Inauma sana jmn😭😭😭😭😭km ni mipango ya Allah tunamshukur yeye lkn km ni tamaa tu za wanadamu kutoa wenzao kafara hasa kipindi hiki cha uchaguz laana iwatafune mbk cku ya mwisho wa uhai wenu hapa duniani,kupitia maumivu ya hawa wafiwa😢😢😢😢
@Economically-Growth-Musicians2 сағат бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Duh so sad😢😢😢 R.I.P Our Fans hakika tunaamini mlikuwa watu muhimu sana kwetu lkn kazi ya Mollah haina Makosa, Mungu awapungizie Adhabu ya Kaburi 🙏
@amanifiston306733 минут бұрын
Polenisana
@JumaBakari-v7c20 минут бұрын
Sasa Mwenye jengo ndio ameliangusha jengo Au kausika nanini
@GeorgeElias-p5o2 сағат бұрын
Majengo yote yaliyobaki yasiyokidhi vigezo yavunjwe.. maana yanagharimu uhai wa watanzania
@aly_asgarСағат бұрын
Ile ujenzi unaoendelea kariakoo kwa kasi itakuwa sababu ya kufanya uimara ya majengo mengine kupungua. Ramani tu ya kariakoo ni ya kizamani sana
@muhammadalibhaz139052 минут бұрын
mwenye kulaumiwa ni mkrugenzi wa manispaa ya ilala ulegevu wake umesababisha kuporomoka kwa jengo
@KheiriBafadhiliСағат бұрын
Kila kitu ni mipango ya muhumba kwani
@MalimaMashaka-cd6ejСағат бұрын
Mimi nikimpata natoa tarifa polis
@ambokileasheengai11402 сағат бұрын
Pamoja na Niffer aliguswa msimteses mpeni maua yake ili nae aendelee kukusanya pia kwa Rafiki zake
@@MohamediKalanje Duh hiyo ndio inaitwa kufa kufaana aisee...kama kakamatwa atazitapika pesa hizo
@RenaldaZeramulaСағат бұрын
Hilo eneo Lilongwe godown la kutunzia mizigo ya wamachinga asipewe adhabubzaidii ya hiyo
@evelina962154 минут бұрын
Wm
@itanzaniaAS24 минут бұрын
UJENZI UNAO ENDELEA KARIAKOO MSIMBAZI NZIMA UMEANGALIWA?? NI VURUGU TUPU
@faustinluambano2958Сағат бұрын
Kuna siku lori lilonipitia ubavuni mwa gari yangu pale BP .LORI LA WAJENZI WA BARABARA WA KICHINA YULE DEREVA ALINIBIA KUWA NONDO NA MATERIAL NI UBABAISHAJI MKUBWA NA HAZITADUMU. ILI KUWA SALAMA UTAALAMU UZINGATIWE.NASIKIA HIZI GHOROFA 58 CHINI YA KIWANGO ZIKO WAPI?
@aly_asgarСағат бұрын
Binadamu anakufa siku zake zikifika je alichokitengeneza binadam vp. Ila pia jengo ilikuwa imekaa miaka nyingi kwahio itakuwa kuna jambo.
@kanankirannko6174Сағат бұрын
Unaambiwa kuna mafundi walikuwa wanajenga kubadilisha underground kuwa Duka sasa hawa mafundi hakuna ajuae wamegonga nguzo gani huko
@aly_asgar59 минут бұрын
@ kwahio kazi haikufanyika na wataalam.
@geofreybakina6010Сағат бұрын
Majanga kkoo yaje na mpango wa soko jipya Tanzania,vinginevyo Majanga hayataisha