Pole sana ndugu, Mungu ni mwema atakupa uponyaji, Pia awajalie kila la kheri katika maisha yenu ya ndoa.
@mabletandawili41283 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa pole kaka
@DevothaJelome9 ай бұрын
Hongera sana kwa kufanikisha halus,na pole sana ka ajal
@asteriashios185210 ай бұрын
Umefanya kitu kimoja kinzuri saaana hongera mno nimeipenda hiyooo mungu atakuponya hiyo ni kazi ya shetani haina mamlaka ktk jina la yesu na wote tuseme amina
@samymuhindo37163 жыл бұрын
Pôle Sana ndugu yangu! Na Mungu abariki bibi arusi sana kwaupendo ambao ameonesha kwako kweli nakumupa maisha marefu na utajiri mwingi sana kimaisha
@ntulilasamwel24553 жыл бұрын
Hongera Kwa kufunga ndoa ktk mazingira magumu na ya maumivu makali pole pia Kwa ajali mbaya mwenyezi Mungu awalonde ktk ndoa yenu!
@zaitunisuleiman90632 жыл бұрын
@@ntulilasamwel2455 mungu ni mkuu 🙏🤲
@officiallycyra69443 жыл бұрын
Mashaallah alhamdulillah Mungu mkubwa nimefurahi pia nimeumia na nimempenda mkeo kwakweli hongera sana sana kaka Mungu akupe uponyaji ukipona usijemdharau mkeo plz
@eliwangumria96393 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu akupe wepesi upone haraka. Na hongera kwa dada uliyefunga ndoa katika hali hiyo aliyo nayo mumeo. Mungu awalinde mpendane milele Amina
@tamalanyanga39533 жыл бұрын
Pole Sana kaka Mungu nimwaminifu Sana. Utapona kwaJina la Yesu hongera bibi harus hakika unaupendo wadhat kukubali kufunga ndoa hospitarin.mwengine asingeweza
@emamkuyu40613 жыл бұрын
Pole sana mwanangu,shetani ameshashindwa.Hongera pia kwa kubahatika kufunga ndoa hiyo.Nakuombea upone haraka.
@veronicashadrack53243 жыл бұрын
Amina
@bonychange33043 жыл бұрын
pole Sana shukuru mungu
@fideahyera25992 жыл бұрын
Amina
@ashooraashoora11803 жыл бұрын
Pole sanaa Allah akupe subra na akuimarishie afya yako
@mariamuhamadi49663 жыл бұрын
Wanawake kama cc tupo wachache sana duniani Allah atujalie tupate na wanaume waaminifu inshallah 🥰🤲🙏
@halimahalima14883 жыл бұрын
Amiin yallaby
@diamondplatfans500.kviews53 жыл бұрын
Dah mungu akusaidie bro uludi kwenye haliyako pia pole Sana, kwel kesho ni fumbo aiseee duh!
@anjelamassawe89973 жыл бұрын
Sio kesho hata dk moja mbele
@hurumaelias83322 жыл бұрын
MUNGU YUMWEMA DAIMA ..Hongera kwa Imani Iliyo timilifu ..Mungu yuko nawe Daima
@marcellyimo2833 жыл бұрын
pole sana kaka Mungu akupe nguvu upone kwa upesi hapo shetani hajapata nafasi Mungu ni mwaminifu .shukuru kwa kila jambo kaka yako
@emilymideva87833 жыл бұрын
Congratulations bali na maumivu umefanikusha ndoa yako wishing you Quick recovery in jesus name #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌷🌷
@happywilliam-q5b11 ай бұрын
Pooleee Kaka,,,, Mtafka mbaliiiii saaaana
@sharifachepchirchir88633 жыл бұрын
Allah akupe shifaa kakangu,Ndoa itadumu milele.tunakuombea all the way from 🇰🇪.
@highonebalo82892 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu Mwenyenzi kwa wokovu mkuu aliokufanyia, Pole sana mdogo wangu. Shetani alikusudia mabaya lakini alifeli vibaya. Mungu alikukusudia mema. Simama kwake kwa miguu miwili. Wewe na mkeo mna kusudi la Mungu ndani yenu. Mungu awakumbatie sana.
