Unaesoma huu ujumbe MUNGU akulinde na akubariki na akupatie ukitakacho 🙏🙏
@GersahАй бұрын
Amen 🙏
@shantisam-wo8wjАй бұрын
Amen
@venerandasamwel-gj8reАй бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@binaljabirmshihirzanzibar8369Ай бұрын
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
@Mrp_manguluweАй бұрын
Amina
@Jassmin-media-officialАй бұрын
Mtazamo nilionao nikwamba mambo yanaanza kuchemka huyo jamaa nitishio kama njaa,sending love from Germany 🇩🇪
@munisomiraji9879Ай бұрын
Sky big up bro uko vzr sana sauti na mpangilio wa habari ni 🔥 🔥 Keep doing it
@hopechideraАй бұрын
List ni ndefu saaana zaidi ya sana; -21. Rick Ross, -22. Leonardo DiCaprio, -23. Beyonce, -24. Jay Z, -25. Paris Hilton, -26. Russell Brand, -27. Mariah Carey, -28. Oprah, -29. The Kardashians, na kazalika yaan ni wengi tu...
@philipotieno9996Ай бұрын
Yaaanii Diddy amehusikaa na kila mtu basii huyuu jamaa ni mtuu nomaaa sanaaa.
@AllenChumatvАй бұрын
didy ndo toka enzi za akina 2pac na big kufupi jamaa ndo icon ya muziki wa Usa
@philipotieno9996Ай бұрын
@@AllenChumatv Ndiiio naona kila msaanii mkuubwaaa laaazimaa tu amehusikaa nayeye.
@kupazahotnews6747Ай бұрын
Did Hana kes ya kubaka ila anakes za kuwanyanyasa kimapez watu walio nogewa wanataka tena ila did mfanya biashara kubwa
@Zawadi111KajumwaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 wewe
@munenejackson1567Ай бұрын
Diamond
@AdamCharles-cc8vrАй бұрын
Kaka sky kazi nzuri ila naomba nikukosoe kidogo kuhusu hiyo list ya wasanii 20 wanainvolved na didy hasa hapo kwa foxy brown sidhani kama alikua close kabisa na didy Bali huyo ni msanii alikua close na Jay z since she was 16 years ni kama alikua ni msanii wake kabisa mana Wana collable zilizo fanya vizuri mfano ain't no nigga, I ll be good etc so instead of kum mention foxy ni Bora ungemweka lil Kim as alikua officially bad boy signed, pia wapo kama kina graig mack na black rob ambao pia ni officially bad boy artists na hao wamefariki kwa misongo ya mawazo ya maisha na walishalalamika sana kuhusu didy, pia yupo g deep ambae ameroka jela few past months na hujamtaja.... Hawa wanalawama nyingi kwa diidy za kidhulumiwa pia daz effex, 112
@SimuliziNaSautiАй бұрын
Asante Adam, uko sahihi kabisa! Tutakuja na makala specific itakayogusa wasanii ambao wamewahi kulalamika kuhusu kutendewa sivyo na Diddy
@Brunotarimo10Ай бұрын
Kaka Fredrick bundala umeonesha uungwana kwa kukubali umekosea Big up💪
@sonnyr1899Ай бұрын
@@SimuliziNaSauti Kaka Sky upo juu sana kwa kuunga mkono fanz wako.
@mosesnyongole6240Ай бұрын
Na inasemekana Fox Brown na Lil Kim walikuwa na bifu
@sulleymernmannarah7930Ай бұрын
Broh nakukubal we n mkal xna umeanglia kw undani Zaid cio hao wabongo njaa wnasema cjui Nan kafnyw yupi hjafnywa
@official_mr_beryАй бұрын
Kazi nzurii🎉🎉🎉
@aishaswab2413Ай бұрын
Hatari
@JosephAlakonyaАй бұрын
Burna boy alienda kwa Pdiddy akashinda Grammy , Wizkid akaenda kwa Pdiddy akashinda Grammy, Davido ajawai enda kwa Pdiddy na ajawai shinda tunzo za Grammy,, kumanisha BURNA BOY NA WIZKID walipakwa mafuta makalio
@silamnyama1642Ай бұрын
Nakukubali sana bro
@emmanuelreuben-rz8klАй бұрын
Na wahanga walipewa nini mpka wakakubali kufanyiwa ufuska hao na wameamua kukaa kimya mpaka Leo hii, Basi nao wanachakujibu maana walitaka au kupenda kufanyiwa ufuska huo bila shuruti otherwise Kuna namna mwamba kaukosea mfumo wameamua kumkomoa...
@yussufritzy7684Ай бұрын
Pesa
@sonnyr1899Ай бұрын
Umaarufu unasiri zake we fikiri mtu kama Ja Rule na ile musuli yake ya kiume ila na yeye alishikishwa ukuta hii ni kutokana na kutaka umaarufu kukuwa. Subiri siku hizo skendo siku zitafunguliwa Bongo utashanga majina ya watu watakao tajwa
@@philipotieno9996we jaluo acha dharau na ushamba mdogo ambaye ana cls2 10 million subscribers with international collaboration zinatesa kote kisa Grammy.... In fact naweza sema alinyimwa tuzo hizo sababu hakufanya huo ujinga mnafikiri ... Nyeupe ni nyeupe tuu huwezi iita nyeusi kilakitu amefanya huwezi pinga hujaona...
@ramadhanwilbard8196Ай бұрын
@@sulleymernmannarah7930Huyo ni kamada kadogo ndiyo maana hakakutajwa!
@damariszuckschwert9489Ай бұрын
💯 😂😂😂
@Assamu_OfficielАй бұрын
Dhuu SnS hampitwi na kitu😮😮
@sophieburcham3399Ай бұрын
Yaani ungesahau wote lkn sio JayZ and Beyonce 😔
@realpolybeatzАй бұрын
ila hii tittle yaki four sana 😅
@muharramhamisi5140Ай бұрын
Mbon diamond hatujamsikia 😅
@IsayaMlakiZАй бұрын
DID HE DID IT 😳
@mariamunishi4123Ай бұрын
Yes
@BigMan-f1vАй бұрын
Nah
@Gwanzuu_store_codeАй бұрын
Apo mm naona issue kubwa ni madawa yakulevya na silaha
@kiezeraalfred4493Ай бұрын
Ilikuwa ngumu kuchomoka kwa Didy. Kila aliyetaka kutoboa alijisikia kufankiwa tayari baada ya kukutana na Didy.
@IbniAbbas-yz3ktАй бұрын
Mbona hujamuweka Mwambino kwenye hii makala!?
@CivilEngineeringWorks-d7bАй бұрын
Watu weusi wanelaaniwa toka Nuhu walimcheka baba yao sishangai kwa matukio haya japo mm ni black man African
@ramadhanmkombelwa3065Ай бұрын
Tunatamaini Sana Waafrika Mziki wetu Ukife Kimataifa ila juweni kuwa Hule uongozi Wa Ma Black America 🇺🇸 ukivunjika pale U.S.A Mziki Waafrika aufiki popote 😢 Maana Ma Black America wanamchango mkubwa Kwenye Mziki Wetu Waafrika.....( RICK ROSS , JAY-Z ,SNOOP DOGG ,Na wengine Mablack America) MZUNGU MZUNGU MZUNGU ni Mbaya Sana Jiulize Kwanini AKON atoke Marekani aje Kuishi Afrika ? Jiulize kwanini SALIM KIKEKE atoke BBC aje Kufanya Kazi CROWN? Artificial intelligence, Media Zinatumika Kumzibiti P.DIDDY, Mimi Pekee Niko Upate Wake Tu 😢
@KarisBayaАй бұрын
Hata Diamond platinumz hawezi kulikwepa pia, yeye pia kutoka ubikira na P.diddy tu
@AFRICA_D669Ай бұрын
Wanafanya hivyo ili kupoteza uwezo wa muziki wa Africa,.
@DevZone1089Ай бұрын
mmmh lakini kama kuna video inaonesha Diddy anamshika paja tyson! na hizi scandal za mond hii inatosha kuhisiwa vibaya sisi wenyew weusi huwa tukipata tunajisahau
@AFRICA_D669Ай бұрын
@@DevZone1089 alisha wekewa pepo la Ng'ono huyo
@DevZone1089Ай бұрын
@@AFRICA_D669 yeah ndo hvy...
@AFRICA_D669Ай бұрын
Yeh
@JeannetteManirambona-o6mАй бұрын
@AFRICA_D669 kweli
@ChidiwamtaaАй бұрын
Wanamuonea Wazungu wa Senge
@hopechideraАй бұрын
Weusi mnazidi lawama na ujinga hamuachi...
@weahfeint3406Ай бұрын
Justice for Diddy
@bakari-si1pwАй бұрын
SnS hembu tupe abari ya Tyrese Gibson nayeye kapigwa na kitu uku?
@deodathsilayo3639Ай бұрын
Ila jamaa aheshimiwewote waliokua chin yake walifanikiwa Sana
@enochzacharia960Ай бұрын
Hao wamekaa na Diddy zaid ya masaa 72 sasa mondi ambae kukaa nae tu alikua anamuogopa
@MaarufuAmani-bq6qcАй бұрын
Wamuachie bana hao niwivu tu
@mariamunishi4123Ай бұрын
Kwa nn huamini?
@MaarufuAmani-bq6qcАй бұрын
@@mariamunishi4123 kuamin kitu gani
@mussaagrey5679Ай бұрын
Tafuta pesa nyingi uwe na Maadui
@musanicheboАй бұрын
Sasa mimi ngoma yangu nitaisikiza pekeangu naomba sikizeni kaziangu pia msabcribe jamani atleast nipate 1000000+ subscriba
@OLOLUFEMITzАй бұрын
Jambo
@ankalmzito254Ай бұрын
Kuna watu humu ndani hawana kazi nawaona wanatafuta jiana la Diamond Platnumz
@King_Of_EverythingАй бұрын
👍👊✌️.
@RayaAbdalla-h2cАй бұрын
Mbona hukumuweka na babalevo😂
@Zawadi111KajumwaАй бұрын
Mbona watu wazima ovyo hawakulazimishwa waliitwa wakaitika kwa raha zao
@Ibrahim-ne3inАй бұрын
Sasa huyu ndio Illuminati mwenyewe..
@musso238Ай бұрын
Mogo DD
@ogdosho93Ай бұрын
Kwaio kila aliyepiga picha na didy anahusika? Jambazi akirud mtaani kwake baada ya kazi sio jambaz ni raia tu wakawaida!
@shamsahaji6202Ай бұрын
Asilimia kubwa wamehusika na msiba huo.
@yudaaraphati9673Ай бұрын
Baba Tiffa😂😂
@yohanamchekwa1803Ай бұрын
huku p didy hanao wake 1 😅😅
@JeannetteManirambona-o6mАй бұрын
Diddy kiumbe cha ajaabu
@eliaspaul9028Ай бұрын
Mtoto wa tandare no 21
@philipotieno9996Ай бұрын
Hayukoo 😂😂 mdooogooo sanaaa.
@sulleymernmannarah7930Ай бұрын
Wabongo akili kisoda xna Yan njaa yenu muone msanii wenu awemo tuh ili brand ishuke hakika hyo n nchi ya maajabu
@titus_maridhiaАй бұрын
Zuchu
@JansanMokiwaАй бұрын
Mwambino😅😅😅
@lisawilliam2491Ай бұрын
Simba je vp?
@philipotieno9996Ай бұрын
😂😂 huyoo badoo mdooogooo.
@Jkone891Ай бұрын
@@philipotieno9996 acha dharau mtu mdogo ambaye ana cls2 10 million subscribers with international collaboration zinatesa kote kisa Grammy.... In fact naweza sema alinyimwa tuzo hizo sababu hakufanya huo ujinga mnafikiri ...
@sulleymernmannarah7930Ай бұрын
@@Jkone891hao wabongo n wjinga wengi wao wlai
@Jkone891Ай бұрын
@@sulleymernmannarah7930 huyu Philip ni mKenya japo kua kuna wakenya wanapuuzia ... Nisawa na Tanzania tu pia wafrika hawajipendi kabisa
@Isyourboy_nardАй бұрын
Ninavyomjua p diddy hawez kufanya hivyo
@mariamunishi4123Ай бұрын
Kwa nn huamini?
@usercabalАй бұрын
Una mjua wapi bhana
@mamboshepea8888Ай бұрын
@@usercabal Sema wewe unaejua umbea na kuchafua watu...ulitaka aseme kilichopo kwa hiyo ubongo yako inayowaza uchafu always🙄
@usercabalАй бұрын
@@mamboshepea8888 umbea ndo nn
@LisoClassic9510Ай бұрын
Diamond
@philipotieno9996Ай бұрын
Mdooogooo sanaaa.😂😂
@Jkone891Ай бұрын
@@philipotieno9996we jaluo acha dharau mdogo ambaye ana cls2 10 million subscribers with international collaboration zinatesa kote kisa Grammy.... In fact naweza sema alinyimwa tuzo hizo sababu hakufanya huo ujinga mnafikiri ...