The Story Book : Kweli Kula Nguruwe Ni Haramu Au Uzushi Tu !?

  Рет қаралды 463,390

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 900
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
Professa Jamaal una toaga mafunzo mengi sana katika stori zako hakika Mungu awe na ww kwa kila jambo ulifanyalo uwe na afya njema akila kukuchapo ili uendelee kutufundisha Life ya vitu mbali mbali ambavyo tulikuwa hatuvijui
@enosscolonely7629
@enosscolonely7629 Жыл бұрын
Hii inanifunza vitu vingi huwa najitidi sana kufatilia jamal April unajua sana
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
@@enosscolonely7629 sio ww peko yako kiti kizuri lazima watu wajifunze wengi kuna kubadilishana mawazo ya hapo na pale life ina zidi kwenda
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 2 ай бұрын
Waislamu wengine tu wasiowahi kula nguruwe kabisa ,ila wanakifafa Ni uongo tu
@rutashubanyuma4546
@rutashubanyuma4546 Жыл бұрын
Nimekupa big up vile ambavyo umebalance story nilidhani utaegemea upande wa imani yko lkn umenyoosha namna ambayo mtu mwenyewe anachagua upande wa kufata!!!
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 Жыл бұрын
Kazi iendelee
@rachelsamson2860
@rachelsamson2860 14 күн бұрын
Elema neno professor😂
@nicholasokoth7666
@nicholasokoth7666 Жыл бұрын
Story nzuri sana naenjoy nikiwa Kisumu Kenya. Tafadhali utuletee uhondo kamili kuhusu huu mchezo wa Wrestling sababu hatuelewi ni kweli ama uwongo. Big up Man,🙏🙏🙏
@AntonyStarboy
@AntonyStarboy Жыл бұрын
Wrestling imeandikwa na mshindi hujulikana hata kabla ya mchezo
@aminata3702
@aminata3702 Жыл бұрын
Wrestling ni scripted kila kitu wanaigiza
@servantofallaah4865
@servantofallaah4865 Жыл бұрын
Siku ukijua wrestling ni acting kama tu movie zingine utaacha kupoteza muda kuangalia wrestling
@user-fc6tk6ht6s
@user-fc6tk6ht6s 9 ай бұрын
Wrestling ni kama video za ngono tu
@user-fc6tk6ht6s
@user-fc6tk6ht6s 9 ай бұрын
Kitu alichokikataza mungu lazima kiwe na madhara
@NicholasOuta
@NicholasOuta 2 ай бұрын
No one comes close to this guy in this field. You are a professor bro. You are doing a great job; a lot of investigation and research goes into this! Kongole from Kenya!
@goodluckmwagubili6713
@goodluckmwagubili6713 Жыл бұрын
Mwamba wew ungekuwa mwalimu wangu .....nisingekuwa hapa nilipo yaan nakuelewa sana
@taajirimwanaharakati7392
@taajirimwanaharakati7392 Жыл бұрын
Usiache kufanya hiki kitu ni vzr sana na upo vizuri sana kiukweli 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@BonifaceChaula-gx7xb
@BonifaceChaula-gx7xb Жыл бұрын
Ubarikiwe hapa umeokoa wengi Mungu akupe maisha marefu zaidi.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
5. AL - MAIDA 3. Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi Leo nimekukamiliishieni Dini yenu na nimekutimizieni neema yangu na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu
@waynekennedy9521
@waynekennedy9521 Жыл бұрын
Amin, but hatutoacha hii 🪑🔥.....😁😁😁
@mistasaa9214
@mistasaa9214 Жыл бұрын
@@waynekennedy9521 nyinyi endeleeni kula ndugu zanguni hamuwakomoi waislam wala yule alieharamisha.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@@waynekennedy9521 hakuna tetizo we kula bibi zako tu
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@waynekennedy9521 kabisa👌
@Blaze_media_Tv
@Blaze_media_Tv Жыл бұрын
Makafiri hawataki kuelew
@businesstanzania
@businesstanzania Жыл бұрын
Wewe Jamaa Unatisha Sana🙏 Ukipata Muda Tuletee Bomu Lililowafanya Wajapani Kuwa Wafupi, (Au Tuliongopewa)
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Жыл бұрын
Kweli tuleteye tunatamani kujiwa
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Weee wajapani gani hao ?? 😂😂😂🙌🏻
@vicentedgarchipasula2393
@vicentedgarchipasula2393 Жыл бұрын
Aliwahi kugusia kwenye stori ya Nyuklia ipitie
@marymolel800
@marymolel800 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@bahatihemes9843
@bahatihemes9843 Жыл бұрын
Naunga mkono hoja
@LtW2-om6yj
@LtW2-om6yj Жыл бұрын
Wanao sikiliza hii story nzuri uku tunakula ngulue tujuane apa
@jjkinara6576
@jjkinara6576 Жыл бұрын
Tamu sana
@goodluckygobam4477
@goodluckygobam4477 Жыл бұрын
Tena rost ndo usisemee
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 Жыл бұрын
Kavu bhanaa na kachmbariii uwii
@raiszongo4136
@raiszongo4136 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 Жыл бұрын
Mtakuja kupata magonjwa kwa uroho wenu
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 Жыл бұрын
Unachagua kumsikiliza Paolo au Mungu.?hongera sana Jamaal,napata élimu nyingi sana kwa kufuatilia makala zako.Tatizo ni Paulo na bible kupingana na magizo ya vitabu vya kale,Yesu hakuja kutengua maandiko yaliyo pita ila kukamilisha yaliyobakia.
