🔴

  Рет қаралды 7,904

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@LauraShihafu-t9m
@LauraShihafu-t9m 14 күн бұрын
Tatuu haimaanishi haumdhamini mungu dada bella ww nenda mbele wachana n binadamu y ulimwengu n mengi jitie moyo mm nakupenda sana, Much ❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LucyMkimala
@LucyMkimala 13 күн бұрын
Nakupenda sana Dada Bella na nyimbo zako zinanibariki sana , nikisikilizaga nyimbo ya unifinyange waga najikuta uwepo wa Mungu unashuka, mwenyezi Mungu akulinde na kukuinua Kwa Jina la Yesu.
@anthonykayanda6434
@anthonykayanda6434 15 күн бұрын
Shika neno,tenda neno. Na lolote ufanyalo kwa neno au kwa tendo, fanya katika jina la Yesu, ukimshukuru Mungu katika yeye. Wakolosai 3:17, Mungu zaidi kwa kila hatua
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew 15 күн бұрын
Mungu aendelee kukutumia apendavo na hekima ya Mungu isiondoke ndani yako nakupenda sana dada angu huduma yako ni njema sana
@Babyjay-x1v
@Babyjay-x1v 5 күн бұрын
Apo umeongeya ukweli dada mungu aku bariki nishabiki wako❤ kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩
@MarthaMeshack-gi8bw
@MarthaMeshack-gi8bw 14 күн бұрын
Mungu akubaliki sana dada bella ❤
@rosemsacky1337
@rosemsacky1337 14 күн бұрын
Bella nakupenda sasa dada Mungu akusaidie tyuu ufikie mahali Mungu ametaka shetani asikushinde
@KiT.KaT.Cute.
@KiT.KaT.Cute. 15 күн бұрын
Wewe songa mbele ukifatana na watu watakuchelewesha
@NehemiaJacob
@NehemiaJacob 15 күн бұрын
Tatuu kufutika ni kazi msimyanyase mwenzenu amekombolewa na YESU kamuokoa msihukumu msije mkahukumiwa songa mbele bella
@NeemaGrace123
@NeemaGrace123 15 күн бұрын
Mungu ana hangalia pia mavazi sio kwasababu ume jiaminisha kwamba umeokoka ndo uvae mavazi ya ahibu
@JoyceMollel-oe7kp
@JoyceMollel-oe7kp 15 күн бұрын
Sasa mnamjaji tattoo alichora kabla ya kuokoka. Mwacheni mtu asonge mbele
@noreenmsuya7906
@noreenmsuya7906 15 күн бұрын
True kabisa
@AgnesTito-m6b
@AgnesTito-m6b 14 күн бұрын
Kabla hajaokoka ndo alichoraa alishasasema anatamani ifutike.
@thejoeclassicsoldier
@thejoeclassicsoldier 14 күн бұрын
Hakuna mtu hapo
@pendothomas7258
@pendothomas7258 13 күн бұрын
Pana Mungu hapo❤
@AgnesTito-m6b
@AgnesTito-m6b 14 күн бұрын
Hajachora Sasa hivi .katika nayo hukoo kabla hajaokoma
@fatumamroki2716
@fatumamroki2716 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@alphoncemihayo8165
@alphoncemihayo8165 15 күн бұрын
Unamjua mungu kwel wakati naona tatuu shingoni? Hebu soma biblia vzri
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 15 күн бұрын
Labda si tatoo, amejichora hinna na inatoweka kwa maji.
@jescasimika
@jescasimika 15 күн бұрын
Alichora zaman before hajamjua mungu
@LunicemonCute
@LunicemonCute 15 күн бұрын
Ye mwenyewe amekosa maarifa ndio Mana anamatatuu
@LunicemonCute
@LunicemonCute 15 күн бұрын
Apo tu anauyezebeli mwanzo mwsho n kutafuta ela tu Apo sema ukweli
@elesianakabuje5832
@elesianakabuje5832 15 күн бұрын
Iyo tattoo mbona alichora zaman kabla hajaokoka ww ndo unaiona leo?my friend Kila mtu anahisyoria yke mungu alikomtoa
@LunicemonCute
@LunicemonCute 15 күн бұрын
Matatuuu Kama yote..tutagionea mengi
@pendothomas7258
@pendothomas7258 13 күн бұрын
I love you sister in Christ. WOG @Bellakombo ❤❤❤
@Babyjay-x1v
@Babyjay-x1v 5 күн бұрын
Apo umeongeya ukweli dada mungu aku bariki nishabiki wako❤ kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
BMCC Ebenezer Choir Ft Boaz Danken_Watu Wanasema Mimi Nani (Official Video)
11:56
Bella Kombo on how she got into salvation - Cross Over
12:33
NTV Kenya
Рет қаралды 18 М.
🔴#LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM - 28/1/2025
33:26
Wasafi Media
Рет қаралды 2,3 М.
Spirituality Vs Witchcraft & Science || Dr. Mwaka
1:56:49
Dr. King'ori
Рет қаралды 239 М.
🔴#LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM - 28/1/2025
36:57
Wasafi Media
Рет қаралды 2,2 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН