VIJANA WALIOWEKA HISTORIA KWENYE MAANDAMANO KENYA

  Рет қаралды 259,590

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 505
@VictorIshengoma-v4y
@VictorIshengoma-v4y 3 ай бұрын
That's why I took my son to school in Kenya. I like the altitude boldness
@OutLaw254
@OutLaw254 2 ай бұрын
"Attitude."
@winniegesy982
@winniegesy982 2 ай бұрын
You will be more proud of how Education shapes him.. he will be or probably he is book smart and street smart if he's done with education❤
@DLMEDIA-e6k
@DLMEDIA-e6k 2 ай бұрын
😂😂😂​@@OutLaw254
@ankalmzito254
@ankalmzito254 3 ай бұрын
Tanzania kama mnatukubali Wakenya 🇰🇪 like hapa ....
@mimiraia2531
@mimiraia2531 3 ай бұрын
WaKenya WASENGE TU
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 3 ай бұрын
😂😂😂​@@mimiraia2531
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 3 ай бұрын
​@@mimiraia2531Kuma ya Nyani wewe 😂😂😂
@svt3
@svt3 3 ай бұрын
​@@mimiraia2531yaani unaonesha wazi ulivyo na ulemavu wa elimu
@ankalmzito254
@ankalmzito254 3 ай бұрын
@@mimiraia2531 najua hio ni wivu tuu sababu ujasiri wetu hamutuwezi hata wewe mwenyewe unajua
@Gyiebay
@Gyiebay 3 ай бұрын
Kenyan Gen Zees are the new face of the 2nd African struggle against oppression and colonisation by our own African leaders. God bless Kenyan youth
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 3 ай бұрын
Thank you
@judeisuzu
@judeisuzu 2 ай бұрын
Amen
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 3 ай бұрын
Kenya wanaakili sana pia wanajielewa alafu sio wanafiki.
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 3 ай бұрын
Utawala mbaya umezidi nchini mwetu Kenya. Tunatia bidii kazini, tunalipa kodi lakini raisi na wabunge wake wanatuhadaa! Wanatumia kodi yetu vibaya! Hayo ndio mambo tunataka kurekebisha!
@mulamaaugustine2935
@mulamaaugustine2935 3 ай бұрын
Hivi karibuni, Rais wa Uganda atatokea Kenya 😅😅😅😅😅😅😅 😂😂😂
@judeisuzu
@judeisuzu 2 ай бұрын
@@picsandvidstv1348good GenZ👏🏽💋
@hotnewsyoumissed
@hotnewsyoumissed 3 ай бұрын
Ule wa Mr speaker sir! Niko ndani, im inside 🙏🏿🙏🏿✊🏾✊🏾🫶🏾🫶🏾🫶🏾🇰🇪🇰🇪🇰🇪☕️🎉❤
@michaelkataka3303
@michaelkataka3303 2 ай бұрын
Aliuawa baadaye kwa risasi
@Meaw687
@Meaw687 2 ай бұрын
@@michaelkataka3303 just rumours. Ako tu Area
@naomiii9788
@naomiii9788 2 ай бұрын
@@michaelkataka3303wewe mwongo
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 3 ай бұрын
Pole I sana Wakenya Kwa kuwapoteza wenzenu ila wanaobaki mtanufaika MUNGU AWAREHEMU MLIOTANGULIA MBELE ZA HAKI KWA UTETWZI NA KUPAMBANIA HAKI.
@b.truthful
@b.truthful 3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@benjamin-ajneb
@benjamin-ajneb 3 ай бұрын
Shukran
@KASSIMMHILU-oh5ch
@KASSIMMHILU-oh5ch 3 ай бұрын
Amin
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 3 ай бұрын
Kenyans walihapa na hakuna siku watauziwa uoga😂😂😂
@ototek8037
@ototek8037 3 ай бұрын
Mkibadilishiwa jeshi lazima makae, huwezi pishana na risasi ukielekea maandamano, kwa tz ni sawa na wacongo waingie wenyewe vitàni na manati kuwakabili wahasi. Tz is not a democracy country.. not it.
@faithnyaboke499
@faithnyaboke499 3 ай бұрын
​@@ototek8037wew nyamaza we're not slaves ok😏
@ramak.9587
@ramak.9587 3 ай бұрын
Ata wakituuzia hatuna pesa ya kununua bado watasalia na uoga wao
@MarkoWMichael
@MarkoWMichael 3 ай бұрын
Tanzania tunaandamania chumbNi
@b.truthful
@b.truthful 3 ай бұрын
😂😂😊​@@MarkoWMichael
@fawziaabdurrahman2251
@fawziaabdurrahman2251 3 ай бұрын
Nimependa sana discussion yenu. 💜 from mombasa kenya
@_bonfaceadera
@_bonfaceadera 3 ай бұрын
Hawa commentators nikama wamebambika na hii story ya Kenya sana😂😂
@esendilumula4621
@esendilumula4621 3 ай бұрын
Wakati sisi wakenya tulijui ipo siku nani Leo kama sio Leo ni Leo .
@Wamuyu-kw8zn
@Wamuyu-kw8zn 3 ай бұрын
Nakwambia wamebabika sana
@mohamedsuwari2588
@mohamedsuwari2588 3 ай бұрын
WanatuSapport,I like thatSisi na WA Tz ni Ndugu.
@winniegesy982
@winniegesy982 2 ай бұрын
Inakaa movie kwao bado...sisi kwa ground tukiwa live..huwa tunangoja Tuesday au Thursday kama tutokee au tuchil
@mubarakambwana5650
@mubarakambwana5650 3 ай бұрын
Vijana kenya wameupiga mwingi Struggle for revolution
@abulhakim2294
@abulhakim2294 3 ай бұрын
watanzani are very good people😊, we here in Kenya have a lot of fans😅 but your problem is muna ogopa sana viongozi wenu😢, you had a very good presiden mwenye and magufuli😢, sahi muna pelekwa vibaya sana , I heard on the news hata bandari yenu iliuzwa kwa wazungu au waarabu,😢 but still mumelala😢 , naskia sahi maisha yako magumu sana Tanzania😮 please wake up and defend your rights , hawa viongozi sio wafalme wetu hawa ni watumishi wetu , wasiwa peleke vile wanataka.
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 2 ай бұрын
na hao machawa hapo walikuwa washenga dubai wazee wa hovyo nyie wasaliti wakubwa
@atiitvrwanda
@atiitvrwanda 3 ай бұрын
Ruto is imitating his friend Paul Kagame to rule by intimidation and repression. GOOD LUCK Ruto 😂 Internet is freeing Africans. CONGRATS KENYANS
@Gblock-qj6hn
@Gblock-qj6hn 3 ай бұрын
Leave Mzee alone… Kagame is a good man 😂😂😂😂 well his twin Ruto is an outcast 😂😂😂
@NiyonsabaFulgence-tq3gr
@NiyonsabaFulgence-tq3gr 3 ай бұрын
😮​​@@Gblock-qj6hn Who told you that lie? Kagame is more than 100% worse than Ruto and you should talk to truthful Rwandans or even congolese people! He is a servant of westerners who greatly helped him take power after jointly killing the peaceful then president Habyarimana(who had refused to be their servant) for their interest especially for stealing DRC natural ressources! As a result,millions of innocent congolese civilians have died,have been displaced,etc... caused by rebellions backed by the notorious murderer let alone killed,illegally imprisoned and exiled fellow Rwandans due to their political views!
@NiyonsabaFulgence-tq3gr
@NiyonsabaFulgence-tq3gr 3 ай бұрын
Well said! It's about time Rwandans also woke up and brought about change!
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
but still. it was God's will to let Ruto be her president. sie watanzania tunamuombea Rais Ruto..
@swalehomari2019
@swalehomari2019 3 ай бұрын
Waambiye mzee baba hatuna kiongozi ...kiongozi ni simu tu 😂😂😂😂
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
wakenya hawa yumbishiwi..anzaia Rais wao ina casscade mpgaka mtu wa mwisho kabisa...wakenya vichwa ngumu...hawanaga shida na mtu ila ukiwaleteia za kuleta ndo utajua ujasiri wao..watu wa maana sana watu hawa jmni. JIrani Mungu Awafunkie. tunapenda sana Kenya jmni
@kelvinelibariki6821
@kelvinelibariki6821 3 ай бұрын
Mi mkenya na nime penda hii. Keep it up.❤❤
@johnmwangi5691
@johnmwangi5691 3 ай бұрын
Kabisa
@geoffreymutisya9747
@geoffreymutisya9747 3 ай бұрын
Point of correction. Gen z ni waliozaliwa mwaka wa 1996- 2009. We are Tribeless, leaderless and fearless. We mobilize through WhatsApp,FB and majorly through X and TikTok. We are determined to fix this country! Also note that the some millennials have been part of us in the demonstrations.
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 3 ай бұрын
Even X are mixed in
@lilianlihavi7256
@lilianlihavi7256 3 ай бұрын
Am tired of pretending X ndo nini😮😂😂​@@wkjshsxbbsbs6392
@phyliswanjiru4368
@phyliswanjiru4368 3 ай бұрын
It's 1997-2012
@mwangimukuha
@mwangimukuha 3 ай бұрын
Gen Z - Its not a fixed year😂! It's from 90s to the recent graduands from college
@mwangimukuha
@mwangimukuha 3 ай бұрын
​@@az5195true
@tida3727
@tida3727 3 ай бұрын
We are resoanable kenyans,we are fighting over heavy taxation.. Pale kuna haki ya kuadamana tunaadamana Sote. #werejectFinancialbill2024
@richardodong8695
@richardodong8695 3 ай бұрын
Kenyan Gen zees to the 🌍 🇰🇪✊🏾💯
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 ай бұрын
Msifanye kama SIfa vijana wenzangu ,,,ngoma ikilia sana hupasuka
@ramak.9587
@ramak.9587 3 ай бұрын
​@@jeremiahcharles6027Utapasuka wewe hii ni new generation my friend. Moto usiozimika
@marrypius576
@marrypius576 3 ай бұрын
​@@ramak.9587kwahy mtakuwa matajiri sio 😂😂😂
@parismakki177
@parismakki177 3 ай бұрын
​@@jeremiahcharles6027ipasuke tu we dont care,kama hawatwaangalii sisi wananchi wakawaida then tuko tiyari kuchoma taifa nzima tufanane ala kwani kenya ni ya matajiri pekee?kenya ni yetu zote is either watusikilize ao tutachoma inchi flat tubakishe tu nyasi then tuanze zero wote if that what those leaders want
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 ай бұрын
@@parismakki177 sawa lakn isiwe kwenye msafala wa mamba kenge hawakosekani,,,Iko wazi na itabaki hivo juhudi bnafsi zinahutajika ili upate maisha standard na sio kwa kuilaumu serikari kwa Kila jambo tena kwa. kupitiliza, ,,,maendeleo na mafanikio Yako bnafsi yanaanza na ww
@wasostvkenya
@wasostvkenya 3 ай бұрын
Im Proud to be a Kenyan 😂😂😂tuliwakisha🔥🔥🔥🔥
@roselynealima3618
@roselynealima3618 3 ай бұрын
Kuanzia 1997_2012 ndio generation z wadau
@mahamudaideed6922
@mahamudaideed6922 3 ай бұрын
1995 sio1997
@Delrio_yegon
@Delrio_yegon 3 ай бұрын
GEN Z 🇰🇪TO THE WORLD,🇰🇪
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 ай бұрын
Sema hizo kodi ziangaliwe. Mfano mkate na pad wasingeweka kodi huko
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 3 ай бұрын
Achana na izo apa kwa viwanja jee umeona...eti watu waanze kulipa kode yet ata food kupata n shida...ikipita iyo bill kenya kutakuwa na homeless juu wataenda wapi after kushindwa kulipa tax kwa land zao...wataenda kwa streets😢imagine hao wazee wetu ambao hawana makazi na they can't work😢
@professormeshack
@professormeshack 3 ай бұрын
Sisi wakenya siyo waoga , tukisema tumesema na tukiamua tumeamua😂sisi siyo waoga kama watanzania nyinyi 😊🤦
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 3 ай бұрын
I don't think it's about TANZANIA VS KENYA by the way all the best for you our family we will always love you ❤❤❤
@neemamdami7466
@neemamdami7466 3 ай бұрын
Nyie kama mmeamua kuingia mtaani ni kwasababu zenu nasi tutakuja kuingia kwasababu zetu msitulazimishe
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 3 ай бұрын
Kenya nimewavulia kofia naomba tuje tuwakodisha huku Tanzania
@DM_15
@DM_15 3 ай бұрын
Kenya iko na viongozi dhaifu na jeshi dhaifu matatizo haya tatuliwi kwa mabishano huo niujinga nautilus wakufikiri nakutokua nasubira kilakitu kinawekwa nakina tolewa kunahajagani watu kusumbuana hivyo, Acha mandamane sisi watanzania tutawapigia bao hapohapo wakati mnatatua migogoriyenu sisi tunawapita fyuuuu. Kengenyie
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 3 ай бұрын
@@DM_15 hahahahaaa ndugu yangu mtanzania mwenzangu unawapita Kenya kwenda wapi wakati sisi kila siku tunapandishiwa mikodi isiyo na kichwa Wala miguu na hatuna chochote tunaongea zaidi tunalalamikia kwenye mitandao tu.wenzetu wakenya wamethubutu na wamefanikiwa
@markende170
@markende170 3 ай бұрын
The guy in red iz well informed big ups from Kenya...the yellow fella just yapping and the silent dude nikaa hashikanishi any hahahahaha
@distantrelativesreception1093
@distantrelativesreception1093 3 ай бұрын
The guy in red knows what his is talking about...for real
@denniskkirwa2558
@denniskkirwa2558 3 ай бұрын
The guy in yellow ni hypeman. The other guy didn't do his homework😂😂
@cmberasto2746
@cmberasto2746 3 ай бұрын
Ni kweli 😂. Hiyo story nitamu kwake
@maroajames2580
@maroajames2580 3 ай бұрын
Buda😂😂😂ati hanyiti
@parismakki177
@parismakki177 3 ай бұрын
uweh na hiyo jina yako joh baana🤣 ibadilishe tu kiroho safi
@margaretnyambura8877
@margaretnyambura8877 3 ай бұрын
Yani Kenyans ni moto kama pasi majirani washapata content maajabu haya😂
@Wamuyu-kw8zn
@Wamuyu-kw8zn 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nakwambia tx wamepata content
@ramak.9587
@ramak.9587 3 ай бұрын
GEN Z ni sawa na mafuriko usipotengeneza a good drainage system lazima yatakubeba
@alibinali_
@alibinali_ 3 ай бұрын
Sri Lanka waliingia mpaka Parliament
@boazmisango9797
@boazmisango9797 3 ай бұрын
Statehouse
@eastherthiga6991
@eastherthiga6991 3 ай бұрын
Na tukakula lunch yao😅😅..
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 3 ай бұрын
Wasifi acheni umbeya mbona mlimkimbia lissu
@bryankibet1587
@bryankibet1587 3 ай бұрын
Pia sisi kenya tuliingia,tukakula,tukaingia supreme Court,tukaingia kwa County
@jfabbyhussein6861
@jfabbyhussein6861 3 ай бұрын
Kenya tunaogopa aruc,simu kuisha moto na mafuriko bt siku changine I'm proud to be 254
@milkahwairimu548
@milkahwairimu548 3 ай бұрын
Maumau rebbelions,they didnt have leaders they came out to fight for their rights
@raymondongus1404
@raymondongus1404 3 ай бұрын
Someni katiba ya Kenya vizuri aisee (ipo mtanadaoni). Kuna jambo fiche mle ndani ... kuna kitu kitafanyika baada ya siku 14 na kimejificha ndani ya hiyo katiba!!! Vijana wameshagundua ukora tayari.
@AmazingMania
@AmazingMania 3 ай бұрын
Hamna kabisa hilo lishapitwa na wakati....... Since he signed a memorandum of withdrawal, that bill cannot be gazetted
@janykavindu5498
@janykavindu5498 3 ай бұрын
Dio maana hatutaki Mambo na finance bill, ruto must go that's what we want
@sekorobert4459
@sekorobert4459 3 ай бұрын
The Gen-Z in Kenya, my motherland, are fighting for a common course... we are a democracy; lazima rais na wabunge wasikize malalamishi yetu.
@abbyftstevetv7444
@abbyftstevetv7444 3 ай бұрын
GEN Z is a generation that has nothing to lose...no kids no jobs just mare students in the Universities so we really support them as kenyans no retreat no surrendering
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 3 ай бұрын
Ninyi Akina Kitenge Fungeni Midomo Kabisa, Ninyi Ni Machawa, Hana Stahili ya Kuwasifia Wazalendo Kenya, Wakati Nyinyi Tanzania ni Machawa, Mlipelekwa Hata Dubai Kuhongwa na DP. Kuuza Bandari zetu zote Milele... Bloody Kima Nyie!
@Suzanapaskoqnkn
@Suzanapaskoqnkn 7 күн бұрын
Kenya wapo vizuri kwenye maandamano tuache utani lkn tanzania 🇹🇿🇰🇪🌹🇹🇿🇹🇿😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mdebwedo
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 3 ай бұрын
Kuna muda watawala wanajisahau sana. Hawaelewi kitaa watu wanaishi vip.
@noahlameck1564
@noahlameck1564 3 ай бұрын
Iyo inaonyesha hakuna maelewano Kati ya rais na makamu wake
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 3 ай бұрын
Wanajifanya tu. Hawa wawili wanaelewana vizuri
@fredrickotieno7847
@fredrickotieno7847 3 ай бұрын
Gen zs na millennium tumechoka kwa utawala mbaya.lazima ruto atoke kwasababu raila kwasasa hayupo kutuwakilisha
@AllyBila
@AllyBila 3 ай бұрын
Wenzetu wanajielewa sio sisi tunaendeshwa kama manyumba,many umeamkaje, kuna freedom of speech means democracy hapa Tanzania nothing bure kabisa
@johnmwambire6198
@johnmwambire6198 3 ай бұрын
Kenya oeee👍.......tanzania tupo njiani
@evansthobias6460
@evansthobias6460 3 ай бұрын
Tz utakamatwa weww
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Peke yako
@meandme3437
@meandme3437 3 ай бұрын
WA TZ AAAAAH WAAAPI!??? SUBUUTUUU😂😂😂😂 mtabaki na domo na story nyingi tu!!!.
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 3 ай бұрын
Watanzania hamna kitu, ni waoga hao sijapata kuona.
@MarkOchieng-z6s
@MarkOchieng-z6s 3 ай бұрын
Afanye kwa vitendo hatutaki maneno, anatudanganya kwa maneno
@RozzyGoldmukami
@RozzyGoldmukami 3 ай бұрын
l din't know kenya is the topic everywhere,To our Genzs👏👏👏
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 3 ай бұрын
Tafadhali like zama Gen Z nione tuko wangapi humu pamoja n Tanzania 🇹🇿✌️😂
@georgemecha5565
@georgemecha5565 3 ай бұрын
Hawa waogopa mimba tu na marriage certificate tu
@Waridi23
@Waridi23 3 ай бұрын
tafadhali musilinganishe na arab spring kwa sababu arab spring ilikua sponsored na u.s , hii yetu ni ya wanachi wenyewe
@anthonymaina2215
@anthonymaina2215 3 ай бұрын
The guy in the hat is just listening 😂😂😂😂
@Wamuyu-kw8zn
@Wamuyu-kw8zn 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@atlatt-t8z
@atlatt-t8z 3 ай бұрын
Kenya ni Moto 🔥🔥🔥🔥🔥
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
haswaaaa...hawa jirani ni kiboko kwa kweli..Kenya oyeee!!!! ooyeeeeee!!!!!
@nibeeboy6482
@nibeeboy6482 3 ай бұрын
Ruto kapigwa tatu bila😂😂😂..jamaa wa maroon yuko poa sana
@DancanWakhu-bc6tg
@DancanWakhu-bc6tg 3 ай бұрын
Gen Z huku noma bro... Watoto ndo wanaamua huku Kenya
@Erico_254
@Erico_254 2 ай бұрын
Tuliingia Hadi supreme court nivile TU walificha hawakuwaambia😂😂😂😂
@moseskimani-ig7rp
@moseskimani-ig7rp 3 ай бұрын
Freedom comes at a cost ,watu 300 na wamekufa kwa kupigwa risasi 😢😢😢
@samirsaidi8386
@samirsaidi8386 3 ай бұрын
Kizazi cha 2000 cha tanzania ni tofaut na kenya sana hichi cha tanzania ni kizazi cha hamdala kiuno wao ni kujipodoa tu kama dada zao nakuwa mashoga bas ila kizazi cha kenya awee noma sana heshima kwao vijana wa 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BoazDillu
@BoazDillu 3 ай бұрын
Ko.ushauri wako ni nn kama ww uko na uchungu na unajielewa chukua bango Ingia mtaani alafu sisitujifunze kwako
@Cultureupdates-w5r
@Cultureupdates-w5r 2 ай бұрын
Kizazi chetu kinanuka ngono nakudate na vibabu
@peninashungu6633
@peninashungu6633 3 ай бұрын
Kweli kabisa mana ata walipo maliza ata hatujui waliishia wapi, ila na Leo wapo mpaka kieleweke
@williambenedict6074
@williambenedict6074 3 ай бұрын
Im a Kenyan Gen-Z, He never rejected he withdrew.. We still watching, Ruto Must Go
@AmazingMania
@AmazingMania 3 ай бұрын
He rejected it . He signed a memorandum of withdrawal. So it's done
@williambenedict6074
@williambenedict6074 3 ай бұрын
​@@AmazingManiau among the blindfooled goons.. Let's keep watching the whole Finicial Bill Netflix
@williambenedict6074
@williambenedict6074 3 ай бұрын
​@@AmazingManiau among the blindfooled goons.. Let's keep watching the whole Finicial Bill Netflix
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 3 ай бұрын
ATI WALIOSHIRIKI KUUZA BANDARI ZETU NAO WANA LA KUSEMA KUHUSU GEN-Z WA KENYA
@JohnPaul536
@JohnPaul536 3 ай бұрын
Sahii lengo letu ni Kumtoa Zakayo Mutoa ushuru Mamlakani
@martinnjeru3191
@martinnjeru3191 2 ай бұрын
Wakenya ni wasomi,wana hekima na hawafanyi mchezo.❤❤❤
@BensleyDRAKE
@BensleyDRAKE 2 ай бұрын
Gen Z widely accepted ni 97-2012 before hapo mpaka 1981 I think, Millenials alsafu past 2012 hawa ni Alpha moto kubwa but bado ni wadogo sahizi ni time ya GenZ
@djbushmeatfans9825
@djbushmeatfans9825 3 ай бұрын
Tukiamka tujipate hatuko busy sana na tuko na nguvu basi ndio hivo .tunaingia maandamano😅
@Kaida_Cut254
@Kaida_Cut254 3 ай бұрын
Nimependa vile mnachambua siasa ya Kenya Ila Sasa hata kwenu Tz mnafanya hivyo hivyo😅😅😅 jaribu na kitu chenu kifungwe Leo Leo 😅😅😅, Ila napenda vile mko mnafungua macho vijana wenu pia Ila shida vijana wenu ni mas....... Acha nipite
@winniegesy982
@winniegesy982 2 ай бұрын
Twajua Article 115 of the constitution....tunangoja kuona kama bill tulireject,,watafanya trick gani kupitisha kipengee kipi, saa ngapi au lini
@vincentayua9435
@vincentayua9435 3 ай бұрын
Sheria zakibepari hatuzitaki ndani ya Kenya 🇰🇪 na Afrika 🌍 kwa jumla, wamarekani wanalazimishia Rais wa Kenya nduli Ruto kutulazimishia sheria kwa manufaa ya benki ya dunia na IMF, Ruto ni kibaraka wa Biden, kwa nini wa kubali kupeana mikopo kwa serikali chini ya nduli Ruto, wakijua peupe kwamba hawa hawa viongozi ni mafisadi viwembe, tunakopa hela Kisha wanazipora alafu raia wanaongezewa ushuru ili deni lilipwe. Haiwezekani kamweeee 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@johniemarsha1561
@johniemarsha1561 3 ай бұрын
Soon tunaenda america kulipanishia mababu zetu ..we are coming to colonize you back...gen Z to the world 💪
@abelchacha5977
@abelchacha5977 3 ай бұрын
Generation Z need the content.
@cyrusogongo9426
@cyrusogongo9426 3 ай бұрын
Hiyo karatazi tu iraruriwe waziwazi
@AbuuZaijanRuu
@AbuuZaijanRuu 3 ай бұрын
Mimi ni Mkenya 🇰🇪 asili IDARA YA USALAMA WA TAIFA ULIKUWA SAWA ILA WAKAIPUUZA NA KUFANYA WATAKAYO WAO OUR DP RIGGY G IS TOTALLY WRONG THE "NIS" IS JUST A SKAPEGOAT
@BobErick-er6qm
@BobErick-er6qm 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂natoka Nairobi but kuburuzwa hapana na raila akwende mbali yeye ni dalali wa siasa tumemgundua wacha cc Gen.z tupigane kama cc.
