time & continue to Stay focus 🎼🎤
@loupesworld5647
@loupesworld5647 2 жыл бұрын
Very true
@zuwenazuwena7764
@zuwenazuwena7764 2 жыл бұрын
Say it again girl 💫😅
@celebritygossiptv6958
@celebritygossiptv6958 2 жыл бұрын
Washapendana tayari
@balqisabdullah6200
@balqisabdullah6200 2 жыл бұрын
Very good advice
@joyeuselea5955
@joyeuselea5955 2 жыл бұрын
That very true girl
@zuwenazuwena7764
@zuwenazuwena7764 2 жыл бұрын
Maskini zuchu anatia huruma hajaamin diamond anachoongea kwa public honestly he is the prayboy ....maybe hatak watu wajue kama wanakulana some time he scared for his mother that's why he hidding.. zuchu kuwa makini kaa mguu mmoja ndani mguu mmoja nje tunakupenda hatutaki kusikia umeacha muziki 💗
@nashipaikoima682
@nashipaikoima682 2 жыл бұрын
All Yes🔥🔥 I know they'll tell at the right time 🌹
@vivianakinyi5352
@vivianakinyi5352 2 жыл бұрын
Zuchu body language says it all... mapenzi wewe😍😅
@sharonatabachi9656
@sharonatabachi9656 2 жыл бұрын
Couple of the year 🤣😂😂😂🤣
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 2 жыл бұрын
Zuchu mAskiniiiii dah wala hajapebdezwaa the way daii anajibu dryyy🤣🤣
@zainabnassoro1109
@zainabnassoro1109 2 жыл бұрын
Dai ameficha sana
@sallygrace1495
@sallygrace1495 2 жыл бұрын
"Zuchu❤Diamond"
@mikiboy4057
@mikiboy4057 2 жыл бұрын
Mondi anamtaja Allah sanaaaaaa mashaAllah
@askochy
@askochy 2 жыл бұрын
Diamond is smart, he has brains. He's eloquent.
@luckylius1469
@luckylius1469 2 жыл бұрын
Very true 😂
@movich756
@movich756 2 жыл бұрын
Zuuuu anaona aiiibuu🥰🥰
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Mwanamke kaimbiwa Aibu
@faitlundo9911
@faitlundo9911 2 жыл бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪latest song is soo hot🔥🔥
@Tyrelsage
@Tyrelsage 2 жыл бұрын
They are looking great together
@salamatadoulkom1530
@salamatadoulkom1530 2 жыл бұрын
🙌🙌
@solangedhesi7813
@solangedhesi7813 2 жыл бұрын
Wapo pamoja Wana ongopando
@kimah9461
@kimah9461 Жыл бұрын
I have watched this video so many times, na nikiangalia uso yao hawa wawili I see only❤❤Haki ni bure wanatuchocha tu
@ElizaKalastborn
@ElizaKalastborn 4 ай бұрын
Actually wanatficha ju wambeya wanategea kusambaza wrong information wameamua kukana and yet they stay together
@lilycracky5516
@lilycracky5516 2 жыл бұрын
it's a very nice song.i love😍 it💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@LyricalLenix
@LyricalLenix 2 жыл бұрын
Safari ya Zuchu kuondoka WCB imeanza kujiandaa.. Kama umeelewa fafanua hapo chini Kwenye hii comment Yangu Kisha Sapoti channel Yangu mimi ni Msanii 🙏🙏
@esthermalamsha2847
@esthermalamsha2847 2 жыл бұрын
Kabisaaaaaaa inapamba moto 😂😂😂😂😂😂
@parfaitkale2503
@parfaitkale2503 2 жыл бұрын
OMMY uko safi sana kwa smart questions
@mariamelly1206
@mariamelly1206 2 жыл бұрын
Mi naomba ZUU na DIAMOND waoane wanapendezeana Sana❤️❤️❤️❤️
@frankfenix9854
@frankfenix9854 2 жыл бұрын
Te Amo Zuchu. Saludos desde Colombia.
@safiaadanabdirahman9351
@safiaadanabdirahman9351 2 жыл бұрын
They look great together
@janeshigami8769
@janeshigami8769 2 жыл бұрын
Action Speaks Louder Than Words 😜 something is going on 😁
@ManywenziKimutengo-im3ks
@ManywenziKimutengo-im3ks 10 ай бұрын
Much love from ug
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 2 жыл бұрын
Mi napenda mngeowana jamani mnapendezana sanaaaa
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 жыл бұрын
Aolewe na mume mwingine sio huyo boss hana maana ampotezea wakati sema yeye zuchu yuko kikazi tu nami namuusia awe kikazi tu lkn huyo boss hana maana kabisa
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 жыл бұрын
Si uolewe wewe kwanza
@fatumachengo3912
@fatumachengo3912 2 жыл бұрын
Zuchu unajiabisha sana unachezewa na unaona live Pole sana
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 2 жыл бұрын
Lo so much zuchu ❤️
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 2 жыл бұрын
Sio nasibu nyange ni nasibu abduli
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
May God bless our artists
@japhetrobert
@japhetrobert 6 ай бұрын
❤❤❤ wooow!!! Mnapendezana sana
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 жыл бұрын
Kama they're dating it's a big risk for zuchu... Things aren't going to be the same wakiachana ...
@getrudamatoto5277
@getrudamatoto5277 2 жыл бұрын
Fact
@learnlivelove7606
@learnlivelove7606 2 жыл бұрын
Its a win win zuchu will be big than anyone ....look ata hamisa...she is an ex buuuuuut wmming all though ....look ata all of them....tanasha was nothing....look at her....its a wn win ..as long as you are close to diamond you already winnimg....infct its just starting to be big ...watch it
@maryatieno3818
@maryatieno3818 2 жыл бұрын
True 🤣🤣🤣 juu hskuna penye wanaenda
@ericmutinda3994
@ericmutinda3994 Жыл бұрын
Nawapenda sana,,,congrats endelee ivo
@catherinekathini2034
@catherinekathini2034 2 жыл бұрын
Woow❣️
@emmamaithya1810
@emmamaithya1810 2 жыл бұрын
Congratulation zuchu
@zaitunikivike4720
@zaitunikivike4720 2 жыл бұрын
M mungu awafanyie wepesi muowane daimond ki ukweli mumependezeana saaaaaaana ❤️
@achizakafulirokf7431
@achizakafulirokf7431 2 жыл бұрын
Wasafi NLM love 💕💕
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
Nassib 😀 nzuri hiyo Inshallah kheri...
@frankmoky
@frankmoky 2 жыл бұрын
kazi safi
@kambiyusufu4994
@kambiyusufu4994 2 жыл бұрын
Love you simbaaa
@scholarsticahmatebe7387
@scholarsticahmatebe7387 2 жыл бұрын
Zuchu ndo type yako, mwanzo you all have similarities 😘😘
@fredmbossa
@fredmbossa 2 жыл бұрын
Nilichogundua Mimi watu wanapenda diamond na zuchu wawe na mauhusiano ,,,,ila zuchu anatakiwa kuwa makini Ili hasitumike kwenye penzi la utapeli maana zuchu anaonekana kama ashakolea alafu jamaa mapenzi kwake ni kitu Cha kawaida tu
@azamsijaona4579
@azamsijaona4579 2 жыл бұрын
Kwel mzee umenena apo
@abdallahdullah5113
@abdallahdullah5113 2 жыл бұрын
Htr
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 Жыл бұрын
Kabisa tena zuchu amekolea haswa, anampenda mno diamond platnams kutoka ndani ya moyo wake hilo halijifichi 💪
@user-tq1pn1wf6z
@user-tq1pn1wf6z 6 ай бұрын
Mungu alind upendo wao❤❤❤❤❤
@otienojohn4911
@otienojohn4911 2 жыл бұрын
Haa love this
@Mdollarzombiestar-wh1bb
@Mdollarzombiestar-wh1bb Ай бұрын
❤❤❤❤Wooow!!! Mnapendezana sana🎉🎉❤❤
@allimsafari4896
@allimsafari4896 2 жыл бұрын
Mmeambiwa hiyo ni sanaa hamuelewi mpaka hapo, kuna njia nyingi za kutengeneza kiki ili uikamate mitandao ili watu wahadaike, ni biashara hiyo nayo
@lanisesemboja5925
@lanisesemboja5925 2 жыл бұрын
Hata rayvanny na paula kajala iliiaanz de xym way hawakutaka people wafynd out watz goin on in their relationship
@stacithomas175
@stacithomas175 2 жыл бұрын
I dont understand why some ppl want them tg. The man has like 6 children and only in his early 30's! He shows no sign of committing any time soon. Lucky Zuchu
@bintabajo1132
@bintabajo1132 2 жыл бұрын
They are looking Amazing together ❤ 😍 much love to them ❤ ❤❤❤❤💯🇬🇲🇬🇲🇬🇲🇬🇲
@celestinmartias7033
@celestinmartias7033 2 жыл бұрын
A
@queenannety6403
@queenannety6403 2 жыл бұрын
Which country is this please
@oyugibetty59
@oyugibetty59 9 ай бұрын
It came to pass. Finally they have gone public about their relationship. Such a beautiful couple
@PUKTTAMEDIA
@PUKTTAMEDIA 2 жыл бұрын
Representing KENYA 🇰🇪
@deejaydinno7639
@deejaydinno7639 2 жыл бұрын
Napenda sana kazi zenu
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 жыл бұрын
Nothing sweet like working together sincerely others are only complications.. Work hard zuchu..
@maxdonnyawira5935
@maxdonnyawira5935 2 жыл бұрын
diamond legendary bongo artist
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 2 жыл бұрын
As a psychologist l believe the answers were all yes. They are playing games just to avoid public confirmation
@jacklinemahila3561
@jacklinemahila3561 2 жыл бұрын
🙌🙌
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 2 жыл бұрын
We love them but l wonder why they are scared to make this open?
@Mnankale11
@Mnankale11 2 жыл бұрын
Exactly
@kaykay-cy3xr
@kaykay-cy3xr 2 жыл бұрын
ask yourself mbona rumors zote zinatokea wasafi tu....propaganda
@jaberjohn7556
@jaberjohn7556 2 жыл бұрын
@@kaykay-cy3xr because is the only booming media in TZ. If they get a tough competitor they will loose chance
@mamayao9081
@mamayao9081 2 жыл бұрын
Time will definitely tell but if its true they are dating then it will end in tears ..father Abraham can't change..
@kanezadoreen3214
@kanezadoreen3214 2 жыл бұрын
The international husband.
@asnathally6553
@asnathally6553 2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆father Abraham
@sultansaid8790
@sultansaid8790 2 жыл бұрын
😂 😂 😂
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 2 жыл бұрын
@@kanezadoreen3214 😁😁😁😁😁
@esthermalamsha2847
@esthermalamsha2847 2 жыл бұрын
Father Abraham....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@luopoliticsfromodingatoraila
@luopoliticsfromodingatoraila 2 жыл бұрын
Congratulations guys
@khalidichams861
@khalidichams861 2 жыл бұрын
Nice couple ❤❤
@Awino2022
@Awino2022 2 жыл бұрын
I love the couple to the moon and back!
@mwanahkombo9496
@mwanahkombo9496 Жыл бұрын
Nawapenda Hawa watu jamani 🧡💘
@ropamatz8492
@ropamatz8492 2 жыл бұрын
Noma sana
@sylviahbusolo5915
@sylviahbusolo5915 2 жыл бұрын
Waaah diamond is sooo fast kujibu hizo maswali ,zuchu anakaaa suprised to
@josianerugema3964
@josianerugema3964 2 жыл бұрын
Banapendana sana
@nambajimanaalexis804
@nambajimanaalexis804 2 жыл бұрын
Simba you are very spontaneous, alakini umenaswa sehemu fulani
@miskyabdikadir9467
@miskyabdikadir9467 2 жыл бұрын
You guys look good together no need to heid
@aisharevelian6933
@aisharevelian6933 2 жыл бұрын
Me cjapenda..hope zuchu amejisikia vibaya ...this is not fair...hakuna mwanamke anayependa kufichwa.
@irakozelatf8011
@irakozelatf8011 2 жыл бұрын
Jamaan sio wapenzi
@uwasesifa7563
@uwasesifa7563 2 жыл бұрын
Sio wapenzi my dear this social media business
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Uko sahihi hata kama hawadate but nahisi kuna kitu pengine kinawazuiya but wanaonyesha wanatamaniana
@belindaoyingo5257
@belindaoyingo5257 2 жыл бұрын
@@irakozelatf8011 wajameni wambieni hao
@belindaoyingo5257
@belindaoyingo5257 2 жыл бұрын
@@uwasesifa7563 wallai they can be make you to judge our celebrities badly
@aliceodhiambo3468
@aliceodhiambo3468 2 жыл бұрын
It will end in premium tears.
@mwabakabwe9733
@mwabakabwe9733 2 жыл бұрын
Zuchu sounds so sad 😔🙄no man will hide ye whatever th reasons 🙏I hope ye know ye taking a very huge risk on yur career
@queensiku
@queensiku 2 жыл бұрын
Yes she’s sounding sad 😭 she’s afraid too
@larissamugisha6359
@larissamugisha6359 2 жыл бұрын
Yaaani Diamond nakupenda kiukweri wanakusemaaaaaaa weye ndo mwanzooo kama hauwasikii vile.Big up sana .Burundi tunakupenda saaana.
@godsdaughter2820
@godsdaughter2820 2 жыл бұрын
They look great together 🥰what Diamond is trying to do is protecting zu,hataki mahusiano yake yawe kama yazamani.hata wasanii wengi wa inje hufanya hivi
@salmaomari1983
@salmaomari1983 2 жыл бұрын
Sio kweli
@joysarah
@joysarah 2 жыл бұрын
Exactly
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 жыл бұрын
He is using her,and you can see when was explaining the "rumors " she looked sad and unsettled
@nandimzanzi
@nandimzanzi 2 жыл бұрын
Protecting her from what. If in love he can marry he can afford it. Why date and hide. He is denying her. He will move on
@idayattijani5341
@idayattijani5341 2 жыл бұрын
LoL almost all the women diamond has been with,you guys be screaming they look good together 😂😂😂 both ain't babies, diamond protect no one not even his children.its unprofessional of the both of them.I pity zuchu anyways both mama dangote and zuchu's mom are good in witchcrafting let the battle of the witches begins.Diamond is gamer he knows business only,love where?
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 Жыл бұрын
Mimi kana shabiki wa diamond platnams kindaki ndaki napenda mno zuchu awe mke halali wa diamond platnams tena kutoka ndani ya moyo wangu 🥰, pia maelezo ya diamond platnams kwa maswali anayoulizwa ni wazi kabisa anadate na zuchu mwenye kujiongeza amejiongeza sema hajakubali moja kwa moja, ili mimi nimehapitisha kwa asilimia elfu moja kuwa zuchu na diamond platnams ni wapenzi! imeisha hiyooo, ni swala la muda tu huko mbele ipo siku diamond platnams atakubali tusubirie tutakuja kuona
@thamrafaki4417
@thamrafaki4417 Жыл бұрын
👌
@salimumusa2685
@salimumusa2685 2 жыл бұрын
I agree that
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Diamond Knows what he is doing....
@zainabujuma6118
@zainabujuma6118 2 жыл бұрын
Zuchu is in love 😊
@kitilabaltazar6652
@kitilabaltazar6652 2 жыл бұрын
Every time is for us
@laizerlstvchannel
@laizerlstvchannel 2 жыл бұрын
Kama taasisi🦁
@pascalinemutindi3529
@pascalinemutindi3529 2 жыл бұрын
Who noticed reaction ya zuchu after ameulizwa kama ako na mimba
@Tyrelsage
@Tyrelsage 2 жыл бұрын
Zuchu kajibu haraka,not expecting
@ashayusuf8381
@ashayusuf8381 2 жыл бұрын
They look good together
@dostovan5142
@dostovan5142 2 жыл бұрын
Not they don't
@official_saiy-lee
@official_saiy-lee 2 жыл бұрын
I like it
@kitilabaltazar6652
@kitilabaltazar6652 2 жыл бұрын
It's very good
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Niko kwenye interview mda huu 💕 nasikiliza eti kama taasisi 😀😀
@joleenmasha
@joleenmasha 2 жыл бұрын
Kama alivyo fichwa hamisa haki
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 2 жыл бұрын
Daimond is smart enough 💪🏽💯yan he knows akiweka public zuchu atakosa vyombo vingine.. God is watching Daimond doesn’t love zuchu yan it’s like how he was like hamisa
@millicentaseyo9128
@millicentaseyo9128 2 жыл бұрын
He's using her maskini so confused 😂😂
@yustayusuph9101
@yustayusuph9101 Жыл бұрын
Mbona kuna wanawake wengi mno ambao huwa wanakubali kuwa na mahusiano na mwanaume na wanajua wameoa na Wana watu wao tayari, diamond platnams hawezi kukosa mwanamke mwingine eti kisa ameweka wazi anadate na zuchu hiyo sio kweli, mbona hamisa amidate na diamond platnams huku anajua diamond yupo na zari?!!
@zakariagerald6381
@zakariagerald6381 2 жыл бұрын
Noma sana😂😂😂
@zainabumasudy1316
@zainabumasudy1316 2 жыл бұрын
Waha
@violetnandwa2256
@violetnandwa2256 2 жыл бұрын
From Kenya waowane wamependeza
@hamisimuna125
@hamisimuna125 2 жыл бұрын
Wanapendana🥰🥰🥰
@rachelpeter7032
@rachelpeter7032 2 жыл бұрын
Zuchu 😂😂🙌ana ujasiri wa majibu
@augustuss4503
@augustuss4503 2 жыл бұрын
We Diamond, unamuumiza mtoto wa watu wewe. we jamaa ni bata mchafu sana.
@ruthiecharlz898
@ruthiecharlz898 2 жыл бұрын
Baba levo tulia sehemu moja duh unahangaika sana😃😃😃
@arushaplanet6126
@arushaplanet6126 2 жыл бұрын
Keep it up
@mgianttzmusic2370
@mgianttzmusic2370 2 жыл бұрын
Nakubali sana
@smithjones4099
@smithjones4099 2 жыл бұрын
juu kali ndani ya studio naona watu na miwani acheni ushamba wabongo
@maigekelvin75
@maigekelvin75 2 жыл бұрын
Diaming😍
@JimmySirya
@JimmySirya 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥💯
@user-io8br5ek4x
@user-io8br5ek4x 6 ай бұрын
This couple is nice
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
Wakati mwingine nashindwa kuelewa kwa nn wabongo wanapenda kulazimisha vitu...wamesema hapana watu wanataka iwe ndio...sasa iwasaidie nn mahusiano yao hata kama...mmeambiwa wako kibiashara. subirini siku mtaona..mapenzi hayana kificho...#FOA
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 2 жыл бұрын
We acha tu yani wanaboa sana juzi nimepika biriyani si nikapost kwa group yetu ya mapisha 😅😅😅wabongo wakanialzimisha niseme ile pilau sio biriyani tena wamekomaa kabisa wakati mimi ndio mpishi ila wanataka nikubali wanayotaka wao
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
@@pikanaauntzuu1466 khaa
@hawaomary2782
@hawaomary2782 2 жыл бұрын
Kwani mbosso vanny hawafani vzr hawafanyi vzr
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
@@glorymkali1413 hahahahaaaa unahusika kwenye ushenga au....
@johasaeed391
@johasaeed391 2 жыл бұрын
Hata mi nashangaa sana kila siku chibu
@greenafricatzorganization
@greenafricatzorganization 2 жыл бұрын
Chill right there B. Level Ba
Watermelon Cat?! 🙀 #cat #cute #kitten
00:56
Stocat
Рет қаралды 5 МЛН
$10,000 Every Day You Survive In The Wilderness
26:44
MrBeast
Рет қаралды 97 МЛН
Чай будешь? #чайбудешь
00:14
ПАРОДИИ НА ИЗВЕСТНЫЕ ТРЕКИ
Рет қаралды 2 МЛН
EXCLUSIVE |MBOSSO NA SIRI YA MAFANIKIO YAKE
14:01
Vimba Media
Рет қаралды 73 М.
sikiliza ndoto za DIAMOND PLATINUMZ kwa ZUCHU
2:53
Hero Classic 009
Рет қаралды 3,5 М.
ROASTING (NDARO VS LEONARDO)
15:34
Cheka tu
Рет қаралды 795 М.
DIAMOND ATABILI KIFO CHAKE KUTOKEA AWAAMBIA MARAFIKI ZAKE
10:24
Mbengo Tv
Рет қаралды 2,7 МЛН
Как переплыть, чтобы никто НЕ ВЛЮБИЛСЯ ?
0:42
ЛогикЛаб
Рет қаралды 1,3 МЛН
🦧She Made A Gummy Bear Out Of Gummy Frogs🤪🤠
0:38
BorisKateFamily
Рет қаралды 77 МЛН
Make me the happiest man on earth... 🎁🥹
0:34
A4
Рет қаралды 7 МЛН