No video

The Story Book : Firauni na Kufuru Zake

  Рет қаралды 1,090,261

Wasafi Media

Wasafi Media

3 жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 806
@aboubakar4793
@aboubakar4793 3 жыл бұрын
Naombeni like maalum kwa urafiki wa kenya na tanzania😉🇰🇪🇹🇿❤
@bolaaa7232
@bolaaa7232 3 жыл бұрын
Mamboo
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Yaan ww
@abubakarysuleyman5232
@abubakarysuleyman5232 3 жыл бұрын
Dah kwel huyu jamaa alikuwa ni hatar
@yolenimocheng8745
@yolenimocheng8745 3 жыл бұрын
@@abubakarysuleyman5232 🇹🇿
@yassersaidshiney3331
@yassersaidshiney3331 2 жыл бұрын
Ah
@melody_mike_mavoice
@melody_mike_mavoice 3 жыл бұрын
Story nzuri hii nimekubali from content background sound huwa inaleta hisia flani kama wakubaliananami finya like tukisonga 💥💥😊
@mokisteven9252
@mokisteven9252 3 жыл бұрын
Unatisha sana.. Jamal 💥💥..like nyingi kwakee
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 жыл бұрын
Napenda kuwa umesimulia kama ilivyo katika Quran takatifu..
@ochuhim4882
@ochuhim4882 3 жыл бұрын
Hakika kaka
@ahmednzige8446
@ahmednzige8446 Жыл бұрын
Inafundisha
@amosjelotiwanambuko384
@amosjelotiwanambuko384 Жыл бұрын
Natokea Kenya ninapenda sana the story book nawainulia kidole gumba wasela.
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
ALLAH akbar×100
@ramadhanmaisa788
@ramadhanmaisa788 2 жыл бұрын
More than🥰
@suleimanndomondo1623
@suleimanndomondo1623 3 жыл бұрын
Ama kwa hakika hii story imeinua imani yangu Mungu akuzidishie kwa mauwaidha yako
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 3 жыл бұрын
Hakika Quraan haijaacha kitu kaka #JamalApril ALLAH akuweke uendelee na hyo kazi ni nzur👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@suhaymerhummu4793
@suhaymerhummu4793 3 жыл бұрын
Naam
@idrishemed2219
@idrishemed2219 3 жыл бұрын
Kumita yesu mungu nako sio kukufuru?
@princegerard4704
@princegerard4704 3 жыл бұрын
@@idrishemed2219 Relax kijana Kasome vzri kuhusu Yesu kuja duniani, Yesu alikuwepo kabla hata ya Dunia kuumbwa
@fridasky1019
@fridasky1019 3 жыл бұрын
@@princegerard4704 😀😀😀😀😀😀😀pôle yako kaka
@HopeRyan16
@HopeRyan16 2 жыл бұрын
@@idrishemed2219 jamaa vp
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 3 жыл бұрын
Hakika wewe ni zaidi ya profesa,yaani unavyosimulia nasikiliza kwa makini utafikiri naenda kufanya mtihani Mpaka chakula changu kimepoa, Asante sana profesa Jamal,keep it up...
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana Jamal Allah yupo na hakuna mungu mwengnee ambae anapaswa kuabudiwa ila Allah
@ashirievara8542
@ashirievara8542 3 жыл бұрын
King of the story in Africa and worldwide 🌍🌎🌏
@manjaruu679
@manjaruu679 3 жыл бұрын
Yes yes yes👏👏👏👏🙌🙌
@AshaIsmail-ny7ex
@AshaIsmail-ny7ex 3 ай бұрын
Nakubali sana Jamal April ishi sana miaka mingi🥰🥰🥰🥰
@astriusiuspaul255
@astriusiuspaul255 3 жыл бұрын
Kila ki2 chako ni smart kaka mpka cmuliz aahh be blessed miaka yte
@clevalupakisyo7460
@clevalupakisyo7460 3 жыл бұрын
👏
@juliuschege6898
@juliuschege6898 2 жыл бұрын
Natamani Sana kumwona Jamal moja Kwa moja,,kielelezo changu,,much love from Kenya😍😍😍😍😍
@sofiaabdulyazir
@sofiaabdulyazir Жыл бұрын
Safi sana ndugu
@sofiaabdulyazir
@sofiaabdulyazir Жыл бұрын
Safi sana ndugu
@matkerahmed2354
@matkerahmed2354 3 жыл бұрын
Mansha Allah kumbe we ni mwislamu.
