Nampenda sana mtu anayejua kushukuru hongera saba baba levo
@MrTop-wj7no5 ай бұрын
Kabisa❤❤
@MrTop-wj7no5 ай бұрын
B Levo mtu wa maana sana mtu anaekubali kupunguzwa mshahara hata ikiwezekana kuachana nayo kwa heshima ya aliemtoa kimaisha? Daah🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@MeddyMsomalyАй бұрын
i love you baba kwa ajili ya mungu wetu
@salumuseif33245 ай бұрын
baba levo et kawa mweupe dah maisha nkikumbuka sinza huelewi hongera sana man
@mosesmgomba5 ай бұрын
Likes za baba levo apa
@hamidabdallah58415 ай бұрын
Baba levo anajua sana kuongea
@Mkaliboy_Bossani4 ай бұрын
Kama inawezekana nipigie Ngoma inaitwa Mawazo by Diamond maana naipenda paka kufa kwangu,kutoka Burundi Ni Bossani Mkaliboy nipeni like zangu
@bugapeasant18275 ай бұрын
Baba level ajitambua sana
@FranceMwaijande5 ай бұрын
Jembe napendaga sana kuona interview zake
@AbdallaMasudi-x3k5 ай бұрын
Ongera kka
@SifaEmma5 ай бұрын
Rayvanny amechanganyikiwa Harmonize akamuingiza kwenye chuki na uchawi kuroga kazi za Diamond Platnumz youtube 😭😭😭😭😭😭😭😭
@RonnieBertin5 ай бұрын
Nimeipenda history ya baba levo wakati ametoka mbali hustler really hard. Kama rik Ross anavyoimba
@KenyalandTV5 ай бұрын
B Levo ba fundi majumba
@JaymoneyTz-s9h5 ай бұрын
B levo b
@kilambo15 ай бұрын
Namm naimba jaman naomba support yenu napia karibu kuangalia nyimbo zangu
@aproniamasatu58105 ай бұрын
jamaa ni Royal saaana
@mudrickbarton89115 ай бұрын
Loyal
@massuraja17965 ай бұрын
Anastahili alichonacho saiv hongera
@Keddyz2545 ай бұрын
Hyu nae asoma maswal kwa simu akimuulza babalevo😮😅
@Ahmad-yo9pk5 ай бұрын
Inaonesha hujui maana ya watu kuwa live washabiki hupatiwa nafasi na pia vipindi huwa vina scripts kwahiyo maswali huwaandaliwa kabla ulitaakaa waingir na daftari
@CHRISTOPHERSEMITI5 ай бұрын
😂😂😂😂😂eti nalala kwa Mia sita daaaj
@richkaja33175 ай бұрын
Vanny boy chizi achane na konde Boy hana akili
@katapa_A5 ай бұрын
Af unasema wewe umeishi maisha magum af upo kwa mama kulanina😅😅