Napenda mjadala ila baba levo mbona kana una-take side kwenye mjadala . Wewe haufai kuongoza mijadala yenye mirengo wa kisiasa. Wewe kazi yako ni kubalance mjadala wenye kuamua wachukue upande gani ni watazamaji. Ila nnachokiona kwako umeamua kuwa mtangazaji, na pia kuwa mshabiki.
@rebekakulwa61596 ай бұрын
Hilo lichawa la fisi em linamshambulia nondo
@samsonyemmanuel51606 ай бұрын
Baba levo anafanya uchawa indrect
@hashimumwinyi22396 ай бұрын
Nondo za Kawaida
@hajihassan54336 ай бұрын
Hakuna siku Rais atakuwa hana mamlaka kwa Katiba yoyote. Hakuna Tume yoyote ambayo HAITAKUWA NA MTEUZI.
@kondempya6 ай бұрын
Mdahalo umekosa muongozaji
@amanijampion30456 ай бұрын
Yaani CCM utetezi wao mkuu ni vitu lakini wellbeing ya watu hawaioni. Miundombinu yenyewe mibovu
@stejasatv73496 ай бұрын
Hapa hapana chama mtuache na ccm yetu
@iamstephenmusk6 ай бұрын
Hamna kitu hapo, Wasafi wamepangwa, Mwenyekiti wa UVCCM mwenyewe amekaa kama Gogo tu, point zake Pumba tupu! Baba levo ndo amegeuka Mwenyekiti wa UVCCM, utopolo.
@yusuphmtuga49516 ай бұрын
Sasa baba level unacheka nini unamtoa mtu mchezoni
@salumsuleimankhalfan34146 ай бұрын
Hivi huu mjadala upo kati ya Nondo na Kawaida au Nondo na Watangazaji?
@godfreya69556 ай бұрын
Huu ni Umbea; Why don't you post full interview instead kutuwekea vitu nusunusu. Hii show ilishapita more than four days ago so all day inabidi tuje tuangalie kila siku mmpepost kipande gani. Wth??