Safi sana Lisu, ukweli siku zote ni mchungu kwa mtu muongo lakini ndio dawa pekee ya kuondoa rushwa na unafiki katika taasisi
@MahyoroKalokola4 сағат бұрын
Lissu nakubaliana na wewe katika mambo mengi lakini suala la Zitto Kabwe unalipotosha. Zitto alikuwa anajiandaa kugombea dhidi ya Mbowe kwenye uchaguzi uliokuwa unafuatia. Kampeni za uchaguzi ni kama biashara. Kabla ya kugombea ni lazima utengeneze mpango wako wa kampeni. Na Zitto na Kitilla walitengeneza andiko linaloitwa "Mkakati wa Ushindi" ambao lilielezea mikakati yao ya kampeni na jinsi watakavyoshinda uchaguzi, ikiwa ni pamoja na kulinganisha sifa na mapungufu ya mpinzania wa Zitto na yeye. Na hiyo ni kawaida sana kwa kila mgombea na najua hata wewe utakuwa na mpango huo ndiyo maana unaweza kuelezea mapungufu ya Mbowe na kupeleka ujumbe wako kwa wapiga kura kirahisi. Sasa kwamba huo mpango mkakati ilikuwa ni mipango ya kile mara nyingi unachoita mapinduzi ni kitu cha ajabu sana kusema. Maana chama hakina dola. Unafanyaje mapinduzi kwenye chama? Wewe na Slaa na wengine mliwakosea sana Zitto na Kitilla. Siyo vibaya mkikiri makosa yenu maana mnayopinga leo wenzenu waliyaona zamani. Hata hivyo kila la heri kwenye kampeni zako. Maana ukilinganishwa na mshindani wako Mowe wewe kwa sasa ni bora zaidi katika kuipeleka Chadema mbele.
@nuruabdallah8092 сағат бұрын
Simba kama simba. Salut😂😂😅😅😅
@MediatrixNgabona7 сағат бұрын
Lissu hataki rushwa safisha nyumbani kwako Kwanza upate uhali Wa kwenda nyumbani Kwa mwwnzako
@brysonmandari56944 сағат бұрын
Club house hawapigi kura itakula kwako mnyapaa!
@jamilajamal158431 минут бұрын
❤❤
@JohnsonBagambi6 сағат бұрын
Ukweli umuweka mtu huru lissu shkamooo
@PoliteJustine-s9z6 сағат бұрын
My President ❤
@jetymagereja40585 сағат бұрын
Hii njemba inaakili sana ukimpinga ww hamnazo
@dicksonbenedict90053 сағат бұрын
Lissu kwa haya uyanenayo hakika hawakuachi kiti😅😅😅 hawakupiiii
@davidmpiluka52242 сағат бұрын
Kumbe Tanzania ina watu wenye akili kubwa kiasi hiki? Hiki kichwa cha Lissu kina akili kubwa sana. Huyu mtu anafaa si tu kuwa Mwenyekiti bali hata kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
@RobertJohannes-n3c6 сағат бұрын
Lisu wewe ni mwamba tatizo la watanzania wengi hawapendi ukweli wewe ndio mwarubaini wa rushwa ktk nchi hii Achana na huyo anaeleta Ujinga kua kustafu wenyekti ni umri
@MwakaHappy6 сағат бұрын
Baba ubaya ubwela ajaribu atashangaa atabaki na kinantobi
@mkoma497 сағат бұрын
Nachompendea jamaa ni mkweli na anaonekana hataki rushwa
@TegemeaFutemakatifu4 сағат бұрын
Huyu Jamaa ni Kiongozi Shupavu sana.
@florianmodest62159 сағат бұрын
Huyu jamaa hafai kuwa mwenyekiti wetu kwanza ana chuki na fitna sio kiongozi mwenye uvumilivu na busara.
@goodluckypaul-d3s7 сағат бұрын
Busara anayo Mama Yako eti kwa kumvulia chupi baba Yako mbwa wewe
@monicamwita78657 сағат бұрын
Hakufai wewe na genge lako msiopenda kuambiwa ukweli.
@goodluckypaul-d3s7 сағат бұрын
@@monicamwita7865 hizo ndiyo levo za busara zako ulizotoa kwa baba Yako good