Yaani huyu jamaa ako na show juma tatu weeee? Hawa bwana wachana na huyu jamaa kabisa
@DANMORATA4 ай бұрын
Huyu mwamba anapumzika sangapi🤔
@belitomanuel62404 ай бұрын
Nomeshanga
@prosperitymaarifa33244 ай бұрын
Tanzania yetu,,bana,,lakn daimond yuko,,,kazini tusimlaumu,,jamani,,
@martinjosephat46944 ай бұрын
Nakubarii
@jackbyaesebyaese55954 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nimependa
@NgindoNdingo-nm4in4 ай бұрын
Vizuri sana
@pascalkomba85744 ай бұрын
Sasa uyu Diamond 💎 inamaana yeye show anafanya kila siku Jamani
@belitomanuel62404 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kwely jhamaa ni moto 😅😅😅😅
@AbubakariKaratu4 ай бұрын
Mm namkubar Sana mond
@abdulikilala59024 ай бұрын
Yaaaan danganya Toto inamaana watu wameenda kushangaaa diamond
@LEONIAMsofe4 ай бұрын
Mondi fire
@Job-o6v4 ай бұрын
Duuh hii ni mbinu tosha ya kupoteza maandamano siku ya leo jmn😅😅😅
@BarakaSagamba17 күн бұрын
CCM Baba lao
@FiudiKasitu4 ай бұрын
Ccm for life
@salimalaquimane30774 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@YacintaJames4 ай бұрын
Bila diamond watu usingewaona hapo
@bizzyjunior_tz4 ай бұрын
This man Is demon Wallah
@BarbaraPatience-qt9cc4 ай бұрын
Mama ametii hapa bwana Achana naye!!!!
@EvanceMwasa4 ай бұрын
Huyu jamaa ajengewe sanamu
@-thegreat-zawadimmasa3074 ай бұрын
Chezea Mondi wwe
@exaverysimon10644 ай бұрын
YAN HAPO KILA MTU ANAFAID KUPITIA MWENZAKE DIAMOND KUPITIA KUSUPORT CCM BIASHARA ZAKE ZINAKUWA SALAMA DHID YA SERIKAL NA CCM INASONGA MBELE KWA KUONGEZA WAFUAS
@khamisikhamisi72254 ай бұрын
Mnakula kodi zetu
@yussufritzy76844 ай бұрын
Usikute huna hata biashara ya njugu
@BarakaSagamba17 күн бұрын
Hacha wivu CCM Baba lao
@ce-084 ай бұрын
😂😂😂 bila shaka umesoma cuba
@thehustlerafrica4 ай бұрын
Lakini asitumike kisiasa maana Tanzania inajengwa na watanzania
@mohdkhamis29144 ай бұрын
Kwahiyo aache pesa kufurahisha wachache kumbuka iyo nikazi yake na hafanyi bure analipwa
@BarakaSagamba17 күн бұрын
Hacha makasiliko CCM Baba lao
@salimalaquimane30774 ай бұрын
Tuna jivunia wwe
@homesaickofficial74074 ай бұрын
Watu wanapigwa maboma ya machozi wakiandamana kusu matukio yanayo endelea yakutekwa watu na kuhuwawa yeye anafuraiya nginja nginja dah yani mtiani tunaopata watanzania mungu ndie ajuae
@MnubiMm4 ай бұрын
Utateseka sana na bado hadi 2030 watu wanapanga matukio ili wapate huruma ya wananchi wewe endelea tu kujires Siasa wenzio Biashara mtaji watu Ruzu B mbili wazikose HAIWEZEKANI
@FiudiKasitu4 ай бұрын
Wewe kuma kwel wanaotekwa ni baba zako mpka ukaandamane
@denisngowi85724 ай бұрын
ameshakuwa msanii wa kujaza watu kwenye ziara
@josephkiwale3744 ай бұрын
Unataka awe msanii wakujaza watu kwenye maandamano!!
@ce-084 ай бұрын
Bro yy hiyo ndyo biashara yake
@ce-084 ай бұрын
Sawa na ww kama Kaz yako ni kusupply vinywaji wakasema ukasupply hapo ungegoma sababu hyo n biashara unafanya kwaajil ya maisha yako na familia yako huenda ndyo upendo lakin mwisho wa siku lazima watoto wale na mambo yaende unahisi polisi wote ni CCM sio kweli lakini hawawezi Fanya kitu sababu ya hatima ya Kazi zao maisha Yao na familia zao kwahyo kunamuda lazima uamue kwa kufkria sio kwa hisia😊
@BarakaSagamba17 күн бұрын
Hacha makasiliko CCM Baba lao
@KundaMkama4 ай бұрын
Ndio ujinga wawa tanganyika tumeuzwa munabakia ujinga
@AbasiJeilani4 ай бұрын
Kila mtu anaishi atakavyo hatufanani Maisha Kama mjinga jisemee nafasi yako mwenyewe,Maana Maisha ni kuchagua mwenyewe utakaje kuishi.
@ZakayoDionisi4 ай бұрын
Diamond kuwa makini usitumike kisiasa
@LauranceMbena4 ай бұрын
Bro anatishaa sana but hp kwa samia kazingua
@preciousbenedict62204 ай бұрын
Watu wamejaa kumuangalia Diamond tu
@shery-bf8xh4 ай бұрын
Matunda ya Diddy yanaonekana 😮😮😮😮
@CamweziKarashnekov4 ай бұрын
Inamaana ww unakutana na wenye komwe
@josephkiwale3744 ай бұрын
Inaonekana ungepata nafasi yakukutana nae ungempa tako
Msanii pekee anaejielewa nchi hii ni NAY WA MITEGO lakini yaliyo Baki ni mandunduka Tu. Kuanzia Leo Diamond nachukia mziki wako kwa kumpamba huyu mama.
@FiudiKasitu4 ай бұрын
Kooo kujielewa kwa kuikashifu serikali wewe fala kwel