@chikwela
@chikwela Ай бұрын
Hakika. Hata yeye alisema sijaja kutangua tolati bari kuitimiliza
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
kwa wale tunaomuamini Mwenyezi Mungu,Mtume wake na Siku ya mwisho basi hatuna budi kujitahidi kuacha yale tuliyokatazwa na Mwenyezi Mungu.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Hongera Sana umejuwa kutuelewesha vizuri ndugu jamari
@mercyogolla8633
@mercyogolla8633 Жыл бұрын
Jamal Asante kwa story zako nzuri, Kenya 👏
@aminata3702
@aminata3702 Жыл бұрын
How
@daisybelle6485
@daisybelle6485 Жыл бұрын
Watu wenye fikira ndogo huwa wapinga ukweli hata wakiona dhahir, You did your part thanks lecture 👏🏾👏🏾👏🏾 watakaosikia watasikia watakao bisha wabishe haujalazimisha mtu.😎
@alibinjuma793
@alibinjuma793 Жыл бұрын
Jamal always talks about facts, the choices is ours
@jacksonkabede7929
@jacksonkabede7929 Жыл бұрын
Vipi nyama ya ngamia siyo haramu
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 Жыл бұрын
​@@jacksonkabede7929 kwa kweli nyama ya ngamia tumeneemeshwa Nayo nasi Waumini tunasema ALHAMDULILLAH ❤❤❤❤
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w Жыл бұрын
@@khadijazungu8627 si amesema kati ya wanyama walikatzwa ngamia pia ni mmoja wapo
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 Жыл бұрын
Ngamia,Sungura,Kunguru na Kambale HARAMU usiikaribie wala usiiguse ni chukizo kwa Bwana.
@simbascdailysimbasctanzani2835
@simbascdailysimbasctanzani2835 Жыл бұрын
​@@khadijazungu8627 Kula nguruwe weww hata Mtume MSW alimla huyu kiumbe
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc Жыл бұрын
Napenda sana kipindi hiki kwakuwa kinatoa funzo na kutukumbusha ❤ don’t quit
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Жыл бұрын
"Indeed ,It's not the eyes that are blind, but the heart.'' Quran 22:46
@odoyo2553
@odoyo2553 Жыл бұрын
Note the heart it is the core al-qalb sio moyo ni core...sijui core inaitwaje kwa kiswahili
@paulpeter9655
@paulpeter9655 Жыл бұрын
Uhalali wa Kila kitu ni kwa Mungu maana yeye ndie Alie umba Kila kitu. Kula au kutokula ni juu yako.
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Жыл бұрын
@@paulpeter9655 kama ndo hvyo mle wale nyoka porini, mkalee na mende wa chooni, msisahau pia mijusi na kenge wa vichakani, na kuna wale nyani pia pamoja na sususungu pia kuleni, mana aliyeviumba mungu vyotee ni halali kula na pia mnaweza kula nyama ya waanadamu wenzenuu mana ni uumbaji wa mungu pia.
@BEN10_-
@BEN10_- Жыл бұрын
@@mohamediomari1614 🤣🤣aah nyani babu zao hawawez kula
@mukrimmohd8954
@mukrimmohd8954 Жыл бұрын
@@paulpeter9655 kakataza kwenye maandiko
@cammackmarck
@cammackmarck Жыл бұрын
Mungu haHaramishi ispokua kisicho bora kwenu sisi
@josphatwambua3475
@josphatwambua3475 Жыл бұрын
A well researched narration.
