Safi sana DOTTO BITEKO mama samia hajakosea kukupeleka kwenye hio ziara.mie nakukubali sana ❤
@PascasiMunishi20 күн бұрын
Mbaya zaidi ukipata tatizo (ukiwa umekatikiwa umeme) . Utapigwa kalenda mpaka utakata tamaa
@salmamohammed950021 күн бұрын
Tunateseka jamani TANESCI wanatunyoosha🥹🥹🥹tunapata hasara, tunajitahidi kufanya vibiashara kutwa kuchwa umeme unakata, tena sijui kama kuna eneo linateseka na uemme kama TEMEKE aiseeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌kila siku tunaambiwa hitilafu za miundombinu. Na suala na simu mim walinipokelea alaf aliepokea akaniweka pending eti nakuja akakaa 8mins amekuja akanambia ananitumia namba na sikuipokea namba ile mpaka siku ya pili asubub tulikesha usiku kucha hamna umeme. Tanesco mkoa wa TEMEKE iwekwe na kwenye maombi pia sio tu ziara🥹😭😭
@salminsalmin501422 күн бұрын
Safi sana
@diasohassan22 күн бұрын
Good job mkuu
@CopperBelt21 күн бұрын
Mzalendo wa kweli katika Taifa ❤
@zephaniazacharia51922 күн бұрын
Safi sana Biteko
@HamisMberwa-d3f21 күн бұрын
Safi sana mh Biteko
@ShortyShorty-mr3jb22 күн бұрын
Safi sana mhe
@Gospel2Youth21 күн бұрын
Mama kazungukwa na wachapa kazi,acha niendelee kuchapa kazi ipo siku ataniona
@MagrethMassawe-ov3ns22 күн бұрын
Wazir umeanza na kitengo muhim cha faida katika nchi watanzania tuondolewe kwenye mtazamo wa kuzoea matatizo umeanza vizur weka msimamo
@Sinde1tz21 күн бұрын
Ni kweli kabisa wamelala hiyo call center yao wangeitoa Tu zikabaki emergency za mikoani tu
@2003hintay21 күн бұрын
Big up mh Biteko hao wamezoea kutokupokea simu piga chini waje mitaani waone mambo
@PauloKweka21 күн бұрын
HONGERA SANA WAZIRI TUMECHOKA HUKU HAI UMEME UNAKATIKA KILA SIKU HA KUNA MAJIBU YA MAANA TUSAIDIEEE
@DicksonHaule-y4d20 күн бұрын
Kwel awo wanafanya Kaz kwa mazoea sim azipatkani na kuna mda awapokei
@CathelineMagawa21 күн бұрын
Tabu kubwa sana.wangerudisha simu kwa mameneja wawilaya.huko makao makuu nishida naibu waziri.ikitokea hitilafu yamoto hata kwenye nguzo huchukua masaa kuja kutatua
@checkchannel387621 күн бұрын
Viongozi wote wangekuwa kama huyu Dk. Biteko hakika hii nchi ingekwea juu kimaendeleo!
@AshaMwamba-m5x21 күн бұрын
Biteko kijana kabisaaa waambiee hao
@sabatoager22 күн бұрын
mybe they will change
@jamesmayala549121 күн бұрын
Ukiwa Zanzibar Kuna jamaa wanaitwa ZECO umeme unakatika kwa siku mara 400
@AshaMwamba-m5x21 күн бұрын
Biteko kijana kabisaaa
@abubakarsaid730322 күн бұрын
Hapa ndipo tuna mkumbuka magufuli😢😢😢
@brianmapunda895722 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿
@mweyoms554821 күн бұрын
Baada ya wiki yatajirudia yale yale hapo.Hilo shirika halibadiliki miaka nenda rudi. Tunatamani uwepo wa Shirika mbadala la huduma hii.
@nicksonanthony598421 күн бұрын
Awafate na voda ,,,mtandao umewashinda
@abuu-hx3ru21 күн бұрын
Wakiwa viongoz kama Hawa 20 tu ndan ya NCHI matatizo madogo hayatokuwep maana watanyooka😅😅
@all497022 күн бұрын
Beans kajiwekea kikampuni chake ale cake ya taifa na yeye!! Mara paaaap! Wivu... 😂😂😂
@GeorgeRichard-ww1cb21 күн бұрын
Wilaya ya Longido inaongoza kwa kukata umeme
@deogratiaslukoo516321 күн бұрын
Hamna kitu hapo mnatichezea tu mheshimwa , fayeni maamuzi sio kuhojiana with no impact haina maaana na wala haisaodii kitu.
@abdulhakeem95921 күн бұрын
MM BADO NAMKUMBUKA KARAMAGI NA ILE SERA YA KIZALENDO YA KUUNGA UMEME KWA ELF 27.IT WAS VR NICE FOR ALL
@mussakimaro558821 күн бұрын
Yani biteko ni mimi kabisa hao wote ningepiga chini wakakae nyumbani wanafanya kazi kama ya mjomba yao
@Patriotism-x3v21 күн бұрын
Wazee wa Kanda ya ziwa hawana mbambamba
@IssaMwangata22 күн бұрын
Hao wote waondolewe hawana nachofanya mm mwenyewe ni muhanga mpaka leo cjawahi pata huduma nilioomba mwaka wa 3
@YusuphMwangobola21 күн бұрын
Hyo dharau kubwa tangu mwaka Jana hao ni wa kutimua
@AshaMwamba-m5x21 күн бұрын
Biteko kijana kabisaaa waambiee hao wavivu wakazi sisi tunatembea na vyeti mfukoni atuna ajiraa
@MailesSezero-l4c21 күн бұрын
Waambie pia kukata umeme bila taarifa
@IddTwaha21 күн бұрын
Guys hizi sector bora zisimamiwe na watu ambao elimu zao ni average lakin wamefanikiwa kuliko hawa wenye maPhD na masters ambao wanalipwa mishara ya bure and they do nothing kama huyo hapo yeye ni kaimu meneja lakin hajui hata way forward anasingizia budget ili apate upigaji humo hapa ndo tunamkumbuka mwenda zake
@mtotowamanka22 күн бұрын
Kwanza TANESCO inatakiwa, 2lipiga iwe free kama mitandao ya simu, 100, ss wao hakuna tofaut na kumpg bibiako aliy kjjn
@mohamedrajabu837521 күн бұрын
Fukuza hao
@jumaigoti754121 күн бұрын
Tanesco yalishakuwa mapumbavu kweli tumbua
@SalimMajid-z7q21 күн бұрын
Uyo mkulugenzi mwanasihasa
@IddiKhamis-u6c21 күн бұрын
Mheshimiwa maneno mengi mbona. Hebu wanyooshe hawa wasiwe wanafanya upumbavu namna hii.
@leonardchisokole589521 күн бұрын
Niliwahi piga simu ikapokelewa, baada ya mazungumzo nikamwomba mhudumu arudie kuna sehemu sikuelewa, akasema ulikuwa usikilizi, akakata simu. Nikasema huduma gani hii? Mbaya zaidi ukipiga ofisi ya karibu wanakuambia report kwanza call centre wao watatupigia, call center wenyewe ni viburi hatari.
@EmmanuelChrispin-bo5xh22 күн бұрын
Mh mbn unaludia maneno take action bc kama unawabembeleza
@kwisa489922 күн бұрын
Utafikiria yupo serious 😂😂😂
@HamisiKitalika21 күн бұрын
Kama wewe tu usivyo serious
@ibrahimallyweunaijuahiyoco860821 күн бұрын
unataka avue na nguo ili ujue yupo serous
@dicksonkusaga21 күн бұрын
Mheshimiwa biteko nakuomba ikikupendeza huduma kwa wateja irudishwe kwa mameneja wa wilaya husika na pia no ya huduma iwe kama 100 au 101 itarahisisha huduma kwa wateja lakini pia wizara lisiwavumilie wafanyakazi wazembe wasio timiza wajibu wao wafukuzwe kazi kwani taifa lina hazina kubwa ya vijana wenye taaluma wasio na ajira wenye uzalendo na nchi yao maoni yangu kama mtanzania mzalendo.
@EmmanuelChrispin-bo5xh22 күн бұрын
Wafukuze kilasiku mnawatishaa tu alafumnawaacha
@hasani56522 күн бұрын
Ofisi imejaa Watu lakini umeme Tatizo mkuu .fukuza wote ajiri vijana walio mtaani na degree zao ...piga ua hapo vyeti feki kibao
@valerianmtowe782222 күн бұрын
Wanazungusha natako tu umeme hakuna sasa wanafanya nini umo ndani
@PabloDallas25522 күн бұрын
Vyeti feki,wala rushwa,walevi,wavivu na mafisadi ndo wamejazana humo ....tutoleeni taka taka hizo humo ndani vijana wenye damu zamoto na degree zao wapo mtaani hawana ajira wawekeni hapo muone shirika litakavochangamka.....aseee!
@SaidHamis-yz1vt21 күн бұрын
Waambie wajinga hao hata Mimi yalinikuta mwanza busweru.