Thank you kwa ushauri mzuri ALLAH awape nguvu na wapenda saaana from 🇬🇧🇬🇧🇬🇧😍😍❤💯💯
@mamunote35073 жыл бұрын
Lilian umependeza sana Leo Usipende kuwa ile minywele mikubwa
@buyegijeremiahmhuli56382 жыл бұрын
Love love you Ladies God bless you ,you are doing gooooood.🙏🙏
@KA-yz2ld4 жыл бұрын
Jamani asanteni please do more of this to empower women... Tuepuke na mindset potofu
@chibandamwende36764 жыл бұрын
Khadija Kopa nakupenda Bure,😂😂😂Mwanamke ni kujiamini,Aunty Sadaka always sober,Mama jamila moto kama pasi Msema kweli 🤔🤣,Violet nakufeel mamy,Lilian Mwasha mtetezi wetu 👏👏👏👌💪🇰🇪🇰🇪🇩🇪Asanteni
@marytemba8834 жыл бұрын
Khadijakopa kanipa raha sana ! Tumbo watalalia 😃🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@Quilant7494 жыл бұрын
I never knew this show is so amazing like this, big up my fellow woman, shikamooo aunty sadaka unatuelewesha sana ahsante💖💖💖💖💖💖💖love from Kenya
@officialteeh12134 жыл бұрын
Watching from saudia Arabia i really love this matters am with you always bi kopa ananivunja mbavu jameni
@pearl36964 жыл бұрын
Khadija Kopa ni mzuri mno
@esadkulovic67774 жыл бұрын
Me mkenya all the way fromCroatia big up sana napenda kipindi chenu.
@advocatekarama49174 жыл бұрын
Nampenda sana huyo mama pembeni ya Khadija kopa ( jamila),anaongea point mno
@hashemsaef15164 жыл бұрын
Achana na huyo mama ni kichwa kisha mstaarabu muungwana akili za kuenea
@celiadsilva67744 жыл бұрын
Hongera Women matters, Lillian and all the beautiful ladies. Please emphasise on our societies and how we are judged. For our next generations lets get Women to start opening up more and stop being afraid of being judged and let us start standing up for each other. 🙏
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Women matters munasema ukweli mtupu . Keep the good work 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@lidyakope6384 жыл бұрын
Asanteni kwa kipindi kizuri sana Dada Hadija Kopa umenifurahisha sana
@salmakhamismohammed36634 жыл бұрын
Ahsante bikhadija nimekupenda sana na Auntie sadaka😘
@missyessy59794 жыл бұрын
WATCHING FROM RUSSIA 🇷🇺, I love your show sana sana sana, nikiwaonaga nasikia sana raha, I am a proud Tanzanian ❣️ nawapenda mama zetu na dada zetu apo ❣️
@konsolatatutu4234 жыл бұрын
From RUSSIA? Iyo nchi naiogopa aisee
@leaherasto9294 жыл бұрын
Mnainjoi Sana kwny shoo
@ChefMutoniTV3 жыл бұрын
Akiiii nawapenda from Burundi
@jramadhanmgonja61104 жыл бұрын
AUNTY SADAKAAA....BRAVE OF YOUUU...
@dorisjessy59604 жыл бұрын
Vailet ni sio mshauri mzuri kwenye parnel hana wisdom
@samirarashid81864 жыл бұрын
Nawapenda saaaana 🧡🧡🧡🧡🧡🧡
@ameeranassor16192 жыл бұрын
Waseme tu beer hakuna haja ya kusema kitu cheusi, Mwenyezi Mungu anajua mnayoyaficha na kuyadhihirisha.
@asanathyunus36544 жыл бұрын
Nampenda sana ant sadaka
@jumanina4464 жыл бұрын
Nyie wanawake mnaelewa sheria za M/mungu au mnajadili msivovijua kuzuia sheria za M/mungu ndio matokeo ya haya
@caroloneoyugi9204 жыл бұрын
Nampenda sana aunt sadaka she is humble khadija kopa nampenda pia anachangamsha sana kipindi
@rachaelsabiti56154 жыл бұрын
I love you guys watching from USA
@olivabutoyi4344 жыл бұрын
Mmependezaa sana.. Mungu awabariki!!
@Ahmada154 жыл бұрын
Nawapenda sana from Danmark
@a.8564 жыл бұрын
Lili and Khadija Lizer mmedamsh sana😘
@iradukundakhadija26724 жыл бұрын
nime mpenda bi jamila mpo vizur na kipindi hiki kipo Vizuri congratulation
@faridamwinyi58574 жыл бұрын
Huyo mama nikama hataki bwanaake aende nnje kwa wanawake wengine.ndo akakubali hili Jambo..watu nnje wamsifie kuwa anaishi na bwanake vizur bila makelele .bwana hatongozi nje .ameridhika na mkewe.kumbe anakula mama na wanae.hakuna mume wakutosheka na mke mmoja.waume waliumbwa na tamaa.kama hutokubali kumwachia aende nnje.lazima atafanya vitu tofauti ndani ya familia.mwanamke ataka sifa kuwa anamridhisha mume.mumewe hatoki nje.mume haridhiki hata ufanyeje.wanatamaa.wanawake wajue hilo.mume niyule akupe heshima yako .ajitambue Kama mwanaume na majukumu.lakini mwengine tumwachie mungu.
@chunanachu25294 жыл бұрын
Anti sadaka umeongea point sana
@khayraa73744 жыл бұрын
29 men disliked this vid 😂.... great job ladies looking forward for more episodes 💪🏽 #womenempowerment
@Maryam-yt8lw4 жыл бұрын
Hongereni wakina dada
@liliankemuma94754 жыл бұрын
Napenda hiyo program sana mafumbo na vichekesho vya aunty kopa
@liliankemuma94754 жыл бұрын
Watching from Kenya
@chinamilenas33754 жыл бұрын
Yani nawapenda M'mungu awawekee
@fatmamohamed2734 жыл бұрын
I love you khadija kopa.❤👌
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Hi everyone 🙋🏽♀️🙋🏽♀️🙋🏽♀️ nimefanya video inayo zungumzia kuhusu usafi wetu wa wanawake , sababu za kuwa na harufu, muwasho na mengine mengi 👇🏾👇🏾 kzbin.info/www/bejne/gYSxZKZ3ltaArZo HAUTOJUTIA kuitizama na ukijifunza kitu nakuomba u like na pia unipe support kwa ku subscribe. Shukran Sana 🙏🏾😘🌹😘😘🌹😘
@nuriatqueen55754 жыл бұрын
Na mpenda da lily na da vailet ❤❤❤💯💯💯
@saidabdullah72734 жыл бұрын
Lili usifananishe kina kim kadashian wale wanafanya sajari sana maana miili yao ndio biashara zao... waafrika wana afya ya asili msihadaike na afya bandia zile... pigeni mazoezi tu
@ERIMINATSHINE4 жыл бұрын
Mimi nataka niwaulize swali kwann sasaiv ndio watu wanalia kua matumbo yanakua makubwa? Je mama zetu na bibi zetu mbna hawakua wakilalama? Kwan walikua hawali mitori? Watu wanajiendekeza vitambi inakuja halafu wanalia acheni kulaumu mitori. Kitambi ni mtu kukitaka tu nadhan .fanyeni uchunguzi wa hio kitu
@jennytugara94704 жыл бұрын
Kardashian wale malezi na Background Kaka ona Mama kwanza what do you expect from kids. Watoto wa nyoka ni nyoka
@Quilant7494 жыл бұрын
U can say tht again wali fanya wema akaenda India kuongeza kalio, hao miplastiki
@wendocharles94324 жыл бұрын
Hahaa ...nafurah sana nawapenda mnoo
@fshjyhvyejkrsvbb87174 жыл бұрын
Hi dears I love you all am watching from Berlin 😚 u soo wonderful and ur helping many people
@husnahassan62894 жыл бұрын
Mama khadija umesema kweli mama nawapenda wote wallah mnanipa raha
@jasminhassan90054 жыл бұрын
We mama mwenye nguo ya ugolo Cjui chui natamani nikupe zawadi jaman
@fortunathabarabara84714 жыл бұрын
Khadijah kopa anachekesha khaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rahmasuweyd8274 жыл бұрын
I love this wallah
@maggymm73024 жыл бұрын
Hahah katika hii mada hakuna comments za wanaume kaabisa.🤣. Asanteni kwa mada nzuri. Ila Khadija kopa ni mswaaahil kwa kiwango cha PhD.😅
@keyakeya89114 жыл бұрын
Yaaani mpaka raha yaaani
@khadijasalum23024 жыл бұрын
I love women matters ❤️❤️❤️😁😁
@nadrasalim52984 жыл бұрын
Women matters mnaishi ndani yangu...... Girls we're going through alot
@jessydaktari52094 жыл бұрын
Keep the fire burning @all
@mzalendomzalendo25674 жыл бұрын
Kusema ni rahisi sna
@polloz774 жыл бұрын
I love Hadija Koppa
@selemanilouise40134 жыл бұрын
Khadidja koppa coconut 🥥 skin 🌴
@azzamahamdu70394 жыл бұрын
KIPINDI MDA MREFU LKN JINSI MNAVOELIMISHA NA KUTUCHEKESHA🤣🤣🤣 MDA UNAONEKANA MDGO...HAMTUCHOSHI NAWAPENDA 🥰🥰🥰🥰🥰🥰FROM QATAR
@nimpayebenigne94904 жыл бұрын
Nice guys
@silverman69304 жыл бұрын
Today Bi Khadija I’m creasing here Oo Lawd 🤣🤣🤣🤣🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@furahakengela35524 жыл бұрын
Yaaan ni anachekesha😂😂😂😂😂
@Richesfam4 жыл бұрын
Watanzania please msisaau luga yenu Kiswahili. Kingereza akishindi Kiswahili! Ni luga nzuri sana
@irenemacha74574 жыл бұрын
Saluty kwako umeona mbali sana sijui ndio tujue wamesoma
@itsolutions22384 жыл бұрын
jamaniiii mna nipa raha sichoki kuwaangaliaa kwa kwelii'
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Vaolet nakupenda Sana chemistry yako na hadija kopa iko sawa
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Sitaki kuota nakimbizwa na nanguruwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kitonekantasha16874 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅🤣 khadija mshezi sana hahahah ndomaana mm nilikuwa nakimbizwa shambani
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Bi khadija noma sanaa😂😂
@aminanamoyo834 жыл бұрын
@@kitonekantasha1687 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aminanamoyo834 жыл бұрын
@@mutwalesylvie7443 🤣🤣🤣🤣🤣
@TS-or7pv4 жыл бұрын
Ushauri wangu kwa kina mama, tunatakiwa tuwe karibu sana na watoto wetu ikiwa wa kike au wakiume, na tujenge nao urafiki, ili inapotokea kitu asiogope kukwambia napia tuwe tunawasikilia. Kuna wazee ni wakali sana mpaka watoto wanaogopa hata kukukaribia.😭😭😭 It's so sad.
@rhobbymwita23124 жыл бұрын
Kipindi vizuri lakini naomba muwe mnapeana nafasi katika kukuchangia na muwe mnajiandaa kwa mada usikate na nikirudi kupata taarifa mutiny toka kwa wataalam sio wewe unachofikiria wewe. Hapa mnafundisha jamiii.. Kuna taasisi na wataalam kuhusu masuala ya kijamii wakati mwingine mnapotosha
@wediadidja6604 жыл бұрын
Jamani majamani mm bado binti sijaolewa lakini kwaushauri wenu mme nitia elimu nzuri sana kwenye maisha yangu nawapenda sana jamani
@estherwigfall25584 жыл бұрын
safi sana
@officialcarolyne29854 жыл бұрын
Kichwa na yeye Ana chake walololo huyu mama she made my night 🌃 ❤️
@latifahjamal29994 жыл бұрын
😂😂😂
@khadijamsoma72504 жыл бұрын
Nimecheka kweli wajuna wangu ananifurahisha mnoo
@fatmakombo75844 жыл бұрын
Lily umependeza hadi raha mashallah
@ramilialiy37254 жыл бұрын
Wanaume washenz sn baadh yao wanangu huwagus labda niwe nimekufa ht km Nakupenda vip weeeee
@amisanjenda88854 жыл бұрын
Huyu Dada wa katika ya anti sadaka na khadija 🙏🙏😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Nimekupenda na nimetamani kuonana na wewe maana
@fatmamohamed2734 жыл бұрын
Anty sadaka anasema maneno yaukweli kabisa ❤
@fashiontrendstv32074 жыл бұрын
It abuse to think a woman is just a machine to make children a woman is a human and have rights to career, freedom, dreams.
@WearegreatmaishAllah4 жыл бұрын
Woman matter ! You need to have telephone line that kids can call to report abuse! and how we can help them.
@beatricengalubutu70084 жыл бұрын
Khadija kopa kua makini mikono ya bi jamila😂😂😂😂
@miriamabwao30624 жыл бұрын
Naomba muwakaribishe pia wanaume kwani haya mzungumzayo yanahusu jamii, nawaunga mkono sana kwa hayo.
@neemakilomoni42584 жыл бұрын
Lilian una penda kuiga maisha ya Ma celebrates na movies fake life be your self with confidence fanya mazoezi eat healthy stay hydrated and mind your own business 😂😂😂Lol
@Maryam-yt8lw4 жыл бұрын
Sawa sawa kopa kopa nakupendaje
@jennytugara94704 жыл бұрын
Jamani hii nayo ni record 2020. Huyu Mama na huyu Baba they Sick minded. Ugonjwa wa akili upo jamani. Wamewaumiza hawa Watoto itawagharimu lifetime!!!!
@theresechristensen81904 жыл бұрын
I love ❤️ Lillian from Denmark🙏🏾🙏🏾🙏🏾🌹🌹🌹
@eddasamwely8204 жыл бұрын
I love this show🤣😂🤣🤣🤣
@salmangassu10114 жыл бұрын
Walah mie sijawezi kunyamaza awe mume .. ama boss yani sitaweza. Habari yakuendekeza ujinga mwishoe wapewa kilema.
@salomeogutu84904 жыл бұрын
Shilole alinyamaza mpaka ikamtobokea nyongo wa mama jitokezeni tuseme ukweli
@itsolutions22384 жыл бұрын
lazima wanawake tubadilike...tufanye kaziiiii kuna leo nakeshooo
@beatricengalubutu70084 жыл бұрын
Jamila sauti kali khaaa kua mpolee jamn😖😖😂😂😂
@faaaadam9904 жыл бұрын
Yaani ana makelele
@polloz774 жыл бұрын
Hadija Koppa she's so funny and she's real
@noorayaqoot12944 жыл бұрын
Wanaume wengine wajanja wanajua wakifanya matatizo utaondoka na watoto na yeye ataendelea na starehe zake na anajitoa kwenye majukumu. Akili zao mbovu sana aina hii ya wanaume
@ameeranassor16192 жыл бұрын
Hawa wamama aibu tupu, hawana akili na wengine wamezoea shida, mpaka hawajui tofauti ya mapenzi na ukatili
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Jamani kwa wakristo hakuna talaka. Inabidi haya Mambo yaongelewe kuanzia kwa makanisa, maana wengi wanaogopa kutoka kwenye ndoa za mateso wakiamini ndoa za kikristo hazivunjwi, mtu anavumilia mpk kupoteza maisha.
@sabrinasabrin1034 жыл бұрын
Unambiwa matatizo yakizd kwenye ndoa mnachana tu mbona
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
nimempenda khadija Kopa kasema ukweli diet tupa huko kha tv chogo tena ndio tumbo mbavu zangu mie khadija kopa kasema yeye sio mzee masotojo hana hata wasiwasi ebu muacheni mama yangu tipwa tipwa haya watajijua wenyewe
@zainabumashine35424 жыл бұрын
Nakupendeni kina mama Wanguvu
@ishakafaki35014 жыл бұрын
Lilii umesahau maneno ya docter mwaka unaweza ukawa huna tumbo ila ukawa sio mtamuu liliii unaweza ukawa natumbo ila mambo yakawaa nntaa tamuuu👌. Jamani wanawake au mama zetuu msijichoshee sana chakurekebisha nii Utamu tuu 🏃♂️
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Na utamu Dr mwaka alisema mtu unazaliwa nao sio wa kujitengenezea mwenyewe.
@ishakafaki35014 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 😂😂🤦♂️🤦♂️🤦♂️🏃♂️🏃♂️umeuaaa
@neemamassawe40054 жыл бұрын
😍😍ILY lily💕
@evelynlundberg19814 жыл бұрын
,
@keyakeya89114 жыл бұрын
Yaani wanaume wengine mungu atawalani milele maana siyo Sawa kabisa.
@nuruabraham37694 жыл бұрын
Kwani hayo matumbo yanaumaa? Embu kuleni bhanaa 😂😂
@hassanharuna15194 жыл бұрын
Yani nawapenda sanaa naomba nasiye Rwanda Kigali mkisalimia marafikizenu msiwe munatusahau kingine naomba namb ya whatsapp kama inawezekana
@davidngwesa4 жыл бұрын
Kigali, muraho? Amakuru yanyu??
@hassanharuna15194 жыл бұрын
david ng'wesa Amakuru nimeza turaho cyane turashima Imana
@benbenedict27204 жыл бұрын
Huyu mama mwenye brown huyu ana MADINI hatari. Niliyoondoka nayo leo 1. Kina mama ndio walezi wa watoto wa kiume. Badala ya kuhangaika na haki zao tuu na kupambana na mwanaume ni bora wakafunza watoto wa kiume. 2. Usile kama huna njaa. Hii tabia ya kula mara tatu kwa siku si lazima!
@rose_Winchester864 жыл бұрын
Hmmm
@Hazfir.Official8 ай бұрын
😢
@mwatumsaidi51044 жыл бұрын
Huo ukatili wa kuzuiliwa kwenda kwetu na kupigwa na kusumbuliwa mpaka kupewa ulemavu tena mume na wazee wake na nduguzake nikawa nasema yatakwisha lakini haijawa hivyo hadi usee unaniandama ndio nikakimbia nilikuwa kama msukule kwao mateso yote nimeyapata
@jamilajamila96824 жыл бұрын
Kitu cheusi ndio nini!😀🙈
@nusramunini96504 жыл бұрын
Pombe
@husseinlatifa14434 жыл бұрын
Kwa kukaa kwao ndani na kutoka wakiwa wamejistiri miili yao, wanawake zetu wa kiislamu wapo salama zaidi na maudhi na vitendo vya udhalilishaji kuliko nyie na watoto zenu mnaovaa vichupi na kutembea navyo mtaani na kushinda maofisini na wanaume, kudhihaki dini yangu kumefanya nidharau hiki kipindi na kuanzia Leo sitaangalia tena.
@aishajuma90334 жыл бұрын
Shkamoni wote apo ni mama zangu lilian mwasha ni sister pia ni jina la mwanangu izo mada namimi pia yalisha nikuta kwa baba yangu mdogo na yeye ndo alinikuza toka utotoni ila mimi na Shkuru mungu alhamdulillah niliya epuka ila mpaka leo sina mawasiliano yoyote na huyo baba yangu ukitaji story zaidi ....... nitafute