@felisteranthony86882 жыл бұрын
Pole Sana kaka Mungu ni mwema utapona na huyo ndio mke mwema, mpende Sana
@valestermligo92042 жыл бұрын
Kila jambo zuri lazima kuna majaribu pole sana kaka utapona ( nampongeza padre kwa kuelewa umuhimu wa tukio
@winniejumanne59153 жыл бұрын
Pole sana kaka mshukuru mungu kwa kila jambo
@jolizonex91613 жыл бұрын
Sifa na shukrani zimurudie Mungu kwa kukuebusha na kifo ili uwe shahidi mbele zake, I wish you quick recovery na Mungu aibariki ndoa yenu awaepushe na lenye shari mbele yenu🙏🙏
@janegeogre32343 жыл бұрын
pole sn jmn Agustino Mungu akutie nguvu na akupe uponyaji wa haraka lakn pia hongera kwa moyo wa ujasiri kuendelea na maamuzi ya kumshinda ibilisi na kufunga ndoa yako bila kujali ajali
@niyakirekwirina78513 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu ni mwema
@ashuramhando52853 жыл бұрын
ALLAH kauponye haraka Inshallah 🙏🏿🙏🏿 uinjoy Ndoa yako jamon 🙏🙏🙏🙏
@invocavitmbise52962 жыл бұрын
Dahh..kweli Mungu unaishi wewe nitakuabudu milele..pole sana kaka Agustno..bebgel congrats for having true love!!!
@shamilamo91593 жыл бұрын
Pole sana kaka mwenyezi mungu akufanyie wepesi azidi kuwa linda katika ndoa yenu
@francisca84gaidoni619 ай бұрын
Nimeipenda hiyo ndoa hongera sana 8:37 8:41
@salomemrembo748211 ай бұрын
Pole sana.hutukufu wa mungu huko. Pamoja nawe..shetani ni muongo..Ameshindwa. hutukufu himrudiye..Mungu 🙏
@mercymuranga8173 жыл бұрын
Pole sana kakangu Mungu wa mbinguni akuponye haraka nq hongereni pia kwa kutimiza jqmbo hili la ndoa Mungu aibariki ndoa yenu Amina
@rozeyousef982310 ай бұрын
Hii ndio maana kuu ya upendo na kipimo cha imani imezihilishwa kuwa umepata mke bola mtadumu kwenye ndoa😢😊😊❤️🙏
@abigaeljeyy39343 жыл бұрын
Thanks 🙏 to God you are alive quick recovery brother.
@anethmawole483 жыл бұрын
Pole sana ndugu, Ee Mungu tusaidie, tupe ulinzi Yehova,
@carolyneokenyuri26052 жыл бұрын
God is powerful brother utapona na mwenzio pia ni mwaminifu kwako hongera dadangu
@nunuuali53163 жыл бұрын
Pole sana kaka mpendane na mkeo na muheshimiane
@zainabmusa20063 жыл бұрын
Pole sana mtoto wangu mung yupo pamoja na nyie ndoa yenu itadumu milele kila kitu uwa na sabab yake mung atawaponya amin
@qatarrarre303 жыл бұрын
Mungu ni mwema kaka,God saved u and protected u🙏🙏
@hellenjemeli49713 жыл бұрын
Mungu in mwema kila wakati ndoa yenu itatuma milele...pole sana ndugu
@olphamoraa66833 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu yupo utapona
@rebecafelixmtiganzi10 ай бұрын
Pole sana mwenyezi mungu akuponye ukawe na afya njema mkaishi vema na mkeo
@HadijaJoseph-d1gАй бұрын
Da polesana ndogo wangu mungu akuponye
@gabriellafaith61283 жыл бұрын
😭Aya maisha Tunamuhitaji sana MUNGU, kila siku kila saa kila dakika, utapona kaka MUNGU ni mwema na hongera dada kwa upendo wa dhati👏
@nasraabdallah8503 жыл бұрын
Kweli kbs mung nimwema
@zaitunisuleiman90632 жыл бұрын
@@nasraabdallah850 🇹🇿🙆♂️🤲🙏
@dayana5513story3 жыл бұрын
Mungu akuponye halaka,awajalie ndoa yenu ikadumu
