MDOGO WA MAREHEMU AFUNGUKA, MAUAJI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA DODOMA

  Рет қаралды 101,861

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 184
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 жыл бұрын
Sasa tuishi vipi jmn au tuende wapi😭😭😭😭😭😭😭mimi naogopa Ata kutembea wala kulala usiku 😭😭😭😭😭Ee mungu tunaomba huruma yako baba 🙏
@magrethdeogratias6876
@magrethdeogratias6876 2 жыл бұрын
Wewe mimi naogopa pia hata kulala mwenyew natamani hata mlango wa chuma pia nawaza moto ukuwaka mbon TZ yetu imekuwa inatisha hv eenh Mwenyezi MUNGU 😭😭😭🤲🏾🙏🏾
@emmaculathamboyogo867
@emmaculathamboyogo867 2 жыл бұрын
Amina
@leahngweta8219
@leahngweta8219 2 жыл бұрын
Ameen
@rehemahusseinbombo4315
@rehemahusseinbombo4315 2 жыл бұрын
Jamani Tanzania yangu imekuwa uwanja wa mauji.mungu tunusuru..
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
Wajina yaan mtihan
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Innalillahi wainnailayhi rajiuun 😭 inasikitisha 😭 ila huyu kaka alohojiwa na wasiwasi naye
@josewillson1813
@josewillson1813 2 жыл бұрын
Ivi dunia enaelekea wapi jaman unapataje ujasiri wa kuua watu wa5 wote jaman tumuogipen mungu duh!😭😭😭😭
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Dah! Inauma Sana lakini kwanin hadi watoto ambao huenda hawakujua chochote 😭😭😭
@atupelejohnmwakangale3226
@atupelejohnmwakangale3226 2 жыл бұрын
Inawezekana walimtambua muuaji ndiyo sababu imewapelekea umauti. Lkn,lkn, Damu ya Binadamu sio nyepesi kiasi hicho. Haiwezi kumwagika bure pasipo kupatikana wahusika
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 2 жыл бұрын
Huyu kijana kaeleza vizuri tu, hana chembe ya kosa, msihukumu
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Kabisa
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 2 жыл бұрын
Tatizo anatoa sana macho kama tochi ya mlinzi 😀😀😀😀
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭jamani unyama ganihuu sasa lakini ,sasahuyu aliye wauwawotee yeyekajitia lock yachumaa hafii maana ajuwe mlango wataopitia hawa nayeye ataupitiatu poleni sana wafiwa wote mungu akupeni suubra sana
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 2 жыл бұрын
Sio Kila mtu anauwezo wa kujielezea hasa wakat wa matatizo au mshtuko pole sana ndugu
@roselambert6700
@roselambert6700 2 жыл бұрын
Mungu anawaona wauwaji watakamatwa tu
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 жыл бұрын
Tanzania imegeuka Sauza 🤦‍♀️kilakukicha mauwaji Allah awalaze mahalapema niuchungu kwakweli 😭😭😭😭
@gabinyaluke6366
@gabinyaluke6366 2 жыл бұрын
Mwee,Pole wafiwa
@furahanyamba371
@furahanyamba371 2 жыл бұрын
Hatuelewi chochote maelezo sifuri harafu mkuu alivtosema watakamatwa katowa jicho hatari
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 2 жыл бұрын
Nimetoka bila bila!!! Kwangu bado ni kitendawili kuhusu familia hii 😭😭😭
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 2 жыл бұрын
Eeeh Yesu
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
Tupo wapi sio Tanzania🇹🇿 nayoijua mm kuna kitu hakipo sawa nchini ndani ya serikali mauaji kila uchao
@mamachris6811
@mamachris6811 2 жыл бұрын
Maandiko yanasema " Nitailaani Nchi imwagayo damu isiyo na hatia " Tuangalie sana Nchi isije laaniwa Kila siku matukio 😭😭😭
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Ndio ishalaaniwa tena kwamasna hakuna siku tz asio uliwa mtu aside na hatia
@omom5410
@omom5410 2 жыл бұрын
Mtihani kwa kwel
@aviolatz2460
@aviolatz2460 2 жыл бұрын
jamani baba wawatu,hadi hawez kuongea vzur,mahasi haya😪😪😪😪😔
@mariajeila7250
@mariajeila7250 2 жыл бұрын
😪😪😪😪
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 2 жыл бұрын
Innalilah wainnairahi rajiuni jamn hii tanzania inatisha magufuri kweli tunakukumbuka maan yote yalikua hayapo kipindi upo ila sasa hivi kunatisha allaah tupunguzie mitihani waja wako
@mwadhikimolo7731
@mwadhikimolo7731 2 жыл бұрын
Mtu huyu ana changamoto ya lugha ya kiswahili na pia anahojiwa na mtu mkubwa(kicheo) na mengineyo ndio yanayoleta sintofahamu katika mazungumzo yake.. uchunguz wa kina na huru ndio utasema ukwel
@edinaedward1082
@edinaedward1082 2 жыл бұрын
Jamanii
@mashakamgallah5203
@mashakamgallah5203 2 жыл бұрын
Ingekiwa mjini sawa,lalkini vijijini silu tatu hakuna mtu aliyepita hapo si kweli,wanakikijiji wanajua
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Here sijui tunaelekea wapi au nchi ishaingilwa hii na majangili
@amidjaja5695
@amidjaja5695 2 жыл бұрын
Watanzania pole sana kwel ichi imebadilika😭😭😭😭😭😭😭😭magufulii baba
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 2 жыл бұрын
Mauaji yamezidi jamani
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Imani za kishirikina zinachangia Sana mauaji kama haya
@francejackson7068
@francejackson7068 2 жыл бұрын
Polen sana
@enesbukuku9780
@enesbukuku9780 2 жыл бұрын
Polen San
@Boaz22
@Boaz22 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anajieleza vizuri mno
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Daah Sasa hata mmeshhindwa kuwahifadhi Jmn
@fatemafatema8581
@fatemafatema8581 2 жыл бұрын
Hy man maelzo yake cjaelewa hat kdgo ni kumchukua na kuwek ndn tuu atato maelzo kmil na kuhusik kbc
@samiakikwete1762
@samiakikwete1762 2 жыл бұрын
Sasa hao watt jmnyyyyyyyyyyyyy
@nuuringoogle4104
@nuuringoogle4104 2 жыл бұрын
😳😳😱😫😭😭in Tansania
@matatomlik1846
@matatomlik1846 2 жыл бұрын
Innalilah wainna ilayihi rajiun 😭😭😭
@Chimamy5242
@Chimamy5242 2 жыл бұрын
Tatizo jicho hilo litakuponza kaka😂
@rehemaisaya2000
@rehemaisaya2000 2 жыл бұрын
Jamani chunguzeni hapo kuna sitfahamu
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 жыл бұрын
TANZANIA MAUAJI YAMEZIDI SANA, KILA SIKU WATU WANAUANA NA KUTEKWA KUPOTEA PASIKO JULIKANA
@mwajumakoshuma5417
@mwajumakoshuma5417 2 жыл бұрын
Inalillah wainalillah rajiun
@Sppah697
@Sppah697 2 жыл бұрын
Huyu ndo kauwa hao ndugu zake. Ana maeoezo marefu sana.
@elochoyakobo7809
@elochoyakobo7809 2 жыл бұрын
Hana maelezo marefu mbona kaeleweka tu
@aminamnega1778
@aminamnega1778 2 жыл бұрын
Dini inasema tujuliane hali asubuhi kabila ya kwanza tunaanza kazi
@radhiyarashid1314
@radhiyarashid1314 2 жыл бұрын
Mbona serikali mnakaa kimnya na Kila tukio mnadai mnafanya uchunguzi na uchunguzi haukamiliki lingine linatokea kwanini jamanii😭😭 tusaidieni jamanii daah inauma sana nyie mnausalama vipi sisi wananchi wenu,,Eee mungu tupiganie nafsi zetu,,tusamehe makosa yetu na uwarehemu ndugu zetu waliotangulia🤲🤲🤲
@ciciray5676
@ciciray5676 2 жыл бұрын
yaani na Raisi hatoi tamko
@reginamanyangu6682
@reginamanyangu6682 2 жыл бұрын
Nyie mnao mwazia vibaya huyu kaka Mungu awasamee bure, kwanza sio mt wa midia pili yupo kwenye sinnto faham tatu ni mt wa kijijin hajui kujieleza,
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 2 жыл бұрын
kabisa halafu ye ndo jirani wa kwanza na ndgu yake lazma ataulizwa ilikuaje ukae zaidi ya siku moja bila kushtuka kma hapa jirani yako kuna jambo lisilo la kawaida.? kwa kijijni watu wote wanajuana mpka tabia zao kwa hiyo mtu asipo onekana sikunzima ni rahsi kujua
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 2 жыл бұрын
Anaeleweka tu tatizo ni lugha na amepanic pia so anajieleza kila kitu
@modycombo7421
@modycombo7421 2 жыл бұрын
Mtihani kwakweli
@vibetz9991
@vibetz9991 2 жыл бұрын
Jamaa ana hadithia sana 😄maelezo meng hayahusiani na tukio...
@ahmedmokua6367
@ahmedmokua6367 2 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa anawahoji watu mahali pa watu wengi hali hiyo hajui hilo ni swala la hitaji upelelezi wa hali ya juu..akanywe na aonywe hafai atafanya wengine wauawe bure kwa kutoa taarifa muhimu
@rechomsangikumbukenikuwamt5412
@rechomsangikumbukenikuwamt5412 2 жыл бұрын
Ila mm uyu jamaa nnamashaka nae kwakweli
@doriszephania3503
@doriszephania3503 2 жыл бұрын
Hapana, tumechoshwa na mauaji jamani Tanzania, hivi Serikali haiwezi kuunda sheria kwa kila atakayeua jamani ???? Et mbona watu kuua wenzao imekuwa kawaida tuuuu????
@amillahqueeen5586
@amillahqueeen5586 2 жыл бұрын
Yaani hya matukio yamezd na serkali ipo kimya haijachukua htua yyt ile sjui hii tanzania inaenda wap
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Utawala wa nyerere zamani ilikua muuwaji anauliwa cjui imeendaje ikaondoshwa
@amillahqueeen5586
@amillahqueeen5586 2 жыл бұрын
@@salhaali9284 huu ni mthn maana saiv mpka unaogpa kumbea ovyo
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 2 жыл бұрын
Kwakweli Mala wavlana WA tano wamepotea !?hawo watano wameuliwa majambazi ndio usiseme utafkili ni ajira ya kawaida!watu wanatekwa wanachinjwa!?hapa mwanzo Ivi uko mbele hâta sijuwi kutakuwaje !nchi yangu maskinii
@aishatarimo6780
@aishatarimo6780 2 жыл бұрын
Yaan Tanzania sahv mtu akiona mnyama hawez kimbia ila akimuona binaadam mwenzie wallah mbio ndo zitamuokoa
@lukaseliasobwolo7498
@lukaseliasobwolo7498 2 жыл бұрын
Jamani hebu hacheni tabiya ya kumzuia huyo jamaa vibaya mbona kajieleza vizuri
@aickatesha5829
@aickatesha5829 2 жыл бұрын
Maagano Aya ya uongozi yatatumaliza vita wenyew kwa wenyew bila kujijua
@petermatonya8078
@petermatonya8078 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@fadhilajamal217
@fadhilajamal217 2 жыл бұрын
😪😪😪😪daaah Tanzania imekuwaje saiv
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Kwani zama za JPM alikomeshaje Haya? Yanatuchosha sana kuyasikia kila siku. Serikali Kuu toa tamko haraka. Mpaka achinjwe nani ndio mtastuka?
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 2 жыл бұрын
Serikali bila kulivalia njuga hili watu tutaisha. Au wanataka hadi kiongozi auawe. Inatishaaaa
@officialmgonela6646
@officialmgonela6646 2 жыл бұрын
Huyu jamaaa anajua huu mchongo mbona anajizungusha hivyo
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
umeonae
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 жыл бұрын
Kwa namna alivyoielezea story yake, hamna sehemu amejikanyaga au kurudia maneno, hata km amezunguka sana, ila ameelezea alikuwa wapi muda tukio lilipojulikana.