@tovinent1414
@tovinent1414 3 ай бұрын
tulikula mchele bungeni lakini nyinyi watanzania waoga nyie 🇰🇪💪
@MollisMulier
@MollisMulier 2 ай бұрын
Wakenya tuko macho. Hatutakubali rais wetu kuharibu hii nchi. Kwa sasa amesign bill ya iebc - ili tuwatimue wabunge waliopiga yes. Cabinet leo wote wamefutwa kazi. Kenya haitarudi nyuma tena.
@phankaphares7134
@phankaphares7134 3 ай бұрын
Mbona TiZi hamuisemei
@SalimKayato-mu1kn
@SalimKayato-mu1kn 3 ай бұрын
Hawa vijana wamesoma,usiwaine hivo, atawaschana wakona ma degrees, PhD, masters nakuna kazi.wacha wanyoroshe inchi.
@DanielDeus-f1c
@DanielDeus-f1c 3 ай бұрын
Tunafata pia tanzania
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 ай бұрын
sisi wajinga hatujitambui
@evansthobias6460
@evansthobias6460 3 ай бұрын
Mh wewe bongo ni Mimi na wewe TU randa bongo Apa uandamane
@barakanatus5676
@barakanatus5676 3 ай бұрын
Tanzania ukiwa unapanga tu hilo umeshadakwa.
@barakanatus5676
@barakanatus5676 3 ай бұрын
Kenya usalama hawafanyi kazi
@parismakki177
@parismakki177 3 ай бұрын
@@barakanatus5676 sasa ata wakifanya kazi watashika wangapi ao wataua wangapi?na wakiuwa wote ao washike wote watabaki kuongoza kina nani ao kulinda kina nani?cz were not baking down the only thing hapa ni watusikilize ama tuungushe kenya mzima flat tuanze zero wote ala alaaa all we know is that uhuru hauji kiurahisi ivo lazima tuupiganie and we are here to fight for it till we get it,if not everyone will go down with us
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 3 ай бұрын
Naona Zembwela kanyamaza kiiiiimyaaaaa hatii neno, unaogopa mawe yatakayokufuata? Kama mawe mliyorushiwa mlipokwenda Dubai kuangalia utendaji wa DP World halafu mkaja na Uchawa chawa, mkatupiwa mawe mpaka basi.
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 3 ай бұрын
Viongozi wengi wa afika watapinduriwa sababu hawajari maisha bora kwa wana nchi
@sylvesterwanga7839
@sylvesterwanga7839 3 ай бұрын
Tuliingia mpaka Supreme Court.
@domin842
@domin842 3 ай бұрын
Waambie tuliingia Hadi mahakama kuu
@phaustineauma267
@phaustineauma267 2 ай бұрын
Sasa nyinyi KAZI nikudensiii komasavaa😅😅😅mtafika huku kweli
@Prettykathunzi
@Prettykathunzi 3 ай бұрын
Ruto must go
@BensonNyasae
@BensonNyasae 3 ай бұрын
Hio Bunge tuliingia tukala mchele, samaki na kuku. Hawa wabunge vipi bana wee. Mmetuzoea sana😂
@abdulabdi1721
@abdulabdi1721 3 ай бұрын
Ila rais kakosea sana wananchi unasubiri mpaka watu wafe ndio wafanye marekebisho inamana yupo kwajili ya maslahi yake vijana mnajielewa hamjafanya vibaya
@JacksonMbites
@JacksonMbites 3 ай бұрын
GEN Z WA KENYA WAMETIKISA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KOTE..WANAWEZA FANYA MAPINDUZI YA KISIASA
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 3 ай бұрын
Naoma mnatafuna maneno,wananchi kulitimua bunge tafsiri yake ni serika imepinduliwa!
@maminaaa5738
@maminaaa5738 3 ай бұрын
yellow ni mkuu wa soga…. 😂, red ni mchambuzi, hongera wasafi
@joeliz4324
@joeliz4324 3 ай бұрын
we are Kenyans.... and that's what we do.....when you close the red line......
