Ukovizuri sana mtangazaji unaonekana umesomeya kabisa kazi yako big up sana 👏👏👏
@rosemsima28623 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri sio muda wataanza kukung'ang'ania media tofauti kua makini usipotee
@lizzyjulie16043 жыл бұрын
Mtangazaji nimejiona Kama nipo mahakamani, hongera Sana aisee upo vizuri sana
@wilbrodwemaonlinetv83793 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri big up
@Adeen.13 жыл бұрын
Mtangazaji umeeleza vizuri kiasi kwamba ningekuwa natakiwa nijibu mtihani baada ya kusikiliza hii habari ningepata 90% au 100% utadhani nilikuwa mahakamani. BIG UP Mwandishi wa habari 🙌🙌🙌👌💯
@alfanimwakipesile193 жыл бұрын
Mtangazaji unatangaza vizuri Sana umeitndea haki wasafi tv
@sponsor78823 жыл бұрын
Tatizo msharaha unachelewa
@noelilyatuu81293 жыл бұрын
@@sponsor7882 😁😁😁😁😁
@jacobmichael18963 жыл бұрын
Alimdharau Sana hayati mama mwigira mfungeni hata miaka 1.5
@witnessmmari99023 жыл бұрын
Wasafii mkizubaaa Huyumtangazaji mtamkosa kuna vyombovya habarivinamtolea macho hongera
Kongole sana,brother kaka-mtangazaji. Uko vema sana!
@sarahtaste28763 жыл бұрын
Mnamtetea coz hamumjui tu alivoumiza tena akae uko uko jela malipo duniani big up mahakama na sheria ifate mkondo wake
@irenekitomary72713 жыл бұрын
Wanaomtetea dear hawajui kitu
@islachristabinastaravista81043 жыл бұрын
Nyinyi mnamjua ni michepuko yake achen kutudanganya wakat wote mmemjua baada ya Kuwa kiongoz
@frankjosephu52203 жыл бұрын
Unaumizwa unanini ww kobe
@sarahtaste28763 жыл бұрын
@@frankjosephu5220 kobe ni ww uliepanic kuja kujibu comment yangu pambana na keyboard yako kobe mzee
@thakibuiddi18573 жыл бұрын
Kijana kz yako nzuri sn aisee hongera kwakipaji chakutangaza
@issamwanga99343 жыл бұрын
Mtangazaji nakukubali sana
@juliethnjiro72233 жыл бұрын
Yuko vzr kwenye utangazaji, yaan anaeleweka
@priscajohn60903 жыл бұрын
Hongera sn kwa utangazaji
@sakinajuma61583 жыл бұрын
Sabaya Allah anakutosha, ikiwa haya yote ni kweli ulifanya hukumu ipite na uhukumiwe pasipo kudhulumiwa na ikiwa hukufanya haya nakuahidi Allah ninaemuamini atakusaidia na kuondoa mmoja mmoja katika wanao kusulubisha kisha upate amani. Endelea kusubiri na kuomba hukumu ipete bila dhuluma. Subiri malipo yako pasipo kupunjwa, haki itendeke kwa idhiini ya Allah!
@maryambudoya67073 жыл бұрын
Amiin
@maryambudoya67073 жыл бұрын
Maneno yako Allah Ajalie yawe dua
@mohamedmnjeja14293 жыл бұрын
Perfect reporter.. 👏👏
@duweetherapytalk46563 жыл бұрын
OYA WAZEE HUYU JAMAA ANATANGAZA VIZURI KINOMA
@gabrielkabato99093 жыл бұрын
Uko vizuri ndugu mwandishi
@frankkudana72723 жыл бұрын
mtangazaji poa san daaah👊👊👊👊
@asnathurio65573 жыл бұрын
Mtangazaji🥰🥰🥰🥰🥰
@africanmandetraveler28473 жыл бұрын
Huyo reporter ni level zingine soon nakuona ukienda kwenye media za mambele.
@avitusmichael53 жыл бұрын
Asee mtangazaji upo vizuri sana nakushauri ujiunge kwa Millard Ayo utatusua
@hujatswai57983 жыл бұрын
Big Up kwa mtangazaji kwa kweli.
