The Story Book: Mjue JEKSHENI / Hadithi Kamili ya Maisha ya Jackie Chan

  Рет қаралды 539,676

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 521
@yussufmwinyi3964
@yussufmwinyi3964 2 жыл бұрын
Mimi leo natakaa like 30 na comment kma kwelii shabiki wa bro Jamal!!
@officialjackson3795
@officialjackson3795 2 жыл бұрын
Kama unamkubali professor gonga like apa🤜
@kassimomari4786
@kassimomari4786 2 жыл бұрын
Hii dunia tungekuwa hatufi,basi kuna watu wangeweza kutengeneza pepo zao wallah,,watu wana pesaaa daah,, 🔥🔥🔥
@suleimanzahor6878
@suleimanzahor6878 3 ай бұрын
Ndugu yang u kina ma is ha mengine baada ya kufa ambayo ni ya milele na maandalizi yake hapahapa duniani kwa kumfata mtume muhammad
@kamaaketv7802
@kamaaketv7802 2 жыл бұрын
Napenda movie za Jackie Chan 💯 namlombotove🇰🇪🇰🇪
@msazorhazard7395
@msazorhazard7395 2 жыл бұрын
Natamani sana siku moja niiskiee story book ya Albert Einstein, lifanyie kazii hilii Jamaal.Kiukweli mnafanya vizurii sanaa ✊🏻
@nanaleetz
@nanaleetz 2 жыл бұрын
Uijui kuna mtu ashaitoa ww search utapatana nayo
@christianbujiriri11
@christianbujiriri11 2 жыл бұрын
@@nanaleetz o
@arbogastlopa105
@arbogastlopa105 2 жыл бұрын
@@nanaleetz nipe namba yako
@hassanijr8905
@hassanijr8905 2 жыл бұрын
Ingia youtube andika anania edga
@pauloh.4133
@pauloh.4133 2 жыл бұрын
My most favorite actor. Great comedian! A living legend! Kenya iko love.♥️♥️♥️
@jopamapatrick1519
@jopamapatrick1519 Жыл бұрын
The good man
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 2 жыл бұрын
Jack chan nilikutana nae dubai ❤ nimcheshi mno na mwwnye utani sana
@voisaclassic1866
@voisaclassic1866 2 жыл бұрын
Acha usenge mzee
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 2 жыл бұрын
@@voisaclassic1866 sawa
@dullahman119
@dullahman119 2 жыл бұрын
😀
@pendorobert3552
@pendorobert3552 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@tedytitus7205
@tedytitus7205 2 жыл бұрын
Wanabisha eti 😂
@rinirietransfomaorenge4309
@rinirietransfomaorenge4309 2 жыл бұрын
Maeneo ya Marekani Kasikazini nawapata mbashara mpaka maeneo ya Kisii Kenya 🇰🇪 kazi nzuri Mungu akujalie maisha marefu Prof. Jamal💗💗💗
@minihajmdoe9671
@minihajmdoe9671 2 жыл бұрын
Duh leo nimewahi ndugu zangu like basi
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 2 жыл бұрын
Funzo..hakikisha ujana wako inautumia vizuri
@reyvannyedsoni983
@reyvannyedsoni983 2 жыл бұрын
Duuuh.....huwa nasubili Kwa hamu story zako professor...Jamal April🔥🔥🔥
@arapninja_things
@arapninja_things 2 жыл бұрын
Asante sana kwa kutuandalia video ya kusisimua mara nyingine , Niko nawe Moja kwa Moja kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 2 жыл бұрын
Kwanza kabisa nashukur kwakuni letea story ya Huyu mwamba Jack chain 🙏🙏
@batuliwangu2862
@batuliwangu2862 2 жыл бұрын
Professor Jamal tunataka utufanyie storybook ya Diamond platnumz
@veryboyplatnumz80
@veryboyplatnumz80 2 жыл бұрын
♥️♥️♥️
@michaelgeorge8099
@michaelgeorge8099 2 жыл бұрын
Kbsa
@africanwatz4240
@africanwatz4240 2 жыл бұрын
Upo sahihiiii
@gidionelias6747
@gidionelias6747 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@safarsafari68
@safarsafari68 3 ай бұрын
Diamond hajawa wa kusimuliwa bado sana
@salminchimnyenge7472
@salminchimnyenge7472 2 жыл бұрын
WANAOMPENDA JACKIE CHAN npen likes
@NArdoDieudo
@NArdoDieudo 2 жыл бұрын
Dah natamani siku moja kusikia story ya budha,,thanks profesor kwa juudi za kutufungua akili kwa story zako❤️❤️❤️❤️💔💔
@rahmaawadh1695
@rahmaawadh1695 2 жыл бұрын
Nimependa Actor mzuri anaingiza pesa ya kutosha na ana nidham nazo ...Amawekeza pesa zake na sio kashfa za wanawake na kujikwezaaa..mbwembwe nyingi,Nidham yake na uvumilivu wake umemfikisha hapo alipo
@salminwamu2297
@salminwamu2297 2 жыл бұрын
💯
@salminwamu2297
@salminwamu2297 2 жыл бұрын
Nimependa hii
@jumamofu9573
@jumamofu9573 2 жыл бұрын
Noma Jack Chen napenda comedy zake katika movies zake
@hamisilumona7163
@hamisilumona7163 2 жыл бұрын
Jackchan ana share kwenye campany ya mistubish cars. pia ana watoto wawili ila umoja wao ni drug addiction( kijana). jack Chan nitajiri sana pia ni mukarimu sana pia anapenda watu kwa hali yoyote.
@muwezahasani4017
@muwezahasani4017 2 жыл бұрын
Professor tunatakaa story book ya boss diamond platnumz ,,ximbaaa
@mpembawizzy5865
@mpembawizzy5865 2 жыл бұрын
Naamin ipo cku na mim nitasimuliwa kupitia hii the story book mung anisaidie
@wolfdjmovies
@wolfdjmovies 2 жыл бұрын
My favorite actor, Jackie Chan 🥷.🇹🇿🇺🇸
@eliasmwongera4563
@eliasmwongera4563 2 жыл бұрын
Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@burilohomestudio6783
@burilohomestudio6783 2 жыл бұрын
Afadhari Professor umeleta story ya mtalaam wangu Jackie....maana watu kitaani WANASEMAGA sana eti Jackie muongo sana.... something which is not true.....Jackie ndie aliyepokea 2 world records....na amenusurika kufa mara kibao...sema watu huwa hawafuatilii haya mambo.
@nailamimi20
@nailamimi20 Жыл бұрын
Ooh my God kuna watu wanaishi aiseeee 🙌
@hassanpande9915
@hassanpande9915 2 жыл бұрын
Jamal is professor in professor in story 🙌💯
@jumamofu9573
@jumamofu9573 2 жыл бұрын
Duh! Hapo kwenye mpunga ndo Balaa! Ila Hilo kuto warisisha Mali zake watoto nimepapenda. Tafuta chako Cha Babako sio chako.. hapo nimemkubali Mr.Chan .. mtegemea Cha ndugu hufa maskini
@dicksonkingazi4580
@dicksonkingazi4580 2 жыл бұрын
Nakuku balii brooo yan duuu niatalii mungu akupe maisha malefu nakipenda san kiindichako namin wew ndiyo kiyoo chajamii
@abdulkajuna
@abdulkajuna 2 жыл бұрын
Mungu akupemaisha malefu kaka unajua
@malakootiyusuf14
@malakootiyusuf14 2 жыл бұрын
I love the ending... You guy May Allah S. W guide you utupe stories kibao
@ciaydedoutashayo5365
@ciaydedoutashayo5365 2 жыл бұрын
I love Friday BeCausE Of YOu PROf👍
@faridamtandika9707
@faridamtandika9707 2 жыл бұрын
Ujumbe wa mwisho n mzuri sana
@angelmwaimu3676
@angelmwaimu3676 2 жыл бұрын
Safi newzfid imeweza kukubalika na jamal. Kwa kutoa history za waigizaji wa movie.
@makeitcount4315
@makeitcount4315 2 жыл бұрын
Ever since I was a kid Jackie Chan has been my favorite actor, he is even better than some Hollywood stars, him and Bruce Lee took Chinese films to international levels
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 2 жыл бұрын
Nakukubali jamani my ew
@mustafasaid6610
@mustafasaid6610 Жыл бұрын
Najubali jamal pamoja sana napenda sana simulizi zako
@Ismail-zk8jx
@Ismail-zk8jx Жыл бұрын
Shukran sana brother jamal wanipa elimi thanks Alot 🪴🪴🌿much love 💕 from Kenya Nairobi
@samnesaid3973
@samnesaid3973 Жыл бұрын
Good history from Jackie chan
@fredymwanzi4448
@fredymwanzi4448 2 жыл бұрын
Jamal tupe na biography ya Nikola Tesla,mwamba aliyeleta mageuzi ya kisayasi katika hii Dunia.MTU mwenye akili za kupitiliza kuwahi kutokea katika Ulimwengu.
@aishaabdullah4172
@aishaabdullah4172 2 жыл бұрын
Hayo maneno ya urithi mbona Chief Ramsey pia amesema hivyo pia na alisema watoto wake watafute vyao wenyewe kwa jasho lao
@ltalallekulal9919
@ltalallekulal9919 2 жыл бұрын
Wakenya mnipatie like yenu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pendomarco8928
@pendomarco8928 2 жыл бұрын
Mr Jamal umemzima yule jamaa mwenye sauti kubwa
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii.. Ahsante sana Prof
@emmanuelkimeli9397
@emmanuelkimeli9397 2 жыл бұрын
I follow your video all time from Kenya, love you bro
@ramoballawa5783
@ramoballawa5783 2 жыл бұрын
nakukubari saana kaka wewe ni mmoja wa ma role model wangu 👊👊👑👑🙏🙏
@abrahammwakimonga9281
@abrahammwakimonga9281 2 жыл бұрын
Wow hadith nzuri sana vp hii ya man of somerton
@nayoneplatnumz3311
@nayoneplatnumz3311 2 жыл бұрын
Hiii ni noma talented Jamal April 👍👍👍👍👍👍👍👍💪💪💪💪💪
@dicksonbaya5263
@dicksonbaya5263 2 жыл бұрын
Asante sana professor Jamal from Moçambique
@zakirgokez9678
@zakirgokez9678 2 жыл бұрын
Iam hear because of these guy intro man u deserve an Oscar great job jamal
@AliAli-mi7ut
@AliAli-mi7ut 10 күн бұрын
Salute to you brother Jamal April. The PROFESSOR. YOU'RE DA BEST.
@safarimweshwa6547
@safarimweshwa6547 2 жыл бұрын
Jamal unafanya kazi kubwa Mungu akuba
@harunaramadhani7764
@harunaramadhani7764 2 жыл бұрын
Kala sio kosa letu kumuita jekshen n marehemu rufufu mkandara ndo kasababisha Hilo dhahma 😁
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
Hahaha nimecheka, kumbe pia wabongo mna huo mtindo wa kubatiza waigizaji majina..
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 2 жыл бұрын
Hahaaa.... Safi sana... Mkandala ni rejendari sana na amefanya mia mia zetu kwenye vibanda umiza
@mohani7390
@mohani7390 2 жыл бұрын
Nikweli saanaa
@Mosee230
@Mosee230 Жыл бұрын
👍I Like the Story
@user-jy3ou7er7q
@user-jy3ou7er7q 10 ай бұрын
Mimi Leo natakaa like 30 na comment kma kwelii shabiki wa bro Jamal!!
@sulerajab9665
@sulerajab9665 Жыл бұрын
For Jackie chan,must remember that "charity begins at home "
@kazelemwabb700
@kazelemwabb700 2 жыл бұрын
Nilijua vijana wa bongo tu ndo hawana nidhamu kumbe hadi kwa wenzetu kama na wewe hukujua hili like hapa tujuane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 2 жыл бұрын
Huyo mzee wa snake in the eagle 🦅 shadow alishafariki
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 жыл бұрын
Jamal simulizi ndani ya story book 📖 ili awe professor. Uko juu sana
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 2 жыл бұрын
This guy is living a life....!!
@ckdawn514
@ckdawn514 2 жыл бұрын
I'd like to request you professor, kindly include the Download button....the stories are long and captivating...but not everyone has time to sit for half an hour...thanks
@victorphilips7354
@victorphilips7354 2 жыл бұрын
𝓎𝑒𝓈
@achi_raymond
@achi_raymond Жыл бұрын
you dont have the download tool like vidmate or tubemate aaaaah
@ckdawn514
@ckdawn514 Жыл бұрын
vidmate yeah...nilichanuka kitambo kaka....😂😂
@SteveMoris-yr1gw
@SteveMoris-yr1gw Жыл бұрын
We love Jackie from kenya❤
@ambwenealex
@ambwenealex Жыл бұрын
youtube.com/@ambwenealex
@timochazze9845
@timochazze9845 2 жыл бұрын
Professor wewe ni moto
@johnsongipson9355
@johnsongipson9355 2 жыл бұрын
Hii ya leo nimependa sana kuhusu jackie chan 😊
@coolestkid609
@coolestkid609 2 жыл бұрын
Huwa sipitwi na story book Pa1 san professor 🤓
@glorymushi6507
@glorymushi6507 Жыл бұрын
Wise man 🤴proud of Tanzania 🇹🇿 👏 🙌 💪 👍 👌 🇹🇿
@abdullahpongwa1537
@abdullahpongwa1537 2 жыл бұрын
The best of Chinese moves..
@eliaelishagaming1432
@eliaelishagaming1432 7 ай бұрын
Kama bado hii stor unarudia kuangalia leo gonga like za kutosha
@alexegno9212
@alexegno9212 2 жыл бұрын
make me happy to listen it
@kaazykazunguabdool3266
@kaazykazunguabdool3266 2 жыл бұрын
Mwalim🙌🏼
@little_rich7354
@little_rich7354 2 жыл бұрын
One of my favourite actor🕊
@makawan_Bway5478
@makawan_Bway5478 2 жыл бұрын
Nimeipenda
@itsmgff1117
@itsmgff1117 2 жыл бұрын
Please sir can you tell us story of jet li please thank you
@Nothingtoshowme
@Nothingtoshowme 2 жыл бұрын
It's already here
@yohananyabu5556
@yohananyabu5556 2 жыл бұрын
Natamani siku moja ulete the story book ya mtaalamu wa mapigo donny yen
@allankiragu4039
@allankiragu4039 9 ай бұрын
Professor we love your story they are inspiring n giving us lot's of thought for us to make more money
@ochumajan4780
@ochumajan4780 2 жыл бұрын
Jamaal !! Itafute story ya Isaac newton
@mrbabadtz9074
@mrbabadtz9074 2 жыл бұрын
Ataipata wapi hiyo wakati hakusoma sayansi
@omikiss1868
@omikiss1868 2 жыл бұрын
Kuna chakujifunza, professor 👏🙌🔥👂🇴🇲🇹🇿
@moussababanla399
@moussababanla399 Жыл бұрын
Professor 🙏🙏🙏🔥🔥
@kenrop7047
@kenrop7047 2 жыл бұрын
From Kenya 🎤we do love you ❤️😘
@quitonkarani2260
@quitonkarani2260 2 жыл бұрын
So nice ✨tuletee ya jetli sasa😂
@bahatiemmanuel2298
@bahatiemmanuel2298 2 жыл бұрын
Prof mungu akubaliki Sana mm nafuatilia San store zako
@edmondlusenge2159
@edmondlusenge2159 Жыл бұрын
Nakubali sana kaka mkubwa
@bwikizobilly5220
@bwikizobilly5220 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana wewe ni professor kabisa
@sindiheburamitchell3894
@sindiheburamitchell3894 2 жыл бұрын
Ukojuu saaanaa salute
@sadensalimodanger2835
@sadensalimodanger2835 2 жыл бұрын
Amazing story!
@lifewiththestarsfamily
@lifewiththestarsfamily 2 жыл бұрын
This is owesome 🔥🔥
@KB-do5sr
@KB-do5sr 2 жыл бұрын
+254 🇰🇪 in the house for proffesor jamal
@jumaaally6088
@jumaaally6088 2 жыл бұрын
#My favourite time to listen story book
@lareineminah1353
@lareineminah1353 2 жыл бұрын
The man n half😍😘❤
@careenevance1535
@careenevance1535 2 жыл бұрын
Tunaomba story ya raisi puttin #jamal
@mickdadyronaldo4113
@mickdadyronaldo4113 2 жыл бұрын
Umetisha San Jamal umemleta fundi wangu Jackie Chan
@sijaolomi8666
@sijaolomi8666 2 жыл бұрын
J NNE Leo umenikumbusha mwaka 1997 muvi ya jack chan police story kipindi hicho Cinema ulikuwa unalipa kiingilio 300 tiketi muvi hikifika kati kati hunalipa 100 muvi ikiwa mwisho unalipa sh 10 long sana Jumanne Prof
@sijaolomi8666
@sijaolomi8666 2 жыл бұрын
Poa brother
@maikooscar8119
@maikooscar8119 2 жыл бұрын
Tupe na ya jetli mpiganaji wa kwanza wa china🙏🙏
@idrisadalluc4498
@idrisadalluc4498 2 жыл бұрын
Masta jackiii da. Blo nimekuelewa kk asante
@waba9152
@waba9152 2 жыл бұрын
Tuma the story book ya xxxtentacion 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-jk2bf2bc2v
@user-jk2bf2bc2v 9 ай бұрын
Jackie Chan is the best role model one can have😊
@lovenoor988
@lovenoor988 2 жыл бұрын
Big up Mr Jamal 💯
@slindilefortunate1367
@slindilefortunate1367 2 жыл бұрын
🇿🇦🇿🇦🇿🇦kweli sina ubishi mtiga akafiye mbele naulevi wakee
@petrokuzwa3946
@petrokuzwa3946 2 жыл бұрын
Profesaaa jamal
@erickmuthoni520
@erickmuthoni520 2 жыл бұрын
Good work.. 🔥🔥🔥🔥🔥
@siriyamungukelvin5050
@siriyamungukelvin5050 Жыл бұрын
Kk nakukubali sana tunasuburia the story ya jetli kk
@jastinmbena1959
@jastinmbena1959 2 жыл бұрын
Chinese zodiac is among with my favorite movie
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 20 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
KIFO CHA AJABU CHA  BRUCE LEE NA  MAISHA YAKE HALISI
30:46
Wasafi Media
Рет қаралды 3,1 МЛН
DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA  KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI
36:42
The Story Book: MR. BEAN 😂 Utacheka Sanaaaa 🤣
27:23
Wasafi Media
Рет қаралды 307 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
#LIVE: BEST OF DENIS MPAGAZE VOL.2
3:52:29
Uhai Online Tv
Рет қаралды 218 М.
SHAH RUKH KHAN "Hadithi Ya Mfalme wa Mapenzi Tokea India"
20:19
Wasafi Media
Рет қаралды 1,4 МЛН
😬 Мам Дай Хлеб 🍞 #shorts
0:38
AOneCool
Рет қаралды 1,5 МЛН
Они не знали, почему он так поступил, пока
0:39