The Dark: PASCAL KASSIAN WA BSS: NIMEPONA ILA NIMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME, MKE WANGU AMEVUMILIA ILA...

  Рет қаралды 105,822

Bongo5

Bongo5

4 жыл бұрын

#TheDarkNaBongo5 #bongo5updates Mshindi wa BSS mwaka 2009, Pascal Kassian amefunguka mazito ikiwa ni mwaka mmoja toka arudi Dar Es Salaam akitokea India kwaajili ya matibabu baada ya kupata ajali ya gari .
Gharama hiyo ya matibabu iligharamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda baada ya kukaa muda mrefu bila msaada.
Akizungumza na BongoTV wiki hii, Pascal amesema anamshukuru Mungu amepona kabisa ingawa nguvu zake za kiume zimeshindwa kurudi hivyo anashindwa kumpatia haki mke wake wa ndoa.
Amesema hali hiyo amejaribu kujitibu toka mwaka jana lakini bado mambo hayajakaa vizuri huku akimwagia sifa mke wake kwa kumvumilia katika kipindi hicho chote.

Пікірлер: 237
@PetroBahatikuder
@PetroBahatikuder Ай бұрын
Ndugu Pascal, mimi ni Professor n'a Mhubiri wa Injili yenye kuokowa mioyo zilizo tekwa nyara n'a yule adui wa Kitu cha ENZI cha BABA aliye mbinguni. nimepitiya kiwango cha kukatwa mguu n'a Pia baadaye sukari ilipanda saana Ila kwa Leo yote imepona ki miujiza. Nilipotezaka pekeka ripoti kwa madaktari walushangaa. Luke 2:37. Hakuna kinacho shindikana kwa Mungu. Uponyaji wako iko kwa mda wa Mungu, JHVH RAPHA. Asante!
@gregorymutuku2811
@gregorymutuku2811 2 жыл бұрын
Pole sana brother,yote yanawezekana...ikiwa MUNGU anaweza fufua mtu aliye kufa hata Hali yako itakua sawa katika JINA la Yesu...nakutia moyo sana utakua sawa....yote yanawezekana....it shall be well!!!
@japheetz
@japheetz 3 жыл бұрын
Huyu atakuwa mchungaji wa kweli kabsa na atapona ata hilo tatzo la nguvu za kiume n mitihani tu ya mungu atamponya na hilo..ata ayubu alipitia mitihan mizito
@anasagjkg
@anasagjkg Жыл бұрын
✊🙏🙏👍✊👌
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 Жыл бұрын
Mchungaji ni wito toka kwa Mungu natizo sio kipimo chakuwa mkweli
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 Жыл бұрын
@@pastormalitiushuhuda9965 acha chuki wewe
@victoreiibariki7031
@victoreiibariki7031 4 жыл бұрын
Hilo ni jaribu tuu, endelea kuomba na kusubiri wakati wa Mungu sitarudi zenyewe.
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Makonda Mungu Akubariki ulijitoa kwa kila husda za watu namna kumpigania huyu mchungaji . mashallah 🥰🥰 mchungaji na pia Makonda Mungu akuepuxhe na
@geraldmhagama1055
@geraldmhagama1055 3 жыл бұрын
Makonda umexaidia weng una moto was huruma tutakukumbuka milele ulijitoa kumxaidia mtumixh wa mungu mh.makonda mungu akubarik Na akulinde
@nuruluther9879
@nuruluther9879 4 жыл бұрын
Pole sana ndugu mwenyezi Mungu bado anatenda kwako.
@queenmeddy2315
@queenmeddy2315 3 жыл бұрын
Mungu wa ajabu saaaana kwel anatenda duuuu Ee Mungu unastahili sifa Nmefurahi sana uko hv sahv!sikuona Asante Mungu muumba wa vyote
@zawaditito5111
@zawaditito5111 4 жыл бұрын
Pole sana Pasco umepitia changamoto kubwa zaidi ya hiyo Mungu azidi kumpa ustahmilivu mkeo
@jimmypeter2775
@jimmypeter2775 2 жыл бұрын
Pole sana mtumishi paschal hili ni jaribu hakika litapita nalo! Nakupongeza kwa ujasili uliokuwa nao na ni mkweli! Truth will make free! Mungu yupo utapona tuu!
