"SIAMKI ASUBUHI BILA kupaka MAKE-UP, UREMBO ULIMSAIDIA KAHABA KUSAMEHEWA NA YESU" - BAHATI BUKUKU

  Рет қаралды 14,510

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 118
@domycossan1395
@domycossan1395 Жыл бұрын
Hapa kwenye mfano wa kahaba Yesu hakuvutiwa na urembo bali alivutiwa na Moyo wa utoaji na unyenyekevu na toba. Hapa umetaka kutetea mambo ya kujipamba tu tena kishabiki sio kibiblia
@emmanuelshaban6821
@emmanuelshaban6821 Жыл бұрын
Moyo ndio cha msingi sio urembo
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Kwanza yesu alimuonea huruma yule mama huenda alikua hajui ila sasa kaz kwetu ambao tunaonywa na tunakataa km bukuku
@carolinederi5690
@carolinederi5690 Жыл бұрын
​@@emmanuelshaban6821 a Uongo pamoja na hawa waimbaji wa hawa siku izi wenye hawataki kuacha kujikoboa na make ups ukweli utabaki kua ukweli mapambo ni ya shetani si ya Mungu...
@HeavyrainKuresoi-ke9df
@HeavyrainKuresoi-ke9df Жыл бұрын
Hapo sio injili usafi kujiweka vizuri ni muhimu ila sio utakatifu,
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
Ameen barikiwa
@DorisZephania-ci8ym
@DorisZephania-ci8ym Жыл бұрын
Hapo Bahati umechemsha Yesu hakumsamehe yule KAHABA kwa sababu ya urembo wake bwana Bali kwa kuwa yule KAHABA alijutia dhambi' yake kutoka ndani ya moyo wake !
@dorcasjonathan9793
@dorcasjonathan9793 Жыл бұрын
Naombeni sana katka kufundisha kwenu nyie vinywa vya mungu semen yale yanayo mpendeza mungu nikip nifanye nimpendeze mungu h hayao mengine hayana hesabu
@belindahakoth8876
@belindahakoth8876 10 ай бұрын
Bibilia inasema Mungu hatazami vile mwanadamu anatazama. Mwanadamu hutazama nje Bali Mungu moyo wa mwanadamu. Najua kwa hakika Yesu alitazama brokenness na sincererity ya moyo wa yule mama ndio akamsamahe. Jamani tupate revelation. Asante.
@pendaelikyando9747
@pendaelikyando9747 Жыл бұрын
Hapa umetupiga bukuku, labda kama wandishi walimsitiri Yesu, kwa kumuelewa kahaba,😢😮
@MichaelAbel-s4r
@MichaelAbel-s4r 11 ай бұрын
Soma 1kor 11:4-15,Gar 3:19-27, 1Pet 3:3-5, Neno ni maarifa,sasa umeyakataa basi! Amen
@dorcasjonathan9793
@dorcasjonathan9793 Жыл бұрын
Kujipamba kwenu sio kwa mwilin bali roho zenu ila huoni ukahaba
@emmanueljoseph2164
@emmanueljoseph2164 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa binadamu wote ni uumbaji wa Mungu,lakini lakusikitisha ni kwamba,,aliowakusudia katika ule mji wa kupendeza,mji ambao hakuna majonzi wala dhiki ni wachache sana.Njia ni nyembamba na imesonga na waingiao ni wachache.Angalia watu wanavyoshangili maneno ya Bukuku!!?Roho mtakatifu hawezi kusikiliza mahubiri ya aina hiyo.Neema ingali ipo,maana kesho ya mtu anaijuwa Mungu mwenyewe.Sauli alikuwa mtu mbaya,lakini nani aliijuwa kesho yake?ilipofika time Mungu alimbadilisha akawa mtumishi safi.
@christinamsoka
@christinamsoka Жыл бұрын
Huwezi kuingia mbinguni kwa ajili ya kujiremba,huo ni uongo mkubwa sana.Mungu anaangalia roho
@joycepeter6541
@joycepeter6541 Жыл бұрын
Pole sana dadangu mungu aliniongelesha kwa doto mapambo ni Dhabi nililia mpaka wa Leo sikuacha kabsa lakni nilipunguza.naomba mungu anisaindie niache kabsa na wewe mungu akuogeleshe Dio ujue ni vibaya kujireba.
@patriciaalfred1746
@patriciaalfred1746 Жыл бұрын
Umechanganyikiwa Bahati soma 1Petro3:3 , tubu na tengeneza na MUNGU lasivyo iko siku inakuja utatoa hesabu juu ya roho zote unazozipotosha zi3nde jehanamu.
@meshacksylvester7346
@meshacksylvester7346 Жыл бұрын
mimi nikuwa shabiki yako mkubwa lakini kwahili hapana kwamba yesu kwakahaba yesu aliangali ulembo kweli injili ya kweri imepotea isaya 3 :16:26
@nimekujasanga2220
@nimekujasanga2220 11 ай бұрын
Bukuku umepotea hatuingii mbinguni KWA urembo mbinguni ni Kwa utakatifu, wewe sasa nimpiga debe wa shetani kabisaaa.
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Ubarikiwe.ubarikiwe.kwaakili.nzuri
@mikeomondi1014
@mikeomondi1014 Жыл бұрын
Kujipamba ni roho ya kahaba jezebel,wacha kupoteza watu wa Mungu, umepotoka na umepotea, unauza ajenda ya kuzimu. Kipamba hapana hapana. Kisha Yehu akaenda Yezreeli. Yezebeli aliposikia habari hii, akayapaka macho yake rangi, akatengeneza nywele zake na kutazama nje dirishani. 2 Wafalme 9:30
@dorcasjonathan9793
@dorcasjonathan9793 Жыл бұрын
Mmi cjakuelewa watumishi wameonya juu ya hili angalia sana utaenda kusiko mm sikufagiili
@FredOdhiambo-he1rw
@FredOdhiambo-he1rw Жыл бұрын
Usibadilise neno la mungu, dada, nafazi unao bado mungu anakupenda, utapotesa wengi, na mafundizo yako nieri ukae kimwa, kwa sababu nikazi ya ibilisi. auta faamu,coz wanadamu wasasa wanapenda ayo, iyo injili asiliyake, ni kupigia ukahaba makofi,, unakosea,
@kevinchimasia7533
@kevinchimasia7533 Жыл бұрын
😭😭😭😭what is really happening to my beloveth gospel singer surely???Mimi Sitaki Kusema mengi ila my dear sister Bahati Bukuku ninakusihi RUDI KWA YESU.UMETOKA MBALI USIANGUKIE MLANGONI.MBONA ULIWASTE MUDA HUO WOTE UJE UANGUKIE MLANGONI?EBU JISIKILIZE UNAYOYASEMA.😭😭😭😭SHETANI ASITUMIE UMAARUFU ULIONAO KUWAPOTOSHA WATU WA MUNGU.COME BACK TO CHRIST MY DEAR SISTER TIME IS RUNNING SHORT❤️❤️❤️
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Acha mbwembwe bhana umevulunda Dada
@annastaziakimaro3042
@annastaziakimaro3042 Жыл бұрын
Leo naomba niseme injili iletayo uzima imefunikwa Kwa sababu wahuburi wanasema kile watu wanataka kuisikia, umesema mwanamke kahaba alikuwa amejipamba wakati anakwenda Kwa Yesu kutubu, Yesu alipomsamehe aliutazama moyo dhamiri ya yule kahaba ilijaa majuto na kutaka msamaha wa dhambi zake, unaposema umekaa kama maliasili inamaanisha kuukosoa uumbaji wa Mungu, Mungu hajawahi kuumba kilicho kidhaifu mtumishi, najua utasoma comment hii sijihesabii haki ila kuna nafsi zitaenda jehenamu kutokana na mafundisho yako haya, Mwanaume Mungu aliyemuandalia mtu akiwa ni wake kweli humtengeneza wakawa wanaongea lughs Moja.
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Amen Asante sana barikiwa sana sema kabisa
@judithnyantikanyaboke6363
@judithnyantikanyaboke6363 Жыл бұрын
Mmemuchezea mungu nakumbuka sda kuna bibilia walitusomea inasema mwanamke mwaminifu ni kunyoa nywele ama hautaweza kunyoa acha ikae vile mama yake yesu uongo mtupu mbinguni uingie kamwe.unajua ukweli kutoboa maskio nidhambi uwezi samehewa.
@MwitaSimon-dd1cq
@MwitaSimon-dd1cq Жыл бұрын
Kitabu gani kimeandikwa tujipambe unatuzararisha mtumishi kwann hatukuzariwa tumejipamba mungu hataki mapambo, mapambo ni usafi wa mioyo yetu sio wanja na mekapu,
@lucasmaganga8861
@lucasmaganga8861 9 күн бұрын
Kujipamba inaweza kuwa ni jambo zuri, lakini usipotoshe watu kwamba unaweza kusamehewa kwa sababu umejipamba
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 11 ай бұрын
Hapo una maanisha nini kwamba watu wasimutafute mungu wa kweli Bali wajipambe ndyo njia ya kwenda mbinguni basi kusingekua na ijili na Wala kusingekua na vitabu vya dini vya kukataza dhambi ama vinngeandikwa vya kujipamba na vya kufanya ukahaba mungu akusemehe Sana
@thomasa.kimwaga4161
@thomasa.kimwaga4161 Жыл бұрын
Wewe mama umechanganyikiwa sana
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 Жыл бұрын
Umepagawa na mapepo kwa kiwango cha %100.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 Жыл бұрын
Kweli wewe wa ajabu kweli jamani!daaah.....unawezaje kuzungumza ujinga mkubwa hivi!!looh
@erickmeshac3135
@erickmeshac3135 Жыл бұрын
Yani nami nimelishangaa😂😂
@hossalemanuel1968
@hossalemanuel1968 Жыл бұрын
Mpotoshaji mpya
@mikeomondi1014
@mikeomondi1014 Жыл бұрын
Bahati Bukuku wacha mali ya dunia isikufanye uende kinyume na maandiko, hapo kwa mwanamke kahaba umepiga nje kabisa. Alafu unamwita Yesu jamaa,shenzi kabisa. Wacha kupeteza waumini,watumikia kuzimu. Okoka Dada.
@emmystanford6201
@emmystanford6201 8 ай бұрын
We dada, Yesu alikuwa haangalii urembo wa mtu hapo kwa kweli sijui ulisomea chuo gani cha theolojia kilichokufundidha hivyo? Rejea mafundisho ya kweli hapo umepotea na kwa kweli Mungu akusaidie
@victorbarnabas2809
@victorbarnabas2809 Жыл бұрын
Haaaa ujinga mwingiiiii, hope unataka kuendelea kufuga makahaba kanisani na sio walioponywa na kugeuzwa Nia zao
@AngelaMwangulumba
@AngelaMwangulumba 8 ай бұрын
Kwani uchungaji wa siku hizi ni lazima ukasomee theolojia ,ukikurupuka asbh we tayari mchungaji haijalishi unaijua bible au hujui Ili mradi unapiga maokoto basi,ndio Dunia ilivyo uongo mwingiiii
@omuze1290
@omuze1290 Жыл бұрын
Wanalishwa matango pori (injili ya kuzimu) halafu wanashangilia. Ni ajabu sana!
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Kabisa wamepotea
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
Amen
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Nampendaga bahati bukuku..i wish nionane naye
@LucySimeo-ci6jd
@LucySimeo-ci6jd Жыл бұрын
Mliikataa kweli na Mungu amewaachilia roho ya upotevu, subiri moto wa milele
@melinaferuzi7842
@melinaferuzi7842 Жыл бұрын
Jipambe utaingia mbinguni😂😂😂😂😂huruma kweli mwambie uyo umpendae akaimbe na Diamond tu 😂😂😂😂😂kwa sababu ajielewagi yezebeli😢😢hii ni nini anatuambia👉🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭huruma sana
@JeannetteKahambu-ee6sb
@JeannetteKahambu-ee6sb Жыл бұрын
Ninakupenda sana
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Жыл бұрын
Umeanguka Mama
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
MUNGU aliye hai akusamee kabisa
@lawrencengarega5440
@lawrencengarega5440 Жыл бұрын
Bahati Bukuku unapotosha Wakristo wenzako, mapambo inakuelekeza kuzimu motoni
@esthernambeye4540
@esthernambeye4540 Жыл бұрын
Mungu ndie anae jua wakati tuliopo huu don't judge only God will be judge no balance in world yesu sure
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Mungu ni waukisasa sndio
@carolinederi5690
@carolinederi5690 Жыл бұрын
Hakuna kujudge hapa by the way huyu Bahati amepotosha wanawake kwa hili somo wenye wanashanglia hawasomi neno wangesoma hawangeshanglia wasicho kijua
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga Жыл бұрын
Bahati, unapozungumzia kwamba Samson alikuwa RASTAMAN siyo kweli. Yule alikuwa mnadhiri wa Mungu kwa maelekezo maalum. Tafuta habari kamili utapata ufahamu juu ya hilo. Pia habari ya make up na kusamehewa dhambi sidhani kama iko sawa. Jitafakari kwa upya utengeneze juu ya jambo hilo.
@deogratiusfaustine4403
@deogratiusfaustine4403 Жыл бұрын
Et alisamehewa kwa xababu ya ulivojipamba duuuh hii kal😮😮
@yohanamlewa3544
@yohanamlewa3544 Жыл бұрын
Mama wa makahaba wa kuzimu ndo anajipaka lipstik
@mikeomondi1014
@mikeomondi1014 Жыл бұрын
Soma hili andiko, msiruhusu shetani awatumie. Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa, bali kwa matendo mazuri kama iwapasavyo wanawake wanaokiri kuwa wanamcha Mungu. 1 Timotheo 2:9-10
@LesianaBizimana
@LesianaBizimana 19 күн бұрын
Bahati bukuku acha upumbavu mwanamke
@AbbahCostaabbahCostaabbah
@AbbahCostaabbahCostaabbah 7 ай бұрын
Alaf hao wanaoshangilia hivi wana akili kweli bila kusoma neno tutapotea
@gratiasdeo6783
@gratiasdeo6783 Жыл бұрын
Umefurahia kupotosha watu kwa ku tetea dhambi yako! ikiwa hau elewi neno si vema kubakikimya? Yakobo 3:1 NEN Ndugu zangu, msiwe walimu wengi, kwa maana mnafahamu kwamba sisi tufundishao tutahukumiwa vikali zaidi.
@yustinajoseph8029
@yustinajoseph8029 9 ай бұрын
Aiseee kama hawa ndo waimbaji wa injili tumeishaaa,🤦🤦 yesu alivutiwa na urembo tangu lini duh !!!! Kazi ipo
@dorcasjonathan9793
@dorcasjonathan9793 Жыл бұрын
Dada hapo unapotosha sijui ni rohogan imewapata kahaba anajipamba kuchukua waume za watu na wewe unajipamba ili kutimiza matayo kila amtazamae mwanamke kwakumtaman amekwisha kuzini nae😂😂😂 utajuwa nahujui mana neno lina sema asomae na afahamu
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Amen Asante kabisa
@remmywekesamukhwana4422
@remmywekesamukhwana4422 Жыл бұрын
Na hizo make up na nywele pandia inawapeleka kusimu, na usipotoshe watu
@remmywekesamukhwana4422
@remmywekesamukhwana4422 Жыл бұрын
Bahati Bukuku, hizo makeups ndizo zimepeleka wengine kusimu wakiongojea hukumu ya mwisho ili watubwe Jehanami, kwa hivyo dada yangu kama Bado wapumu, Tafuta Mungu!!!! Isaiah55:6-7, zephaniah2:3, Ezekiel33:11, Umepotoka na umeanza kupotosha wanawake, Tayari Kuna waimbaji wengine kusimu wanalia kwa sababu vipotosi
@marymwanziamary6623
@marymwanziamary6623 Жыл бұрын
Uyu naye amepotea buree kabisa
@Isackruchompinne
@Isackruchompinne Жыл бұрын
Nanii aliniambia samson nilasta mni iyo bibilia umeitoa wapi mama yangu usipo tubi kwa zambii ii aura sameewa uwezi mfananisha yesu iyo
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
1 Timothy 2:9 [9]In like manner also, that women adorn themselves in modest apparel, with shamefacedness and sobriety; not with broided hair, or gold, or pearls, or costly array; Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
@dismassiragoye7371
@dismassiragoye7371 Жыл бұрын
No, offer ya msamaha kahaba yakupewa kulingana Na kigezo hicho. Please soma vizuri habari hiyo .
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Mnyakyusa huyu muache
@TheGospelMelodies
@TheGospelMelodies Жыл бұрын
Nilikua nakuheshimu nadhani unajua biblia kumbe wapi, Mungu atusaidie
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Hajielew kachanganykiwa
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Kabisa MUNGU wa BINGUNI atusaidie
@Hahaha-yf4ug
@Hahaha-yf4ug Жыл бұрын
Samson ilkua hamuri ya Mungu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Labda nayy kaambiwa na mungu🤣
@SelinaMwanakatwe
@SelinaMwanakatwe Жыл бұрын
We dada acha kupotoa maandiko utajibu nini mbele za MUNGU?
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
❤️❤️❤️
@RitaMname
@RitaMname 19 күн бұрын
Samson alikuwa ni mnadhiri na ilitakiwa asinyoe nywele zake
@lucasmaganga8861
@lucasmaganga8861 9 күн бұрын
Umetetea Point hadi umeharibu, Sisi tuliosoma maandiko, hakuna andiko YESU alilosema umesamehewa kwa sababu ya urembo? Acha kupotosha mama
@wallacekatini3424
@wallacekatini3424 Жыл бұрын
Kahaba mkuu wa mji wa Babeli alivalia rangi ya zambarau ,akajipaka wanja na kuvaa Lulu,dhahabu na fedha😮
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Achana nae
@irenemacha5661
@irenemacha5661 Жыл бұрын
@rsfdzxzx2274
@rsfdzxzx2274 Жыл бұрын
Aca uwogo
@robertempire9542
@robertempire9542 Жыл бұрын
Acha kupotosha watu Kama wewe ni mzuri ni mzuri tu na Kama ni mbaya ni mbaya tu....alafu Mwanamke kahaba akusamehewa kisa urembo wake hapo umenena wrong kasoma Tena Biblia ujifunze upya
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Hawatak kwanza ukimwambia hv anakuona km takataka
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 10 ай бұрын
Umepoteza thamani ya uchungaji wako tubu
@nurudaniford333
@nurudaniford333 Жыл бұрын
Kwaiy unajipamba kisa mume?
@AlphineKimani-i8l
@AlphineKimani-i8l Жыл бұрын
Yaani unamwita yesu jaama,,eti jamaa kwangalia akaona urembo????
@RitaMname
@RitaMname 19 күн бұрын
Uingie darasani usome vizuri biblia
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 9 ай бұрын
Na je umalaya nikiona si dhambi nisawa
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 Жыл бұрын
Unaghoshi Injili bahati
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Tena soma Timotheo 2-12
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz Жыл бұрын
Mwambie bukuku huo ujinga arudishe chooni mwanzoni alikua mzuri lakini Sasa ni mjinga kabisa anamdharau yesu ushenzi mtetee yesu wacha umalaya unawashwa?
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Haaaaa
@johnmbise8996
@johnmbise8996 Жыл бұрын
Dah!!!😂
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 7 ай бұрын
Mbinguni mbali sana wallah; hata Bahati, mmh?
@gracemutono5023
@gracemutono5023 Жыл бұрын
Soma Timotheo 2-8
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 10 ай бұрын
Kama kuingia mbinguni ni urembo na ukahaba sasa mbwona wa hubiri na basi una maana wewe ni ____si mchungaji?
@AngelaMwangulumba
@AngelaMwangulumba 8 ай бұрын
Tujiangalie sana ukweli na uwazi uko kwenye neno,hizo nyingine ni propaganda tu,hizi ni nyakati za mwisho manabii na mafundisho ya uongo yameenea sana
@AnthonyMbugi-qm8yx
@AnthonyMbugi-qm8yx Жыл бұрын
Nenda chuo ukafundishwe namna ya kutafsiri maandiko.usitafsiri kulingana na Matakwa yako.
@rsfdzxzx2274
@rsfdzxzx2274 Жыл бұрын
Samu soni
@pamudavid
@pamudavid Жыл бұрын
Bahati Bukuku amesha changanikiwa ki imani, uzuri wa mwanamuke siyo kuweka make up, urembo wa mwanamuke siyo make up bongo iyo… hapana kufuru kwakusema uongo, Yesu hajamwambia uyo mwanamuke amesamehewa eti kwasababu yakujipamba kwa make up hapana.. Ila kwa moyo wa toba nakuacha umalaya,,, kahaba ndiye anajipamba kwa make up nyingi saana na Siyo ivo.. kutakata kwa mwanamuke siyo ivyo unasema..
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
Tuyavue mapambo yetu
@rehemahassan7558
@rehemahassan7558 Жыл бұрын
Ndio mchungaji huyu oteee
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
🤣
@lucasmaganga8861
@lucasmaganga8861 9 күн бұрын
Pumbavu kabisa huyu Mama, anachomeka maandiko yake waziwazi
@LillianMunyaka
@LillianMunyaka 7 ай бұрын
Dada vip kumbukamwanzoni ndoivoulikuwa please Jesus is coming soon stop that
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 9 ай бұрын
Ujinga yako usitufundishe mjinga
@agynoel2846
@agynoel2846 Жыл бұрын
@paschal cassian
@domycossan1395
@domycossan1395 Жыл бұрын
Hapa kwenye mfano wa kahaba Yesu hakuvutiwa na urembo bali alivutiwa na Moyo wa utoaji na unyenyekevu na toba. Hapa umetaka kutetea mambo ya kujipamba tu tena kishabiki sio kibiblia
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Жыл бұрын
Umeanguka Mama
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz Жыл бұрын
Mwambie bukuku huo ujinga arudishe chooni mwanzoni alikua mzuri lakini Sasa ni mjinga kabisa anamdharau yesu ushenzi mtetee yesu wacha umalaya unawashwa?
BAHATI BUKUKU ALIVYOWASHA MOTO WASAFI SUNDAY WORSHIP
20:47
Wasafi Media
Рет қаралды 80 М.
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
Sh Xassan Al Waajidi Maxa Lagu Heystey Marku Laha Qabilta Sh Xassaan Abu Salmaan
22:08
imam shafici media قناة الإمام الشافعي
Рет қаралды 54 М.
MAJINA YAO YAMEONDOLEWA KWENYE KITABU CHA UZIMA
32:00
Ukweli Church of Christ
Рет қаралды 56 М.
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН