MJENGO ANAOISHI DJ ALLY B NI NOMA, ATUMIA MILIONI 200 KUUKARABATI TUU

  Рет қаралды 65,777

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@worldtrends8183
@worldtrends8183 10 ай бұрын
Renovating a rental house for 200 million is absurd, that amount is enough to build a classic house of your own...
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 10 ай бұрын
ally, usijali kaka yetu Mungu bado anakaa kweny Kiti cha Enzi Atakusaidia wee mtumanini kila siku na Kumtukuza. Atakupa
@Igauf3
@Igauf3 10 ай бұрын
Bibi ! Mama ! Mjukuu ! Let the uncles and aunties handle. That’s not his responsibilities. Dj Ally B -the best entertainer. Kudos to Kayla said it well, you can’t build for everyone.
@GiftAbduly
@GiftAbduly 10 ай бұрын
Hii nyumba n yake bwana hongera dj mafanikio yanatakiwa kua sir ukija kujionesha umejipata haswa kma hivi waroz n weng .......
@hassansalum2572
@hassansalum2572 10 ай бұрын
Yake kaipata wapi?
@GiftAbduly
@GiftAbduly 10 ай бұрын
@@hassansalum2572 unataka kujua Kila kitu kinakuhusu??
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 10 ай бұрын
200 Akili Matope Wakati Nyumba Mjiji Baada Ya Miaka Michache Mbele Utaingiza Zaidi Ya 500 Au 600 Nyumba Na Kiwanja Ujui Kuwekeza
@MateiPs-kr9tg
@MateiPs-kr9tg 10 ай бұрын
Ally b n 🔥🔥🔥 wakuotea mbali kataa2 w mwenyew
@MOVIEZONE-uy7yu
@MOVIEZONE-uy7yu 8 ай бұрын
Ukiongelea 200M its enough for having a house hapo jamaa kaficha ila mjengo ni wake tu huu sema nimejifunza kitu ni bora uonekane low always
@ngido255
@ngido255 10 ай бұрын
Hii nchi Kwan Hawa watu wanatuchukuliaje😢 eti milion 200 kuongeza unyama nyumba ya kupanga
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 10 ай бұрын
Umasikini na wivu na hasadi huwezi fanikiwa kwanini uteseke tafta pesa
@josephlugala3182
@josephlugala3182 10 ай бұрын
Waswahili wa mtandaoni ,,hawezi kujengea ukoo acheni upuuzi
@kingmorhano189
@kingmorhano189 10 ай бұрын
Good inspiration
@geraldguda
@geraldguda 10 ай бұрын
Ila wasanii🙌🙌
@godsson5954
@godsson5954 10 ай бұрын
HUYU HANA HATA MIA NI MUIGIZAJ TU TUNAMJUA MAGARI ANAKODI NYUMBA ANAKAZO KAA SIO YAKE HAHHA
@cardozojonas9239
@cardozojonas9239 10 ай бұрын
Sasa hana hata mia alf nyumba anakod gar anakodi imekaaje hiyo mbn sio unyama😅😅
@Tumain-Kulubone
@Tumain-Kulubone 7 ай бұрын
Tafta hela hizo chuki hazitakusaidia🤣🤣
@jonhwamaratv
@jonhwamaratv 6 ай бұрын
Sasa hizo nyumba na gari anazikodi vp wakati umesema hana hela huoni na wew unatudanganya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha chuki bila hela huwezi kukodi chochote
@strong8534
@strong8534 10 ай бұрын
Innovation eti ukarabati
@blackwarrior-animations593
@blackwarrior-animations593 10 ай бұрын
Renovation...elewa
@eliahmbano2414
@eliahmbano2414 10 ай бұрын
Fact sana
@padlockofficial9384
@padlockofficial9384 10 ай бұрын
Wakifa hatutaki millady ayo apost wanaomba msaada kukamilisha matibabu 😅😅😂
@MatildeBjelland
@MatildeBjelland 10 ай бұрын
Akifa anatibiwa VP tena
@twotimes503
@twotimes503 10 ай бұрын
​@@MatildeBjelland😂😂😂😂
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 10 ай бұрын
Athumaniiiiiiiii 😊
@vanessajumawarotwa8615
@vanessajumawarotwa8615 10 ай бұрын
Yani u renovate a rent house for 200M while you can building your own 🙄 Niuongo gani huu mweupe please give us a break
@maryamtan682
@maryamtan682 10 ай бұрын
Ukiona hivyo ni ya kwake na ajapanga ila Kuna watu awapendi kujionyesha km wanamiliki ml, sio km akina mwijaku, kujitangaza kuwa una ml Kuna madhara asikuambie mtu, tena kwa Dunia hii ya Leo.