@hustlertv1683
@hustlertv1683 4 жыл бұрын
Mtangazaji nyoa nywele ama uzichane,professionality
@official__rhoda8287
@official__rhoda8287 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@iddykasiaga2464
@iddykasiaga2464 3 жыл бұрын
Ahahaaaa
@amockkalinga1520
@amockkalinga1520 2 жыл бұрын
Brian umenifanya niongeze siku za kuishi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃👏🙏
@obedwesley4555
@obedwesley4555 3 жыл бұрын
Vraiment c'est un artiste que j'aime beaucoup , merci a Dieu pour ta guérison.
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
Notre Dieu est merveilleux à celui qui croit à son Nom Jésus christ
@christerkilamlilo7013
@christerkilamlilo7013 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu Pascal. Mungu awafunge mkanda familia yenu mnayopitia ni magumu
@evamringo2331
@evamringo2331 3 жыл бұрын
Pole sana .. kamwone Suguye matembele ya pili .. kwa jina la Yesu utapona tu..amina
@esperancemariam4425
@esperancemariam4425 2 жыл бұрын
Pole sana kaka yangu Mungu aliyekuponya atakusaidiya tu uwe na Imani tu utakuwa sawa nakutakiya uponyaji.
@christianchando7041
@christianchando7041 2 жыл бұрын
Kaka Kassiani Hongera sana, umefanya vizuri kuweka wazi jambo hilo, SASA UMEKUWA HURU KABISA, Kiukweli hata mm nisingweza kulitangaza hilo, Ila ww hapo umetatua taitizo ingawa kwa nje linaonekana kama bado lipo,. Pili hata kama Bwana hatakuponya, bado ni kwaajili ya utukufu wake, hata kama mke atakuacha, bado itakua ni kwaajili ya utukufu wa Bwana. MUNGU AKUBARIKI SANA
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 3 жыл бұрын
Jaman barikiwa mno mtumishi !! Mwenyez mungu aww nawe daima
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 жыл бұрын
Pole sana na mshukuru mungu kwa kila jambo
@magdalenadotto8663
@magdalenadotto8663 3 жыл бұрын
mungu nimwema nimefulahi sana kukuona umesimama
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
I see nyuma ya tatizo, Mungu yupo atafanya yote kuwepo uimara zaidi,na pia hapo Makonda naye hayuko mbali hongera zake🙏
@esthermusyoka1256
@esthermusyoka1256 2 жыл бұрын
May the Almighty God heal you from that problem. Receive healing in Jesus name.
@stevenwoiso3211
@stevenwoiso3211 4 жыл бұрын
mungu ni baba haki sikujua kama utakwepo asante mungu kwajili yamtumishi wako
@mussasimon7670
@mussasimon7670 Жыл бұрын
Pole Sana kakangu Mungu atakuponya,,kumbe wimbo utakufa unajiona uliimba ulikuwa unaumwa kweli,da
@abinelelias9260
@abinelelias9260 2 жыл бұрын
Amina Sana Mungu mwaminifu utapona kak yangu kwajina la Yesu 🙏🙏
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Pole sana Kaka. Mungu akusaidie.
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 жыл бұрын
cha kuomba ni mkeo awe na uvumilivu tu mengine ni majaaliwa kwani mwenyezi mungu ameshakujaalia watoto.
@annuherman1878
@annuherman1878 Жыл бұрын
Mungu akuponye kwa Jina la Yesu,Mungu akutete upone
@ameniameni617
@ameniameni617 3 жыл бұрын
Nguvu za kiume sio tatizo kikubwa umepona mke atavumilia kama alivyovumilia mwanzo usiogope endelea kuomba Mungu mapenzi weka pembeni
@suzannemugozi8408
@suzannemugozi8408 2 жыл бұрын
Amen
@evimanmmbogo5332
@evimanmmbogo5332 4 жыл бұрын
Kwa mwanadamu haiwezekani LAKINI KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA, Ushauri wangu kwako kaka Pascal ni kwamba Mimi nakutaka ungejitahidi sana sasa hivi kuelekeza jitihada zako katika kumtumikia Mungu na nina uhakika Mungu atakuponya ukiona jambo liko nje ya uwezo wako na wanadamu hilo jambo liko ndani ya uwezo wa Mungu fika mahali utambue sasa uweza wa Mungu. Katika yote tunamshukuru Mungu kwa ajili yako, nakumbuka siku Mungu amenipa mzigo wa kuwaombea wewe na Rose Muhando na ni ushuhuda kuona mko hai na mnaendelea kueneza injili. Kama madaktari wameshindwa, Mungu hajashindwa, yuko tabibu wa ajabu Yesu Kristo.
@hassankombo4475
@hassankombo4475 4 жыл бұрын
Hakika na ajue ilo ni jaribu na litapita aseme na roho mtakatifu nae atamuonesha njia salama
@elyudsaleh6044
@elyudsaleh6044 3 жыл бұрын
ushauri mzuri, ila usiseme tena MUNGU alikupa mzigo. si sahihi mtumishi.
@prisslakabyemela4891
@prisslakabyemela4891 4 жыл бұрын
Jaman hongera Sana Mungu azidi kukutunza azidi
@raymanfungo3849
@raymanfungo3849 3 жыл бұрын
Baba...bless my brother
@sarakusatz3224
@sarakusatz3224 3 жыл бұрын
Pole Sana Kaka yngu
@rosemarymwingira5174
@rosemarymwingira5174 3 жыл бұрын
Pole sana Mungu akuponye
@paulojoseph8876
@paulojoseph8876 3 жыл бұрын
Mtumishi pascal mungu atarejesha kila kilicho potea ndani yamwili wako tena kwaviwango vyaaajuu kumbuka ayubu alipoteza kila kitu adiwatoto wake wapekee lkn wakati wamungu ulivyofika alilejeshewa vyote kwakipimo chakujaaa kwako pia itakua ivyoivyo mtumishi
@noelaoliva1638
@noelaoliva1638 3 жыл бұрын
Pole sana kaka mshukru mungu kwa uzima wako kua hai kwan aliskia kilio chako kaka mkeo kama aliweza kukuvumilia pindi unaumwa atkuvumlia pia tu shikamaneni mpeleke injili mbele yasimulie matndo ya mungu hata hizo nguvu za kiume zitarudi tu maan ulipo vushwa na mungu nipakubwa mno mno uliteseka sana kwa mungu yote yanaezekana kaka na pole sana
@stellamushi5306
@stellamushi5306 2 жыл бұрын
Songa mbele mtumishi wa Mungu,Mungu aonae sirini yu mwema Kila wakati.
@lucyisack2110
@lucyisack2110 2 жыл бұрын
Pole Sana Mungu mwema,nakukubari sana
@offcialfadhily4582
@offcialfadhily4582 4 жыл бұрын
Mungu akuponye 🙏
@MeshackDaniely
@MeshackDaniely Ай бұрын
Akuponye ukawe mzma kwajina layesu mungu mungu mungu mungu aishie milele akuponye kwajina layesu yesu yesu yesuuuuuuu mungu akubaliki sanaaaaaaaaaaaaaa 🙏🙏🙏 akulinde
@hulumamtambo6543
@hulumamtambo6543 3 жыл бұрын
Mungu akumbuke
@mravant7960
@mravant7960 3 жыл бұрын
Pole sana bro
@luckyhardson18
@luckyhardson18 Жыл бұрын
God bless you kaka.
@Saidi1581
@Saidi1581 Жыл бұрын
mungu akubariki sana mtumishi wa mungu utapona tu🙏🙏
@samsonsaimon7351
@samsonsaimon7351 4 жыл бұрын
Pole Sana bro
@nsoksjsjsjdn5288
@nsoksjsjsjdn5288 3 жыл бұрын
Ameeeeen.Ameeen..E.Mungu.pewa.sifa..baba.usifemoyo..Ariye.kuokowa..ataponya.nahiro tatizo.usikatitama🇧🇮🇸🇦
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 3 жыл бұрын
Kaka Mungu ALIYE kuponya ata kurejeshea Nguvu za kiume Mtegemee Mungu utapona tu
@allentindya5144
@allentindya5144 4 жыл бұрын
Huyu hataki mambo ya kona kona Anaongea kama mwanaume
@erickmeshac3135
@erickmeshac3135 2 жыл бұрын
I hate poverty, unaweza kuwa mzima na afya njema lakini ukose pesa,shida kama hiyo iliyomkuta ndugu yetu ikikujia,Bila muujiza wa Mungu unakufa,Jamani Mungu Tubariki
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Atapona bila shids
@geraldkishenyi5786
@geraldkishenyi5786 4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu apa,,😢😢😢😢
@kizandume3015
@kizandume3015 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Tena Sana amen
@frankeliakim2267
@frankeliakim2267 4 жыл бұрын
Maisha ndivyo yalivyo kaka Mushike Mungu
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Mungu anaweza na hata hilo munguhawezi shindwa usiumie na hilo kila jambo lina kusudi lake usiwaze ndugu mshukulu mungu kwa kila jambo liko kusudi
@philipmahava7168
@philipmahava7168 2 жыл бұрын
Pole sana bro tunakupenda sana
@jeanbosco7866
@jeanbosco7866 3 жыл бұрын
Mungu amsaidie kweli
@modesterdaniel2802
@modesterdaniel2802 3 жыл бұрын
Pole sana mtumishi
@cyprianojiambo8670
@cyprianojiambo8670 11 ай бұрын
Pole Sana mtumishi wa mungu Kasiani
@boredman9895
@boredman9895 2 жыл бұрын
Kama Kuna watu ambao wanapaswa pewa musaada nakuitaji nika huu kaka,acha mungu aitwe Mungu 😭🙏
@sandrasanga9884
@sandrasanga9884 Жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu alie ziumba mbingu na nchi akuponye pole kaka
@AnneCherotich-gj9eg
@AnneCherotich-gj9eg Жыл бұрын
Shetani hana lake katika maisha ya mpakwa mafuta wake Mungu.Simama imara mchungaji kuitetea injili yake Bwana Yesu yeye ambaye amekuhifadhi ufike leo hii na kukurejeshea afya yako iliyoteswa na ibilisi shetani. -Sifa na shangwe ni zake Mwenyezi Mungu amina.
@ImeldaMyinga
@ImeldaMyinga 27 күн бұрын
Pole sana kaka
@brandinakizito3541
@brandinakizito3541 4 жыл бұрын
Amini Mungu atenda iro nijambo dogoo mbere ya Mungu atatenda
@kimandoluArusha
@kimandoluArusha 3 жыл бұрын
Isaya 57:15 Mungu aishiye juu sana,akaaye juu yeye ni juu ya vyote hakuna jambo lililoko juu yake,yeye anataka unyenyekevu tu,kufumba na kufumbua tatizo lako litaondoka
@nangachristelle4005
@nangachristelle4005 3 жыл бұрын
Amen
@ruthkhalayi5097
@ruthkhalayi5097 3 жыл бұрын
Asante kwa mungu watoto unao, Cassian utapona
@pendongaselevaha6912
@pendongaselevaha6912 3 жыл бұрын
Pole mtumishi wewe nimshindi mungu atazidi kukusimamia mtumishi wa bwana
@hawwahawwa9590
@hawwahawwa9590 3 жыл бұрын
Daah pole Kaka ilaa mungu mkubwaa ww ni mkwerii ase
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 5 ай бұрын
Mtumishi Mungu atakusaidia kama vile anawasaidia wengine.
@dativadaud4300
@dativadaud4300 2 жыл бұрын
Asante Mungu,sikujua kama utakuwa hivyo
@letisiabaritazari7606
@letisiabaritazari7606 Ай бұрын
Pole kaka mungu ataupa nguvu
@sophiajonas8618
@sophiajonas8618 3 жыл бұрын
Mungu atakuponya
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 жыл бұрын
Mungu Ni mwema Kaka hata Hilo utapona in Jesus name
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 3 жыл бұрын
Amen kubwa
@trizandanyi1763
@trizandanyi1763 3 жыл бұрын
Mwanaume aliye ngojeka kwa miaka 38 yesu alimponya,mwanamke aliye vuja damu kwa miaka 12 pia alipona sebuse wewe,mtumainie mungu kaka
@georgiaruhinda1704
@georgiaruhinda1704 Жыл бұрын
Bwana Yesu atakuponya,mbona unanikwamidha kidogo tena mtumishi wa Mungu!!!!!?,kwa Yesu hakuna kinachoshindikana, bwana Yesu anakwemda kukuponya, na make wako aombe Mungu anatenda muujiza mingi.
@ruthkhalayi5097
@ruthkhalayi5097 3 жыл бұрын
Wacha mungu aitwe mungu ushuuda unaonekana, ayo mengine tumwachie mungu kumbuka kwenye mungu amekutoa, nguvu zote zitarudishwa kwa jina la yesu chrsto
@charleskitaya7707
@charleskitaya7707 Жыл бұрын
Pascall usiogope BWANA YESU Amekupa nafasi ya kusema ukweli sema yaani ukweli unavurugwa sasa. Nampenda sana YESU bado anayo mabaki wasio piga goti kwa wachafuzi wa Injili.Yote na yote tunaye MUNGU Asiyeshindwa na lolote
@stanleymugisha1631
@stanleymugisha1631 4 жыл бұрын
Pole Sana kaka Cassian Mungu ni mwema na naona uko powa sana
@sophiajonas8618
@sophiajonas8618 3 жыл бұрын
Ila Mungu amekutoa mbali sanaaaaaa ana makusudi na wewe
@annangajilo2624
@annangajilo2624 2 жыл бұрын
Mungu atakuponye .kwani ni Nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi kutenda mema muishie Mungu Kaka utaponaa kwa damu ya Yesu
@frankbenandi8764
@frankbenandi8764 2 жыл бұрын
kaka hakika we unanguvu sanaaaa mungu namuona kupitia wew💪💪💪💪💪💪💪💪
@kyusa7002
@kyusa7002 Жыл бұрын
Mungu atakuponya mtumishi
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 жыл бұрын
Msimlaumu kulitoa nje ujue bora aweke wazi maana kuna leo na Kesho yakaja kutokea mengine mkaja kumuona ana makosa na msema kweli ni mpenzi wa mungu pole Kaka yangu mungu yupo pamoja na ww kwa kila hatua
@hassankombo4475
@hassankombo4475 4 жыл бұрын
Hakika
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
Kweli
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@blessmatuidi2237
@blessmatuidi2237 3 жыл бұрын
Mungu ni mukubwa
@peterndeti261
@peterndeti261 4 ай бұрын
Pole, ndugu, but Mungu huumba tena amini tu.Nimemuona akiponya.
@mwola
@mwola 2 жыл бұрын
Mungu ni Mwema.
@protasdmassawe
@protasdmassawe Жыл бұрын
Amen
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 2 жыл бұрын
Mungu siyo mwanadamu, Mkubwa kuliko tatizo lolote usiogope Br .Pascal
@immahkisuke1564
@immahkisuke1564 Ай бұрын
Hilo ni darasa lako,,,utapona mara utakapo maliza shule yko Mungu akupe nguvu za uvumilifu
@georgiaruhinda1704
@georgiaruhinda1704 Жыл бұрын
Kumbuka madaktari walikutibu,Bali mponyaji ni Yesu peke yake,Amen.
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 4 жыл бұрын
Daa mungu mwema
@levidavid1156
@levidavid1156 2 жыл бұрын
pascal casiani umeeiinua. sanaa Imani yangu ndugu yangu hakika MUNGUatakuponya Hilo tatizo
@bryanfelix3771
@bryanfelix3771 4 жыл бұрын
Mungu atakuponya usikate tamaa hilo nijalibu la imani ya ndoa
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 2 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu mtumishi
@ladyshakiletti7889
@ladyshakiletti7889 Жыл бұрын
God wil heal you completely in Jesus name
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 2 жыл бұрын
Mwamini Mung, yote yanawezekana, mathayo 19:25
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 3 жыл бұрын
Vita kati ya mbingu na kuzimu ila najua neno moja Yesu akasema nitalijenga kanisa juu ya mwamba wa Imani hata milango ya kuzimu haitalishinda vita si yako rafiki yangu
@pakapakatuondoke6785
@pakapakatuondoke6785 3 жыл бұрын
Jamaniiiiii mmmmmh nakuonea huruma paskari sasa utafanyaje tendo la ndoa jamaniiii mmmm nauzuni
@Presleeneneneslo
@Presleeneneneslo 4 ай бұрын
Amen Amen 🙏
@priscajoseph261
@priscajoseph261 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana halika unauelewa sn
@petrokamoza2090
@petrokamoza2090 3 жыл бұрын
siyo sawa kusema siri yenu ya ndani na mm nimeona kama mke ndo kidogo anaweza kusumbuliwa kisaikoloje kutokaana kua watu wamejua hali ya mume siasema atamsaliti hilo halipo kwa mwanamke anaemjuwa mungu hawezi ila kaka angu kakosea kuliweka wazi hili ambo ila mtenda miujiza yupo utapona
@mauriceogoma9591
@mauriceogoma9591 2 жыл бұрын
Bwana Cassiani, nakushauri kwamba tafuta madhabao ya Mungu yenye nguvu alafu toa SACRIFICE utapona. Kama unaweza kuja Kenya tafuta pastor Ezekiel wa kanisa la new life iko mombasa, hakika utapata usaidizi. Ama wakati atakapo kuja Tanzania kwa crusade fanya bidii ufike. Mungu unaye mtumikia ni mwaminifu . Hiyo ni vita ya madhabao, kwa hakika ukifuata maagizo yangu utasaidika.
@eriminamathew6333
@eriminamathew6333 2 жыл бұрын
Kabisa dadangu
@janemwangi1288
@janemwangi1288 26 күн бұрын
​@@eriminamathew6333Ezekiel in wa mashetani
@donardmsomi8451
@donardmsomi8451 3 жыл бұрын
Aiseee hiyo ni kweli
PASCHAL CASSIAN  AKIWA MDONGO BONGO STA SEACHI. MSHINDI WA  BSS 20009  ,)MADAM LITA AJIPE MOYO
9:11
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 89 МЛН
PASCHAL AMLILIA MWESHIMWA RAISI AMESHIMDWA KUVUMILIA MOYO UNAUMA
25:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 48 М.
УЙЛАНМАГАН БОЛАР ОГОХ БУЛИНГ БУНИ КУРИМ #трент #тренды
0:13
ОНЛАЙН ТИК ТОК БАТИЛ
Рет қаралды 1,9 МЛН
Они так быстро убрались!
1:00
Аришнев
Рет қаралды 2 МЛН
Neden yüzünü saklıyor
0:19
H. DANIŞIK
Рет қаралды 32 МЛН
小丑的猫咪摇太可爱了!#天使#小丑#家庭#搞笑
0:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 10 МЛН