Jamaa Linex ana kipaji kikubwa sana. Ana vocal nzuri, ni mtunzi mzuri, yaani ni full package shida kubwa ni hizo media zinapromote wasanii wabovu wanaoimba matusi.
@TM.Sullusi8 күн бұрын
Mwambieni aache mibangi kwanza
@ibrahimomari24586 ай бұрын
Hapo ulizingua sana...yoyote mwenye akil asingekwenda
@furahamwikombo-p7g16 күн бұрын
Baba Levo mshauri ...Inshort,,,,Stairi ya uimbaji wa Linex,,,,aimbe injili Yuko vzuri sana pamoja na Stairi yake...
@ramadhanitokwete80698 ай бұрын
Kwaio wew babalevo Huwezi kumsadia mtu hadi ukamuombee msaada sehem nyingine akati unasema unapokea mil 10 mshahara kwa mwezi! Shwain
@onlyonetztv6108 ай бұрын
Baba Levo namuelewa sana kwenye hili.
@JninjaH2R7 ай бұрын
Mpeni support Linex
@babahaytham56117 ай бұрын
Misaada ya masimango ni ya kisenge
@GodfreyLuziga8 ай бұрын
Kumbuka baba levo mlikaa geto Moja na linex mpka tukawaita ndugu na mapacha kabsa leo unamgeuka
@lamekkauka90567 ай бұрын
Baba levo kaongea kweli kabi hoyo mwamba anaiba jamani
@amedjr14938 ай бұрын
Achana naye bado hajielew atakuja kukumbuka shuka wkt kushakucha
@BilaliBilaliamri7 ай бұрын
Iyo tiba ipo kabisa kigoma mimi nshawahi kuungwa mguu uliovunjika kwa kienyeji nilikua na umri wa miaka 9 sikwenda hosptal, hata siku moja mzee nikua naona anashika kisu anasimama kwenye jua na mimi na simama kwenye jua ndo anafanya take, huyo mzee alikua anatwa richard balilula kutokea kijiji cha mkongoro kigoma bila shaka alishatangulia mbele ya haki
@petermanala613814 күн бұрын
Hata Iringa wapo wanaotibu na dawa za kienyeji fasta tu kupona
@hellenkianda-yc2gz8 ай бұрын
Msimraum babalevo linex namjua mm mwenyewe namdai alitumia gari yangu kipindi nafanya huduma ya tax ya Uber anapenda sana pombe kuliko maisha ya kesho