Pole sana binti . Huyo macho yake yatatobolewa na muumba mbingu na nchi
@OmanOman-dd5qkАй бұрын
Pole sana dada hali yasasa adui yako muogope sana usijiaminie kihivyo hata mimi nilisamehe vyombo na maisha yanaendelea wakati tuliopo ni mbaya sana
@ludovickanael3426Ай бұрын
Poleni sana Kwa janga kubwa. Fanyeni haraka mgojwa afikishwe haraka sana CCBRT Dar es salaam.hilo jicho jicho litasalimika HAKIKA.
@NtezimanaLubhingagiza-us2izАй бұрын
Pole dada Mungu atusaidie
@hashilalkharusi4680Ай бұрын
Pole mwanagu kwa mtihani uliokukuta mtegemee Mungu
@ramadhanhassan5285Ай бұрын
Muheshimiwa raisi wetu mpendwa ingilia Kati hili jambo angalau huyu binti aweze kuona tafadhal muheshimiwa mana wewe ndio mamlaka na kila jema ulitendalo mung atakusaidia msaidie muheshimiwa mana inaumiza sana
@celinamosha9420Ай бұрын
SEMA wangu usitushirikishe wengine
@joycekitundu4749Ай бұрын
@@celinamosha9420😅😅😅😅
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
@@celinamosha9420Yaani hata kama humpendi ndio raisi wako wa nchi lakini na wewe unazaa watoto wanaweza kuwa wakubwa hapo baadae Muombee tu my
@celinamosha9420Ай бұрын
@@tinnahagustinolyelu4247 ndio nimesema Sasa kanifunge mjinga mmoja wewe usinifananishe na hao na usininiambie upumbavu wako
@celinamosha9420Ай бұрын
@@tinnahagustinolyelu4247 naomba huo ushauri jipatie wewe Mimi hapana
@popod177Ай бұрын
Utake wanawake wengi wengi na uwezo huna..humtaki na macho pia ukayachukua,si hasidi huyu...
@roselambert6700Ай бұрын
Kwa kweli jamani utamtoaje mwenzako macho jamani uchungu mkubwa
@Ushauri235Ай бұрын
Ukatili wa hali ya juu sana huu serikali komesheni hiki kitu
@TitoBenadАй бұрын
Pole sana dada Mungu wahaki atakuponya tuu
@EmmyFestoАй бұрын
huyo baba wamtoe macho yake wamuwekee huyo dada maisha mengine yaendelee
@ayshasaid1547Ай бұрын
Mungu wangu tuhurumie mini ichi
@ayshasaid1547Ай бұрын
Mungu akuponye kwa wepes
@maryamabdullah9169Ай бұрын
Duhh mtihani Mkubwa Wallahi hadi huruma
@nadiatanzaniaАй бұрын
Mapenz cjui kwann mwishoe huwa uwadui labda mtu mngekuwa tu urafiki wa kawaida labda mtu mngekuwa marafiki wazur haki pole kipenz ❤❤❤
@sleeprelaxation8431Ай бұрын
hayo siyo mapenzi, ukimpenda mtu huwezi kuwa adui yake.
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
Lakini wakati mwingine wanawake Huwa hatukubali kuachika ndio yanatukuta madhala makubwq.mwanaume mwingine hakwambii kama hakutaki ila utaona alama za nyakayi kwamba hapa sitakiwi Sasa mwingine anasubiri waambiwe sikutaki shida inaazia hapo
@popod177Ай бұрын
Hata ije ifikie kutoboana macho..kuna mengi zaid huyu dada ameyavulilia,..
@WitnessMmlamba-zx7lcАй бұрын
Mungu akutunze
@MabulaLufumboАй бұрын
Pole Sana dada yangu
@HalimaAmili-e8rАй бұрын
Hatariiiii
@ramadhanhassan5285Ай бұрын
Kwanini umtoboe mwenzako kama umemchoka si nibora tuu muachane ili kila mtu akaanzishe maisha mapya kwani kuna dini inayokataza kuachana kama mmefikia hatua mbaya?
