Kwahiyo wabondwe wakija???.....Serikali ilibidi waweke sheria mapema tu....polisi hakuna kwenda kukamata bila uniform, bila kitambulisho, bila arrest warranty.... Sasa serikali inavyokaa kimya ndo mambo yanaendelea hata kama wanachukua hatua hazitoshi ndo maana mambo yanaendelea......SHERIA ZIWEKWE.... Hapo anasema watu walikuwa wanaangalia unahisi wangefanyaje..
@EmmanuellMunishi10 сағат бұрын
Kama sio polis tuambieni ni kina nani
@Muhammedually6 сағат бұрын
Kiukweli mkuu hamjui kinacho endelea mtaani baadhi ya askari wanatumia nguvu na vitisho ukikataa umezuia jeshi kufanya kazi yao.
@faustinluambano295811 сағат бұрын
Huyu viiiiiipi na ni mkuu wa ulinzi na usalama.Hakuna aliyezungumzia uniforms.
@Tee-King10 сағат бұрын
Tatzo kubwa amjaweka bayana mwananchi anapo taka kukamatwa ajaribu kuhiji sasa akijaribu kuhoji basi inaonekana anazuia polisi kufanya kazi yao.