Jamani hapa tunapata funzo, tuzae chap chap maana hatujui muda wetu wa kuwa hapa duniani, hebu tujifunze kwa kaka yetu marko, ana miaka 32 lakini ameacha mke, watoto wanne na mali. No time to west! Hongera sana Marko ulifanya kazi kubwa duniani kwa muda mchache uliopewa, R.I. P
@AgnessDaud-jk7ro2 ай бұрын
kabisa dia
@BeatherDkson2 ай бұрын
Kwakweli mpenzi wangu,,mim mama angu alizaliwa 79, mama amefariki 2011 akiwa na umri huohuo miaka 32 ,alituacha watoto watatu,, mim nlikua 4m1,mdogo wangu wa pili alikua Latano,mdogo angu wa mwisho alikua bado mdgo sana alikua chekechea,alizaa mapema sana na ndio mana ametuacha watatu,,,,
@PerisOduor-p2o2 ай бұрын
Unaazaa haraka utawalisha nn na hii uchumi😂😂
@merrystellajohn25082 ай бұрын
😂😂😂
@pmpaga1063Ай бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya ndugu yetu... Apumzike kwa Amani
@DorcaMartini2 ай бұрын
Pole San mungu azidi kuwap joto na kuwafarij hakika kifo hakizoeleki na hat sis tulioachwa tuzidi kujipelelez maisha yeti na tujiandae Kwa wakat I ufaao na usiofaa IL tukutane mbingun Kwa Jin la yesu Amin.
@AgricolaBajut-y2g2 ай бұрын
Mungu awe faraja yenu ndugu wafiwa.
@AronLwassaАй бұрын
Hongera msomaji wa wasifu imesoma vzr sana tena umetulia Changamoto kubwa ni ya uandishi neno marehemu linatakiwa litmkwe kuanzia pale mtu anapotaka dunia Ni kosa kubwa kusema marehemu alizaliwa,alisoma,alifunga ndoa Aliweza je kufanya haya akiwa marehemu? Tujifunze kuandika wasifu vzr ili ilete maana kwa wasikilizaji hivyo Poleni😂😂😂😂 sana kwa msiba mbele yetu nasi nyuma yake Bwana alitoa nae amemtwaa kina lake lihimidiwe
@NenolaMUNGUniuzima2 ай бұрын
❤🎉HONGERA KWA WASIFU MZURI 🎉JAMAN TUELEWE KUFUNGA NDOA SIO KUZAA unaweza kuzaa baadae ukafunga ndoa hivyo tusikariri Ndoa ni udhibitisho tu na cheti tu mengine huwa yanaanza mapema.
@KahindiKaingu-m4g25 күн бұрын
Poleni
@CatherineImwana2 ай бұрын
Poleni sana familia ya Marco ,.mungu ampe nguvu mke wa marehemu Kila wakati ,sio rahisi kabisaa
@zengomikomangwa92642 ай бұрын
Jamani kuna makosa makubwa ktk kuandika wasifu wa marehemu. Mfano marehemu alizaliwa. Marehemu hawezi kuzaliwa. Ni vyema kuandika mfano. Marco alizaliwa...., alisoma....alifanyakazi., Marco aliaanza kusumbuliwa na....mpaka umauti ulipo mfika. Marehemu ameacha mke na watoto.etc
@HusnaRashidi-ox7zk2 ай бұрын
Kiswahili kigumu ndugu
@stephenkalidush54462 ай бұрын
makosa ya kawaida ya kuswahili ila ameeleweka
@fadhilishabani43682 ай бұрын
fact
@rabankisusi2 ай бұрын
Nakubali
@shukranbulilo81322 ай бұрын
Marehemu Marco...ni sahihi.
@odiliajohn86002 ай бұрын
Imeniuma San marco mungu akupe pumziko la milele 😭😭
@VeronicaUrassa-j9k2 ай бұрын
Daaaah polen Sana wanafamilia nzima nimevaa viatu vya mfiwa jamani mungu akutie nguvu bi angel n watoto wa marehemu
@Daniella2492 ай бұрын
Dah ameondoka mapema sana jmn, lkn Mungu hatupingani na kazi yako , mungu amtunze vyema huyu mke na kumpa nguvu
@AliceAlistidia2 ай бұрын
Ina maana amefinga ndoa 2019 na ana watoto wanne kwahyo huyo mke wake Kila mwaka alikuwa anazaa au alikuwa amezaa nje kabla ajaona na lkn ugonjwa wa moyo kumbe aliupata siku Moja duuh nilijua Wenda alikuwa mda eeeeh mwenyeji mungu acha uinuliwe maana weww ndo unajua Kila kitu na ule wimbo kaiba yupo hospitali mbn wa tatizo ambalo limemuua kwahyo aliota kwenye ndoto aisee huyu kama amejua kuniumiza 😭😭😭😭😭
@sirpleasureb2 ай бұрын
MIND YOUR OWN BUSINESS
@JoyLoyce-r4pАй бұрын
Wakati wa mahojiano Global tv enzi za uhai wake alisema alifunga ndoa 2015
@MwaminiMohamed-p4dАй бұрын
Pole sana mke na watoto
@PhilianeNaibei-hn8zcАй бұрын
I don't how to express this .. inaniuma saaana wimbo WA marko umauti ulinirudisha duniani oooh my God nikirudi Kenya lazima ntazuri alipozikwa.. am not a member of SDA BUT nyimbo za Marco imenifikisha nilipo sasa
@nancyaletarwa15782 ай бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi 🎉
@Ericana-il7nu2 ай бұрын
Kipenz cha wengi tutakukumbuka
@MelinaBintanye2 ай бұрын
Poleni, familia Mungu akawe faraja kwenuu kwa kipindi hichi kigumuu
@ChristinaKihaga-b2zАй бұрын
Poleni familia
@AttuAugusti2 ай бұрын
Poleni sana Munguakawe faraja yenu
@NaserianAbrahamMollelАй бұрын
Apumzike kwa amani 😭😭 safari yetu sote
@LeahGlory-ju2ci2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu
@lawrence-xk1km2 ай бұрын
Ambacho hamuelewi ni kipi" MTU alioa 2015 ila kufunga ndoa ni 2019
@HadirialssaShund2 ай бұрын
Vhapo nimeelewa sasa
@PaulyneOgolla2 ай бұрын
Ndio hapo sasa love your explanation 🎉
@AthumanMshaghasho2 ай бұрын
Wew ndo huna elewa kuoa ni 2019 sasa hiyo 2015 umeitoa wapi siwezi kukuelewa hata ila tambua kuna kuzaa kabla ya ndoa na kuna kuendelea kuzaa baada ya ndoa na ndo maana tukapata watoto 4 kwa miaka 5 maana wapo Marco alibariki ndoa ila watoto walikuwepo yey aliwaongezea tu na nisije on a mtu anahoji tena kuhusu hilo Mimi ni muislamu ila nimeelewa sembuse nyie poleni sana familia ya Marco na hongera sana msoma wosia umetumia tafsda kubwa mno mungu akubariki
@PauloDaudi-z4p2 ай бұрын
Mung akupe mwisho mwema aminaaa
@gudanemma1459Ай бұрын
Wenda ajakosea watt wengine uzaliwa kabla ya ndoA mana 2019 to 2024 watt 4 nijambo aliwezekani
@JennyMathias-k1m2 ай бұрын
Mwenyez mung awatiee mwoyo wa uvumiliv katika kipind iki kigumu akawe baba wa watoto wake na mme wa mke wakeee awasimamiee
@carolineongeri11542 ай бұрын
Alijaribu
@Esters-zr6nl2 ай бұрын
Poleni sana wafiwa wote mungu awatie nguvu katika kipinfi iki kigumu
@margaretavisa76742 ай бұрын
Pole Kwa familia
@VailertJila2 ай бұрын
Polen Sana Wana family mungu awatie nguvu
@ZawadiSeso2 ай бұрын
Poleni sanaa jamani njia yetu nimoja tutakutana katika maisha mengine poleh kwa familia ndugu rafiki na jamaa
@MaryRobert-c8j2 ай бұрын
jaman Mungu umemchukua kijana mdgo sana inaumasana
@JoyceJoel-y3lАй бұрын
Kwenye huo wasifu haujakaa sawa hapo yamkin mlikosea 2019 mpk 2024 mtu anawatt wanne duuh
@mwanaisha17032 ай бұрын
Poleni sana Mungu awatie nguvu
@DativaDonatus-wo3nf2 ай бұрын
Jaman watu hamuelewi nini inamaana alizaa kabla ya ndoa akafunga ndoa huo mwaka 2019
@ErizabethNdagamsu2 ай бұрын
R I p kaka maiko Mungu ilaze Rohit y'ako mahali pena peponi😭😭😭😭
@FedrickShadrack2 ай бұрын
Polen sana wana ndug na jamaa na rafiki msiba huu ni wetu sote
@mussakashinje9652 ай бұрын
Alibalik
@EliudPhenias2 ай бұрын
Pole sana
@VumiliaMusa2 ай бұрын
Umekosea wasfu Alus 2019 apo apo watoto wanne ivi inawezekana
@bethuelmwangi31392 ай бұрын
lažima kuna makosa
@LabaniAkyoo2 ай бұрын
Hata Mimi nimeshangaa, au ni mapacha
@jaelokeke48352 ай бұрын
Walioana 2015, Kisha ndoa ikahalalishwa 2019
@MaryMachibya2 ай бұрын
Itakuwa walipata watot kabla ya ndoa
@AdmiringJumpingSpider-jb3xqАй бұрын
Kuna interview yake alihojiwa alisema alioa mwaka 2015 so hyo 2019 nadhani ni kubariki ndoa tu so kwa miaka 9-10 kwa watoto 4 sio mbaya
@terminal_tz2 ай бұрын
Sio Tu Kwa Marco lakn ..Kuna haja wasifu wa marehemu uandaliwe Kwa umakini na Ufasaha wa lugha husika ... imagine kwenye msiba wako msomaji wa wasifu ana kosea kosea...😢😢😢
@evalinemchomvu87732 ай бұрын
Da!!hata mimi sijaelewa hapo.
@abaskinyamagoha31512 ай бұрын
Poleni. Wafiwa mungu awatie nguvu wafiwa tukumbuke sisi niwasafili makao yetu nimbinguni ko tujiweke tayari Kila wakati kwa mungu
@Magreth-y8w2 ай бұрын
Apumzike kwa amani, Ameeeen
@asteriashios18522 ай бұрын
Mdogo sana huyo kijana
@MeryRaphaeli2 ай бұрын
Mimi pia nime umia sana mungu akupunguzie azabu ya kaburii
@jakobonoha7666Ай бұрын
Watu wanashangaa wakati hawajui mtu alianza kuzaa bila kufunga ndoa
@hildapenina93902 ай бұрын
Mungu awakuze watoto wake jaman ampe mkeo nguvu
@violetteniyongabire3859Ай бұрын
😢😢😢
@michaelsembiu53002 ай бұрын
Anaweza kua alibahatika kupata watoto mapacha mara mbili shida iko wapi?
@MoshiBenjamin2 ай бұрын
Pole xana wanafamilia
@pachasproduction2 ай бұрын
yupo sahihi coz ametumia wakati uliopita ..amesema marehemu Marco alisoma......hajasema marehemu Marco amesoma
@alphagroup94772 ай бұрын
Nilichogundua huyu kaka Alistair na mkew kabla hajafunga ndoa
@SimonPaulo-e7y2 ай бұрын
Jamani amaze mahara pema
@otienojulie-r2hАй бұрын
So sad!
@Igomalameck2 ай бұрын
Polen sana hasa make wake
@OliverPaulo-r9h2 ай бұрын
kikubwa ana watoto wanne kuhusu kuzaliwa kwa watoto kila mtoto itajulikana siku kama ya leo ya baba yao mengine familia inajua sio kila kitu cha familia mkijue
@terminal_tz2 ай бұрын
Rip Brother Marco
@MariaMagele2 ай бұрын
Duh tumezaliwa mwaka mmoja
@AzizaAdamu2 ай бұрын
Mbona mambo mengi mara kakosea mashalt mara moyo
@Ericana-il7nu2 ай бұрын
Dah.amekufa akiwa mdg saana jmn
@CleophusOnuko2 ай бұрын
Rectify your self papa before you came to the mourners
@AnithaMbuya2 ай бұрын
R I P my friend ❤
@stellachepkosgei87502 ай бұрын
Watanzania eulogy yenu tofauti sana yani hamuuzishi familia kama wazazi,mandugu weeh this one is kinda wreid, anyway rest easy brother 😢
@lydiamichael55092 ай бұрын
Niuchungu muno..poleni sana kwa yote
@Eliasmasanja-d4m2 ай бұрын
Poleni sana
@AgnessSemedal2 ай бұрын
Poleni sana Wana kahama
@SophiaChayeka2 ай бұрын
Jamani mchepuko umesahaulika
@olivambenja2 ай бұрын
Mchepuko lazima asahaulike maana alifichwa kama bangi😂
@machachehardware5975Ай бұрын
😅@@olivambenja
@barakamnazareti57452 ай бұрын
Alikua ashajipata ata akipumzika ametendea haki cku za uhai wake
@LatifaMatayo-sz2cb2 ай бұрын
Kabisaa
@ElitrudaKiwale-ux8je2 ай бұрын
Msiba usikie kwa mwenzio kwaiyo kama kashajipat amjui ana watt wadog Bado walikua wanaitaji malezi ya baba na mama chakula Cha msiba ni kitamu ikiwa msiba sio wako
@tabithakaji26352 ай бұрын
Mwendo umeumaliza pumzika kwa amani kaka
@TedyJackson2 ай бұрын
wenda kila mwanak ana zaa😢😢
@Emmyayo-z9s2 ай бұрын
Daaaah pole cn,mke wa Marco
@SalomeKija2 ай бұрын
Rest in peace 🕊️😢
@AgnessWasha2 ай бұрын
Ingien youtube andika mafundisho ya mwalimu wa neno la MUNGU Grace anafundisha sana roho ya mauti na uharibifu
@cyruskirui26642 ай бұрын
Rip Marcos
@CatherineAwinja-lz4bf2 ай бұрын
Atakama nikuzaa mapema kuna error hapo kwa ndoa
@NeemaMei2 ай бұрын
Mmmh. Watoto wanne lini na lini jaman mbona sielewi
@edsonnelson44642 ай бұрын
Unajuaje pengine wamezaa mapach
@JacklinSwai2 ай бұрын
Kwani kuna watoto wengine walizaa kabla ya ndoa, maana 2019-2024watoto 4?mh.
@jaelokeke48352 ай бұрын
Waliona 2015 then wakahalalisha ndoa kirasmi 2019, hope umenielewa
Haya kuhusu ya kuzaa kila muda gani the hayo si maomboleze.
@faidhamyovela1792 ай бұрын
Dah kumbe wa 1992 mzee mwenzangu😢😢😢😢
@mwajabually53212 ай бұрын
mdgo sana
@witnessmallya51142 ай бұрын
Ndo alikuwa anauanza ujana, makini, dah😢
@PatriciaYohana-q8g2 ай бұрын
Mamb mengine nisiri ya familia habar ya watoto hayawahusi
@Yuzzomziwanda2 ай бұрын
Alikua na madem wengi
@dorcasmogiti15542 ай бұрын
Huo wasifu awajataja wazazi, kaka au dada
@restutacostantine502 ай бұрын
Ni wasifu waarehemu sio wa familia
@williamkavuta80662 ай бұрын
Haya mambo ya madini sije wakawa...mdomo koma
@AndrewAbuga-d1s2 ай бұрын
RIP MARCO 😢😢😢
@witnessmallya51142 ай бұрын
Amezaliwa 1992, amefunga ndoa 2019, na sasa ana watoto wanne, Yaani kila mwaka walikuwa anabarikiwa mtoto, na cha ajabu watoto ni wakubwa !😮 kwakweli ameviPiga vita, Mungu ampumzishe salama!
@user-vi5zj7yi1d2 ай бұрын
@@witnessmallya5114 maybe alizaa na dada yule then wakafunga ndoa baadae n hapo naona alifunga ndoa rasmi akiwa na watoto 2 hao wawili amewapata baada ya ndoa takatifu
@eng.lazarongoro2 ай бұрын
kufunga ndoa na kuzaa ni vitu viwili tofauti
@JennyMathias-k1m2 ай бұрын
Ni maumivu makali sana 😢 😅
@GwakisaMwasemele2 ай бұрын
Jaman au msoma wasifu amekosea? Et ameoa 2019 na Sasa ni 2024 na ameacha watoto wanne kwahiyo alikuwa anazaa Kila mwaka? Sijaelewa
@irenemnzava44462 ай бұрын
Inawezekan alianza kuzaa kwanza halafu huo mwak ndo wakafunga ndoa
@AnordKirizestom2 ай бұрын
Je kama ana mapacha
@UPENDOMMAKASA2 ай бұрын
Inawezekana kabisaaa watoto umewaona wanalivyofuatana kama mapacha,hasa kuna wawili nimehis mapacha labda
@FranksonMkumbwa-mb3pp2 ай бұрын
Duuh!! Alioa kwanza labda ndo akafunga
@MoureenKerubo-f5t2 ай бұрын
Ata Mimi nimeshidua kwani kila mwaka bibi alikua na mimba ama vpi🥺🥺🥺🥺
@SuzanPeter-gk5qm2 ай бұрын
Anawezekana sioa akiwa ameshazaa nae mtoto mmoja au wawili
@bluebirdlogisticsco.limite34152 ай бұрын
Rest in peace Marco😢
@broka_genius36152 ай бұрын
Km hamuwez kurusha live muwe mnaacha
@VumiliaMusa2 ай бұрын
Efumbili na kumi na sit amefunga ndoa da miaka nane ya nda watoto wanne he