@chrissjapheth2803
@chrissjapheth2803 10 ай бұрын
Dada amesema kwamba anampango wa kuinunua what if ameshalipia maybe 50% of it....
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser 3 ай бұрын
Itakua nyumba ni yake
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 10 ай бұрын
Ukipata kazi wcb lazima uvae jisuliali kubwa
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@kwisa4899
@kwisa4899 10 ай бұрын
Trend ya nyumba sasa hivi ,baada ya kutoka kwene Jet
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 10 ай бұрын
Nyumba yake mim ndio Dalal nliyemtaftia eneo
@nyagimkama2181
@nyagimkama2181 10 ай бұрын
Icho nichuma
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 10 ай бұрын
Not hali b ni allyb
@shahiduhamada9229
@shahiduhamada9229 10 ай бұрын
Sasa ally.b.kama.hivo.si.mjengee.mama.pia.umtoe.kwenye lile.pagalaa
@Mkinga_og
@Mkinga_og 10 ай бұрын
Wakuu ni hivi pesa za hawa jamaa ni za mmiriki tu. Ndugu hawez kuzifurahia pesa za hawa jamaa wako wengi sana nyie wafuatilien ndugu zao muone wanaishi maisha gani
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 10 ай бұрын
Sahihi kabisa
@kwisa4899
@kwisa4899 10 ай бұрын
Tajiri anasafisha uwanja
@abubakarikasamwa5792
@abubakarikasamwa5792 10 ай бұрын
Sf sanaaa dj allyB
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 10 ай бұрын
13:08 mkaona mueke na nyimbo ya Simba kwa vile tu ni mkurugenzi🤔 kwanini msieki nyimbo ambayo Ally anapiga miluzi??😏
@raymondgikaro5818
@raymondgikaro5818 10 ай бұрын
Baba tu wa boss wako anapokaa apaeleweki
@HajiHabibu-tf4ig
@HajiHabibu-tf4ig 10 ай бұрын
We mchaga kaza mdomo huo msenge wewe alafu bibi sio yule alie kuzalia mama ata alie kuzalia baba nae bibi mshenzi wewe uyo dada ndo ana takiwa alegeze mdomo sio wewe au umesha legezwa nini
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 10 ай бұрын
Watu vyanzo vingi mjini Nyie
@salimbilali5174
@salimbilali5174 10 ай бұрын
Uko bongo na ilo joto jumper za kazi gani au ndio izo PR
@henryminja3145
@henryminja3145 10 ай бұрын
Adi renovation mna translate 😂
@jonhwamaratv
@jonhwamaratv 6 ай бұрын
Unaumia ikiwa Kenya kijiji gani😂😂hutaki tutafsiriwe
@vibetz9991
@vibetz9991 10 ай бұрын
Nachukia uongo wa watu maarufu
@issackathman850
@issackathman850 10 ай бұрын
acheni uwongo bana sikuile yuko.kwa bibi yake yuko na shida
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 10 ай бұрын
.mchaka ushaanza kuongea kama juma lokole😢
@IbrahimShan-qu3um
@IbrahimShan-qu3um 10 ай бұрын
Itabaki kua yake x hai2husu
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 10 ай бұрын
Muchaga shoga nyooo kaniuzi
@kelvingauza703
@kelvingauza703 10 ай бұрын
nimjengee mjomba haaaaaa
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 10 ай бұрын
Milioni miambili si ungejengaaa Yako au
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 10 ай бұрын
Huu mjengo Utamfunga Mdomo Mama Mwijaku..Mwijaku Njoo utazame Hii bw*ge
@chiriccmabobo8746
@chiriccmabobo8746 10 ай бұрын
😂😂
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 47 МЛН
DUNIA (Ep 31)
23:34
ASMA FILMS
Рет қаралды 44 М.
THE JUNCTION S1:E43 | DJ ALLY B & JACQUELINE LAWRENCE
2:13:52
iRoc Networks
Рет қаралды 43 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН