NDEGE KUBWA KUTOKA ITALIA YAWASILI ZANZIBAR IKIWA NA WATALII 320

  Рет қаралды 27,820

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 2 жыл бұрын
hyo minazi hapo si muikate?
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Watu sasaivi wameacha kumshukulu mungu wanamshukulu mama kwa kila Jambo 😄😄😄 pumbavu mnapotea Sana akili zimeganda mno
@mhiyaoswedi4499
@mhiyaoswedi4499 2 жыл бұрын
kama ni mama basi tunamuomba apromati na rell yetu ya treni ya umeme iishe mwaka huu😂😂😂😂😂😂😂😂
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 2 жыл бұрын
kipato?haya..
@zachariamalley7076
@zachariamalley7076 2 жыл бұрын
Kazi nzuri Big up Mh. Mama kwa kubuni namna ya kuongeza kipato cha nchi yetu. Tutumie fursa hii kuongeza tija badala ya kutafuta ubezaji, hakuna jambo litapata 100% kukubalika au kuwa na manufaa, ni kujua tu namna kila familia kufunda watoto wake na kuweka makatazo ya kiimani badala ya kujenga hoja pingamizi.
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Wenye akili finyu na mawazo mgando utawaona tu kwenye komenti utasikia Asante mama 😄😄😄
@fareesfarees7634
@fareesfarees7634 2 жыл бұрын
Maji ya kuosha ndege mko nayo...ila maji ya kuzima moto gari zinakuja bila maji
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣ukweli mtupu
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Ujumbe huu tumuandikie rais umfikie hapa hautomfika
@latifaalsh5421
@latifaalsh5421 2 жыл бұрын
😂😂😂😂Sasa mbona unachamba jmn c waona wageni
@peter-tj6oo
@peter-tj6oo 2 жыл бұрын
Nashangaa viongozi wa tz ndege moja ikitua wanaona ni big deal wanatangazaaaaaeeeee mpaka inakera,kwani hamna nambo ya maana zaidi ya kufanya,ujinga huo.
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 2 жыл бұрын
Mimi ni zaidi hivi hata nchi zingine wanafanyaga hivi au sasa hawa watalii waje wasije inatusaidia nini zaidi ya hela nyingi kujipigia?
@jacksonpallangyo1369
@jacksonpallangyo1369 2 жыл бұрын
Kama ufahamu faida ya wagen kuja nchini usiwe unacoment
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Wanajaribu kumpamba ili ionekane movie yake imelipa kumbe ni usanii mtupu.
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Akili za watz wengi zimeganda maisha yamepanda mitaani huku Hali ngumu umekuja ndege ya mabeberu mtu anakuambia Asante mama akili za kuku hizi anaamka asubui lakini kufunga mlango hawezi Hadi beberu aje kumfungulia 😄😄
@maridadifarid9734
@maridadifarid9734 2 жыл бұрын
Kabla ya Uviko 19 hili shirika lilikua linakuja na lilikua linakuja na ndege mbili kwa wakati mmoja.
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 жыл бұрын
Pointi yako ni nini kwa mfano???jaribu ficha ujinga!!!
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Ujinga upi kwa mfano na wewe tukuulize kila mtu ana haki ya kutoa comment zake bwana
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 2 жыл бұрын
maji ya kuosha ndege wanayo ila maji ya kuzima moto hawana,soko la kariakoo, soko la karume yanaungua mpaka dakika ya mwisho
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
@@nsajigwamwakalonge5702 si tunayachoma wenyewe
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 жыл бұрын
@@maryamalli9090 Kwani hao walioleta taarifa wamesema shirika hilo la ndege halijawahi fika hapo znz??,,,kama walishawahi fika kabla kuna kosa lolote wakitangaza kuwa wamekuja tena!!!anatoa komenti kana kwamba hao waliotoa taarifa wamesema hilo shirika halijawahi kabisa kufika znz kabla!!!
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 2 жыл бұрын
Zanzibar kutoshikika soon tujitahidi kununua viwanja huko
@djsandi4419
@djsandi4419 2 жыл бұрын
Mtu wa bara huwezi miliki kiwanja zenji maishaa
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 2 жыл бұрын
@@djsandi4419 laabda viwanja kwa ajili ya biashara lkn sio ya makazi pia tunalipia kwa serekali
@khalifakilapo4933
@khalifakilapo4933 2 жыл бұрын
Wanakata utepe? Wanazindua nn?
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@arafatabdul1342
@arafatabdul1342 2 жыл бұрын
Royal tour
@mhiyaoswedi4499
@mhiyaoswedi4499 2 жыл бұрын
hao watalii niwale amba ndani ya miaka miwili hawakuja coz kulikuwa na sakata la corona,hive move haijawa na ukubwa huo,tusipambe mabo bhana
@ladysasty
@ladysasty 2 жыл бұрын
Maajabu ya herufi ya kwanza ya jina lako kzbin.info/www/bejne/emaXfpeEl5ygZ5o
@safimusa1011
@safimusa1011 2 жыл бұрын
Sector ya utalii inakuwa ila haisadii inchi sababu inch ina madeni chungu mzima. Hapo utasema wananchi watanufaika ila kumbe ni stor
@kaslali2039
@kaslali2039 2 жыл бұрын
ikitokea ajali ya moto utasikia "gari hazina maji" ohh "hatuna magari ya kutosha, tumeishiwa na maji"
@ashaimohammedi6754
@ashaimohammedi6754 2 жыл бұрын
Safiiiiiii Sana mama
@wakwetu2444
@wakwetu2444 2 жыл бұрын
Angalieni na Madhara ya utallii pia. Mzee karume akiwapa vitenge wavae.
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Siku hizi utamaduni wa mzanzibari umepotea haswa ni masikitiko kwa kweli hatukatai utalii ila ilikua ziwekwe Sheria za kumdhibiti utamaduni lakini wapi
@winterkasela9033
@winterkasela9033 2 жыл бұрын
Sisi watanzania tunataka bei za vitu zipungue kama wakati wa JPM watari wanatusaidia nini sisi kama maisha yanakua magumu
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 2 жыл бұрын
Jinyonge tu shida zitakwisha 😁
@winterkasela9033
@winterkasela9033 2 жыл бұрын
@@salumabdallah6680 kama nililolinena sio sahihi nijinyonge mim ila kama liko sahihi iwe hivyo kwako amin.
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
acha ujinga ww,sukari , mafuta ya kula, cement, si vilianza kupanda wkt w JPM huyo huyo,uanfkri tumesahau?
@decodesttz
@decodesttz 2 жыл бұрын
@@salumabdallah6680 bora mladi kesho ifike nyie watu jitambueni bas yan nyumba inaungua unazidi kuchochea moto duh ila Tanzania inawatu waajabu sana
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@winterkasela9033 Amin..
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@fatmafatoom6553
@fatmafatoom6553 2 жыл бұрын
Km naiyona vile coronavirus itavyorud kwa kasi
@princeibro7809
@princeibro7809 2 жыл бұрын
Itampat mamaako lakn
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 жыл бұрын
Haya mlekuwa mnabeza Royal Tour endeleeni na Majungu yenu, Mimi kwa Ushauri wangu achaneni na Chuki na Mh.Mama Samia kwani sisi tunaeona mbali tushaliona kuwa atafanya Mengi sana huko mbeleni hivyo na Nyie mtaendelea kutesa mtajitafutia Maradhi makubwa bila sababu.
@zamzamabdi5279
@zamzamabdi5279 2 жыл бұрын
Kweli mama Samia anataka baraka Kwa KAZI yake.safari ya omani Safi sana
@vicentmakoye237
@vicentmakoye237 2 жыл бұрын
Sioni jipya hapo
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 жыл бұрын
@@vicentmakoye237 kina vecent kina pita hamuwezi kuona jipya ktokana na chuki yenu ya uuuuuudniiiiii
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 2 жыл бұрын
maji ya kuosha ndege wanayo ila maji ya zima moto hawana soko la kariakoo soko la karume yanaungua mpaka dakika sifuri
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 жыл бұрын
@@nsajigwamwakalonge5702 haaaa haaaaa tesekaaaaa weeee kina msajigwa ni wale wale wanaeteseka majina yao yanajulikana, Mama Samia 5 tena.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 51 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
Watalii wa Ukraine waliokwama Zanzibar watafuta makazi ya muda.
2:11
BBC News Swahili
Рет қаралды 14 М.
Hiroshima - Short Film
9:38
Hashem Al-Ghaili
Рет қаралды 7 МЛН
How the US President Travels
12:01
neo
Рет қаралды 8 МЛН
NEEMA NYINGINE! NDEGE KUBWA YAWASILI ZANZIBAR " AIR FRANCE"
2:34
Why Turkey Has Finally Had Enough of Erdogan
9:48
TLDR News Global
Рет қаралды 256 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН