BAHATI BUKUKU ATEMA CHECHE/USHUHUDA MZITO/AUTUHITAJI UVUE NGUO ILI USIKIKE/YESU ANARUDI KWELI

  Рет қаралды 43,539

Swahili Gospel Tv

Swahili Gospel Tv

Күн бұрын

Пікірлер
@gracekasambala4712
@gracekasambala4712 Ай бұрын
Huhitaji kuvua nguo ndio ufahamike hii nimeipenda barikiwa mtumishi wa Mungu
@FaidaBashamuka-sb5ow
@FaidaBashamuka-sb5ow 13 күн бұрын
Atujambo mama bahati bukuku,ki ukweli nyimbo zako zina nijengaka sana,n'a mungu wa mababu zetu ambaye ni Jéhovah akilinde,lakini shauri yangu kwako mbele ulianza imba Sawa bila kuji pamba hivo najapo kujipamba vile ni kumukosowa mungu ijapo ni mubaya,
@braytonemaulidysalehe
@braytonemaulidysalehe Жыл бұрын
Wee unaetuma ujumbe ambayo haufai hatukutakiii bahati bukuku Ni mwimbaji wa ulimwengu tena ana maneno ya kimunguu sana
@yvettembavu9306
@yvettembavu9306 Жыл бұрын
Asante saana Muhimbaji wetu International nyimbo zako zinatufariji sana,ubarikiwe sana.
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Mama Bahati Bukuku umesema vizuri sana mama, Mungu akubariki sana, kizazi hiki kinakuhitaji sana . Asante sana🙏🏻🙏🏻🔥🔥💕💕
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
Hongera sana mamy kwa ushuhuda na ufundisho ukumbusho mzr sana barikiwa sana mama🤲🙏🥰🥰❤💋
@StellaMshan-rn4pb
@StellaMshan-rn4pb Жыл бұрын
Am Malawi am blessed so so much menitia moyo sana.huyu mchunganji tena ni mama
@IdaTwagirayesu
@IdaTwagirayesu Жыл бұрын
Nagupenda sana muyimbaji wamungu nyimbo zako zinanifurahisha sana
@blessingsmwaipaja3691
@blessingsmwaipaja3691 Жыл бұрын
❤Mtumishi nakupenďa sana nyakati kweli za yoyoma nakuomba uniombee nafanya kazi ya kujiuza mwili wangu mtumishi nisaidiè nimechoka ,nataka kutengenèza na Mungu mama uishi uishi hiyo mafundisho ni Mazuri ,nielekeze naomba napenda nyimb0 zako pia mafundisho yako mama,
@patchomwamba9529
@patchomwamba9529 11 ай бұрын
Bwana Yesu akusaidie mpendwa
@liliankamolo9798
@liliankamolo9798 Жыл бұрын
Majaribu yangu ni ya kawaida,nipatapo jaribu Langu, najua mungu ameruhusu,kwa kua naishi kwa mpango wake Amina 🙏 such great faith.
@victoriamkumbo5866
@victoriamkumbo5866 Жыл бұрын
😮nakupenda mama endelea nskaziyamungu uko sawa mama
@EstherBitengo
@EstherBitengo 9 ай бұрын
Mungu ongoza hatua zangu, tengenesa njia zangu nami niwe katika uwepo wako🤲🤲 God bless you Bahati tunakupenda 🇰🇪🇰🇪
@LameckGreyGospel
@LameckGreyGospel 23 күн бұрын
Barikiwa sana bahati bukuku mamayangu
@FaidaBashamuka-sb5ow
@FaidaBashamuka-sb5ow 13 күн бұрын
Niko kongo katika Muji wa Bukavu,unani jengaka sana kwa nyumba zakoo,mufalume akasimama akamutazama Malika akasema haha mimi n'a jaa moyo wangu hâta nusu ya ufalume wangu nitakupatiaa,Amina kubwa lakini ni shauri usiji pambe sana tena vile,ni ma andiko
@peterwerema8438
@peterwerema8438 Жыл бұрын
Nakupenda sana mama toka moyon mwangu Mungu akubariki sana
@FaidaBashamuka-sb5ow
@FaidaBashamuka-sb5ow 13 күн бұрын
Ume ongea vizuri sana ukuye kongo Bukavu kutufunza île ufanye semina
@MarySalvatory-v3c
@MarySalvatory-v3c 6 ай бұрын
Saf sana mtumishi wa Mungu
@princessa3060
@princessa3060 Жыл бұрын
Jesus is coming soon ..let's prepare ourselves....so powerful message to the world..much 💞💞💞 frm Kenya ukunda mama
@DorisLuvanda-z2x
@DorisLuvanda-z2x 4 ай бұрын
Amina
@cynthiaomondi7294
@cynthiaomondi7294 Жыл бұрын
I just bless God that you are quoting scriptures in every response you are giving. Nakupenda bure.
@FaidaBashamuka-sb5ow
@FaidaBashamuka-sb5ow 13 күн бұрын
Vraiment wazazi waleo apana,ni ajabu sana,
@Joyce-w1y
@Joyce-w1y 9 ай бұрын
Ameen hapo umeongea ukweli mtumishi wa mungu bahati bukuku
@minanietienne-sz8xu
@minanietienne-sz8xu 11 ай бұрын
Tunakupenda pia jinsi unavyo weka sawa majibu God bless you more than
@liliankamolo9798
@liliankamolo9798 Жыл бұрын
Huo ushuhuda wako umeniinua Asante my sister bahati, barikiwa 🙏🙏
@Rehemamwamumbo-si6ur
@Rehemamwamumbo-si6ur Жыл бұрын
Nikweli mama hongera sana kwa ushuhuda wako🙏🙏
@braytonemaulidysalehe
@braytonemaulidysalehe Жыл бұрын
upo vizuri sana usiache kuimba pia ata Kama umekua mchungaji
@STAREXTENSIONMEDIAPRO
@STAREXTENSIONMEDIAPRO Жыл бұрын
Swahili gospel Tv tunawapata vizuri sana norrway
@ScolaNgwale
@ScolaNgwale 7 ай бұрын
Ubalikiwe sana mamayangu Kwa ujumbe mzur
@simonmdune9066
@simonmdune9066 Жыл бұрын
Mama tumekumiss jamniiii siutubariki na nyimbo mpya mama jamniiii tumemiss sauti yako 🥰
@MercyOchango
@MercyOchango 6 ай бұрын
True and powerful..
@stephanopaulo4273
@stephanopaulo4273 Жыл бұрын
Hongera mtumishi wa Mungu
@musafiribahati8295
@musafiribahati8295 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mama Bahati bukuku
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@agnesyjoseph3906
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
Amen mtumishi, hakika. Siyo lazima utafute umaarufu kwa njia zisizo sahii
@PASTEURGENEROSEKABAKA
@PASTEURGENEROSEKABAKA Жыл бұрын
Maman fanyakaziyamungu nakutiengufu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@IdaTwagirayesu
@IdaTwagirayesu Жыл бұрын
❤nataka ukuye burundi tunagupenda
@annamulungu2876
@annamulungu2876 Жыл бұрын
Mpe mwaliko sasa ndugu
@esterem-fu9ly
@esterem-fu9ly Жыл бұрын
Nakpenda sana Bahati unaongea ukweli mtupu Mungu azidi kukubariki
@NikksSalemba
@NikksSalemba Жыл бұрын
Bwana akubariki sana kwa ujumbe mzuri.
@estheraugustino-kj6fg
@estheraugustino-kj6fg Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana
@MarthaAlly-y7s
@MarthaAlly-y7s Жыл бұрын
Nakupenda sana dada yangu na huduma yako natamani kuwa kama ww
@angehamenyimana2257
@angehamenyimana2257 Жыл бұрын
Asante sana mchungaji.
@angehamenyimana2257
@angehamenyimana2257 Жыл бұрын
Kabisa yesu anaridii
@Joyce-w1y
@Joyce-w1y 9 ай бұрын
Yes hakuna mda tena wakupoteza ila kusimama na mungu
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Amen
@agnesyjoseph3906
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
Nakupenda mtumishi Bahati
@constantinnihimbazwe7224
@constantinnihimbazwe7224 Жыл бұрын
tunawapenda Sana watumishi Wa Mungu
@JoelKakolanya
@JoelKakolanya Жыл бұрын
Amen mtumishi wa bwana
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Bahati bukuku Rudi ukatubu Kwa Yesu maana ulisha anguka,maneno uliyoyatoa juu ya Yesu yalikuwa machafu eti alivutiwa na mrembo koma ewe Mwana wA nyoka,
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema 11 ай бұрын
Na wewe vile vile tubu
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
Mungu akusaidie wazazi kiukwer
@danielalotesiro6611
@danielalotesiro6611 Жыл бұрын
ubarikiwe mamaa nakupenda bahati bukuku
@FiddyKathambi
@FiddyKathambi Жыл бұрын
Mimi naona kama mungu yup likizo kwangu mama nikama kwangu sasa ni moto moyo wangu umechoka sana
@agnesyjoseph3906
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
Hakika vigezo vya Kimungu sio vya wanadamu. Maana Mungu hatazami Kama sisi wanadamu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Bahati bukuku nampenda balaa
@nasambulilian380
@nasambulilian380 Жыл бұрын
Ume sema ukweli kabisa barikiwa sana ❤
@gloriakahindo2121
@gloriakahindo2121 Жыл бұрын
Maman mungu aku bariki
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Mda uliobakia ni mda wa nyongeza niepapenda Sana apo
@victoriapendo1730
@victoriapendo1730 Жыл бұрын
Barikiwa sanaaa mamaa 😍
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa Ай бұрын
My dada toa nyusi ,za makahaba hizo
@mucochanella1672
@mucochanella1672 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@sylvesteramwai7192
@sylvesteramwai7192 Жыл бұрын
So powerful and inspiring
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 Жыл бұрын
Very true
@AllyMazinge-k6x
@AllyMazinge-k6x 27 күн бұрын
Mamlaka ya utumishi mmeyapata wapi mbona mazingizongi yanazidi kwa kasi hizo pesa zitawatembeza uchi hamna hayo mamlaka wanwake mungu alishaweka mikaka baina ya mwanamke na meanaume ubinafsi na umalaya tatizo kwa wanawake bora mchawi unawekumrekebisha
@Habiba-yb2hb
@Habiba-yb2hb Жыл бұрын
@agnesyjoseph3906
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
Yes my mama, nyakati na majira ndo zinaongea kuliko kujitetea
@JoelleChirhalabwa
@JoelleChirhalabwa Жыл бұрын
I love you so much Maman
@estheraugustino-kj6fg
@estheraugustino-kj6fg Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@Elizabeth-d5w
@Elizabeth-d5w Жыл бұрын
Point noted mama maadili. Kiswahili ndo changamoto kwangu but ok
@gashugijonatan7817
@gashugijonatan7817 Жыл бұрын
Arusha kuko sarama bahati Bukuku yuko ama arisha.kufa
@maphlowtanzania3207
@maphlowtanzania3207 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 Жыл бұрын
Wee ukifa utaenda wapi na kujichubua na makope hayupo njian unaijua?
@InuwaKanyunyi
@InuwaKanyunyi 14 күн бұрын
Ukowapi bahati
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Hawa ndio wachungaji wA mchongo,wanazo saka tonge
@immaculatendinda3900
@immaculatendinda3900 Жыл бұрын
No problem as long tonge lipatikane na pia injili ipenye..shida Iko wapi ndugu yangu?
@ElizabethLazer-cv7me
@ElizabethLazer-cv7me Жыл бұрын
Kuwa na uhalsia wako acha kuongeza vitu vya anasa kwenye mwili wako kama hereni kope hizo lipstiki
@ZubedaVicent
@ZubedaVicent Жыл бұрын
BWANA YESU atusaidie
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Ficha mtoto wako ase mtoto anapakwa wanja lipstick anasukiwa nywele bandia jamn
@musaliaeugene7975
@musaliaeugene7975 Жыл бұрын
Unaongea ukweli mtumishi wa mungu hao hao wanaongea vibaya hawataki kuambiwa ukweli
@judithnyantikanyaboke6363
@judithnyantikanyaboke6363 Жыл бұрын
Amen
@chiganyebahati798
@chiganyebahati798 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@musafiribahati8295
@musafiribahati8295 9 ай бұрын
Amen
@glorykaimenyi9208
@glorykaimenyi9208 8 ай бұрын
Amen
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
MAJIBU YA JENNIFER KUHUSU KUOLEWA
28:50
Jennifer Mgendi
Рет қаралды 167 М.
Deborah Bukuku Ft Bahati Bukuku & Dee Lomwona - Mwamba Official Video
5:53
Deborah Bukuku Official
Рет қаралды 61 М.
Wema ni Akiba by Jennifer Mgendi
11:26
Jennifer Mgendi
Рет қаралды 2,9 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 36 МЛН
Bahati Bukuku ft Bony Mwaitege - Dawa Yangu (Official Video)
5:45
Bahati Bukuku
Рет қаралды 956 М.
Kesho Ni Fumbo | Bahati Bukuku | Official Video
8:08
Bahati Bukuku
Рет қаралды 10 МЛН