Mashaallahh mashaallahh . hongera shekh inapendeza Sana ♥️
@AbusalimButchery8 ай бұрын
Dadaangu unapendeza sana ukivaa hivyo nakupenda kwaajili ya Allah❤
@HameedaHh-y5y8 ай бұрын
Mashallah mashallah honger kwa msimamoo mwanaume ni kichwaaa cha familiaa
@aliakidiva70607 ай бұрын
Umesema ukweli bro sule Allah kisha ukuwe na namsimamo kama mume tuko pamoja Niko na wawili natarajia kuongeza In shaa Allah
@KhadijaAli-e7e7 ай бұрын
It's all about psychological issue basing on faith ❤
@zayumar29558 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah ukewenza raha yake wote muwe na dini na pia pesa iwepo (Sheikh Sule 1 akitoka naomba nafasi😅😅) hapo hakutakua na shida sio wengine wanajua suna ya kuowa tu huduma 0 matokeo yake ndio hayo kutesa watt wawatu na kuona ukewenza haufai
@Mrs.Mumewangu8 ай бұрын
Ujakufika ukajua. Dk sule kwanza kawapiga kisomo apo awajielewi 😂
@zayumar29558 ай бұрын
@@Mrs.Mumewangu hapanaaaaaaaaaaa bana ukewenza Raha yake mume awe na pesa na pia nyote muwe na Iman ndan ya mioyo yenu vinginevyo hamtoboi hata kama pesa iwepo
@BIGBOSS-hl3bu8 ай бұрын
Wanawake wanaojiuza WANAWEZA KUKAA na bwana mmoja tena Kuna muda wanashea mabwana na mashoga kitu ambacho ni uchafu zaidi ya uchafu lakini huku kwenye kheri na barka mnaona jambo baya ndio maana masingo mother wamejaaa na wanazidi kila siku
@Mrs.Mumewangu8 ай бұрын
@@BIGBOSS-hl3bu kumbuka wanawake wanaojiuza awajainvest mapenzi yao pale. Wanajua ile kwao kazi akija mteja mmemalizana hapa katika ndoa kuna jambo kama penzi tusiwe waongo kushare mapenzi kunauma, kumbuka uyu ni mtu alopanga nae maisha na vitu vingi, kuna watoto unaanzaje kuona mwanamke mwengine anapendwa na mumeo? Sio rahisi wanaume msioijua dini ndio mnaona rahisi dini yenyewe imesema wazi sio jambo la rahisi apo panatakiwa ushirikiano Mkubwa sana kutoka kwa Allah kuweza kuwatia wale wanawake moyo wa kustahimilia, kwa hio usiwachukulie wanawake Wabaya, angalia wanaume wengi waliobobea kwenye dini wanabakia na mke mmoja na sio kwamba hawana kipato, kipo lakini wanajua ni mtihani na pia wanaume wengi wanapata dhambi sana katika ndoa ya mathna, ni ngumu sana kupenda wanawake wote sawa lazima moyo utazama kwa mmoja. Walio na nyoyo za subra watavumilia wasio weza rukhsa kukata dini haijalazimisha uke wenza mnaolazimisha ni nyinyi tu
Nashukuru mungu Mimi Nina wata3 naishi nao pamoja tena Kwa amani kubwa ila wananisema sanaaaaaaa.
@MashakaRashid-fw3xu8 ай бұрын
Mashallah dr sule❤
@RizikiZiki8 ай бұрын
Masha Allah mungu awazidishiy mapenzi yenu
@شيماء-ج8ط8 ай бұрын
Allahumma Amiin Amiin yaarab Amiin
@HeryethPheneas8 ай бұрын
Sasa mm nashangaa ndo za waislam afrika wanajali Sana uke wenza ila Waarabu Sasa huwa nacheka wanavimba uwiiiiiiiiiiiiii 😂😂😂 kuna madam wangu hapa mwambie Sasa uke wenza umuone povu 😅😅😅
@HalimaAlly-dt5lm7 ай бұрын
Mashaallahh ❤ mm nimwislam lakin uke wennza nauogopa sana kwasababu niliolewa nikateseka sana
@gellefaroolemahamed8964Ай бұрын
Ulikuwa uko mke wa pili mmmh pole😅😅bora niwe wakwanza😂
@AllyRamadhani-wl3um8 ай бұрын
Wewe unaesema hutaki ndoa za kushea huenda labda unae michepuko kibao Bora mmeo aoe kwani haki kuoa na kuolewa
@شيماء-ج8ط8 ай бұрын
Asaaaante Kweli kabisa maneno yako
@barackamosi41167 ай бұрын
Niumalaya 2 huo
@hamzaamry62518 ай бұрын
Mimi nimeoa wake wawili na wote naishi nao kwenye nyumba moja ila kila mke ana chumba chake na wanapendana sana Allah aniongoze katika ndoa yangu
@RahimaMct-ik8mr8 ай бұрын
Allah wanariki wazid kupendan
@RahimaMct-ik8mr8 ай бұрын
Allah wanariki wazid kupendan
@athumanimgumia72094 ай бұрын
Hapa kuna somo kubwa, baadhi hawawezi kuishi pamoja siku nne tu, kumbe sababu ni kutokuielewa dini, ni kweli miaka 20, una wake sio mke alhamdulilah, inafaa uwe unatupa elimu ya kuishi na wake, hili ni tatizo kubwa kwa dunia ya sasa, nadhani anzisha kipindi katika TV
@MussaThomasmassawe-ji9hv7 ай бұрын
Wewe ukubali ukeweza mbona yakobo alikuwa na wake mussa liowa wake wawili Kama unataka mume moja wewe sio mwanamke unaijuwa dini ya kislamu
@MussaThomasmassawe-ji9hv7 ай бұрын
Mtume Muhammad SWA rasuulallah tutapata thawabu alikuwa na wake Bibi hadija aisha na wengine
@ChristinaMayanga8 ай бұрын
Hongera kaka ila wajengee kila mtu nyumba yake itapendeza zaidi.
Yawezekana Bora Tu upate Wenye Kuifahamu Dini vilivyo... Controller ni Mume siku zote MashaAllah Sunnah tul Nabii
@georgeslupopo62158 ай бұрын
Mungu akuokowe katika maisha ya uzinifu, umujuwe Yesu-Kristo kua bwana namokozi wamaisha yako
@IbrahimIbrahim-cl5jw8 ай бұрын
ACHA ujinga
@kautharjay58688 ай бұрын
haha upo sawa kwel?? ndoa ni uzinifu
@MariamAlly-hk7io7 ай бұрын
Dini yake sioyako
@AbuuZalmay7 ай бұрын
Sasa ww unaleta mambo ya yesu na hakuwai kuoa unataka tupige punyeto au🤔tafuta dini kwanza alaf uje ukoment
@najatramadhani63008 ай бұрын
Mashallah hongera sana
@FatiuHussein7 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤
@shamsaalsalamy51598 ай бұрын
Baba yangu aliishi na wake 4 tens nyumba 1 na mpaka wamehitimishana, inatakiwa busara za mume wao tu. Kwa hiyo si ajabu dr shule kuishi na wekeza 4.
@Allybinamour8 ай бұрын
Gig up dkt sule,mimi nipo nyuma yako saiv nna wawili napambana nipate 3😂😂😂
@شيماء-ج8ط8 ай бұрын
MaashaAllah nakuomba uchukue mafunzo kwa wenye uzoefu ambao wamekutangulia kama Dr.Sulle. Ninamuomba Allah akuwezeshe na akupe nguvu na imani.. Amiin yaarab Amiin
@Allybinamour8 ай бұрын
@@شيماء-ج8ط amin amin amin. jazakallahu khairaaa
@bradleykhanei40928 ай бұрын
Dk Sulle, Aya ya ndoa, maulamaa wameigawanya katika tafsiri 4: 1) unaweza kuoa wanawake 4 2) wake 9 3) wake 18 4) zaidi ya wake 18 Kama unavyojua, mafundisho yote yana maoni na ushahidi wao wenyewe. Hakuna mtu anayeweza kusema kwamba wale wanaounga mkono maoni ya wanawake 4 ni sawa! Katika Uislamu, kila rai inazingatiwa, kwa sababu mafundisho yote yamejitahidi kufikia maamuzi yao kwa njia ya uwezekano!
@KhadijaChogogwe7 ай бұрын
Maashallah
@fatumamwande28338 ай бұрын
Mashallah,❤❤❤❤
@maryamathman89178 ай бұрын
Wallahi uke wenza wataka moyo kwakweli
@شيماء-ج8ط8 ай бұрын
Hamna lolote ukewenza ni mapenzi ya ndugu na madada kuishi pamoja.. Ukiwa Muislaam wa kweli na ukiwa na imani ya kweli.. Basi sio kazi Unaishi kawaida tu.. Kwani imeshaamini kuwa mwenye kuruzuku ni Allah peke yake na hana mshirika..
@SaidHassan-ot3un8 ай бұрын
@@شيماء-ج8ط inaonyesha-unaupenda?
@SalamaJuma-mg3ru8 ай бұрын
Ahsante
@madamshifaa85038 ай бұрын
😢😢😢yarabi nisaidie, nina moyo mwepes jaman nitashindwa mie
@assfzainab9128 ай бұрын
Pia mie😂😂 cyawezi mungu nisamehe
@THEWATCHMENOFZION-s4r4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ShehaHaji-k8t8 ай бұрын
Saluti to u I'm coming there
@MngwaliAllykizangwa8 ай бұрын
Kama wana dini ndani yao wanakaa sana pamoja.
@aairraahseif56488 ай бұрын
Sio wote wenye dini na wanaroho safi,baadhi ya wenye dini wanajionesha nje wanadini"lkn niwanachoyo na roho mbaya kwa wenzie! Na utakuta hamuwezi mume na hayawezi yote ktk Ndoa
@CikeTanzania8 ай бұрын
MashaaAllah
@ackimackim18808 ай бұрын
UKIZAMA SANA KTK UISILAM UNAKUA NA MAMBO YA HOVYO,UJINGA WA MAMBO KAMA SULE.KWA YESU TUNASTARABIKA SANA, ASANTE YESU.
@AbdallaKhalfan-ic5ek8 ай бұрын
Uislamu ndio dini ya haki huwezi kuwa wa hovyo hata siku moja
@ackimackim18808 ай бұрын
Dini sio njia ya kwenda mbinguni,YESU tu ndio njia ya kwenda mbinguni, Dini hata wachawi Wana dini,Hadi wavuta bangi Wana Dini.
@AbdallaKhalfan-ic5ek8 ай бұрын
Dini ya kiislamu ndio ambayo itakusaidia kupata mafanikio katika mwisho wa maisha Yako sio yesu ni mtu sio mungu ,Mungu ni Moja TU Hana mfano wa sifa ya viumbe alivyo viumba kwa hio yeye ndio mfanyaji na mpabgaji wa Kila kitu
@suleimansoud27838 ай бұрын
MaaShaaAllah
@SalmaBashingwa7 ай бұрын
Mm ninamke mwenzangu hatujahi kuongea toka nimeolewa mm nickel mdg
@maryamtanzania97437 ай бұрын
Jamani wallah napenda uke wenza kwanza mme kila siku humkinai na wala huwezi kumnyima usiku manaje ataenda kulala kwa mke mwingine akija lazima utamfurahia tu lskini kila siku mko wawili tu lazima mtachokana
@شيماء-ج8ط8 ай бұрын
Kikweli kabisa maneno yako ya murua na ya imani ya kweli uke wenza ameujaalia Allah.. Ameelezea kwenye surat Al Baqarah
@nancyenock56018 ай бұрын
Naona wanaokataa ukewenza wote ni waisilam hapo ndiyo ujue mapenz hayagawanyki
Yuko Sawa shehee wangu mimi mwenyewe mwaka waa12 atujawai gombana atuna pesa ira tunaishi kikubwa kuondoa umbea wauku kupereka uku
@aishakinia49578 ай бұрын
Comments zitaniua😂😂😂😂Dr sulle ayo ni maamuzi yake haimaanishii kila mwanaume aige mfano wake Laa wanaume watofautiana jamanii
@Bless-sk8uv7 ай бұрын
Lazima tuige coz ni jambo jema kuna elimu tunajifunza
@saniairadukunda44008 ай бұрын
Mmh minapenda kweli ila hio yakukazwa nyumba moja hapana kweli uongo zambi sintoweza
@SaidHassan-ot3un8 ай бұрын
Kukazwa-tena!
@Bless-sk8uv7 ай бұрын
Unakazwa vipi?
@SelemaniMndai-ox8dy8 ай бұрын
Swadakta 💯💯💯👏
@piuskusenge-jf2ob8 ай бұрын
😂😂 Pretend, Shekhe naona kimagharibi kwa sana😂😂
@bintomar86538 ай бұрын
Nyie mnao sema kwa yesu kuna raha unaoa mke umevaa pete kidoleni na bado unatoka nje muogopeni mungu sio kuwasema waisilamu vibaya heri yeye kaoa wake wa nne kuliko wewe ulieoa mke mmoja na ukiviona vya nje mate yakudondoka.
Daah.h0ngera.ila.ww muisla.vizuri.ila wapo.ambao wanakutia presha hadi imani hututoka
@pilimwanza81178 ай бұрын
Wanaume wengi wanaowa kwa tamaa tu km huna pahala pa kuwaweka kuna haja gani ya kuowa wanne kisha uwakusanye km kuku.kuowa zaidi ya mmoja ni uwe muadilifu uwapende na kuwatendea haki sawa lkn kuwakusanya km sardine hapana kwa kweli
@sheemaryam8 ай бұрын
Kama hawana shida ni sawa ata othman Michael akona wawili na wanaishi pamaoja
@HeryethPheneas8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kati ya comment zote umetisha
@tanzcanmediatv44738 ай бұрын
Wanajificha kwenye uislum uzinifu wa hali ya juu
@GoldDolan8 ай бұрын
Huez elewa life style kwa siku moja 😂😂😂
@EricaBizuru-jp9by8 ай бұрын
Wasafi ebu muibeni huyu mdada naona anakuja vizur katika kufanya mahojiano
@mmassyferguson49598 ай бұрын
Hongera sana dr sulle
@MariamIbrahim-h7p8 ай бұрын
Iyo moja mm sitaiweza ata km niko muislamu siwezii uke wena
@jumaevarist91038 ай бұрын
Roho mbaya tu
@شيماء-ج8ط8 ай бұрын
Kwa hiyo kwenye kumuamini Allah na mwenye kuwa na imani ya kweli kabisa baai hawezi kuyapinga maneno ya Allah ambae ametuamrisha..
@MustafaAlly-su4dp8 ай бұрын
Mmh huyu shee ana shida,hapendi kusoma dini ila anapenda kuongea sana.Atwambie Mtume swalallahu alyhiwassalaama alifanya hivo au lifundisha hivo, kuwaweka wanawake w4 nyumba1
Mashallah Tabaraka Allah hongera sana Sheikh ninavyotamani ndoa mm jamani hata nikiolewa wa nne pia nitafurahi wallahi tena
@Helal_gameHlalFimely8 ай бұрын
Allah atakupa inshallah
@MaimunaSikumbili8 ай бұрын
Uje kwangu
@شيماء-ج8ط8 ай бұрын
Amiin Allah Wallahi unaweza ukawa umeolewa upo peke yako kwenye ndoa Lakini ukawa huna raha wala amani kwenye ndoa yako.. Na ukawa umeolewa upo kwenye ndoa ya uke wenza na mukaishi kumdhibiti mume wenu na mukawa na umoja mukaishi kwa raha na Aman❤i❤
@AdolflazaroKanehenehe8 ай бұрын
Acha umalaya
@ImaMohd-lp3cs8 ай бұрын
Na mm mung anijaliye niwe kama shehe sule
@sonofmary-ro2bt8 ай бұрын
Huyu sule ni mchawi afadhali ndacha kafiri muhubiri wa kikristo
@RemmisonSangatiti8 ай бұрын
Alafu et anajiita mtu wamungu wakati anaonekan kabsa ni muhun tu mungu atusaidie Sana Mana waislam weng wanamwamin hyu jamaa alaf nimganga wakienyeji daah mungu atuhurumie sanaa
@MariamAlly-hk7io7 ай бұрын
Haikuhusu sio muumini meenzako angalia yako
@Zuhura-o5v3 ай бұрын
Uhuniwake uko wap apo
@NasibuAlban8 ай бұрын
Raha sana
@mohdbest58598 ай бұрын
huyu sule alikuwa mpole Sana lkn kwa sasa media zimemteka na amini usiamini sule ukizidi kuendekeza hizi media utajishushia hadhi maana sasa hivi mara ona mjengo wa sule mara unamiliki vx mara natongozwa sheikh mzima unaongeaje pumba kiasi hicho‽ sasa ushaanza kuongelea wake zako wakati kina mufti wapo kitambo hawaongei wake zao
@TpPt-do5vg8 ай бұрын
Kwani Shida gani hapo kuelezea kuhusu Ndoa, mbona hata mtume Muhammad s.a.w. Imeelezewa wake zake au ujasoma weye,.
@DenisNestory4 ай бұрын
Umalay tuu
@AgnessMsacky8 ай бұрын
Wake zako wafungulie. Biashara. Zao. Kila mmoja hapo. Wajitume. Kupata pesa bila kutoka kwako itapenda.
@jumaramadhan59038 ай бұрын
Sister nakupenda na ninataka ku kuoa je tuna weza kuongea kuhusu hili
@khadijaamiri66298 ай бұрын
Lait mngejua ndani ya nyumba ya dr sulle msingeaongea
@KulwaHabib8 ай бұрын
😂
@ashahassan21208 ай бұрын
Ibilisi ni wewe kama mume anamsimamo make vizuli sana ilawengi choyo anaroho mbaya
@israelkisaila84018 ай бұрын
Mtu mwenyewe kanyata😂
@TpPt-do5vg8 ай бұрын
Nampenda huyu dokta suley yaani sio muoga
@kitaaofficial41198 ай бұрын
Anautaka sana huu Umbea😂😂😂
@masoudalriyamy62988 ай бұрын
Pesa unazo bila ya pesa wasengelikaa hata sekunde 1
@yasminjuma91468 ай бұрын
Kweli
@AbuuZalmay7 ай бұрын
Mbona mtume alikuwa maskin na alikuwa na wake 9 na hajawaacha
@yukundapeter82008 ай бұрын
Kisakalogia.Nakuja mimi mke wa 5
@fridalyanguka17338 ай бұрын
Wake wote hao wa nini ni tamaa tu
@dastaniguni55998 ай бұрын
Shekhe anawapiga kamba Mkubwa anakaa peke ake bhana na wale wengine wanakaa wawili huyo mmoja sijui kaoa lini
@Mrs.Mumewangu8 ай бұрын
Dr. Sule asiwafanye wanaume wengine kujiona wao sio wanaume, huyu kawapiga visomo vibaya mno apo awajielewi kwa hio kaka zangu msijione hafif. Mimi hapa nilikua mchumba kwa shekh mkubwa na alikua hana mke, nikaja kukuta msg akiongea na mwanamke mwengine akimwambia baada ya kunioa atamuoa, mwanamke kamuuliza je atakubali kamwambia kuna dua uwa wanafanyiwa kwa hio nitatulia tu. Kwa hio wanaume wote mnaowaona wanajifanya wameweza wanambinu wanatumia... Kwanza uyu Dr sule hana dini yuko kibiashara zaidi. Angalia mashekh waliobobea kwenye dini wanaogopa Sana hii sunnah sababu watu wanaichukulia rahisi lakini wanaume wengi wanapata dhambi sana katika mathna. Hala Dr sule wacha uongo wanawake atupendagi waume za watu tunapenda huduma. Ebu Leo mpunga up ungesema ndio utajua ukweli
@bintsalimalbimany2877 ай бұрын
Nakuamin Huyu Dokta sule Anamapete Anasema kuna pete za Risk sijui zanin na hayo pia anayaweza Allah atusameh 🙄