@abdulhamidsultan2158
@abdulhamidsultan2158 2 жыл бұрын
Nilikuwa nasubiria kweli kuhusu historia hii thanks
@liltunechi3185
@liltunechi3185 3 жыл бұрын
E mwenyezi mungu tunaomba utunusuru na utuokoe na mabaya yote wew ndio mungu tunaye kutegemea 😭🙏🙏🙏
@sarahz.willison2906
@sarahz.willison2906 3 жыл бұрын
Hii ndo saut watu tunataka sasa ♥️♥️♥️ More Love WCB
@benderakahindi4100
@benderakahindi4100 Жыл бұрын
🙏💕💕
@davidmwikya4416
@davidmwikya4416 2 жыл бұрын
The storybook is so addictive. Every day I must watch an episode. Thumbs up Prof. Doing a great job.
@philemonjohn1994
@philemonjohn1994 Жыл бұрын
“It’s Easier to Fool People Than It Is to Convince Them That They Have Been Fooled.” - Mark Twain
@athumankibudo4478
@athumankibudo4478 3 жыл бұрын
Mashallah umelet Jambo la maan san
@ezekielezekiel4516
@ezekielezekiel4516 2 жыл бұрын
Mungu amsamehe maana hakujuwa alifanyalo
@OmegaNelson-ho1no
@OmegaNelson-ho1no 10 ай бұрын
laaik zenu jemani wapendwa katika Bwana kama ninyi n washabiki wa Bwana Yesu kwa upande zote mbili Tanzania na Kenya najua wengi ni wapenzi wa move huuu wa safari ya mbinguni hvyo tujivunxe mengi kupitia story huu asanteni sanaaa
@deograthiusjohann6273
@deograthiusjohann6273 3 жыл бұрын
Embu gonga like hapa afu mnambiE huyu jamaa ni mtu wa kawaida kweLi let's get it 💪
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 3 жыл бұрын
Kila mtu anaimani yake wao wanamtukuza sisi huku hatuamini kweli mungu mkubwa kwa kutupa elimu na kipawa Cha kutupa kitu ili tumjuwe na tumwamini Asante kwa simulizi tamu Sana ubalikiwe mkono wako uwandishi na kusoma kutupa elimu
@ibrahimmzito390
@ibrahimmzito390 3 жыл бұрын
Hakika uwezi kuchoka story zako kwa jinsi unavyozisimulia na unavyotufikishia ujumbe naisi kama nipo live kwenye icho kisa yani nami nipo misri sasa naona vile firauni anavyofanya ukaidi wake kwa Allah ..hakika una story tam na zenye kutufunza mwenyezi akujaze upeo akinifu tujifunze kupitia kwako in sha allah
@habibaidriss4480
@habibaidriss4480 2 жыл бұрын
Mashaallah well done🙏 allah akuhifadhi na akupe hekma nyingi za kazi zako umeilingania pia dini ya m.mungu allah akuafkie that’s really story book of quraan
@justinkb6693
@justinkb6693 3 жыл бұрын
You deserve a ward 🙌🏿🙌🏿🙌🏿bless your soul
@sahiris_haka6276
@sahiris_haka6276 2 жыл бұрын
Sffffff
@francegilbath5223
@francegilbath5223 3 жыл бұрын
I like the way you provide your story ithink you deserve to proffessor
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 10 ай бұрын
STORI ZURI SANA, SHIDA NI MOJA: Mnasema Musa ni Mwisraeli lakini nukuu mnatoa kitabu/vitabu ambavyo sio ORIGINAL kwa Waisraeli mbali vingine vilivyoandikwa zaidi ya miaka 1,200 baada ya kitabu Original kuandikwa. Tena walioandika walikopi hizo hadithi original kimakosa kabisa na kudai ndicho/ndivyo vya kweli! Nilikuwa nafikiria kwa sauti nikaona niwajuse tu, sina ubaya na mtu. Kuweni na amani ya Bwana.
