No video

The Story Book : Ukweli Usioujua kuhusu YUDA MSALITI

  Рет қаралды 973,614

Wasafi Media

Wasafi Media

3 жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 200
@Benjaminq-8263
@Benjaminq-8263 3 ай бұрын
Love you Jesus
@Benjaminq-8263
@Benjaminq-8263 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤Jesus
@kingbest299
@kingbest299 3 жыл бұрын
Back in days i was Muslim but ever since jesus came in my life he gives me peace and joy....no matter what people says about him he is still Alpha and Omega
@electrotza9606
@electrotza9606 3 жыл бұрын
He did to me as well
@stevenkyanzi5622
@stevenkyanzi5622 3 жыл бұрын
Amen🙏
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Keep preaching the whole world 🌍 Appreciated 😉
@herikaniugu
@herikaniugu 3 жыл бұрын
Even Jews are not Christians. Only 2% of people in Israel are Christians. Jiulize kwanza Yesu alitengenezwa na nani?
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
@@herikaniugu kiasi kingi cha madini kinapatikana huku Tanzania lakini mengi yanaenda ulaya.. jiulize ww mbona huvai madini na yanachimbwa nchini mwako?
@princedesantos745
@princedesantos745 3 жыл бұрын
Kama una amini kujifunza mengi kupitia the story book gonga like apa
@lindascreations8851
@lindascreations8851 6 ай бұрын
.kj😊 Km😊 Nki
@victormwamuye2780
@victormwamuye2780 3 жыл бұрын
Wapi likes za professor Jamal Mustafa, ❤️from🇰🇪🇰🇪
@kyunguwamwilambwe.3127
@kyunguwamwilambwe.3127 2 жыл бұрын
Merci professor jamal
@michaelezekielroswe9517
@michaelezekielroswe9517 2 жыл бұрын
Yes, you are right! I like the way you made your conclusion, this is what we Seventh Day Adventist are taught..!!
@bonheurtoketoke
@bonheurtoketoke 2 жыл бұрын
Ongera sana kwa simulizi hii nzuri , Inaendelea kutujenga kiimani sisi wakristo. Ubarikiwe sana.
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
Kwa uwezo Wa ALLAH akujalie uzidi kutukumbusha history za kali INSHAALLAH 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mkulamasanja4969
@mkulamasanja4969 5 ай бұрын
@harunmwenda743
@harunmwenda743 2 жыл бұрын
Luka 1:18-19 inazungumzia Zacharia Mr Jamal......you are doing a great job....I am liking your work. Keep up
@Fabrice_Bobby
@Fabrice_Bobby 3 жыл бұрын
Leo Kuna kitu nimechukuwa ✊🏽 Hongera Sana Professor Jamal
@khamisikhadijah3653
@khamisikhadijah3653 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mGiYaJ2OitidgtU
@damymzuri5203
@damymzuri5203 2 жыл бұрын
Kum be
@ronardngwavi7841
@ronardngwavi7841 3 жыл бұрын
Tunae mkubali Jamal tujuane kwa like
@ernestkamwagila5798
@ernestkamwagila5798 4 ай бұрын
Huyu jamaa mom's kweli
@ernestkamwagila5798
@ernestkamwagila5798 4 ай бұрын
Tunao Akina yuda wengi sana wabishi hata Kama ukweli unaji dhihirisha.
@victorfrank2962
@victorfrank2962 3 жыл бұрын
Tuko pamoja sana Mr. Jamal. Weka like hapa👍
@didiermayuru4581
@didiermayuru4581 2 жыл бұрын
Much love from Kenya
@sebastianapolinary7334
@sebastianapolinary7334 3 жыл бұрын
hongera bro tunajifunza ving kupitia histor hizii
@janetndanu6992
@janetndanu6992 3 жыл бұрын
For me you are my best narrator .I love the voice and how the pictures flow in hand with the narration
@mtilempandule6233
@mtilempandule6233 2 жыл бұрын
Hongera unatufungua mungu akuzidishie maarifa yakazi hiyo
@tonydesigner1257
@tonydesigner1257 2 жыл бұрын
Big up brooo
@michaeljoseph8747
@michaeljoseph8747 2 жыл бұрын
I love following your channel, ... Nice stories (educational). From Kenya. Keep up good job.
@edwinkitale3048
@edwinkitale3048 2 жыл бұрын
Hizi ndizo habari zakutufanya tuwafwatilie sio habari za udaku keep it up broo nmekuelewa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother kwa hakika kupitia the story book nimejifunza mengi sana ndio maana nimehifadhi video zako zaidi ya mia tatu
@johnmawewebusobe7138
@johnmawewebusobe7138 Жыл бұрын
Hongera sana
@thedangotetv2962
@thedangotetv2962 3 жыл бұрын
The king of story in the world
@homeofhappykidsdance7897
@homeofhappykidsdance7897 3 жыл бұрын
To the person reading this anybody trying to exchange your destiny is in a very big trouble because your success is already on the way if you believe say a big amen.
@ritamrembo3351
@ritamrembo3351 3 жыл бұрын
Amen
@gorethbeatus6537
@gorethbeatus6537 3 жыл бұрын
Amen
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 3 жыл бұрын
Amen🙏
@davidmaisely7487
@davidmaisely7487 3 жыл бұрын
excatry
@habatizzomanizo9541
@habatizzomanizo9541 3 жыл бұрын
Amen
@charlesnyaluke7202
@charlesnyaluke7202 3 жыл бұрын
Unajuah Sanah professor Jamal April GOD BLESS YOU 🙌🏿
@cryermavokochannel6764
@cryermavokochannel6764 2 жыл бұрын
yani kiukweli kupitia the story book ,,,ina mafunzo mengi kuliko hata vile ukiwa shuleni,,,cryer mavoko from Kenya,,,much love
@hijaramadhani3221
@hijaramadhani3221 2 жыл бұрын
🙏🙏
@stenbacksangiza254
@stenbacksangiza254 2 жыл бұрын
hii ni tafsiri ya kifirmasoni sawa na ile tafasili ya kusema mungu amwumba kiumbe mwenye nguvu kuliko yeye
@nigothegreat4799
@nigothegreat4799 2 жыл бұрын
Umetisha kinoma kaka Kazi mzuri Sana. Nimeipenda Sana na ndipo nami umenifumbua macho.
@Commentsplus
@Commentsplus 3 жыл бұрын
Upo deep sana ndo maana Mimi niliikataa shule maana ningepasuka kichwa respect yani much respect
@mariaamisi
@mariaamisi 2 жыл бұрын
Mungu kwa kujuwa mambo yatakayotokea, aliona kimbele mmoja wao akimsaliti mwanaye. Yohana 13: 20 sio kwamba Mungu alipanga iwe ivo but Aliona mapema kile kitakachotokea Kwamba kuna mmoja atamsaliti.Kwa kuwa yuda alikuwa na upendo nusu nusu kumwelekea yesu basi shetani akapa nafasi ya kuchaguwa yeye. Yohana 13:2
@maigaboniphace6309
@maigaboniphace6309 2 ай бұрын
Ety Yesu alimwomba yuda afanye kutimiliza jambo hapa mie nakataa jama
@zabronbaltazary5048
@zabronbaltazary5048 3 жыл бұрын
Hongera professor umegusa kwenye mshono
@titusikihombo3982
@titusikihombo3982 2 жыл бұрын
Hongera kwa simlizi nzuri zenye mafundisho
@superbillionairea5987
@superbillionairea5987 2 жыл бұрын
ipo vizuri, Ila kitabu Cha yuda kinahitajika, yuda nimwanadamu muhimu Sana kwauman ya kikristo , maana Kama hakuna yuda yesu asinge uokoa ulimwengu. Hongera yuda
@JohnRock..
@JohnRock.. 3 жыл бұрын
Safi sana Jamal April, good research unanielimisha 🙏🏾 GOD BLESS YOU
@nickymastoritv
@nickymastoritv 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h3SZkqVjna-bpbM
@honekisebwa226
@honekisebwa226 2 жыл бұрын
Xafi kabisaaa
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Tafadhali utuletee na stori ya mtu alieitwa sauli baadae akatokewa na Yesu na kuitwa jina jipya la Paulo
@johnemainja5553
@johnemainja5553 3 жыл бұрын
Judah....a true legend
@salumpambire9901
@salumpambire9901 3 жыл бұрын
Tatizo hilo
@franciscopremsingh1546
@franciscopremsingh1546 2 жыл бұрын
Battery low
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 7 ай бұрын
😅😅😅😅
@aguerowakujidai6509
@aguerowakujidai6509 3 жыл бұрын
From Congo Brazzaville watching now
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
This Yuda's story relates to Harmonize guys, why???🔥.. probably I'm dreaming buddies 😃😃😃😃😃😃
@kichwachagoogle5138
@kichwachagoogle5138 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@sonylife7882
@sonylife7882 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@haidarybrown427
@haidarybrown427 3 жыл бұрын
Harmonize is yuda kabisa Mazimaaa
@kwengumwerugulu2788
@kwengumwerugulu2788 3 жыл бұрын
Fruish age
@nickymastoritv
@nickymastoritv 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h3SZkqVjna-bpbM
@safianyaonge7280
@safianyaonge7280 2 жыл бұрын
The story book is great
@husseinmatekwa276
@husseinmatekwa276 2 жыл бұрын
Itakuaje yuda alimsaliti yesu kwa wayahudi ilhali wayahudi walikuwa wanamjua yesu. Yesu aliishi kuhubiri katika masinagogi na hekalu la suleiman. Niko na uhakika mayahudi walikuwa wanamjua yesu vizuri sana
@hancevalence4936
@hancevalence4936 2 жыл бұрын
hawakumjua coz alifanana na wanafunz
@husseinmatekwa276
@husseinmatekwa276 2 жыл бұрын
@@hancevalence4936 👌watu 12 walifanana kama punda wakashindwa kumtofautisha na wengine. Na alikuwa anawahubiria hadi wanamuuliza maswali kwa miaka mitatu hawakuweza kumjua. U must be kidding 😳
@leilasarai
@leilasarai 4 ай бұрын
​@@husseinmatekwa276wqlimjua vyema sana dear lakini ili kutimiza maandiko ya agano la kale lazima Yudah angemtambulisha kwa hao wayahudi
@imranhussen3795
@imranhussen3795 3 жыл бұрын
Professor nakubali🙌
@Zawadi-1
@Zawadi-1 3 жыл бұрын
Asante sana nimefurahishwa namafundisho haya ❤
@nassoropigauwa2503
@nassoropigauwa2503 3 жыл бұрын
Kiukwel jamal mwanzon sikukuelewa ila sasa wew ndio number one simuliz na mifano yenye uhai wew ni baba lao jamar umempoteza kabisa mtiga jaman
@emmanueljosephati3932
@emmanueljosephati3932 3 жыл бұрын
Unafahamu mtiga au unalopaka2😏😏
@msemakweli8064
@msemakweli8064 3 жыл бұрын
@@emmanueljosephati3932 Mtiga hana maajabu, zaidi ya lile lisauti
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 3 жыл бұрын
@@emmanueljosephati3932 Mtiga ana sauti ila hana kipaji cha simulizi..ilaa huyu jamaa ana vyote sauti ya upole mtiririko mzuri na content iliyoshiba sio mtu wa kukopi...mpeni haki yake jamani
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@emmanueljosephati3932 🤣
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@msemakweli8064 🤣
@hassanmohamedi7585
@hassanmohamedi7585 3 жыл бұрын
Bs na mm sina tofauti na yuda mana mpka kesho siwez amni kama Yesu christo alikua mungu 😀😀😀 what i beleav He was a messenger of Allah, the man who got a power from really God and He worked on behalf of Allah to make sure that all Jews should follow the right path 🕌 mungu amuhifadh nabii wetu Issa (Yesu) ampe shufaa mpka cku atakaporud inshaallah🤲
@emmanuelrich7075
@emmanuelrich7075 3 жыл бұрын
Maandiko hayafundishi kristo ni Mungu yanafundisha ni mtume wa Mungu..wakristo wa uwongo ndo wanaoamini Yesu ni mungu kwa sababu wamepotoshwa soma Yohana 20:17
@leylasalim9380
@leylasalim9380 2 жыл бұрын
Amiin
@sabasjoel8955
@sabasjoel8955 2 жыл бұрын
Yote sawa, sote twa Soma maandiko kwasababu ya maarifa , Cha msingi tuombe pepo ya milele ,..amen
@sabasjoel8955
@sabasjoel8955 2 жыл бұрын
Just believe and study, let's grace of God be upon us
@chris5016
@chris5016 3 жыл бұрын
It's true 😞
@angelandjoseph
@angelandjoseph 2 жыл бұрын
Yesu ndiye Mungu mkuu katika Agano la kale na agano jipya. Tito2:13, Warumi 9:5, Isaya9:6, Yohana1:1-14, Wakolosai 2:2....
@hot_barstv5590
@hot_barstv5590 2 жыл бұрын
We unakili kweli
@lileoh3893
@lileoh3893 2 жыл бұрын
Wenzetu mferi wapi yesu sio mungu ni nabii wamungu alitumwa kwakondoo waliopotea wanyumba ya izraeli yesu au issa ni mwislam vitabu vinazihilisha kwamjibu wa bibilia yesu alikua anasali sinagogi soma luka 4 16 nakuruani inasibitisha msomen paulo vizul
@junenjenga6457
@junenjenga6457 2 жыл бұрын
I love the way u narrates the bible, so inspiring, kudos!
@justusrugut835
@justusrugut835 Жыл бұрын
Good work sir God bless you
@kingallydj2667
@kingallydj2667 3 жыл бұрын
Sawa brooda uko vzuri sana
@alphaxardmugabo7848
@alphaxardmugabo7848 2 жыл бұрын
Mathayo 27:5-8 [5]Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga. [6]Wakuu wa makuhani wakavitwaa vile vipande vya fedha, wakasema, Si halali kuviweka katika sanduku ya sadaka, kwa kuwa ni kima cha damu. [7]Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni. [8]Kwa hiyo konde lile huitwa konde la damu hata leo.
@alphaxardmugabo7848
@alphaxardmugabo7848 2 жыл бұрын
Luka 1:18-19 [18]Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu ni mkongwe wa siku nyingi. [19]Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema.
@alphaxardmugabo7848
@alphaxardmugabo7848 2 жыл бұрын
Matendo ya Mitume 1:16-19 [16]Ndugu, ilipasa andiko litimizwe, alilolinena Roho Mtakatifu zamani kwa kinywa cha Daudi, katika habari za Yuda aliyewaongoza wao waliomkamata Yesu; [17]kwa sababu alikuwa amehesabiwa pamoja na sisi, akapata sehemu ya huduma hii. [18](Basi mtu huyu alinunua konde kwa ijara ya udhalimu; akaanguka kwa kasi akapasuka matumbo yake yote yakatoka. [19]Ikajulikana na watu wote wakaao Yerusalemu; hata konde lile likaitwa kwa lugha yao Akeldama, maana yake, konde la damu.)
@alphaxardmugabo7848
@alphaxardmugabo7848 2 жыл бұрын
Yuda yeye hakununua ila walionunua ni makuhani hivo aliyepasuka sijui kama ni Yuda
@mnyopi
@mnyopi 2 жыл бұрын
Jamaa anatupiga sana sema watu hawafuatilii
@harunmwenda743
@harunmwenda743 2 жыл бұрын
@@mnyopi luka 1:18-19 ni Mambo ya Zacharia.
@mraj4586
@mraj4586 3 жыл бұрын
Namuelewa sana huyu jamaa profes jammal
@muddyally3321
@muddyally3321 3 жыл бұрын
Umetisha san duuh nmekubali ww ni professor
@Salim-gaming244
@Salim-gaming244 3 жыл бұрын
Sitaki mtu agonge like.
@arnoldlusambo3921
@arnoldlusambo3921 3 жыл бұрын
ili iweje?
@Salim-gaming244
@Salim-gaming244 3 жыл бұрын
Utajua mwenyewe
@BonitatemBonitate
@BonitatemBonitate 4 ай бұрын
Na tukigonga utatufanya nini kwamfano😅
@Salim-gaming244
@Salim-gaming244 4 ай бұрын
@@BonitatemBonitate 🤣🤣
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 жыл бұрын
Keep it up my brother Jamal April we ni professor mkubwa sana Tanzania na Africa yote kwa ujumla mungu akubariki sana ♥️❤️🙏👏 I am proud of you,, gevi us all the story book,
@kashindi798
@kashindi798 3 жыл бұрын
Amazing
@leeldavid3712
@leeldavid3712 3 жыл бұрын
Thank for this story book,coz one of my family member betrays me jst recently..my heart is very broken 💔💔 indeed 😭😭
@OmariTube
@OmariTube 3 жыл бұрын
Sorry
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 3 жыл бұрын
Dah! Pole sana.
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Pole sana hayo hapo na yanaendelea kuwepo tunajifunza kupitia zama za zamani na sasa
@danielmuema90
@danielmuema90 2 жыл бұрын
Pole Mungu Yu nawe katika hii hali
@princesschamgenzi6328
@princesschamgenzi6328 Жыл бұрын
😃😃
@bestgametv7082
@bestgametv7082 3 жыл бұрын
Here We Go Wakwanza leo na sitaki mtu alike
@toma634
@toma634 3 жыл бұрын
Hahahaaa nimekupenda bulee
@chynabongoo405
@chynabongoo405 3 жыл бұрын
😂
@latwifamaliki9341
@latwifamaliki9341 2 жыл бұрын
Hahhhhh afadhali we ucyetaka like😂😂
@simonphabiano9050
@simonphabiano9050 4 ай бұрын
Wenzako wanazitaka sana likes zetu😂
@leniudleniud8713
@leniudleniud8713 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Jamal na inatutia moyo kusoma na kuutafuta ukweli. Marekebisho kidogo kwenye maandiko ni kitabu cha Matendo 1:18 badala ya Luka 1:18 japokuwa vitabu vyote viwili vimeandikwa na Dr. Luka. Kwa wasiomfahamu Bart D Ehrman ni mtafiti na mkosoaji mkubwa wa maandiko na historia ya Yesu Kristo. Tafiti zake hutumika na kuaminiwa na watu wengi ikiwemo wapagani. Na bw. Bart sio muumini wa imani yoyote. Well done Jamal.
@davidmaisely7487
@davidmaisely7487 3 жыл бұрын
sasa yeye kamtambulisha kama msomi wa dini ya kikristo ili mradi tu autie doa ukristo
@garusianjohn4627
@garusianjohn4627 3 жыл бұрын
Da, ila professor unaukosha sana moyo wangu
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 3 жыл бұрын
Hongera Jamal, unafanya sana research keep up the Good Work🙏🔥🔥🔥
@calvinbakari6016
@calvinbakari6016 2 жыл бұрын
Kaka unaweza sn i seee naipenda sn hii
@simonkele4567
@simonkele4567 2 жыл бұрын
Mimi sioni makosa yake
@simonkele4567
@simonkele4567 2 жыл бұрын
Brother Asante for this video it is good and Tru sitory
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 3 жыл бұрын
Yesu ni mungu kwa maoni yangu mungu alijigeuza kuuva mwili wa binadamu ambae sisi tuna muita yes🙏
@emmanueljosephati3932
@emmanueljosephati3932 3 жыл бұрын
Ukosawa
@davidmaisely7487
@davidmaisely7487 3 жыл бұрын
right
@musers9699
@musers9699 2 жыл бұрын
Tumia herufi kubwa kwa maneno haya Mungu na Bwana unapomuongelea Yehova , Yesu
@samiakhamis1861
@samiakhamis1861 3 жыл бұрын
Mwanadam ataenda kusulubiwa kma Mungu alivopanga kwaio Yesu anazihirsha yupo Mungu nasio yye
@jackrenesanga8728
@jackrenesanga8728 3 жыл бұрын
Professor 🙌🙌🙌🙌❤️
@demetiriasirles6877
@demetiriasirles6877 3 жыл бұрын
@@Kingtiger98 fg
@iamprincefelix
@iamprincefelix 3 жыл бұрын
Professor umechambua vizuri sana makala aya ,👏
@decidedominator7886
@decidedominator7886 Жыл бұрын
Umeleta njia nzuri ya kutujuza mengi muhimu,hasa sisi tulio wavivu kusoma vitabu,Dope.
@Maxwelcruz-i6c
@Maxwelcruz-i6c Ай бұрын
this stories are really good hit that like button
@strong8534
@strong8534 3 жыл бұрын
Kwanza Yesu hakusulubiwa. " Wa maa swalabuhu wa maa qataluhu"
@zaburi2386
@zaburi2386 3 жыл бұрын
Andko liseme yesu hakusurubiwa
@selector728
@selector728 3 жыл бұрын
@@zaburi2386 hakusulubiwa sio hakusurubiwa🚮
@samuelmussa4809
@samuelmussa4809 3 жыл бұрын
Hakusurubiwa issa, YESU KRISTO wa Nazareth alisurubiwa.
@zaburi2386
@zaburi2386 3 жыл бұрын
Hamna Aya
@shufwaaofficialtv1306
@shufwaaofficialtv1306 3 жыл бұрын
@@samuelmussa4809 hakuna utofauti,yesu, ndio ISSA kwa kiarabu,
@princecalvin1716
@princecalvin1716 3 жыл бұрын
Uko vzr sana kk
@sebastianapolinary7334
@sebastianapolinary7334 3 жыл бұрын
simulizi nzr sana inafundisho mno mnoo homgera bro ww ni bola katk kutuletea story hiz
@abeidmsimange7840
@abeidmsimange7840 2 жыл бұрын
Wewe pekee ndio mwalimu Bora kabisa wakufunguwa miyoyo yawanadamu juu yakumjuwa munguwetu hakika uwe nauhai mrefu nafya njema👏👏👏
@lovenessferdinand3664
@lovenessferdinand3664 2 жыл бұрын
Your the real prof🥰👏👏👏👏
@AbtdelightTV
@AbtdelightTV 3 жыл бұрын
Inspired 💲🌍🌍🌍🔥🔥🔥
@yohanaholehole1298
@yohanaholehole1298 3 жыл бұрын
You make me feel nearby God
@jafar255mudibo2
@jafar255mudibo2 2 жыл бұрын
It's a good story
@chazkoillah2652
@chazkoillah2652 3 жыл бұрын
Lakin Yesu alisema "Ole" wake yule atakaemsaliti it's looks like usaliti ulitakiwa lazima uwepo ili kutimiza mission ya Yesu kristo sema sasa alietakiwa kucheza ile pati ni Yuda...
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Binafs namuelewaga yuda, huenda alijiua ili kuzuia kwamba isjeonekana usaliti Ni kitu kzur lkn naamn ilibd tu itokee
@danielishuma7629
@danielishuma7629 3 жыл бұрын
Yuda alikuwa na nafasi ya kuomba toba, lakini hakufanya hivo.
@magdalenakivulenge8237
@magdalenakivulenge8237 2 жыл бұрын
@@danielishuma7629 ndio
@geendaki7678
@geendaki7678 2 жыл бұрын
Hatuwezi kusema kwamba yuda hakua na hatia hata Kama ilipangwa Yesu atakufa lkn biblia imesema pia majaribu hayana budi kuja Ila ole wake yule anaeyasababisha kumanisha kwamba hata Kama ilikua lazima ujaribiwe Ila atakesababisha lazima atahesabiwa hatia kitabu Cha isaya kinasema kila ulimi utakaokuhukumu utahukumiwa mkosa kumanisha hakuna mwanadamu ana amri juu ya mwanadamu isipokua Mungu aliyemuumba pekee ndio maana hata yuda amehesabiwa hatia kwasababu hiyooo yeye ni mwanadamu tuu
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 2 жыл бұрын
kwa upande wangu mimi naona yuda hakuwa na kosa, yeye ame umbwa kwaajili ya kuja kuwa msaliti wa yesu hivyo mungu ame muumba yuda ili aje duniani kuja kuwa msaliti ndoujue kwamba Mungu anatuumba binadam wengine huku akijua huyu nnae muumba hato fika mbinguni, kwangu mimi naona ni UKATILI MKUBWA
@chris-uz1ts
@chris-uz1ts 3 жыл бұрын
Yataongelewa mengi sana lkn binafsi naamini kilichokua kimeandikwa na kama kilikua ni mipango ya Mungu basi ilikua ni lazma kitimie..Na ndio maana tunaambiwa "MAWAZO YETU KAMA BINADAMU NI TOFAUTI NA MAWAZO YA MUNGU WETU".
@msemakweli8064
@msemakweli8064 3 жыл бұрын
Amen
@mattykenga2755
@mattykenga2755 2 жыл бұрын
Asante sanaaa, and stay blessed 🙏
@maonitu7916
@maonitu7916 3 жыл бұрын
Haji Manara is a legend
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 3 жыл бұрын
😂😂😂
@yumnasuleiman
@yumnasuleiman 3 жыл бұрын
@@esadkulovic6777 😂😀
@mhifadhi797
@mhifadhi797 3 жыл бұрын
Hawa ndio wabongo
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 3 жыл бұрын
@@yumnasuleiman yenyewe😂
@zainabukhalid8223
@zainabukhalid8223 3 жыл бұрын
😂😂😂😂🙌🙌
@bruceclassic7127
@bruceclassic7127 3 жыл бұрын
Professor Jamal🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@rahmadaniel5803
@rahmadaniel5803 2 жыл бұрын
Me nilikuwa naomba muendelezo wa hii the story book ya yuda ili niweze kuelewa zaidi coz km imeishia Kati hivi na ume in deep sana kwa biblia so ungeingia na kwenye islamic tuone inamuelezea vip nabii Issa yesu na huyo yuda Yote kwa Yote nakuombea sana mungu akupe hekma busara na uvumbuzi zaidi ili tuweze kujua mengi na kuelewa zaidi katika dini zetu jazzakallah fiihi Allah akulinde jamal🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@Moon-rp5tm
@Moon-rp5tm 3 жыл бұрын
Nakubali kaka ila naomba kazi namimi nkusaidie
@Moon-rp5tm
@Moon-rp5tm 3 жыл бұрын
@Njoo Studio 🎶 napataje contact
@joelmwakibole7716
@joelmwakibole7716 2 жыл бұрын
I appreciate professor Jamal April
@sirlameck5536
@sirlameck5536 3 жыл бұрын
Profesa Jamalii 🔥🔥🔥
@yannickmustafa323
@yannickmustafa323 3 жыл бұрын
Napenda sana sahuti lako jamal
@yussufyrn1590
@yussufyrn1590 3 жыл бұрын
Jamal April Professor men bro we ni genius kbsa ✅🤯👌🏾
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 3 жыл бұрын
Kazi Safi Sana na story nzuri umeisimulia vizuri sana👏👏👏
@dantegraphix7928
@dantegraphix7928 3 жыл бұрын
#KING professor
@shaibusumbi6637
@shaibusumbi6637 3 жыл бұрын
Kila siku na note kitu kupitia story unazotuletea usichoke kutupa vitu vizuri vyakujifunza 👊
@josuejustin3974
@josuejustin3974 2 жыл бұрын
Thank-you bro JAMAL nice voice Justin from kampala uganda your are the best of the best profe
@selector728
@selector728 3 жыл бұрын
Haji manara🐸🐸
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 3 жыл бұрын
Waliokuja hapa baada ya manara kuhamia yanga 😃😃
@dezasumailcostaricahamis5429
@dezasumailcostaricahamis5429 2 жыл бұрын
We ndo huna akili kbs
@bondoxazo6272
@bondoxazo6272 Жыл бұрын
Umetisha mwana
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 3 жыл бұрын
Jamarii nakukubari kama diamond simba 💎
@sultanmbaraka2513
@sultanmbaraka2513 3 жыл бұрын
Salute kakaa.
@samuelmussa4809
@samuelmussa4809 3 жыл бұрын
Hakuna Injiri ya Yuda wametengeneza tu kuleta mchanganyo Yuda alitabiriwa kile alichokifanya.
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 3 жыл бұрын
Safi sana ubarikiwe kwakulijua hilo kama hujui vizuri maandiko unaweza kupotoshwa hivihivi
@samuelmussa4809
@samuelmussa4809 3 жыл бұрын
@@joycedimoso8648 Amin hapa ni home of scriptures
@kulwachacha1478
@kulwachacha1478 3 жыл бұрын
Fact zilizomo ndani zinakufanya uendeleee kuitazam the stry book
@MakeleleAboubakarr
@MakeleleAboubakarr 5 ай бұрын
yeye yuda ndiye aliyejuwa kuwa yesu siyo mungu Bali nimwalimu, basi yéyé ndiye alijuwa kuwa Yuko mungu wapekeye nasiyo yesu
@juniorclassic1779
@juniorclassic1779 3 жыл бұрын
Professor
@master_iStore
@master_iStore 3 жыл бұрын
YUDA MONEY MAKER parfumu Tuzee upite mgaoo😁😂
@officiallugano8991
@officiallugano8991 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pmall8867
@pmall8867 3 жыл бұрын
Nime like kwaajil ya Hilo jicho
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 3 жыл бұрын
Story boooook together 💪
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es Жыл бұрын
Hujawahi kutuangusha mzee mwenzangu, kazi nzuri, well done!!
@user-gy8vr1kl5h
@user-gy8vr1kl5h 4 ай бұрын
Hongera kwa kaziNdugu Jamal, Nafuatilia sana vipind vyako, unafanya kaz nzuri. Naomba kutoa ushauri kidogo, Kuna mambo mengi hasa yanayohusu hizi dini huwa unaenda chaka sana. Tenga muda wa kujifunza kwa wanaojua kabla ya kutoa hzo story. Kuwa neutral kujifunza na uwe +ve, Utaelewa kwa udhabiti Hz dini Africa tumeletewa na tumezipokea kwa kukariri zaid kuliko kuelewa Dini ni utamaduni wa watu kumjua na kumrudia Mungu kwahyo ukishakua umemfikia Mungu huna haja sana na dini. Tatzo Africa wengi wetu ni washika dini sana lkn hatumshiki Mungu, Wengi tuna amini sana dini zetu lkn hatumuamini Mungu Ndio maana washika dini wengi bado wanaenda kwa waganga wa kienyeji Hyo inamanisha dini zao wanaziamini na kuzishika vema ila Mungu wao hamuamini yaani hawana uhakika kama Mungu anaweza kuwatimizia haja zao . Bado tunachangamoto kubwa Una platform nzuri, ukiitumia vyema utasaidia wengi.
@paschalmabubi7240
@paschalmabubi7240 3 жыл бұрын
Professor Ni Mmoja TU! 🇹🇿🤘
@kingphaty9130
@kingphaty9130 3 жыл бұрын
Role model Wang 🥂🥂🥂
@elenzianjk5543
@elenzianjk5543 3 жыл бұрын
Yuda?😂
@pmall8867
@pmall8867 3 жыл бұрын
Kweli huwez kosa wakufanana nae😂😂😂
@ClintonMasheti
@ClintonMasheti Жыл бұрын
You a the best teacher to me keep it up🙏🙏🙏🙏
@mwari-wamburu
@mwari-wamburu 2 жыл бұрын
254 nko ndani sana going to Netflix ...to wotch we want more abt the bible 🙏
@thomasibabuya6866
@thomasibabuya6866 3 жыл бұрын
Jamal my role model🌍✍️
@elenzianjk5543
@elenzianjk5543 3 жыл бұрын
Shukrani sana Mr. Jamal, simulizi inafikirisha sana, umefanya utafiti mzuri na ukusanyaji wa matini elezi. Jibu la Yesu kwa Maria mamaye akimlalamikia kuwa yeye na Baba yake wamemtafuta sana mimi pia liliniudhi mno, na kibinaadamu niliona ni kosa kubwa la kimaadili na kukoda kujali kumjibu jibu lile. Nimefurahishwa zaidi na ulivyou-balance uchambuzi kwa kuangazia upande hasi na upande chanya wa maelezo. Hitimisho limetuongezea curiosity na kutufikirisha zaidi. Uchambuzi bora huwa namna hii! Kongole!!
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 3 жыл бұрын
Wewe uliona kibinadamu kwasababu nimwana waulimwengu yeye hakujibu kibinadamu kwasababu yeye siwaulimwengu huu lazima majibu yake namaneno yake yakushangaze kwasababu yeye yupo tofauti na watu waulimwengu
@lazarotluway5881
@lazarotluway5881 3 жыл бұрын
Tangu lini MTU ambaye hajui neema ya mungu akahubiri injili? Ya. Mungu ila shukran mr kwa. Ufafanuzi wa injili. Ubarikiwe sana
@elenzianjk5543
@elenzianjk5543 3 жыл бұрын
@@joycedimoso8648 pamoja na kubeba roho ya Mungu yesu alikua mwanadamu kamili, na ndio maana aliziishi desturi zote halali za kibinadamu ikiwamo kutahiriwa. Maadili na heshima ya mtoto kwa wazazi ni suala la asili la kiumbaji na maagizo ya ki-Mungu, Yesu kama mtoto alikosea kutokujali nakudharau masumbuko ya wazazi wake katika kumtafuta.
@musers9699
@musers9699 2 жыл бұрын
Ukisoma vizuri wazazi wake walielewa anamaanisha nini usichukue kipande cha maandiko kutoa mtazamo wako soma walau sura nzima
The Story Book : Usiyoyajua kuhusu Daudi na Goliati
38:30
Wasafi Media
Рет қаралды 1,3 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 7 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 34 МЛН
DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA  KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI
36:42
The Story Book : Kweli Kula Nguruwe Ni Haramu Au Uzushi Tu !?
37:44
Wasafi Media
Рет қаралды 481 М.
HISTORIA YA NABII NUH A.A SEHEMU YA 1/1
6:51
HISTORIA ZA KWELI
Рет қаралды 1,1 М.
#LIVE: BEST OF DENIS MPAGAZE VOL.2
3:52:29
Uhai Online Tv
Рет қаралды 220 М.
The Sory Book : Jasusi Waliyemuua Chooni na Kumfunga Ndani ya Begi
45:15
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН