WASANII WANAOVAA MISALABA WANAITA JINI ILI IWASAIDIE KWENYE MVUTO"WANA SIFA HIZI

  Рет қаралды 41,151

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Пікірлер: 140
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa 8 ай бұрын
Huyu kijana anaongea kweli....kabisa lakini yote tisa 10 anaelimisha sana ,hayo mambo niya kweli ktk dunia hii tunayoishi,, uamuzi wa maisha yako yaweje utajua wewe,,,yeye anachoongelea ni elimu dunia,mimi binafsi nimejifunza kitu.
@dseven7094
@dseven7094 7 ай бұрын
umeongea point kk
@MichaelMusafiri-bn8rb
@MichaelMusafiri-bn8rb 5 ай бұрын
Alhamdulilahi kwakuwa mweslam, kwasa babu tuna ilmu kuhusu dini Na majini Na bublia pia!!!
@aitaufoosilaa
@aitaufoosilaa 4 ай бұрын
❤mimi ni msikilizaji tu..najifunza mno.asante.
@omarbinjaa2801
@omarbinjaa2801 7 ай бұрын
Jini yoyote hawezi kukufanyia chochote ila mpaka umuasi Allah na lengo lake mukutane makaoni jahannam( motoni)
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 7 ай бұрын
Swadakta
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 7 ай бұрын
Umaskini bye bye kumbe very simple hivi nimechelewa kweli 😂😂 hata iwe kufunga mwez Frsh tu 😊😊😅
@juliashashimu2798
@juliashashimu2798 7 ай бұрын
Ukipata nikumbuke 😂😂😂😂😂😂
@NkunzimanaKevin-ck7lv
@NkunzimanaKevin-ck7lv 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@Putin331
@Putin331 7 ай бұрын
Bongo touch na huyo azzazaziru unayemhoji watu mnafirwa❤au mnafirana
@kennedymokeha6375
@kennedymokeha6375 7 ай бұрын
😂😂
@YusufuMusani
@YusufuMusani 6 ай бұрын
Nimekufata
@samxx411
@samxx411 8 ай бұрын
Muislamu hamshirikishi Mwenyezi Mungu ila baadhi ya watu wanatumia dini kama kivuli katika kumshirikisha Allah..Pete ukiivaa urembo inafaa zaidi ya hapo ni ushirikina na unashirikisha Allah..
@JamilaAlly23
@JamilaAlly23 7 ай бұрын
Miye naamini Allah pekee yes ninani kam yeye ni mungu mbon alikufa duniya ilibaki nanani wakilistu acheni kuzarau dini za we zenu mungu ndoajuaye walio sahihi na wasiyo sahihi
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 8 ай бұрын
Huyu nae anamatatizo,Hana tofauti na sule ,wanapromoti ushirikina,sio msomi wa dini huyu jamaaa ,labda aseme nae ni mganga
@HamisiAmri-p4d
@HamisiAmri-p4d 7 ай бұрын
Sio aseme ni mganga
@DavidMapunda-ge6ff
@DavidMapunda-ge6ff 7 ай бұрын
Huo ndio uislamu tatizo Waislamu wengi hawaijui dini yao, kazi ubishi waki senge tu,. Hawa dini Wana ijua kuliko nyie mbwa mnao wabishia
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 7 ай бұрын
@@DavidMapunda-ge6ff yaani wee mbwa Mla nguruwe ndio ujue dini yetu sisi waislam ambao tunalelewa nayo na kufundiswa,wee kunguni hapa mjini,tusikilize sisi wenye jambo letu ,utapigwa nje ndani.huyo ni mchawi bwana mdogo utaibiwa
@mwinyiabdallah4383
@mwinyiabdallah4383 7 ай бұрын
​@@DavidMapunda-ge6ffwe pimbi mbwa na nguruwe umewaacha nyumbani kwenu huko unaleta uchoko hapa kenge we
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 7 ай бұрын
​@@DavidMapunda-ge6ffwe mjinga nenda kausome kwanza Uislamu acha kukurupuka. Uyo jamaa kaamua kukufuru kama alivosema m/mungu ndani ya Quran kwamba imma tushukuru au tukufuru kutokana na neema alizotuneemesha.
@SelemaniAbuu-nm3sx
@SelemaniAbuu-nm3sx 7 ай бұрын
Namba zako dokter
@AbdallahSalim-w4j
@AbdallahSalim-w4j 2 ай бұрын
Naomba namba yeke
@MohammediUssi
@MohammediUssi Ай бұрын
Jamaa anapambana ili ndugu zake tusiwemasikini
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 7 ай бұрын
Mfano uyo vala itwa Dotto Magari🇰🇪
@asmanidris8527
@asmanidris8527 2 ай бұрын
Allah amekataza ushirikiano Kati ya mwanadamu na jini.
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 8 ай бұрын
Mtu yeyote anaye shirikiana na ma jini, ila kwa "wema" au maovu nimshirikina. Nabi suleiman peke yake ndo aliyemuomba mwenyezi mungu ampe uwezo wa kumiliki ma jini na akamwambia Mungu asimpe yeyote baada yake. Quran 88:35 Kueni makini waislam, msije mkamshirikisha Allah.
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 7 ай бұрын
Washirikiana Hawa hamna shekh humu.....Hawa ni washirikina....khassa
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 7 ай бұрын
Aachauoongo😂😂
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 8 ай бұрын
Hiyo sio tiba ila ni uchawi. Usidanganye watu. Mche Allah. Namuomba Allah atuongoze sote.
@Unkown30476
@Unkown30476 8 ай бұрын
Allahuma Amiin
@calendecalende9289
@calendecalende9289 7 ай бұрын
naomba no ya simu shekhe
@salamiharun
@salamiharun Ай бұрын
ASC naomba number yake ya simu
@EliassMsike
@EliassMsike Ай бұрын
Shekhe punguza wivu na roho mbaya ayo ni mapenzi ya mtu usitupereke kwenye ushilikina
@joseaugust2805
@joseaugust2805 8 ай бұрын
Ila sio mbaya nyie akina Azazel na samyaza mnawaita ni majini , ila sisi wakristo hao wote ni malaika waasi (fallen angel).
@pharmkiksi7463
@pharmkiksi7463 8 ай бұрын
Azazel sio malaika, yeye ni mmoja wa kundi la iblis, kwenye dini ya kislamu ilo ni jina la iblis..... Hahusiki kabisa na malaika,
@joseaugust2805
@joseaugust2805 8 ай бұрын
@@pharmkiksi7463 Kwa mujibu ya dini yenu ni sawa alikuwa jini, ila Kwa mujibu wa ukristo alikuwa malaika muasi
@DhaharaniJongo-gt2un
@DhaharaniJongo-gt2un 7 ай бұрын
Hakuna malaika ambaye anamuasi mungu
@joseaugust2805
@joseaugust2805 7 ай бұрын
@@DhaharaniJongo-gt2un kwa mujibu wa uislam ni sawa , ila kwa mujibu wa ukristo kuna malaika baadhi waliasi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 3 ай бұрын
Malaika hawezi kua jini na wala jini hawezi kua malaika. Malaika wameumbwa kwa nur na majini wameumbwa kwa moto. Majini wanafanya wakitakacho kutwii au kuasi km sisi wanaadamu lkn malaika wanatwii tu hawaasi.
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 7 ай бұрын
É verdade irmao mesmo eu tou asofrer muito mal as vezes fico nervoso sem querer e também às vezes faço algo derepente parece alguém mi mandou irmao eu preciso da sua ajuda para poder aprender muitas coisas por favor🙏
@Putin331
@Putin331 7 ай бұрын
Huyo unayemuhoji azaazir mdg 😅😂
@latwifamaliki9341
@latwifamaliki9341 4 ай бұрын
Khaaa🤣🤣🤣🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@RusiaSalehe
@RusiaSalehe 7 ай бұрын
unamtusi Ahu nawewe umo ? hongea ukweli baba
@KhamisMohammed-vr4hz
@KhamisMohammed-vr4hz 7 ай бұрын
Shekh nilikuw naomb namb ya please
@KhamisMohammed-vr4hz
@KhamisMohammed-vr4hz 7 ай бұрын
Nilikuw naomb no ya uyo shekh
@georgenjeri8547
@georgenjeri8547 8 ай бұрын
😂😂😂😂 No Comment,,,!!
@AboubacarcastingKassim
@AboubacarcastingKassim 7 ай бұрын
Naomba namba ya cm shekhe
@allymohd5855
@allymohd5855 7 ай бұрын
Uislam ni dini ya kwl ila wanatumiw kuchafua uwislam ila uwislam ni dini ya haki dunian kataa usikatae ila uwislam ni dini yakwl na allah ndie mungu mweny ila njaa mbay san daaa
@PaulinaJohn-ox5hl
@PaulinaJohn-ox5hl 7 ай бұрын
Wewe unapotea uwislamu ni ushirikina mtupu
@PaulinaJohn-ox5hl
@PaulinaJohn-ox5hl 7 ай бұрын
Auwez kukupeleka popote ila yesu kristo ndio njia pekee ya kwenda mbinguni
@FridayKyanndo
@FridayKyanndo 7 ай бұрын
Sheikh No:yako tafadhali
@ismailysaidy884
@ismailysaidy884 7 ай бұрын
wee nan kakwambia huy ni shee
@MzeeOsama
@MzeeOsama 4 ай бұрын
Ijumaakarim
@English-SomaliTranslationHub
@English-SomaliTranslationHub 7 ай бұрын
Wakristo wanadhani mtu akona kanzu maumini
@almasmkoko1591
@almasmkoko1591 7 ай бұрын
Hao wanatoa mafundisho mwenye hiyari anaweza kwenda au asiende kwa sababu mwenyezi mungu ameumba binadamu na majini wote tumuabudu yeye tu
@RachaelMchanda
@RachaelMchanda 7 ай бұрын
Sasa mnamkataza n kitabu cha majini wanacho waislam mwataka akasome wapi, kwa bibilia😢😢😢😢😢 ?, hatuna hizo vitu sisi hatushirikiani n majiji yashindwe katika jina kuu la yesu😂😂😂😂😂😂😂
@wharang-hg2yx
@wharang-hg2yx 7 ай бұрын
Hujui unachoongea ww uelewa mbele itikadj zako baadae huyu anaelezea namna mambo hayo yalivyo solo kwamba wa2 wafanye afu wee n kama mpuuz2 kwanza hiyo biblia n kitabu cja nano unavyofikiaria ni nani kaandika yesu kashuka uarabun kwann wanaoipromote hiyo biblia n wazungu tena wao ndo waandike hiyo biblia afu kila kitabu kimejitaja katafute kama biblia imeandikwa katika ktabu crochet n hakuna alas soma iyo Bible yote uielew soyo unapiga 2mistar 2wili tu3 afu unapiga makelel etuislam ndo unafuga majin
@allymafita1985
@allymafita1985 7 ай бұрын
Nasaha kwenu mnaohojiwa, na elimu mnayotoa, Litafakarini LENGO la mahojiano haya na elimu hiyo n Nini hasa Kwa mustakabali wa dini ya kiislam na Kwa wasikilizaji Kwa ujumla!, YAEPUKENI HAYA
@neemakassan6538
@neemakassan6538 8 ай бұрын
😮mwenyewe naomba zake naomba maana kataja haraka hataka
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 7 ай бұрын
Kumekucha sas 😊😊😊😂
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 7 ай бұрын
😂😂😂😂 nenda ukatapeliwe😂😂😂
@NkurunzizaKevin-vs5lk
@NkurunzizaKevin-vs5lk 7 ай бұрын
Huyu kaka namuombea neema naheri y'a muumbaji wa arzi na mbingu.usemi naujuzi anao inaonekana niyayake hafurahiye kumpoteza muumba.basi hekima na ufunuo wakweli naomba umpate
@kilogreek4050
@kilogreek4050 7 ай бұрын
SHEIKH WANGU SIMU KIWEKA KIFUANI APO KISAYANSI UNIJIUMIZA KIAFYA
@joemeika3020
@joemeika3020 7 ай бұрын
hatarii
@kipchorngwonektiroto457
@kipchorngwonektiroto457 6 ай бұрын
Mapete je? Yeye anavaa pete ya kichawi!!
@thebroski9763
@thebroski9763 7 ай бұрын
Anaitwa nan? Tafadhali
@faridaAli-td1fo
@faridaAli-td1fo 8 ай бұрын
Jina pls kwa utub
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 7 ай бұрын
Siyo poa Acha tuuu wawe matajiri, nawafuatilia toka Durban kwazulu natal
@SaidiBakari-kl1gu
@SaidiBakari-kl1gu 7 ай бұрын
Hizo mada mnajidhalilisha na mnadhalilisha uislamu. .
@HilmiHilal-g8j
@HilmiHilal-g8j 7 ай бұрын
Wanajianika tu wenyewe, ukimsikiliza vizuri yeye mwenyewe anakwambia ili jini akufanyie jambo lake ni lazima utimize masharti yake ambayo ni kumkufuru Allah. In a simple language, anakiri kuwa yeye mwenyewe amemkufuru Allah.
@MahamoudShego
@MahamoudShego 7 ай бұрын
Hazalilishi mtu Wala usilaam Bali elewa kua nielimu kubwa anayotoa Bali akili kichwani mwako Ila ukubali haha Mambo yapo pia Tina ipo na uchawi upo
@taichi5370
@taichi5370 8 ай бұрын
'Satanic Verses '😂😂😂😂😂
@YusufuBalebesefe
@YusufuBalebesefe Ай бұрын
Asate,che
@RahimaJames
@RahimaJames 7 ай бұрын
Hauna tofaut na mwamposa😂 mnatumia jina la Allah kufanya ushilikina
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 7 ай бұрын
Jamaa muongo Sana kakilemu kwenye vitabu vya Babu haji Hana lolote kasoma vitabu vya Babu haji ukimskiliza Hana jipya
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 7 ай бұрын
Ushilikina ndo asili yetu binadam,hizo dini wazungu walituletea
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 8 ай бұрын
Yesu Si Mungu
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 ай бұрын
Sawa
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 8 ай бұрын
Lakini ndio bingwa wa majini yoote mnayoyaabudu break yao ni Yesu Kristo pekeee Nyinyi kukurukeni lakini kutokana na maandiko matakatifu wote Nyinyi jehanamu ya moto inawasubili. Sisi tuna lala kama wafalme kwa kutumia huyo huyo ambae unamwita sio Mungu ndio anatulinda sisi.No uchawi Nguvu za giza wala majini ya aina yoyote.Mumefungwa ufahamu kwa maana Nyinyi ni wa upande wa pili yaani wa ibilisi mungu wa waovu.
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 7 ай бұрын
Elimu ya jini ndani ya uislamu wewe unasema YESU
@bushbabytz
@bushbabytz 7 ай бұрын
Sara wa Diamond si alisema Diamond anapendaga kulala ghafla ie usingizi...mmmh mbona sheikh kama naanza kusadiki maneno yako😂
@sawtsalaf
@sawtsalaf 7 ай бұрын
UPUUZI MTUPU TU.. WEWE KAMA NI MUISLAM WA KWELI HUWEZI KUMSIKILIZA HUYU MSHIRIKINA.
@YusufMbarouk-j3r
@YusufMbarouk-j3r 8 ай бұрын
Hawa watu wanatuchanganya mungu tu ndie mlizi wetu jini bila ya mungu hana uwezo
@almasmkoko1591
@almasmkoko1591 7 ай бұрын
Kwa nn huwa tuna swali sunat haja na nimudagani unatakiwa kuswali
@AbdillahFauz
@AbdillahFauz 7 ай бұрын
Ushirikian umejifich sana na huyu pia ameingia katika hiyo fitna yakufru
@SebitAbubakar-iy8ve
@SebitAbubakar-iy8ve 7 ай бұрын
Ni elimu ya Quran ama ni elimu ya kishirikina.
@ZacharieBaombwa
@ZacharieBaombwa 3 ай бұрын
Tuelekeza kaka tupate pesa
@BoniphaceKisokola
@BoniphaceKisokola 8 ай бұрын
Ongera shee kwa elimu yako tupe namba zako
@IvanBenjamin-fy9lg
@IvanBenjamin-fy9lg 7 ай бұрын
We azazili sio jin n malaika aliasii [ the watcher] na amepewa azabu n mungo kupitia malaika Gabriel na amefungiwa jangwa lenye giza mpaka kiama
@abdulmgassa7848
@abdulmgassa7848 7 ай бұрын
Asalam hivi mbona unamohoji huyu kijana kwanza Hana elimu yeyote ya sini nakushauri wewe muliza maswali tafuta watu wemye kujua dini sio wangamga kama Hawa kwa huyo azazel anaye mtaja anamjua huyu elimu za kuambiwa huyu sindio alikuwa anasema Sule vibaya Sasa anaongea nini alafu acha kufatuta waru kama wewe mtangazaji upo Sawa huyo ana elimu bali amekariri acha kuhoji kama kama na hiyo sio dini
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 8 ай бұрын
Nakumbuka dimond alivoibiwa kofia yke dodoma alipanic kinoma
@christianmwabukusi8366
@christianmwabukusi8366 7 ай бұрын
Kwa nini mnampinga? Mbona wakriato wakisemwa mnashabikia kasoro? Acha yasemwe yote
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 7 ай бұрын
Yesu sio mungu kwa mujibu wa maandiko 8:40 yohana.wapi uislam umehalalisha ushirikina?
@Itsblackghost
@Itsblackghost 8 ай бұрын
Huyu jamaa kanyooka kunavitu anaongea anawabyoosha waongo😁 ila usikazi kul chm ich
@allahisone6386
@allahisone6386 8 ай бұрын
😮😮
@LatifaMusa-dy3id
@LatifaMusa-dy3id 7 ай бұрын
Huyu Kaka ukiachana na hayo mambo yake anayo yafahamu alivyo tu anafaa kuwa mume
@nimefikaulipo
@nimefikaulipo 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SunguraShabani
@SunguraShabani 7 ай бұрын
Huyu jamaa tapeli mkubwa sana sana Anajifanya anajuwa dawa ya kunenepesha uume kumbe muongo sana sana
@AmisiMuyenga
@AmisiMuyenga 22 күн бұрын
twambie kaka amewahi kukutapeli?
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 8 ай бұрын
WALE WALE
@SalumMusafiri
@SalumMusafiri 8 ай бұрын
Tapeli mkubwa yeye na huyo suleiman wake wanata gisi wataibiya watu pesa
@DavidMatata
@DavidMatata 8 ай бұрын
Pumbavu !!
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 ай бұрын
huyu ni mshirikina kama wengine shenzi huyu
@DhaharaniJongo-gt2un
@DhaharaniJongo-gt2un 7 ай бұрын
Ameshikisha nn hapo ww siyo muelewa
@RizoBwedo
@RizoBwedo 7 ай бұрын
Nilijua2 ntakukuta ukipinga apa​@@DhaharaniJongo-gt2un
@RizoBwedo
@RizoBwedo 7 ай бұрын
Naijua it h
@betinvestment3204
@betinvestment3204 8 ай бұрын
Tutafute elimu hata kama ipo umbali wa China ila tu tusimshirikishe mwenyezi mungu
@athumanally8493
@athumanally8493 8 ай бұрын
Namba ya huyu maalim tafadhali
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 ай бұрын
huyu tapeli jinga wewe
@ZaiduZaidu-f1j
@ZaiduZaidu-f1j 8 ай бұрын
Sheikh twataka No Zakoo
@allahisone6386
@allahisone6386 8 ай бұрын
Eeweeeeeh_🤔
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 7 ай бұрын
Za kaz gan
@ZaiduZaidu-f1j
@ZaiduZaidu-f1j 7 ай бұрын
Bas ucpanic Sheikh Naona ushakua Star ⭐ Mganga mkuu
@YusufMbarouk-j3r
@YusufMbarouk-j3r 8 ай бұрын
Hv jamani huyo mganga anapewa nguvu na nani km sio mungu
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 8 ай бұрын
Shetani ndio anampa nguvu ni jini sio M'mungu
@BarreMushi-yz4wt
@BarreMushi-yz4wt 7 ай бұрын
Huyu ustadh anaitwa Nani na mawasiliano yake napataje
@emaneman7899
@emaneman7899 7 ай бұрын
Namjua A to Z yuko vizuri sana alishawahi kutufundisha elimu ila kwa sasa yupo Yemen namba zake ninazo
@samuellubunga
@samuellubunga 8 ай бұрын
Njooni kwa Yesu akunaga mambo ya hivyo
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 8 ай бұрын
Na msalaba uko wap
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 8 ай бұрын
Ww ni fala nani aje sehemu mnasema Kuna mungu watatu
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 8 ай бұрын
Yesu ni mtu, na huyo msemaji pia ni mtu, sisi tumuamini Allah ambae ni Mungu sio mtu.
@samuellubunga
@samuellubunga 8 ай бұрын
Elimu gani hapo mnafundishwa Kama si uchawi yote hayo ni shirki tu Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake hayo mengine mtazidishiwa Ombeni lolote kwa jina langu nami nitalitenda hayo ndo maneno ya Bwana Yesu Kumbukeni Mungu ndie mtoa riski
@samxx411
@samxx411 8 ай бұрын
hiyo misalaba ipo wapi msikitini au??? washirikina wapo katika waislam na nyie ndo wote
@aminasalum-yh4fh
@aminasalum-yh4fh 8 ай бұрын
TUNAOMBA TUWEKEE JINA LAKE LA UTUBE
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 8 ай бұрын
Usimguate mshirikina huyo, dini haijafundisha hivyo. Sio tiba hiyo ila ni uchawi
@aminasalum-yh4fh
@aminasalum-yh4fh 8 ай бұрын
@@zulekhaa6817 ASANTE
@abdulmgassa7848
@abdulmgassa7848 7 ай бұрын
Yani wewe unawapigia ramli wazi kabisa alafu unamsema shekh Sule vibaya huyu kijana ukimtaxama akili Hana uongo mtupu
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 243 М.
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
Maziko ya Bosi wa Freemason Yatikisa Dar
2:35
Global TV Online
Рет қаралды 1,6 МЛН
BIN LADEN: MIVUTO 10 YA AJABU KATIKA BIASHARA
14:44
Mbengo Tv
Рет қаралды 5 М.
JINSI YA KUJILINDA NA UCHAWI NA WACHAWI: SHEIK JUMA KONDO BUNGO
46:37
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 40 М.