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 6 ай бұрын
Ok, NABII , MTUME MUSA A.S ALIKUWA MTANZANIA🙏🙏🙏
@user-vb8zw6qr2d
@user-vb8zw6qr2d 6 ай бұрын
Alikua mweusi, kataa​@@haidarykufakunoga8869
@othmanshabani5856
@othmanshabani5856 3 жыл бұрын
Mimi sijawahi kupata likes😭😭
@samirajohn6938
@samirajohn6938 Жыл бұрын
Kwaiyo tukusaidiaje?
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 Жыл бұрын
Zinasaidia nini
@johnomari8014
@johnomari8014 Жыл бұрын
😮
@cletuslyelu3864
@cletuslyelu3864 Жыл бұрын
😂😂😂
@JohmMburu-uf5sn
@JohmMburu-uf5sn 11 ай бұрын
Uko na yangu
@ENTERTAINMENTTRENDING
@ENTERTAINMENTTRENDING 2 жыл бұрын
I can't stop watching this💪💪
@user-dr2cs2zw4p
@user-dr2cs2zw4p 6 ай бұрын
Mazeee huyu jamaaa anajua mi namkubaliii 1love to Jamar. He has story telling skills best❤
@rashidswalleh253
@rashidswalleh253 2 жыл бұрын
Can't stop following you Man Mungu aibariki kazi ya mikono yako
@kultures3213
@kultures3213 3 жыл бұрын
Professor anajua mpaka anakera👏👏...like if you are with me
@georgebaraka9883
@georgebaraka9883 3 жыл бұрын
Professor.. Ama hakika elimu unayoitoa hasa hizi za masuala ya Mungu nakuhakikishia wewe ni sehemu ya kuokoa watu na wakamuamini Mungu Baba.. Unatoa mafunzo yenye kuthibitisha kuwa Mungu yupo na ndiye kila kitu kwetu na wasio amini waamini tangu sasa ...
@herikaniugu
@herikaniugu 3 жыл бұрын
Sio elimu, hii nikuzidi kupotoshona. Story ya Musa sio ya kweli, Hakuna evidence yoyote na wala haithibitishi uwepo wa Mungu. Fanya research zaidi.
@willygraphics360
@willygraphics360 3 жыл бұрын
@@herikaniugu Sa wewe unajua story ya kweli??
@herikaniugu
@herikaniugu 3 жыл бұрын
@@willygraphics360 Ukisoma historia harisi ya kila farao utaona hakuna farao mwenye uhusiano na kipindi icho cha Musa, Yani kwa kifupi hakuna historia yoyote ya uwepo wa Waisraeli kuishi Misri.
@ezeedi871
@ezeedi871 3 жыл бұрын
@@herikaniugu hebu tupe historia yako na wewe tutofautishe siyo unabisha bisha tuu njoo tubishie kwa evidence,maana kama vitabu vitakatifu vimeongelea full kuhusu historia ya waisrael na wamisri halafu we unabisha tuletee ushahid wako basi
@herikaniugu
@herikaniugu 3 жыл бұрын
@@ezeedi871 vitabu vitakatifu? vitabu vilivyoandika ni sawa kuua wanawake wajawazito na watoto kwa Mafuriko. Vitabu vilivyoandika ni sawa kulaani wanadamu wote eti kisa watu wawili wamekula tunda. Hizi dini zifutwe tu, sion tofaut na ushirikina. Yan kwenu ni sawa tu ww kwenda mbingun kucheka na Mungu alafu mama yako akachomwa moto kuzimu. Achen kusapot ushirikina nakuuita utakatifu
@eliudjoachm6041
@eliudjoachm6041 3 жыл бұрын
The hottest story ever, good news prof.
@RhumbaMusic_English_Sub_Titles
@RhumbaMusic_English_Sub_Titles 3 жыл бұрын
Jamal April, Jina nitakalo muita mtoto wangu hivi karibuni.🇰🇪Kenya inakupenda.
@kangoabdhallah333
@kangoabdhallah333 3 жыл бұрын
Kwanza uijuwe maana ya jina Jamal Kwa kina chake ndiyo umpe mwanao
@kelvinjonathan648
@kelvinjonathan648 3 жыл бұрын
Musa alitumwa na Mungu kwenda kuwaokoa Wana wa israel walio kua wakiteswa na farao na Mungu aliwaapia ibrahim na isaka na yakobo ambae ndie israel kua atalifanya israel kua taifa kubwa na wala musa hakwenda kumhubiria farao ila akwenda kumuambia aawaachie Wana wa israel waende waka mtumikie Mungu na kutoa dhabifu safi jangwan
@lizzygussep2051
@lizzygussep2051 3 жыл бұрын
Point
@vero57
@vero57 3 жыл бұрын
PROFESSOR JAMAL YOUR AMAZING 👏 👏👏
@johnemanuel9883
@johnemanuel9883 2 жыл бұрын
G😂😂😘😚🥳😚
@princecalvin1716
@princecalvin1716 3 жыл бұрын
Pamoja sana kaka hujawahi kukosea kabisa katika kazi yako
@hamid4202
@hamid4202 3 жыл бұрын
Awesome....I Really Like This Guy Professor Jamal mustafa.The Way Unatusimulia Stories Kwa Umakini Sanaa,GOD BLESS YOU Bro
@edwinelias8554
@edwinelias8554 3 жыл бұрын
Km unakubali the story book ni 💥💥💥wa,kuotea mbali tujuane kwa,like za kufa mtu
@TabbyGud3-iy2ow
@TabbyGud3-iy2ow Жыл бұрын
Much love from Kenya
@myownfootball6364
@myownfootball6364 3 жыл бұрын
This guy needs more attention please he is not normal to me. Keep it up brother.💪🔥
@herikaniugu
@herikaniugu 3 жыл бұрын
Hakuna uthibitisho wowote wa Musa na Waisraeli kuishi Misri, story za firauni sio za kweli. Professor anajua kusimulia lakini anatumia vitabu vya dini ambavyo nivya uongo. Fanyeni research zaidi. Story za Mungu na Kishirikina zote huwasio za kweli.
@thureyaalkindy9373
@thureyaalkindy9373 3 жыл бұрын
@@herikaniugu ww tupe io yko yenye ukweli !
@chuxxepcgametv3864
@chuxxepcgametv3864 3 жыл бұрын
@@thureyaalkindy9373 hahahahahaahha
@thureyaalkindy9373
@thureyaalkindy9373 3 жыл бұрын
@@chuxxepcgametv3864 kunawatu wanajifanya wanajua ....na sijui dini gan uyu aliekuwa haamini maandiko ya biblia ama qur_an
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
@@herikaniugu ww asaaa huna akil
@colorboy257
@colorboy257 Жыл бұрын
You re amazing jamal
@stevenmakoye8067
@stevenmakoye8067 3 жыл бұрын
Kitu kmoja tuu naweza sema ikumbukwe prof Jamal is the asset huyu jamaaa ni zaidi ya noma God bless you Jamal you're the best ever know that
@safinkeyemba2174
@safinkeyemba2174 2 жыл бұрын
Yaallah utupe mwisho mwema
@eugenemuunda7985
@eugenemuunda7985 3 жыл бұрын
I'm from Kenya, representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Ananias Edgar 🌹🌹🌹
@ramadhanihajaniacha1944
@ramadhanihajaniacha1944 2 жыл бұрын
Aaaah huyu jamal Muache tu Alivyo Edigar Nilimsikia Akikoseya katika Story mmoja Ila Jamal nimefatilia kimakini sana kwa zile storia Zinazo simuliwa hata ndani ya Quran hajawahi kukosea Jamali nimemfatilia kwa zile storia Mungu anazo tusimulia katika Quran anazitoa vilivyo ilihali wanahistoria wengine unakuta wanaongezaga ilihali Mungu kasha eleza historia ilivyo kua
@user-ws7md5fs8k
@user-ws7md5fs8k 8 ай бұрын
Kk vp
@amenahmmm2835
@amenahmmm2835 3 ай бұрын
Allah Allah shukran mungu wangu ❤ from Uganda 🇺🇬
@grivinjoseph5914
@grivinjoseph5914 2 жыл бұрын
Thanks my GOD for keeping with good healthy
@jamesmghamba3354
@jamesmghamba3354 2 жыл бұрын
God be with u prof Jamal
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Real professor ❤️👀🇹🇿
@reckofficial4612
@reckofficial4612 3 жыл бұрын
Good work Jamal 👌
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k 3 жыл бұрын
I like this guy he is so talented he has nice voice he got all God blessed u jamal
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 жыл бұрын
Ya ALLAH tukinge na moto wa jahanam. ALLAHUMMA Amin
@jadenimsabi1938
@jadenimsabi1938 3 жыл бұрын
Mambo mazuri Sana na ya kufundishaa ,nawashukuru
@mohammedabdalla4141
@mohammedabdalla4141 2 жыл бұрын
MUNGU mkubwa, na namuomba anijaalie pepo yake AMIN. Yaani hukubakisha kitu tunaomba historia kama hizi ili tuzidi kuamini km baada ya umauti kuna pepo na moto. ukifanya mabaya km FIRAUNI utaupata moto na ukifanya mema hakika ALLAH atatulipa na pepo inshaallah.🙏
@victorkelvin5156
@victorkelvin5156 3 жыл бұрын
Safi sana professor ila ulitakiwa ukiwa unataja firauni uwe unaweka na a.k.a yake Farao
@bahatinassor9980
@bahatinassor9980 3 жыл бұрын
A.k.a yake laana tuullahi
@simba_de_leo5042
@simba_de_leo5042 3 жыл бұрын
Jamal April is best in making story 🙌🙌🙌🙌🙌
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k 3 жыл бұрын
Mashallah jamal u are so good wity ur job u are too smart guy
@bofendajohny660
@bofendajohny660 3 жыл бұрын
Je t'adore vraiment je n'ai jamais écouté ce l'histoire merci
@fadraj6899
@fadraj6899 3 жыл бұрын
Unachelewa sana kijana wangu jamal
@buyingocatherine5699
@buyingocatherine5699 3 жыл бұрын
Wao since am seeing the story book today I hv seen u humble guy
@amanichanga3448
@amanichanga3448 3 жыл бұрын
Credits to Maalimu Othman, Allah awajalie kheri nyote.
@allymapinda8804
@allymapinda8804 3 жыл бұрын
Ila nyie wakenya mna chokochoko sana! Mara mseme mlima Kilimanjaro ni wenu, mara Diamond ni mkenya, mara mzuie ndege za Tanzania kutua Kenya, mara mfunge mipaka na Tanzania. Hayo yote ni nyie. Sisi tuna wapenda lakini mna vituko sana🤷🏽‍♂️🤦🏾‍♂️
@suleimanasaa4730
@suleimanasaa4730 3 жыл бұрын
Mashaallah ukwel ck zote haupngki na hio ndio tumeona
@arsencrace5759
@arsencrace5759 3 жыл бұрын
a
@samjuma3357
@samjuma3357 3 жыл бұрын
@@allymapinda8804 A
@samjuma3357
@samjuma3357 3 жыл бұрын
@@allymapinda8804 an
@shaabanmasoud4827
@shaabanmasoud4827 3 жыл бұрын
Ahsante Sana Wallahi Asia ni mja mwema hadi machozi yamenitoka.
@FredoBoy
@FredoBoy 3 жыл бұрын
You're the king
@rashdahchilumba7316
@rashdahchilumba7316 3 жыл бұрын
Good job
@iam_fex.5061
@iam_fex.5061 3 жыл бұрын
You deserve to be called professor✊
@johnkiogora2426
@johnkiogora2426 Жыл бұрын
Aki tasania
@abbaslivene
@abbaslivene 3 жыл бұрын
wachawi wako vizuri wali jua kusudio la mungu......walishindwa kumchinja mlengwa tuu....
@yasinmsongela8766
@yasinmsongela8766 3 жыл бұрын
Mungu nipe mwisho mwema
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 3 жыл бұрын
Thank you professor jamal april professor my all time srory before i sleep
@kimsajudo9417
@kimsajudo9417 3 жыл бұрын
Professor Jamal 👍
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 3 жыл бұрын
Kicha cha firauni kinaenda sana na ule mchezo wa legend of the seeker
@saadaperec2706
@saadaperec2706 3 жыл бұрын
mfano mule musa tutamfananisha na nani seeker mwenyew au na yule dada je
@mrneythug9707
@mrneythug9707 3 жыл бұрын
Amazing one plz come with Bermuda triangle story❤️❤️❤️
@williankilamia3231
@williankilamia3231 3 жыл бұрын
He has already did it
@suleimankhalid5978
@suleimankhalid5978 2 жыл бұрын
Jamaal mashaallah Allah akuongoze na akusimamie kaka ktk kz yako uko sawa mia mia ntakutafuta
@shaulykhamisi7697
@shaulykhamisi7697 3 жыл бұрын
You are fire🔥
@marleymarmay7130
@marleymarmay7130 Жыл бұрын
Real professor
@mnegrowbs4349
@mnegrowbs4349 3 жыл бұрын
Jamal unafanya kaz nzuri sana na makala zako unazipangilia vzur mno na nikupe pongezi kubwa sana. Kwa kifup mm huwa nakuona kama mtu mwenye akili nyingi (genius) isipokuwa haujafanikiwa kupata kitu sahihi cha kuisaidia Tanzania na dunia. Makala zako zinajengwa katika documentary zilezile ambazo zinafahamika na ni zilezile ambazo ukweli ndani yake ni uwalakini mtupu. Bahat nzur ukweli wa yote duniani upo na wanaoufaham hata hapa nchini tupo. MTU kama wewe ungeufaham na kujifunza na kuelewa ungekuwa na makala ambazo dunia nzima ingeshangaa na ungekuwa mtu pekee mwenye makala za kuwafunua watu akili ili waondokane na makala za taarifa na elimu ya uwongo zilizotungwa na wazungu na mawakala wao katika imani, elimu na matarajio ya baadaye. Nikupongeze sana kwa kazi nzuri lakin naamin post yangu itakufanya utafakari na kupata maana ya nilichoandika, na baada ya hapo waweza kunitafuta ili nikueleze mawili matatu yatakayokuongoza katika ukweli wa dunia hii katika imani na elimu, lengo ni kukufanya utumie platform yako kuisaidia na kuikomboa dunia katika ombwe LA uwongo ambao umeaminika karne kwa karne. Sisi tumekuwa tukijitahidi kuwafikia watu ili kuwafumbua na hatutachoka. Ahsante
@arkhan6254
@arkhan6254 3 жыл бұрын
Majina yako au email hili na Mimi nizipate hizo nakala zako tafadhali
@mnegrowbs4349
@mnegrowbs4349 3 жыл бұрын
@@arkhan6254 Sio makala, Bali ni elimu ambayo itasaidia kwa MTU kuweza kuandaa makala zitakazowasaidia watu kuufahamu ukweli wa yote. Email- mnegrowbs@rocketmail.com
@user-fy6ck9di1f
@user-fy6ck9di1f 11 ай бұрын
Ahsante Kwa taarifa kutoka this story book.
@yolenimocheng8745
@yolenimocheng8745 3 жыл бұрын
Tanzanian🇹🇿 are very innovative
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
Yes, Sababu ya kukipa kiswahili kipao mbele.... maneno yanateremka bila kusita.... kiswahili kitamu aisee ...
@maiaprincesmarie9653
@maiaprincesmarie9653 2 жыл бұрын
Mungu akubariki professor Jamal
@irenejoseph8480
@irenejoseph8480 3 жыл бұрын
Kuhusu mariaaa mama wa Yesu hapana , nakaataa hakuwah kuwa mke wa firauni
@harshimissah-wn3cc
@harshimissah-wn3cc 2 ай бұрын
Hahaha wee jamaaa unashangaza kweli wap kasema Mariam alikuw mke wa firauni
@habibuissa7362
@habibuissa7362 6 ай бұрын
Mashaallah Asante saana bwana Jamal 🌙
@rosemary3816
@rosemary3816 2 жыл бұрын
Mhmhmhmhmhm, Asante nimekuelewa
@user-nn7vv2fd7z
@user-nn7vv2fd7z 5 ай бұрын
SubhanaAllah...inasikitisha sana
@festusthoya7745
@festusthoya7745 Жыл бұрын
From 🇰🇪 much love
@eliaswilliam5951
@eliaswilliam5951 3 жыл бұрын
Mungu akupe hekima na maarifa zaidi kk jamal April
@winifridalipinga4417
@winifridalipinga4417 2 жыл бұрын
It's good to know our own history its exciting and act as a presitage
@aguerowakujidai6509
@aguerowakujidai6509 3 жыл бұрын
From Congo Brazzaville watching now
@wababazkitchen
@wababazkitchen 2 жыл бұрын
Wewe Jamal ni Professor kweli kutoka na simulizi. Mungu akubariki na akupe ufahamu uzidi kupambanua historia zote za bibilia
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh 🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️stori nzuri xna bi hasia Allha amrehem inshaaaallha 🙏🙏🙏
@prophetsulemanipeter4587
@prophetsulemanipeter4587 3 жыл бұрын
Thank you so much for the story.
@abuumo9637
@abuumo9637 2 жыл бұрын
Hongera sana kumbe umeisoma hata dini
@user-zv8qj3dz7l
@user-zv8qj3dz7l Жыл бұрын
Nakukubali sana tena sana ! Ila usiwe unasema Quran au bibilia! Wee sema tu vitabu vywa mwenyenzi mungu ! Ni maoni yangu tu. Ili tusipendelee upande mmoja ili iyonekane kwamba vitabu vyote vinamzungumzia mungu mmoja tunae mwabudu wote
@Officialtirosi
@Officialtirosi 9 ай бұрын
MIMI NASIKILIZA 2023 HII THE STORY NI TAMU😂😂😂😊😊❤
@kijangwaalbert2303
@kijangwaalbert2303 5 ай бұрын
Mimi 2024😂haichoshi Yan
@lent5814
@lent5814 3 жыл бұрын
Firauni kavaa kofia kama ya diamond platnumz kweny nyimbo ya kamataa
@AliciaFeza
@AliciaFeza 5 ай бұрын
Nime kukubali sana Amen 😊
@hbkilua6853
@hbkilua6853 3 жыл бұрын
Unajua bro uko vizur san👍👍👍🔥🔥🔥
@petermbijima2552
@petermbijima2552 3 жыл бұрын
Hizi suti zako huwa zinakupendeza sana ,sema wengine hatuna nyota na suti
@jackart3739
@jackart3739 3 жыл бұрын
Bonyeza reli
@husha6372
@husha6372 Жыл бұрын
Firauni katika alimwambia waziri wake aitwa Hamana amjengee NYUMBA Kubwa ya magorofa mpaka mbinguni aende amuuwe Mungu wa Musa Quran 28:37
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Jamal professor unajua kakaangu.ALAH AKUWEKEEE UZIDI KUTUELMISHA.wengne twaona tabu kusoma vitabu,mambo mengi hii Dunia bora utuhadithie tu
The Story Book : Ukweli Usioujua kuhusu  YUDA MSALITI
30:48
Wasafi Media
Рет қаралды 974 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 2 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 8 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 30 МЛН
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 2,8 МЛН
KILICHOMPONZA YONA KUMEZWA NA SAMAKI : THE STORY BOOK
29:26
Wasafi Media
Рет қаралды 489 М.
The Story Book : Kweli Kula Nguruwe Ni Haramu Au Uzushi Tu !?
37:44
Wasafi Media
Рет қаралды 482 М.
The Story Book: MFALME ALIYEULIWA NA MBU KISA ALITAKA VITA NA MUNGU
24:56