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
Umeona eeeh huyo mdogo mtu ndo akaisaidie polisi kwa maelezo yake tu ni kuwa anajua kila kitu kinachoendelea
@shadrackdeogratius6760
@shadrackdeogratius6760 2 жыл бұрын
Wewe ndio unaongea,jamaa alikuwa kwenye harakat zake na Hana hatia kwasababu ya maelezo yake ni hofu ya kuhojiwa na wakuu,hata wewe ukihijiwa lazma uoga uwepo
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 2 жыл бұрын
@@fatmaabdallah7709 wabongo tusiwe tunapenda kuwahi kutoa hukumu sio vzr.... kumbuka huyo ni ndgu wa aliye uawa halafu huyo ni wa kijijini ghafla unaambiwa utoe maelezo mbele ya mkuu wa mkoa lazma utetemeke ukizingatia ye ndo jirani wa kwanza... tuachie jeshi la polisi wao ndo wanajua jins ya kuwapata walio husika
@merinankullua5874
@merinankullua5874 2 жыл бұрын
Kwani serikali haioni haya mambo?mbona iko kimya?
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 2 жыл бұрын
Kila MTU serikali
@fusotanzania8174
@fusotanzania8174 2 жыл бұрын
duh
@azizahasan2851
@azizahasan2851 2 жыл бұрын
Mbn kama uyu anaerezea ndo mtuhumiwa kwa macho yake na maerezo yake mm ninamashaka nae
@saidimkangwa716
@saidimkangwa716 2 жыл бұрын
je wewe hapo ulipo huwa unawajulia Hali jirani zako kila,siku acheni upelelezi wa hovyo ndio maana siku hizi hakuna kumsaidia,mtu kwenye ajari maana ukifanya tu wanaanza na wewe kuwa,utakua Shahid Sasa kutokana na,Hilo watu wanakupita ukikata roho
@hamidaala2832
@hamidaala2832 2 жыл бұрын
Umenichekesha
@getrudamatoto5277
@getrudamatoto5277 2 жыл бұрын
Daaah wapumzike kea amani 😭😭
@mashakamgallah5203
@mashakamgallah5203 2 жыл бұрын
Jamani ina maana majirani hawakisikia hata kelele za watu wote hao?,hao watoto wameuawa kwa sanabu inawezekana waliwatambua wauwaji.Hapo ndipo huwa siamini kama binadamu yuko kwenue kindi la wanyama maana si kawaida simba kumwua simba mwenzake
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 2 жыл бұрын
Huyu nae ajui kujielezea kwa ufup
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 2 жыл бұрын
Nyumban huku lkn dah😪😪😪😪😪😪😪
@aminakunja277
@aminakunja277 2 жыл бұрын
Mbona maelezo Yake km anajijitetea mhh waanze na uyu
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Dah!dunia😭😭😭
@saumsaum1916
@saumsaum1916 2 жыл бұрын
Msihukumu huenda naye ameshangaa
@michaelmchodo3307
@michaelmchodo3307 2 жыл бұрын
Dada yangu aliuawa kidoka wilayani kondoa kwa kupigwa shoka kichwani muuwaji akakimbia na alijulikana police walisema uchunguzi utafanyika na kumshika mtuhumiwa hakuna kilichotendeka wala mtuhumiwa kukamatwa..inaniumaga sana
@ashasaid5061
@ashasaid5061 2 жыл бұрын
Pole
@johnsonkatana1069
@johnsonkatana1069 2 жыл бұрын
Shida ni kwamba anajitengezea mazingira ya kwamba wakati na uandaaji wa mauaji na hata mauaji kutekelezwa yeye hakuwa Karibu so hahusiki.with me he is my first suspect
@cdeleo9336
@cdeleo9336 2 жыл бұрын
Very true
@princessdiana5350
@princessdiana5350 2 жыл бұрын
Hakika
@rehemaamiri1616
@rehemaamiri1616 2 жыл бұрын
Daaah
@cidewashington670
@cidewashington670 2 жыл бұрын
Ina lillah waina illah rajiun
@happymrema6728
@happymrema6728 2 жыл бұрын
Jaman tusikaribishe watu wagen manyumban kabisa mtu anashida aende police
@mauricempinga935
@mauricempinga935 2 жыл бұрын
Shaidi wa kwanza
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 2 жыл бұрын
Naona muna mshuku huyu kaka yake sio jambo haliwezi kani laweza ikawa lakini police wanajua zaidi hio ni kazi zao wakiamuwa wata washika. Kama wanavyo sema waswahili sirikali ina mkono mrefu tuwache wafanye kazi yao
@chloeabdul7054
@chloeabdul7054 2 жыл бұрын
Matukio ya mauwaj yamezd jmn
@ambrospaulo3697
@ambrospaulo3697 2 жыл бұрын
Binadamu tumegeuka wanyama
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 2 жыл бұрын
Maelezo mengi nahisi anajiogopia😂😂
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 жыл бұрын
Dhana ni mbaya sana, pengine anaongea kwa mshtuko coz kifo chao kina shtuwa na maskitisho sana. Rip
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
@@aaa64sa13 kweli
@happyelias9465
@happyelias9465 2 жыл бұрын
Unatangaziwa kwamba tz tuna amani wakati wao kutwa na ulinzi, sijui ni amani IPi wanayoisema
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 2 жыл бұрын
Huyu ndugu achungunzwe
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 2 жыл бұрын
Shida nn jaman.. Mbona watu wanauwana hivi
@isaachayes9783
@isaachayes9783 2 жыл бұрын
Huyu mdogo wake achunguzwe zaidi na mashaka nae
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 2 жыл бұрын
Dodoma mwogopeni Mungu
@amaniulanga4724
@amaniulanga4724 2 жыл бұрын
Wewe uko wapi ambako mmeishakamilisha program ya kumuogopa Mungu. Haya mambo yanatakiwa kukemewa hata pasipo kutaja ukanda. Matukio ya kuchinjana yanatokea almost pande zote za nchi. Kimsingi tusimame pamoja kukemea.
@halimaally8668
@halimaally8668 2 жыл бұрын
Tanzania ya Amani ni ipi jamaniiiiii 😢 😢 😢 😢 😢 😢
@annamadatta1213
@annamadatta1213 2 жыл бұрын
MUNGU atusaidie jamani hizi nisiku zamwisho Ila maelezo yakaka hayaniingii
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
Huyo mdogo mtu mie homa!🙊mie naona uchunguzi uanzie hapo hapo kwa ndugu kwenye familia sababu ndugu wengine Wana Tamaa inawezekana wameua familia wapate kurithi Mali
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 2 жыл бұрын
Mm sijamwelewa naona ty maerezo mengi ayana ata maana😭😭😭😭
@anifanyoni9036
@anifanyoni9036 2 жыл бұрын
Wengine huwa hawawez kujieleza mi binafs nimeelewa
@luluwhite3818
@luluwhite3818 2 жыл бұрын
Maelezo marefu kama mkojo wa mlevi
@peterfashiondodoma8825
@peterfashiondodoma8825 2 жыл бұрын
Maelezo kwa kaka mtu hayatoshelezi kabisa vyombo vya usalam kwa Haki ya seheria ya nidhamu ya serekali ya jaamuhur ya muungano w Tanzania uchunguzi uanzie hapo hapo
@cdeleo9336
@cdeleo9336 2 жыл бұрын
Hata mimi naona maelezo yake hayaeleweki
@princessdiana5350
@princessdiana5350 2 жыл бұрын
Kweli
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 2 жыл бұрын
Mm naona kama vile ni changamoto ya lugha tu
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 2 жыл бұрын
Changamoto ya lugha ndiyo inafanya msimuelewe uyo jamaa
@amasichefwalo3787
@amasichefwalo3787 2 жыл бұрын
Sina Cha kusema kaaa
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 2 жыл бұрын
Ugomvi wa ndugu huo hao ndugu wakamatwe
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 жыл бұрын
Ni mkoa gani huko yametokea mauaji??? Maana wanahadithia tu km ngonjera.
@mrh2812
@mrh2812 2 жыл бұрын
Maelezo yote ya nin🤔🤔🤔
@aminakunja277
@aminakunja277 2 жыл бұрын
Maana usikute Ata ao alikua nao shamba usikute ndo wausika wote Kawa panga..
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 жыл бұрын
Dhana ni mbaya sana.
@missmrs829
@missmrs829 2 жыл бұрын
Tanzania imekuwa ya mauwaji wenye nchi kazi yao ni kuimba taharabu na mipasho fyuuuuuuh 😏😏😏watanzania nilazima mumkumbuke yule mzee Magufuli 😭😭nchi imegeuka kuwa machinjio ya binadamu 😭😭
@amidjaja5695
@amidjaja5695 2 жыл бұрын
Kwel. Kbs
@mariajeila7250
@mariajeila7250 2 жыл бұрын
True
@sicaliusthobias2789
@sicaliusthobias2789 2 жыл бұрын
Kweli hili jicho amefiwa na ndug🙄🙄🙄 maelezo mengi hayahusiani na anachoulizwa
@zaitunimuya1411
@zaitunimuya1411 2 жыл бұрын
Yaan ni kama suspect
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
Kaka mtu hata kuli!! Alafu mbona umetoa macho
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 2 жыл бұрын
Ndugu zanguni akishinda salam na ukimka salam mshukuru mola wako haya mambo sio tanzania peke yake
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 2 жыл бұрын
Sasa Salam hapo Inge waokoa vipi!! Sana sana ingekufanya ugundue miili Yao mapema tu ila sio wasife
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 2 жыл бұрын
Mbona macho yake yamemyoka sana ?hata huzuni hana!!?huyu namashaka nae wayu saizi wabaya hata kwa ndugu zao
@saidimkangwa716
@saidimkangwa716 2 жыл бұрын
yeye kaenda Shamba kama,wewe uendavyo kazini asubuhi huwezi amsha watu eti unawajulia Hali Sasa ukiwa huko ukikuta jirani kafa kwahiyo unahusika
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 2 жыл бұрын
Huyu jamaa katowa macho hata chozi halitoki muongo ukitaka kumkamata mtu mtizame machoni story kibao
@dicksontowo8414
@dicksontowo8414 2 жыл бұрын
Huyu jamaa akamatwe wa kwanza
@peterfania1005
@peterfania1005 2 жыл бұрын
Hata me nahisi huyo jamaa macho
@festohaule4400
@festohaule4400 2 жыл бұрын
Mbona unaongea bila kuchanganua mda na maneno..
@philimaterrugalabam4417
@philimaterrugalabam4417 2 жыл бұрын
Sisi wanazanka tumekosa amani MUNGU atusimamie tupo msibani kwasasa
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Hao wauaji labda walikuwa wengi, watu wote hawakuweza kujiteyea, itakuwa kunakundi kubwa sana la mauaji
MAUAJI YAKUTISHA DODOMA: WATATU WAKUTWA WAMEUAWA NDANI
5:54
Wasafi Media
Рет қаралды 54 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 116 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 60 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
Dodoma: Ujenzi wa mji mkuu mpya wa Tanzania
9:25
Peter Mwangangi
Рет қаралды 26 М.
'SWAGA' ZA ZUCHU AKI-PERFOM SIJI MTWARA | Wasafi Festival 2024
3:17
🧯Неудачный день одного майора
0:44
arinanottoday
Рет қаралды 7 МЛН
Утерла нос жюри😳 #фильм
1:00
КИНОВИЗОР
Рет қаралды 2,6 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
САМЫЙ БЫСТРЫЙ ЧЕЛОВЕК В ТИКТОКЕ..⚡
0:14
Хранилище Легенд
Рет қаралды 3,9 МЛН
Панда ведёт себя как человек
0:14
Короче, новости
Рет қаралды 1,3 МЛН
ToRung comedy: who is taller?😂
0:58
ToRung
Рет қаралды 21 МЛН