@Happyjoseph-wd9mk10 ай бұрын
Pole Sana kaka mungu awe nw uyo ndio mke mwema kwako ❤❤ mpendi adi kifo kifo kio kiwatengenishe
@gracekisamo23253 жыл бұрын
Pole Sana Rafiki yangu Agu Mungu azidi kuimarisha Afya yako
@furahabeatrice20573 жыл бұрын
Pole sana kaka MUNGU ni mwema. Ashukuriwe MUNGU sababu amekutoa mbali, yeye anaweza yote kwetu. Tunamwuomba MUNGU akuponye🙏🙏🙏
@marykakolaki11692 жыл бұрын
Hongera kaka na pole Sana Sana Yesu ashukuriwe Sana hongera Doctor na wauguzi wote
@-KINKAU2 жыл бұрын
Mungu yupo pamoja na wewe ndugu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@uwashemamary79103 жыл бұрын
SHETANI NA WAFANYAKAZI WAKE WAMESHINDWAAAAAAA HALELUYAAAAAAAAAAA AMINA EMINA AMINAAAAAAAA🙌🙌🙌🙌😍😍😍😍💃
@kinyuakitaka240810 ай бұрын
Pole sana kakangu mshukuru mungu Kwa kuwa Bado uko hai mwambie asante
@charlottealine65863 жыл бұрын
Ishallah yuko Pamoja nawe🙌🙌🙌😍😍.
@ernestmbigo33183 жыл бұрын
Mungu ni mwema akubaliki na familia yko. Nawapenda mungu ni mwema.
@AdelaErnest Жыл бұрын
Mungu atakupo ya
@hadijasalim7769 Жыл бұрын
Pole Sana kaka yangu mungu nimwema atakuponya shetani atashindwa
@PriscaMsigwa-c3u10 ай бұрын
🙏🙏mungu awabariki xana hasa kwa dada angu mpendwa
@SusanDhiramo Жыл бұрын
Pole San mungu awalinde kwa ndoa yenu n mzidi kupendan❤❤❤❤
@catherinemasakhwemakokhama91173 жыл бұрын
Pole sana brother, God is still faithful and you can follow , protecte samweli kakande from Kampala Uganda for powerful healing in jesus name 🙏🙏
@ariphkimani37903 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu yeeye atupaye uzima bure
@MerysianaJastini10 ай бұрын
Pole sana Kak uyo ndo mke mwema mungu atawasaidia
@shakilamasoud29833 жыл бұрын
Pole Sana, Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi.
@cathelinemaurid8983 жыл бұрын
Pole sana kaka yangu mungu ni mwaminifu sana atakuponya kwa wepesi
@mgenibwanamdogo28263 жыл бұрын
Pole sana utapoa inshaallah
@nyaruhuchadaniel9172 жыл бұрын
Pole sana kijana hakika Mungu ni mwema utapona na Mungu aendelee kumpa shemu wetu uvumilivu mambo yote yataenda kama kawaida
@nurunurdin97853 жыл бұрын
Pole Sana Mshukuru MUNGU Sana kila saa na kila mda mkumbuke MUNGU wako
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Subhannallah, pole sana kaka kwa Ajali,Mungu hawabariki katika ndoa yenu.
@abiamugozi64133 жыл бұрын
Amen Mungu ni mwema kwa kweli 😍😍
@DianaMoraa-e8g10 ай бұрын
Pole ndugu ndugu mungu yupo
@annamwakilasa44682 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu ni mwema
@mamakesharlyne9563 жыл бұрын
Pole kaka, nakutakia shifaa ya haraka
@Elenposian10 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi upaone pole sana
@agnesmiss11122 жыл бұрын
Pole sana Kaka mungu ni mwema utapona pia abaliki ndoa yenu
@elipidiuskalugendo44602 жыл бұрын
Polesana mungu akuponye na amtie nguvu bi arusi
@fridahwanjiru89273 жыл бұрын
Pole bro GOD is good u a life na hiyo doa yenyu mungu haibaliki
@veronicasulle58013 жыл бұрын
Pole sanaaa mpendwa mwenyez Mungu akufanyie wepesi,.