@FrenkMushi-i7fАй бұрын
Uyo alijuwa kauw ndo mana alimtobowa machoo MUNGU akupe maishaa marefu
@julianapeason6254Ай бұрын
halafu anaua kwa ajili ya ndoo za maji na kitanda na tv, yaani vitu havina hata thamani ya laki 2 huenda
@lucykiwelu4451Ай бұрын
Mume alitaka abaki na vitu hivyo ili asionekane hakuwa mjinga
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
NayeyeyAtolewe macho yake hakunakumfungawalalanini
@GraceMaftahaАй бұрын
Pole xna dada ang
@NaomiMwampondeleАй бұрын
Duuu watu wanaroho ngumu jamani kumtoboa macho ingari mzima haya chembe yahuruma
@WilliamIbrahim-dt5nbАй бұрын
Kama mhanga alivyosema afadhali na yeye atolewe macho tu wamwache
@ShamimuKanjuАй бұрын
Pole
@saidilindukwaАй бұрын
Km hii story Ni ya ukweli kabisa hata km kosa alikua nalo mwanamke Kwa mfano bado mwanaume atakua Na kosa la kujibu Ni mnyama Tena zaidi ya mnyama mama samia shughulika Na huyo kijana si Kwa huyu Tu akiachiwa atafanya Kwa mwingine Ni shetani si binaadam wa kawaida huyo,,Na atengwe Na jamii hata akitoka jela
@HawaaMkubwaАй бұрын
Yani nakosa cha kusema Pole binti yangu 😢😢
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
SubhanaAllah
@AngelMazolaАй бұрын
Yani uyo kaka kiukweli ningekufa nae aki tena khaaaa!!!
@PendoMarco-x3uАй бұрын
Pole sana ndugu yangu
@alphoncewilliam4325Ай бұрын
Mungu atakuponya
@ElizabethMchomvu-s2dАй бұрын
Ndio mana najitakia bwana mwenye hela yani jitu linakuuwa kisa ndoo na sikilini godoro kitanda eeh😅
@JuniorLema-vk8meАй бұрын
Wanaume mmezidi ukatili cmtafute vya kwenu? Yaani uroe mwanamke halafu mkeo mkubwa ndo ampe vyombi c ujinga huo
@DxbYaeАй бұрын
Pole sn
@nkengimasanja1899Ай бұрын
Pole sana
@alphoncewilliam4325Ай бұрын
Pole aanA
@paitomsuva3817Ай бұрын
Hili siyo la kufumbia macho kiukweli. Hata huyo mwanamke mwenzake inatakiwa achunguzwe na asukumwe ndani. Ukatili huu haukubaliki
@mwanas2Ай бұрын
Yani kama mbwai mbwai nae atobolewe shuwain kabisa.Maskini dada wa watu bora ingekua jicho ata moja yote mawilo huo ni unyama kabisa yani kusudi kubwa mno shenzi kbsa.Familia nao hana mimi ningelipa kisasi cha hatari ingekua fundisho kwa wote
@LucknessPeterАй бұрын
duh pole kwa yaliokufika ila badilka maana mmh
@MohamediMrisho-rn9xxАй бұрын
Wanaume wanyama 2 pole sana
@mariarobart-o2nАй бұрын
Hata yeye atobolewe kama nzur hyo 😊
@joycerichard9274Ай бұрын
Alithani amekufa ndo maana kamtoboa macha
@naomisamwel18Ай бұрын
Naomb kuuliza, inamaana huyu dda haon hata jcho moja?ssa itakuwaje
@GraciuosGeofreyАй бұрын
Haoni anashikiliwa jamani
@AshaMwamba-i7gАй бұрын
Wamtowe macho nayeye jamaniii
@MorisMbagoАй бұрын
Huyo jamaa anashida kubwa sana
@muzneali4747Ай бұрын
KWANI wataalam hakuna uwezekano ya HAYO macho ya HUYO bwana akaeekewa HUYU dada kitaalam yaani yakapandikizwa na Haya aliyoyatoboa akapewa yeye ??
kwani watazania ni wanyama kiasi hicho huyo ni muaji na tena huyo mwanamke mweza wake bado yupo lahana imfuate kila kukicha pamoja na huzao kweke haliye sababisha hayo kwa mwezie hashindwe umelaniwa
@awadhrajabu1403Ай бұрын
Jamani Kadada Kamejua Kanaenda Kwa Beby Wake Kumbe Anaenda Kwa Jinamizi La Ajabu Kweli Kama Kitu Ukijui Kitakusumbua Kujua Undani Wake
@jumakapilima7295Ай бұрын
Kuna yule aliyemkata mikono mwanamke kule Mtwara, kuna yule scorpion aliyemtoboa macho yule kijana pale Buguruni, na leo ndio huyu,,,,wote tumeona hukumu zao!! Imefika wakati sasa kuanza kutekeleza hukumu za kiislamu ndio zenye kutoa haki
Laillaha illa llah binadam ukatili roho mbaya allah yupo atakulipia inshallah yumhil wala yuhmil
@JumaAthuman-bk6hxАй бұрын
KIDEO MUHIMU NDO MAANA KATOBOA MACHO ILI AKOSE KUANGALIA PICHA.
@DianaHyeraАй бұрын
Watoto wa 2000 Kuna Somo Lenu huku, ukiachana na mtu ujue mmeshakuwa maadu,na swala kupasha viporo mwisho wake Huwa ni mbaya sana, Magonjwa au maiti, Any way,Mungu atakuponya
@NuruJaraАй бұрын
Wewe dada nawe mbona umeirukia ndoa ya watu mtu hujazaa naye waona ako na mke na mtoto si uachane naye
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Yote xikizake zimemfanya atake kukuuwa kukutaka hakutaki ila vituvyako anavitaka kitabda na godolo ndilo lilikualinamuuma nakajua nayule.dem pia atamkimbia. ,,polesana Munguatakulipa .ilanae akaejela asitoke.umbwa huyo
@RenaldaZeramulaАй бұрын
Hv waziri Wa jinsia kwanini asitumbuliwe. Hakuna anapojitokeza kwenye majanga km haya. ATUMBULIWE TUU
@JacquelineMacha-y3nАй бұрын
Mmh jamani huwa anajitahidi sana mama wa watu ila hawezi shiriki kwenye kila tatizo ndio maana yakuwa na vyombo vya sheria
@JacquelineMacha-y3nАй бұрын
Mmh jamani huwa anajitahidi sana mama wa watu ila hawezi shiriki kwenye kila tatizo ndio maana yakuwa na vyombo vya sheria
@IddiMkumbaАй бұрын
Lp😊lp L p@@JacquelineMacha-y3n
@IddiMkumbaАй бұрын
😮😅😅 Lll
@mwanas2Ай бұрын
😂😂
@ActiveMedia-j9yАй бұрын
Watoe macho ya jamaa wamuwekee uyo sista
@WilliamIbrahim-dt5nbАй бұрын
Kiukweli huyo kijana anaroho mbaya kweli kweli ukiangalia umri wake na kitendo chake alichokifanya kinaogopesha
@nzitogondwe9976Ай бұрын
Like namimi leo wa kwanza
@GodfreyHamadiАй бұрын
minajuwa kwakuwa mtumiwa ayupo kunajambo ambalo iko nyuma yapazia hao watu walizozana usiku mzima nachanzo chakuzozana nimke mwenza yawezekana naunyumba alinyimwa
@paschalmartin9598Ай бұрын
Unamfanyia yote hayo mwenzako ya nini? Kama hamuelewani si muache tu aishi na fata mambo yako
@omanoman2044Ай бұрын
Jaman hap mmejifunza nin nyie mnao pensa kurudian na watuy ambao waliwaacha siyo macho tuy mtatolew miguu mtuy umeachan nae unamwamin kweli dunia yenyew hii wabadam wamekosa utuy wamekuw hata wanyam hawako hiv
@Dik770Ай бұрын
Pole dada ila aman ya moyo ni kusamehe wale waliokutendea mabay acha mamlaka imuhukumu, pole san
Ambaye hajawajua Waha viumbe anaweza kumuona jamaa ni katili ,lakini hao viumbe ni hatari hata Mimi naweza hawafai Hawa mbwa ilitakiwa auwawe
@trecygohy7847Ай бұрын
Kenge wewe😊, ndo maana mama yako pia n mbwa coz na yeye ana k***
@jumakapilima7295Ай бұрын
Wewe Fala sana, unatafutwa kwenda kufirwa jela
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gsАй бұрын
We kumbe musji sio? Au ndo nyie watu munaitwa wasio julikana? Mpaka ss una idade ya watu wangapi ulie wauwa marundo yako ya pumzi ambayo utakuja kukatwa bila matarajio paka shume ww
@KhadijaMbumaАй бұрын
jazba mimbaya hata dini haziruhusu ukiona ivyo una achana nae tuu utapata mwingine una weza ukalipenda jambo kumbe lina shari yae na ukalichukia jambo kumbe lina kheri yake kokubwa ni subra tuu 🙏
@AsmaAbdalah-v7eАй бұрын
Mkundu wako
@awadhrajabu1403Ай бұрын
Inauma Hi Aya Matukio Yanayochukuliwa Na Watu Na Nchi Iko Na Polisi Jamani Kuna Jambo Gani Mpaka Watu Kukosa Hof Hata Ya Kujua Kama Kufanya Ujinga Ni Kuikosea Shelia Na Kuingia Vitani Na Polisi Cha Ajabu Polisi Wengi Na Matukio Mengi Kulikoni Apo