@victormuskato61
@victormuskato61 7 ай бұрын
Jamal always makes my day by just listening to him, feel ranked from Kenya
@sanchodybala4580
@sanchodybala4580 Жыл бұрын
Ahsante mwanangu boraa unifarijii kwa storii book nipate walau ahuenii
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 Жыл бұрын
Asante kwa story nzuri umetuletea🙏wenye kuelewa wameelewa
@etengedavid7297
@etengedavid7297 Жыл бұрын
Siyo Nguruwe tu ndo ina mahazara. Hata ngombe,mbuzi,kuku, mahana ukila ahina ya nyama moja kila siku au kila mara lazma ugonjwe. Mzee baba tupe story book yenye mazara ya kula nyama ya ngombe mara kwa mara usi bakiliye ku nguruwe tu kwasababu hata mbuzi ukimla mara kwa mara lazma ugonjwe.
@mdoutz7452
@mdoutz7452 Жыл бұрын
Baada ya mnyama kufungwa bora nije kujifuta machozo na the story book 🔥🔥🔥
@eliasmaspela1728
@eliasmaspela1728 Жыл бұрын
We upo kama mm
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
Tupo wengi
@aminasultan7287
@aminasultan7287 Жыл бұрын
Hahahahaaapoleni sana
@mdoutz7452
@mdoutz7452 Жыл бұрын
@@aminasultan7287 tushapoa asee acha tu
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Alhamdullilah sili hii kitu🙏🏼🥰 Ila Unazani hao watu watakuelewa juu ya my wao hawawezi ata useme inaleta corona wao watakula tu 😂😂😂
@jentomwawa7228
@jentomwawa7228 Жыл бұрын
Hahahaaahah
@jentomwawa7228
@jentomwawa7228 Жыл бұрын
Tuache kidg apo apo mzeee
@ivankinabo1226
@ivankinabo1226 Жыл бұрын
Ww fanya yako na ya dini yako yasiyokuhusu achana nayo
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Tafiti zauongo izo kwaio walio pata Kansa ya utumbo dunia wamekula Nguluwe
@allyshabani4151
@allyshabani4151 Жыл бұрын
Aliyekataza nguruwe ndiye huyo huyo aliyekataza Ngamia, sungura, kambale nk. Ajabu ni Kwa Nini anakazaniwa sana nguruwe kuliko hao wengine?
@maiwiwiABC
@maiwiwiABC Жыл бұрын
Well done! Professor, Jamal Mustafa. Nimepata uelewa mzuri kuhusu uzuri na ubaya wa mdudu
@yuzzleskillsm3054
@yuzzleskillsm3054 Жыл бұрын
GOAT Jamal you're the best
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Jamal keep on my son I love your story
@japhetfisha6299
@japhetfisha6299 Жыл бұрын
Incredible Jamal. MARVELOUS
@machaliakulima76
@machaliakulima76 Жыл бұрын
Mimi ni mkristo sili kwasababu ya afya ya mwili, minyoo wake wanafika zaidi ya mita moja.
@MozesKalikumbi
@MozesKalikumbi 21 күн бұрын
As a Tanzanian i' m very proud of you prof. Jamal April your very talented brother
@TristanKevin
@TristanKevin Жыл бұрын
Wow my best series ever 💯
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Hongera Jamali profesa mim naitwa Jamila,,like sister and brother,,unazo akili nyingi Sana professor Jamali,Kwa makala hii najua wengi wataacha kula nguruwe,,ama kwer dini ya kislamu ndo din ya haki mana haidanganyi
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
kwani dini ni tiketi ya kwenda peponi au ni uaminifu na moyo watu? namaanisha who he follows Gods commandments shall inherit the heaven!!@
@gilmangeorge366
@gilmangeorge366 Жыл бұрын
Mbona mm nakula huku nasikiliza???hakuna dini bora kama ukristo kima ww upo busy mitandaoni baada ya kutulia na mume ahahah ahaaa nimekumbuka mmeo yupo kwa mke mkubwa ahahahahah
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
@@gilmangeorge366 ni anazngua uyoo
@ramlanassoro538
@ramlanassoro538 Жыл бұрын
@@christonchristian7448 ndio kumbe ujui 😂 din yakiislam ndio din yakweli ata wew unajua sema unakaza tuu👐
@Jeff-vs3oc
@Jeff-vs3oc Жыл бұрын
U Muslims u prove to be special more than other humans as if others are animals u need to understand we are equal in the eye's of God
@limitationmachinery5714
@limitationmachinery5714 Жыл бұрын
Sababu za wengi kutetea kula humu sijaona zaidi ya utamu. Ok ila utamu wa pipi mate yako mwenyewe. Ila mimi naona magonjwa mengi yanasababishwa na vyakula tunavovipenda au kula chakula kingi. Mimi kuna ndugu yangu anasumbuliwa na kujikuna na kuota vipele kwa sababu ya kula nguruwe. Walimwengu wanaelewa na kufanyia kazi
@adamsimkonda4543
@adamsimkonda4543 Жыл бұрын
Nimekula Kilo leo hakika hii ni nyama tamu zaidi Duniani😋😋
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Kitimoto tamu aisee kah
@chafimabdulbacar9902
@chafimabdulbacar9902 Жыл бұрын
Hata umbile lake la nnje tu silipendi nguruwe ni kiumbe ambacho sikipendi kabisa