@JoyceSheshe10 ай бұрын
Pole sana kaka utapona na hongera
@lucyjeremia13813 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana 🙏 🙏 pole Sana kaka huyo msichana Ana upendo wa dhati Sana
@rahelthomas8373 жыл бұрын
Pole my mungu atakupa weps usjal
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Pole.sana ndio mana watu wa zamani walikiwa hawatoki ndani karibu na harusi kwa sababu kwenye jambo la khery huwa kunakiwa na mitihani.
@ntirampebaloys894910 ай бұрын
Mungu akupewe sifa milele
@laurencemidimi15592 жыл бұрын
Pole sana brother mungu ni mwaminifu utapona mapema
@agathamarian86793 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu ni mwema utapona
@teddymwageni17633 жыл бұрын
Pole na hongera kwa kumpata mpz wa dhati
@annajohn67163 жыл бұрын
pole sana Kaka pia hongera kwa kufunga ndoa
@happnesselirehema-kk4sb Жыл бұрын
Pole sana mtu wa mung aliyeruhusu Ayo ni mungu vile vile ataleta uzima kwako
@dafrosadeus52033 жыл бұрын
Aisee pole Sana
@michaelkauku97142 жыл бұрын
Watching from Nairobi, may God bless you Young man for the courage .
@faakizaa54213 жыл бұрын
Dar pole sana kaka angu mungu atakuvuwa hili na jengine
@ummyally45693 жыл бұрын
Mungu akulinde broo 🙏
@officialteeh12133 жыл бұрын
Am so sorry for you my brother quick recovery kila la kheri kwenye ndoa yako
@benignendikumana80093 жыл бұрын
Pole sanaa kaka mwenyezimungu atakuponya inshaallah
@josephineonyambu67892 жыл бұрын
God is good all the time. U'll be well
@kishepuonlinetv3 жыл бұрын
Pole sana kakaa mungu akujaalie afya njema na ukaimarike afya yako
@christinachriss92313 жыл бұрын
Pole sana Kaka,mkewe ndio ana mtihani mkubwa
@BerthaLucas-s7k Жыл бұрын
Daa pole sana ndugu mungu atakusaidia
@litaemilykasambala45692 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@PiliAlly-k2w10 ай бұрын
Pole sana mungu ndiye muweza ya yote utapona
@ashudahiza78713 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu akujalieni Amani ya ndoa yenu na ikadumu
@veronicamathias37992 жыл бұрын
Aisee pole sana bro😥😥bt God is good🙏🙏that's a real definition of love🌹🌹
@everlyne85953 жыл бұрын
Duhh hv kwnn harus zna changamotoo sana mpk kufnikish n kumshukuru mungu kweny harus kunmambo mengii sanaa. Pole sana kakaa mungu akulindee
@rehemamashaka73982 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akujaalie upone kwa haraka uendelee na majukum yako
@esterdoriye47803 жыл бұрын
Pole sana brow ,babati home,pole kwa wifi yetu pia
@karembozz36572 жыл бұрын
Pole sana Broo Mungu aki nimwema shetani Hana mamlaka
@lucyhillary89092 жыл бұрын
Pole San kijana mwenzetu , mungu atakusaidia na kukuongoz katik ndoa yako
@christinenzeva8913 жыл бұрын
Pole sana kaka,Mungu akuponye na azidi kukulinda
@estherjuma42392 жыл бұрын
pole sana bro QUICK RECOVERY
@summanelson55232 жыл бұрын
Yaani hospitali!!! Wanakimbilia kutaka kukata mguu wa mtu kabla hawajajaribu kuushughulikia, ikishindikana ndiyo wamkate!!!! Hongera baba kwa ujasiri wa kukataa!!!