@edsonbalige37023 жыл бұрын
Anyongwee kabisaa
@safwazungu21873 жыл бұрын
Sabaya alishambiwa mwisowake utafka akaleta jeuri akiona dunia yake mungu asikia vilio vya Wana nchi
@husseinmmallesa64443 жыл бұрын
Free sabaya
@salumramadhani41203 жыл бұрын
Saf na hongera kwa utangazaj mzr
@enockmlimbila2753 жыл бұрын
mtangazaji nime kukubali sana ya kwenye utoaji wa habali huna kigugumizi
@dinimanabii8333 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri sanaaa
@elishajailosy83463 жыл бұрын
Uko vzr brother
@ebenezernnko82513 жыл бұрын
Huyo mjinga ujanja ujanja tuu wakili wakili wa serikali yuko makin sana
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Mtangazaji katulia 💕😘
@babusadala57323 жыл бұрын
ila huyu dereva wa defender anapenda Kulala nayo kaaa kwani hawezi kukata Kona polepole 😁😁😁😁😁😁✋👮jambo afande
@priscadaniel64593 жыл бұрын
Muna mutesa bule sabaya wa watu yani hai jamani ebu muogopeni na mungu mbona munamusakama kaka watu pole kaka mungu hawezi kukuacha yani unapitua wakati mungumu muno ila mungu hata kuacha bule sikujuwi sabaya ila siasa izi jamani
@erastobartalome27093 жыл бұрын
Kama hujawahi kufika mahakamani au kituo chochote cha police nenda katoe sadaka na uzidi kuomba mungu usifike huku ni heri kusikia tu kwa watu
@rossemaryeliya61133 жыл бұрын
Mtangaxaji uko juuu ,big up
@babylisa46503 жыл бұрын
Gud mtangazaji
@leonardemmanuel92493 жыл бұрын
Aliymwagiza kama angejuwa haya yatamtafuna sabaya angeacha wosio kwa walio juu yake ingemsaidia ninachokiona hapa japo sheria siijui sabaya kifungo kinamhusu
@ramadhanishemweta3713 жыл бұрын
.tangazaji yupo vzt
@aishaaa17573 жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri sana
@marthamwasege10443 жыл бұрын
Upo vzr mtangazaji unaonekana unafuatilia kwa karibu issue hyo
@athumanhassani8053 жыл бұрын
Hiiiii dunia niyawatu ila akhela nihaki sisi wote tuta kufa tutaicha dunia ingawa dunia nitamu mengine siyajui kwakuwa sijui napiasija somea sheria
@amosimariba98203 жыл бұрын
Huyu mtangazaji wasafi wamuongezee mshahara maana yuko makini sana kiutangazaji
@iranangole70073 жыл бұрын
Nimesoma comments zing mtangazaj anasifiwa na m sina bud mtangaj upo vzr
@prettyh75093 жыл бұрын
Mungu atakusaidia sabaya
@nicholauskilosa53363 жыл бұрын
Atafungwa huyu jamaa,maana ushahidi wake umekosa mtu wakusapoti hoja zake.Hana shahidi wakuthibitisha hoja zake
@timashali78823 жыл бұрын
Big up mtangazaji
@rashidyally87153 жыл бұрын
Mnatupigia kelele kila siku kesi ya sabaya tu Kama mnamfunga mfungeni Kama mnamuacha muachane
@rodsconehenry42493 жыл бұрын
Tamthilia Kali sana
@pendosamwel92893 жыл бұрын
Kazi nzur mtangazaj
@hassanmugire14973 жыл бұрын
Mtangazaj ni next level
@mohdabdalla59313 жыл бұрын
Hii sizon itaisha lini
@reginandosi54193 жыл бұрын
Mtangazajiiiiiiiii
@maelezomaelezo90573 жыл бұрын
Nakuelewa baba
@yusufjuma37733 жыл бұрын
Weka hoja kwenye namba husika,mbonakma mnatetea upande wa serikali
@alantonio8553 жыл бұрын
Huyu mtangazaji anafaa sana katika hiyi sekta ya habari za mashtaki na mahakama....anajitahidi sana
@lingwamalagila30033 жыл бұрын
Hii inatumika naona comment nyingi humu wengi ni walewale
@constanciapeter24973 жыл бұрын
Upo mawinguni...upo kileleni Advocate Journalist
@africantv1723 жыл бұрын
Nasoma comment naona mnamsifia mtangazaji tu 😂😂
@asteriambwei33493 жыл бұрын
Aliekuapisha mkuu WA mkoa humjui duh dharau za Hali ya juu aliemdhalilisha mwingine ni Nani ulimdharau Kwa sababu ni mwanamke ama kweli dharau ni mbaya
@meditation8843 жыл бұрын
Watu bhn mko mnasifia mtangazaji ila kilichotangazwa hamliangalii...
@moodyzanzibar43363 жыл бұрын
MSENGE HUYO ALITUMIA VYOMBO VYA DOLA VIBAYA MSENGE SANA
@sponsor78823 жыл бұрын
Mhuni sana huyu kama boss wake.
@gidionkadaraja14033 жыл бұрын
Sabayaa ni Usalamaa wa taifaa ... lakn kusemaa haruhusiwi
@modesteryohana903 жыл бұрын
Una hakika ndugu
@gidionkadaraja14033 жыл бұрын
@@modesteryohana90 maelezoo yake2 Yanaonyeshaaa ... alitekelezaa kazi kwa maagizoo ya juu sasa yap
@agneswilbard90593 жыл бұрын
Na hisi huko arusha hakuna kesi zingine ni sabay tu
@imsimk.khamis5743 жыл бұрын
Hawa akina Sabaya mimi nataka wawekwe ndani. Mamlaka aliopewa Sabaya alikuwa muuwaji alitumia mari 4 yenye nembo ya UN.Wakamfuata Mh.Mbowe kwenye Hoteli yake aliokaa ili wamteke wakamuuwe. Na Magufuli,Polepole na IGP walikuwa wanayajua
@ayushjhay19793 жыл бұрын
Mashaallah mtangazaji saut umejaliwa
@lordsmenas32673 жыл бұрын
Uko vizur KAKA
@lowassalaizer91673 жыл бұрын
Pole sabaya hayo yoote yataisha tu
@godlovemrosso59733 жыл бұрын
Huyu wamwachie huru tuu maana kila kona naona kama kuna shida sana kwenye hii kesi Mwachieni maana yawezekana kama mfanayakazi wa serikali alitumia madaraka yake kwa kuwaatetea wanachi wake ila beyond the scene wakatokea watu ambao hawakufurahishwa na style yake jamani
@laghanganuwagi493 жыл бұрын
Mnapoteza muda mfungeni tu huyu!!!!
@charlescharles50573 жыл бұрын
Fact man i don't think kama huyu jamaa anakosa kiasi cha kufungwa na waliomtuma ni serikali kwa ajili ya masilahi ya wananchi.
@laghanganuwagi493 жыл бұрын
@@charlescharles5057 upuuzi mtupu hivi maslahi ya wananchi ni kuwapora watu na kuwakandamiza wanasiasa?
@godlovekilasi62503 жыл бұрын
Ujage utangaze kesi ya mbowe
@sophiapeter18543 жыл бұрын
Daah Hakika ni hatari
@febbyedward30083 жыл бұрын
Za mwizi arobaini duu wasiomjua sebaya poleni ni best angu lkn kwa vitendo vyako kaa tu ndani my dia umetutesa sana na roho yko mbaya
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
Dooo ukimuona hafanani
@febbyedward30083 жыл бұрын
Alikuwa anajua kamaliza kila kitu kuwa kiongozi hahahahahaah
@islachristabinastaravista81043 жыл бұрын
Acha kutudanganya hapa rafik yako wap
@febbyedward30083 жыл бұрын
@@islachristabinastaravista8104 mjinga wewe namjua sebaya tangu 2015 bdo yuko mwanachama wa uvvccm uko hana hata uongozi ni best angu fala wewe umemjua akiwa kiongozi ananijua kindakindaki kuliko hata wewe fala so kaa tulia kama umjuiii sebaya so huongozi ulimchanganya
@febbyedward30083 жыл бұрын
@@islachristabinastaravista8104 umjuii sebaya kama tulia wewe unamuona mungu au wenzio tunamuona mtu wa kawaida sana na tunakula tunacheka tunaenjoy ila anamambo yake mwenyewr akili zake zikimtuma na kins silivests wake au nikutajie group Lake lote mshenzi wewe kama unamjua sebaya basi muulize mimi nani okay alsfu atakuambia
@fatumamsangi4793 жыл бұрын
Anaonewa
@geraldlyimo28593 жыл бұрын
Ukimaliza hiyo uje kusimulia ya mbowe
@fanuelymgabe38143 жыл бұрын
Hii headline ...ni kibokooo😂😂😂😂
@immanuelinvocavith14983 жыл бұрын
Watu wanaomtetea sabaya ni wenzake kama hawakuhusika kwenye matukio ya sabaya aliyoyafanya Moshi na Arusha basi wanafanya matukio kama ya sabaya huko walipo krk majukumu wanayopewa, wanayegeuza kutesa watu na kujipatia fedha haramu nakuhakishieni
@mtuwamwisho.5093 жыл бұрын
Sabaya out
@hamisiyangakozwe26093 жыл бұрын
Usiombe ya kukute ya sikie Kwa sabaya
@ashurahaji91153 жыл бұрын
Alijiamini aliona atafauru
@hamisipatrick45423 жыл бұрын
POA mtangaZaji
@mikatejunior13623 жыл бұрын
Mtangazaji nilijua unasoma mahali
@farajitz103 жыл бұрын
Kesi Kama movie vile Duuuh
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Kabisa mana duh hatare
@lissamsalu123453 жыл бұрын
Umeonaee
@mohamedturanardan88713 жыл бұрын
Funga mtesaji mkuu wa arusha huyo japo miaka 1000
@mariaalenge21063 жыл бұрын
fimbo uliyo mpiga jirani yako ndiyo utakayo pigwa nayo unapo muombea mwenzako mabaya wewe unafikiri nini baada ya maombi yako?kumbuka dunia ni mzunguko kabisa leo kwasabaya kesho kwako nakama sikwako nikwa mwanao au kwa ndugu yako pole sana ndugu yangu kwakuuminzwa na Sabaya ila japo maumivu tuombeane mema ili Mungu wambinguni atubariki katika familia zetu namaombi yetu yatakuwa nakibali mbele za Mungu
@gradnessshitindishitindi48813 жыл бұрын
Jaman sabaya kachakaa😭😭 u HB wote kwisha, Kama kwel hjayafanya hayo makosa utatoka salama lkn Kama kwel unamakosa umekwisha kaka
@paulrwechungura53423 жыл бұрын
Mihemuko punguza
@issajosephat24633 жыл бұрын
Ana u hb gani punguza mihemko dad
@pitargamba92083 жыл бұрын
Pumbavu mtangazaji kumbe ni wale wale washenzi mlioundia sabaya kesi unajuwa maana ya kuchanganyikiwa amesema hivyo akiwa na maana yake.
@rashidiathumani23003 жыл бұрын
Maripo duniani arijigamba sana
@manjaruu6793 жыл бұрын
Njia muhongo fupi sana
@christiannyamamba90893 жыл бұрын
Yani huyu akiachiwa itakua jambo la ajabu sana
@yusufjuma37733 жыл бұрын
Wasafi acha kutumik😜
@africantv1723 жыл бұрын
Wamfunge huyo pimbi yaishe aozee jela katesa watu sana huyo.
@imanuelmikael32253 жыл бұрын
Na nyie mtu mmoja akisema mtangazaji uko vizuri baaasi wote mnasema hivyohivyo nyoooo! Hamna mtu mwenye wazo tofauti?
@maggie77013 жыл бұрын
Sabaya unafungwa
@rukundoibrahim8073 жыл бұрын
jama iko hatiani.
@nazanasa61083 жыл бұрын
Sabaya ameanza kukata ringi. Kitambi yote imeishaaaaa!
@yahyamajidyahyahilalal-har87623 жыл бұрын
Anajifanya kuchanganyikiwa
@allymbwambo68203 жыл бұрын
Aliy nikonapambana
@happynesskibona66583 жыл бұрын
Maswali Mengine ni ya kitoto kabisa nyie mahakimu haipaswi kumuhuliza mtu mnzima ni kupotezeana mtu nendeni kwenye maswali ya muhimu ndiyo cha msingi
@kipsjr36643 жыл бұрын
ayo ndo maswali yanayo mfunga mtu na ukitaka kujua kama ni ya kitoto au la jaribu kushtakiwa na jamuhuri ndo utaelewa
@africanmandetraveler28473 жыл бұрын
Kwa hivyo wewe ndo unawafundisha kazi?
@saidwayawaya53563 жыл бұрын
Mwache achanganyikiwe tu. Lkni alio yafanya hachanganyikiwi.