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@chafimabdulbacar9902 pole yako, Nguruwe mtamu aisee na umbile lake zuri
@nasibshabani7740
@nasibshabani7740 Жыл бұрын
😀😀
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@avilapetro6179
@avilapetro6179 Жыл бұрын
Ukitafiti zaidi tunaweza sama.kilakitu nisumu Mana wengine ndio hawali lakin wanamagonjwa Kama hayo Mimi nakula tu alichokiumba mungu sio halam halam matendo mabaya.kufa nikufa tu ata ule sisimizi itakufa tu
@hosianalema7153
@hosianalema7153 Жыл бұрын
hatumuachi my wetu😂😂😂😂
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Жыл бұрын
Kwani umekatazwa mzee, Endelea tu kaka
@victorbatista659
@victorbatista659 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@hosianalema7153
@hosianalema7153 Жыл бұрын
@@juniorbachelor8296 lengo la yeye kutuonyesha madhara tu bila faida zake ni nini?
@mariamutowi7084
@mariamutowi7084 Жыл бұрын
😂😂🙌
@martinkente1517
@martinkente1517 Жыл бұрын
na wapunguze bei sasa
@eliashamis2765
@eliashamis2765 Жыл бұрын
Asante Kwa story nzuriiii lkn tusamehe nguruwe mtamu aloo eb muonje Alf utaifuta hii story 😂😂
@anzurunimakala9686
@anzurunimakala9686 Жыл бұрын
Wewe kula tu
@user-fc1im3uf8i
@user-fc1im3uf8i 4 ай бұрын
Asante Kwa elimu nzuri , Kwa mwenye akili atang'amua kweli
@user-il6ui8em5l
@user-il6ui8em5l Жыл бұрын
Iam proud to be a Muslim...Allamdhulillah
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Жыл бұрын
Nimeisha mula naleo nime nunuwa nyama yanguluwe naipenda sana😢🎉😅😅
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Jiliye tu baba wewe fata pumzi zako zinatakaje
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Gonga nyama wewe haina madhara hiyo
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Жыл бұрын
Kumbu kumbu la tauurat 14:8 ni haramu ata kumgusa
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Жыл бұрын
Amuna sitakudia kula
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Жыл бұрын
@@dastopadady2402 mashallah Allah Mungu akuongoze inaonekana ni mtu ambae ukiijuwa haki huifuata ,Mungu yupmoja nawe insha allah
@user-vo4jb8ln9c
@user-vo4jb8ln9c Жыл бұрын
Your Genius Mr Professor Jamal
@yunusmussa7980
@yunusmussa7980 Жыл бұрын
“Sema: Sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayo mwagika, au nyama ya nguruwe, kwani hivyo ni uchafu; au kwa upotofu kimechinjwa kwa jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu.” (al-Anaam, 6/145)
@KaisamFredrick
@KaisamFredrick Жыл бұрын
“A true educator always act as a facilitator of learning” your a true educator. Mungu awe nawe man
@pembemussa2804
@pembemussa2804 Жыл бұрын
Wazee wa Mdudu tujuane japo kwa likes. 👍
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 Жыл бұрын
Jazzaka Allah kheir brother jamaal keep up bro
@reubenhizza
@reubenhizza Жыл бұрын
Umeanza bangi tukanyamaza .. tusifike huku bro
@cyperthefactor6651
@cyperthefactor6651 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jean-Robert
@jean-Robert Жыл бұрын
Mimi nitaendelea kula nguruwe hadi mwisho wa maisha yangu nakupenda sana kiti moto ivi unajuwa utamu wa nyama yake ?❤❤
@mahadboy5124
@mahadboy5124 Жыл бұрын
Mungu ajalie utakapo kula tena kwa mara nyengine ayo madhara yote yalotajwa apo uyapate
@mohatz7161
@mohatz7161 Жыл бұрын
@@mahadboy5124 hakuna mungu wa ivyo hahahahahahahahahahahha
@festovenas502
@festovenas502 Жыл бұрын
@@mahadboy5124 uko kwenu yupo MUNGU wa hivyo au una bahatisha naww 😅
@DanielMndeme
@DanielMndeme Жыл бұрын
@@mahadboy5124 hahahha na hayawezi nipataaa
@merryjeremiah7533
@merryjeremiah7533 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@martinezkamau8668
@martinezkamau8668 Жыл бұрын
Wakenya wenzangu wekeni tik🙂
@captainb.o.b568
@captainb.o.b568 Жыл бұрын
Story nzuri sana professor jamal.keep it up nimejifunza kitu 🙏👍
@kapipoprimo8093
@kapipoprimo8093 Жыл бұрын
Daaahhhh ....katika hayo prince katega 2....anazidi kunipagawisha na kunichanganya akili na kupelekea najihisi kudata na wewe kiongozi unanimaliza kabisa 🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️ napagawa
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Жыл бұрын
Fière d'être musulmane 🥰😘😍❤
@aminata3702
@aminata3702 Жыл бұрын
Proud to be Christian 🙏🥰🥰🥰🥰
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Жыл бұрын
@@aminata3702 l'objectif de choisir mon commentaire ? Tu veux quoi ?
@aminata3702
@aminata3702 Жыл бұрын
@@lareineminah1353 unasema nini?sikuelewi tumia kiswahili au kingereza
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Жыл бұрын
@@aminata3702 we mwenyew umejibu na nimetumiya kifaransa Naku uliza ulikuwa na ulazima gani waku jibu kwenye commente yangu? Lengo leko nini?
@misagosylvestre3356
@misagosylvestre3356 Жыл бұрын
@@lareineminah1353 comment vas -tu madame?
@user-eo7fz8qi1q
@user-eo7fz8qi1q Жыл бұрын
hii vita huiwezi mjomba!!! acha kabisa kitimoto ❤
@upyahalisi98
@upyahalisi98 Жыл бұрын
Hatuli nguruwe tunakula nyama ya nguruwe hakuna alichoumba muumba ni najisi mwanzo1:31 ila kwa matakwa ya imani ya mtu imetafsiliwa hivyo.
@jackrenesanga3889
@jackrenesanga3889 Жыл бұрын
😂😂Nimecheka
@alvinmandu6321
@alvinmandu6321 Жыл бұрын
Naanzaaje,ooh Mimi naanzaaje..kuacha nyama ya nguruwe ..mwenzako siweezi😢
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
😆🤣🤣
@jackrenesanga3889
@jackrenesanga3889 Жыл бұрын
😢😢😢
@tiffusumaiya1342
@tiffusumaiya1342 Жыл бұрын
Asante jamal aliesikia kasikia so ni chaguo lako kula ama kuacha
@letishiarespicius5440
@letishiarespicius5440 Жыл бұрын
Jamal we love you bro😭👋❤️😘🤗👍
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 Жыл бұрын
Hapo mwanzo ulipotamka katikatiyao kunawaumin walichanganyikiwa nimekuelewa sanaaa
@assateke7199
@assateke7199 Жыл бұрын
Better to be informed not influenced~ Judge on what you understand! Keep it up~Jamal-deen🇹🇿
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
Harafu utafiti inawezekana kweli umefanya ukasoooma lakini logic si kurithi magonjwa kulingana na uukuwaji wa mnyama fulani mbona binadamu akila kuku ukuwaji wake huwa haudumai na kuwa mdogoo kama kuku kuna watu wanakula nyama ya tembo je? mbona hawawi wakubwa kama tembo huuu utafiti umezingatia nini kuniaminisha kuwa nikila kitimoto basi na mie ntakuwa mmbonge kama nguruwe vinginesvyo basi watu ni sawa kula baadhi ya sehemu za nguruwe ili wanenepe? najaribu kupata ukweli uliofichika maana kuna watu tumefuga nguruwe walaaa akuuuu hatujawahi kupata influenza hata kidogo ingawa wanasayansi hao hao wanasema mafua ya binadamu haya tunayokuwa nayo toka wadogo yanatokana na wanyama hasa ngombe hii imekaaje?
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 Жыл бұрын
Kalagaho ndugu yangu ili mradi umeambiwa tuu
@medidaudi8335
@medidaudi8335 Жыл бұрын
Neno:tufate wanasayansi watuongoze ni kosa kubw kweny dini yetu ya Kiislam. Sis hatuongozwi na sayansi bal tunaongozwa na vitabu vitakatifu. Allah akuongoze Jamal
@tanzanian8847
@tanzanian8847 Жыл бұрын
Tatizo unakurupuka. Ni bora ujue sababu kwanini ametumia hoja hiyo. Alafu lazima ujue pia kuwa hiyo sayansi pia ni elimu ya Allah s. w.
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Жыл бұрын
We jinga ukitaka kusafiri unatumia nn iyo simu iliundwa na nani?
@hafidhouulamaa4262
@hafidhouulamaa4262 Жыл бұрын
Jamal nakukubali saaaana illa natamani sikumoja nikutane nawe ili unifunze the story book Jamal Jamal Jamal huu niujumbe kwako I'm from Burundi 😊😊😊
@samsonoundo651
@samsonoundo651 3 ай бұрын
The very best jamal...❤
@michelinebosibori4027
@michelinebosibori4027 Жыл бұрын
Professor mwenyewe 🙌 you are always the best bro👍🥰
@noru9028
@noru9028 Жыл бұрын
The story book 📚 Jamal April ambao wiki Ile atujaona the book tujuane❤😊
@asantielngowi1269
@asantielngowi1269 Жыл бұрын
Prof ana deni
@Officialtirosi
@Officialtirosi Жыл бұрын
Mimi nimeanza kula nguruwe mwaka wa 1984 hadi 2023 mbona sijapata ugonjwa nguruwe mkubwa wa meze😅😅😅😅
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Tafiti za Uongo Broo Canada American na Korea & China wanaongoza sana hasa China bro wangu alienda uko kwa Kozi ya jeshi alikula nyama hio miaka 3 na Yupo frexhi mmi pia Naipiga hasa na Hakuna nyama naipenda kama io
@bonifaceomallya9201
@bonifaceomallya9201 Жыл бұрын
Nimekula nguruwe mwaka wa pili tatu huu hata hizo dalili sijawahi ziona
@MANHAJUL-HAQQ
@MANHAJUL-HAQQ Жыл бұрын
Njooni tuwapime muhimbili
@randabrenda4815
@randabrenda4815 Жыл бұрын
Elimu nzuri sana, ukweli watu huchimba kaburi zao na kujiletea madhara kupitia meno zao. Hebu tuletee ukweli kuhusu mpira na kampuni za kubet
@pascopeter7449
@pascopeter7449 Жыл бұрын
😂😂😂
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 10 ай бұрын
Xaw team konde umeeleweka😁😁😁
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Mmmmh kwani magonjwa yote haya yanatokana na nguruwe tu😂😂😂😂😂😂kazi ipo..walaji endeleeni..mtatupatia feedback,kama yaliyosemwa ni kweli😂😂
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 Жыл бұрын
Mdudu ni mtamu sio mchezo 😂😂😂
@kikotinationtv48
@kikotinationtv48 Жыл бұрын
mwanzo mwishoo najua
@mzembemakini3532
@mzembemakini3532 3 ай бұрын
Hahaha
@anthonydegodfreyii5798
@anthonydegodfreyii5798 Жыл бұрын
Nguruwe ndo mnyama mwenye wapinzani wengi duniani mpinzani namba moja ni dini mpinzani namba mbili ni wanasayansi
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Na Bado Anaongoza kwakuliwa
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 2 ай бұрын
Na bdo anawapendwa wengi😂😂😂
@MaryAlbert-zl9sn
@MaryAlbert-zl9sn Жыл бұрын
Dah! Mduduuuu
@aansjacksonskutty
@aansjacksonskutty 8 ай бұрын
Bwana weeehh!! Mi namtwanga mahsusi kabisaaaa!!😂😂
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 Жыл бұрын
You always spit facts salute jamal
@albertbiden6386
@albertbiden6386 Жыл бұрын
Ishu ya kutokuwa na wivu kwa mwenza wako ni kweli kabisa me imesha nitokea nilika kitimoto huwa cna stimu😀
@ledfashionmk
@ledfashionmk Жыл бұрын
Uongo
@SurprisedGalaxy-xt9cx
@SurprisedGalaxy-xt9cx 2 ай бұрын
😅😅😂😂
@isayarichard2162
@isayarichard2162 Жыл бұрын
Alafu nilichogundua ni kwamba wataalamu hao hao ndo walaji wazuri wa hii kitu tamu. Nitajie dokta asiekula nguruwe niko nimekaa pale🤪🤩🤩🤩
@wachimara
@wachimara Жыл бұрын
We ni chizi
@samirbaraza9799
@samirbaraza9799 10 ай бұрын
jamal huku kenya katika kaunti ya thika tunakula nguruwe kwa asilimia kubwa sana japo mimi ni mwislamu sili.
@priscusaugust7251
@priscusaugust7251 9 ай бұрын
Kula una subiri nini
@agakibelden
@agakibelden Жыл бұрын
I am a student Nurse. The facts here are real.💯 Big up Jamal.
@Gbril45
@Gbril45 Жыл бұрын
But you are not a doctor!
@agakibelden
@agakibelden Жыл бұрын
@@Gbril45 wisdom is important. But you lack.
@prosperpazah60
@prosperpazah60 Жыл бұрын
🙏🔥🔥👍
@minabuelysee8
@minabuelysee8 Жыл бұрын
Asante
@tupasesamuel2109
@tupasesamuel2109 Жыл бұрын
@@Gbril45 I’m reading comment 😂😂😂😂
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 Жыл бұрын
Kwa wale msiokula msijaribu kabisa, nyama hii ina tabia ukila huwezi kuacha, jamani ni tamu sana
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 Жыл бұрын
😂😂😂😂exactly
@aronimuranga2489
@aronimuranga2489 Жыл бұрын
Kweli ndugu
@Monstaramosi-vv3hw
@Monstaramosi-vv3hw 10 ай бұрын
Nakubali kiongoz weka mawe juu y mawe
@abudulingasa6413
@abudulingasa6413 Жыл бұрын
Mm ni mkristo ndio ila tangu nikuwe nakujitambua sijawai kutamani kula nguruwe wala kupenda wala kumfurahia ajarishi ni alali kuliwa wala ni aramu ila kamwe simpend nasto mpenda anda ndan mwanyumba yangu akika Mungu anisamehe2🙏🙏🙏🙏
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 2 ай бұрын
Amna tatz Maan sio lazima kumlaa
@kevinmakori7552
@kevinmakori7552 Жыл бұрын
I was listening to this story ,when I was passing near a butchery I saw someone buying pork😂
@mr.africanatural-super_sta1130
@mr.africanatural-super_sta1130 Жыл бұрын
Hahahahahahahahahahahaaaa
@winningcapital2313
@winningcapital2313 Жыл бұрын
😂
@kevinmakori7552
@kevinmakori7552 Жыл бұрын
@@mr.africanatural-super_sta1130 I was even tempted to go and tell him nguruwe Ni mbaya
@rogath_silayo
@rogath_silayo Жыл бұрын
Pork is not Haram!!! Haram thing is man made😂😂😂😂
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Жыл бұрын
@@rogath_silayo Mmh
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
Siachi kula kitimoto ata mseme nini😂😂😂😂
@royalsecuritysolutions5610
@royalsecuritysolutions5610 Жыл бұрын
Kitimoto tamu sana😋😋😋
@vicentedgarchipasula2393
@vicentedgarchipasula2393 Жыл бұрын
Kuna kit nmepata kwa upande wa Waislamu wao wamesema najisi binafsi wenyew bila sauti ya Mungu kwasababu zao kama ulizozitaja. Ila kwa Wakristo ile najisi ni iliwekwa na Mungu mwenyewe kwa wana wa Israel lkn pia ilitolewa na Mwana wa Mungu mwenyewe, tukumbuke agano jipya linawaweka wakristo chini ya Neema ya Mungu na sio chini ya sheria tena.
@yahyamohamed1831
@yahyamohamed1831 Жыл бұрын
Wa Kwanza Leo mm 👑
@estatekisombola9251
@estatekisombola9251 Жыл бұрын
Uwongo bwana nguruwe na halali hoyaa wanangu kuleni chuma hicho🇨🇩🇭🇲🇭🇲
@DanonoTiktik
@DanonoTiktik Жыл бұрын
😂😂
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Жыл бұрын
Japo umechambua ila Sina imani maana ww mwenyew kabla ya kuchambua ni mpingaji wa nyama ya nguruwe.Naomba ulete uchambuzi kuhusu nyama ya kasa maana imehalalishwa lakini ndo inaongoza kwa kuuwa watu kila siku kwa kuwa ina sumu ila kwa aibu waliyo nayo wapinga nyama ya nguruwe hawajawah kuikosoa nyama ya kasa.Naomba ulete uchambuzi wa kula nyama ya kasa ili twende sawa
@dismaskimario389
@dismaskimario389 Жыл бұрын
Kila kitu kinaua....Chagua kitu cha kukuua bhana maisha yaendelee. Pombe inaua, zinaa inaua, nyama inaua, mazoezi yanaua, magari yanaua, umeme unaua,
@luobae4128
@luobae4128 Жыл бұрын
ukweli
@mzembemakini3532
@mzembemakini3532 3 ай бұрын
Kabisa kaka wanapondea
@chandleissa3969
@chandleissa3969 Жыл бұрын
Hakuna Aya inayosema nguruwe halali wameleta ujanja tu sasa nakala inahusiana nn mbele ya vitabu vya Mungu
@Chive594
@Chive594 Жыл бұрын
Rudia tena kusikiliza utamuelewa ❤
@user-bw1ys3jo2e
@user-bw1ys3jo2e Жыл бұрын
I always like your findings Jamaal, you best in what you do salute..
@kombo97
@kombo97 Жыл бұрын
Bro uko vzr sanaa you always talk facts Nguruwe ndio nyama tamu zaidi duniani haipingwi📌
@toret8327
@toret8327 Жыл бұрын
Asante sana prof, naomba utufanyie video kama hii inayoangazia kutumia miraa au jaba
@saddamhussein9054
@saddamhussein9054 Жыл бұрын
Story book nakubali kaka from Mombasa Kenya 🇰🇪
@aminaally7622
@aminaally7622 Жыл бұрын
Kila mtu afate imani yake sisi kwetu haramu ambao imani yao wanasema halali basi wale hamna sababu ya kugombana kila mtu afate akili yake uzur ubaya wataona wenyewe
@amanichanga3448
@amanichanga3448 Жыл бұрын
Hakuna kitabu ambacho kimesema sio haramu, vyote vinasema ni haramu
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
​@@amanichanga3448 una uhakika? Nioneshe hilo andiko Kwa injili
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Жыл бұрын
​@@madetetv6576kumbu kumbu la taurat ,14:8
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 Жыл бұрын
​@@ambarnelly6071uko sahihi man , hakuna bible iliyosema nguruwe ni halali
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 Жыл бұрын
Iyo biblia inasema haramu......
@user-iu7tw9od9t
@user-iu7tw9od9t Жыл бұрын
Jamal Allah akuhifadh kuwa makini na dunia
@user-br3ym3ee7t
@user-br3ym3ee7t Жыл бұрын
Jaman
@jomiAfrica
@jomiAfrica Жыл бұрын
Kaka jamali najua mm ni mtu ambae sijulikani sidhani kama comment itasomwa na ww ninaomba story ya msanii wa marekani lil uzi vert kama itaua gumu mm ntakulipa hata kiasi cha fedha kidogo nilizo nazo
@sircomplextz
@sircomplextz Жыл бұрын
Profesa umepiga panapo uma..... 😂 Hongera sana kaka.
@ntakirutimanasidra1637
@ntakirutimanasidra1637 Жыл бұрын
Kabisa 😅😅😅😅😅
@phieh
@phieh Жыл бұрын
My wetu vta vyako ni vkubwa mno ila utavishnda😅😅
@allyshabani4151
@allyshabani4151 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@madamanney
@madamanney Жыл бұрын
😂😂
@sirangoclassic9555
@sirangoclassic9555 Жыл бұрын
Asante professer Kwa simulizi tamu
@RayKakule-yg9fx
@RayKakule-yg9fx Жыл бұрын
Nguruwe ni Safi kabisa Jamal Mustafa
The Story Book: ''Tufanye Mapenzi Ufe '' Kisa Cha Tiger Jike.
36:53
Wasafi Media
Рет қаралды 307 М.
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 22 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 57 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 56 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Ufugaji wa nguruwe kisasa.
34:35
ITV Tanzania
Рет қаралды 49 М.
9 - قصة نبي الله يوسف عليه السلام - عثمان الخميس
3:16:50
Dr. Othman Alkamees - الشيخ الدكتور عثمان الخميس
Рет қаралды 151 М.
Yohana 11 "YESU AMFUFUA LAZARO" ▪️▪️ by Frank Masembo
8:07
MASEMBO GOSPEL LIBRARY
Рет қаралды 3,5 М.
كيف تنجح العلاقات مع ياسر الحزيمي | بودكاست فنجان
3:03:09
Кошкокрад и котики #юмор #рекомендации #прикол
0:31
腹黑小天使把黑天使整惨了#short #angel #clown
0:20
Super Beauty team
Рет қаралды 33 МЛН
PUT CARDBOARD TOOTHPASTE ALL OVER ONE’S BODY!#asmr
0:40
HAYATAKU はやたく
Рет қаралды 22 МЛН
Happy 4th of July 😂
0:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 61 МЛН
When dad sneezes 😱😵‍💫 LeoNata family #shorts
0:26
LeoNata Family
Рет қаралды 11 МЛН