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 ай бұрын
Tanzania huku mkataba wa bandari una idhinishwa bungeni sisi tuna kubali imesha uzwa😂
@maggynowak3555
@maggynowak3555 3 ай бұрын
Ruto ndiye anayewashauri washauri wake. Ule raisi gaidi sana. Atolewe kabisa
@joshuason557
@joshuason557 3 ай бұрын
Imagine demonstration and content at the same time 👏🏿✊🏿😂😅😅😅😅🇰🇪🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@josephjoshuaogutu4689
@josephjoshuaogutu4689 3 ай бұрын
Wanasiasa wametuzoea kabisa.wanasahau wanafaa kututumikia sisi sababu tunawalipa kutoka kwa ushuru wetu.
@shisiawasilwa9958
@shisiawasilwa9958 3 ай бұрын
Kwanini Zembwe amenyemaza anatumbua macho tu....hana mchango?
@KhalfanSalim-v1x
@KhalfanSalim-v1x 3 ай бұрын
nanyie kelele nyingi na unafki ndo mjifunze kua Kenya wanaume kweli sio kelele hamna kazi zingine
@MatikoHaruni-mp4su
@MatikoHaruni-mp4su 2 ай бұрын
Matako yenu Samia akiwa anaingia mikataba ya ajambu mnamsapot ila mambo ya Kenya mnavunga mnachambua kenge nyie wandishi wa habari hovyo sana
@Meaw687
@Meaw687 3 ай бұрын
GenZ are 1996 to 2008 borns After that ni Gen Alpha. Gen means Generation. Eg kuna gen mellinials. Gen x Gen boomers Wale wa ma 1808 Sijui wanaitwaje mesopotamia au? Comment mellinials
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 3 ай бұрын
Kitenge kazi ushabiki tu, nyinyi watanzania mnaweza kuandamana? Watanzania haswaaa wasomi ni waoga , ni wajinga, hawana uthubutu wanajali matumbo Yao. Watanzania tunaburuzwa na wanasiasa wanafanya wanavyotaka
@paulmachengo6923
@paulmachengo6923 2 ай бұрын
Mimi mkenya, napenda mjadala huu sanaa, hivyo ndivyo kulivyo.
@dorahy1579
@dorahy1579 3 ай бұрын
Sasa hivi wanataka kuingia State House
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 3 ай бұрын
Huku tz viongozi ni kama wanaongoza maiti tu. Yani maiti unaigeuza unavyotaka.
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 3 ай бұрын
Usione Zembwela hajaongeza neno ukajua hana neno ila anamengi anaona bora kukaa kimya asije akajaribu 😏😏.
@GeoffrySutko
@GeoffrySutko 2 ай бұрын
Sisi huku kenya hatutaki mchezo kabisa nchi ni ya wanainchi hawa viongozi ndio sisi raia tuwaandika kazi
@sweet16honey75
@sweet16honey75 3 ай бұрын
Wajomba zangu mama ni mbongo na Baba ni mkenya hatukubali kwa makodi makubwa makubwa na hatuoni Faida zake
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 3 ай бұрын
Nyinyi wa Tz km mambizotu nyinyi kazi yenu kelele kuangalia ya wenyewe nyiyi kulakula tu na mapenzi
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 ай бұрын
bora amani kuliko kufa
@athumannyungundileki9799
@athumannyungundileki9799 3 ай бұрын
@@zuhuramuhanga5400 wewe unaamani ndugu yangu hiyo ndo fimbo wanayo tupigia wanasiasa wa kwetu tanzania.je umesikia taarifa zinatembea mitandaoni kuwa 2025 hakuna haja ya kufanya uchaguzi abaki rais huyu huyu we unaliona ni sawa.huo ujinga wanaweza wakauongea kenya
@janewanjiru336
@janewanjiru336 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@janewanjiru336
@janewanjiru336 3 ай бұрын
My dear kufa ni lazima, hatuwezi keti chini and d0 nothing with our taxes. Rip our heroes 😢
@BoazDillu
@BoazDillu 3 ай бұрын
​@@janewanjiru336mbona wewe hujakufa shujaa wa KZbin😂😂😂
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 ай бұрын
Kizazi hicho kwasisi tz vimeishia kwenye shisha na ngono huku vitu vyetu vinauzwa
@thiongokarari5516
@thiongokarari5516 3 ай бұрын
Wana Tanzania pia mkitaka tuusimamishe mswada wa fedha huko kwenu mtuite.
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 54 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 115 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
How Kenyans Fought The Govt. & Won! Lessons For Other Africans
9:31
Adeola Fayehun
Рет қаралды 467 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 466 М.
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 186 М.