WATALII KUPIGWA NYUNGU ZANZIBAR

  Рет қаралды 8,845

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Shukran bi siti
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 4 жыл бұрын
😭😭😭aina ya hicho kitama ni rafiki kweli kwa muili wa bin adam!
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Msiache kutumia dawa za kifua
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Mashaaa Allah
@issahajiday4398
@issahajiday4398 4 жыл бұрын
Na herbs...(bangi )pia ina faa sana tu.....tukichanganya na vivumbasi mpaka yale majini ya kutumwa kwisha
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
mtapigwa nyungu nyie baadaye wakisha tuenezea maradhi kama mna njaa ya pesa zisizokwisha tungojeni matokeo
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
😢😮
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 жыл бұрын
Hodi zinjibar 🚶‍♀️🚶‍♀️na mimi nataka nije nipige hiyo nyungu Inshaallah
@helenemasanja8162
@helenemasanja8162 4 жыл бұрын
Karibu sana namba zetu 0784313009 0712124041 na 0657043312
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 жыл бұрын
@@helenemasanja8162 👍Inshaallah
@alakhyhajjbinhassan4496
@alakhyhajjbinhassan4496 4 жыл бұрын
Nyunguuuuuu ya Saloum Kaka kutoka Shifaa Herbalist Clinic 🤣🤣🤣
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Baada ya Corona ni TB watu watakohowa kuliko ng'ombe dume mwenye kuuga🤣🤣🤣
@hajrabalushy5461
@hajrabalushy5461 4 жыл бұрын
Nzuri sana lakin kinasafishwa vipi? Je kama mtu ana covid19 akaingia umo akaacha infection mwengne hatopata??au ayo mifuko ya juu ni disposal??
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 4 жыл бұрын
Sasa watalii wakiteremka ndege mtawapiga nyungu lakini mtapiga wangapi
@fatmakhatib8444
@fatmakhatib8444 4 жыл бұрын
PIGA NYUNGU,MALIMAO,TANGAWIZI😂
@corrolesscps
@corrolesscps 4 жыл бұрын
Fatma Khatib Mambo ya Bara Haya, Naona nyungu Sasa mpka zanzibar
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 4 жыл бұрын
Pigeni nyungu mkimaliza mtapiga nyungo, mikafiri Ina MARADHI kiasi cha kufikia kufa kwa siku watu 1000, wakishatumaliza mutaiona nyungu, nyungu za kuchemshia maji ya kuoshea maiti.... POLITICIZED
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 4 жыл бұрын
Zinjibar tv tunaipenda lakini mnabezi kwenye siasa hasa za upande wa chama kimoja cha mapinduzi tunawaangalia tu huko tunakoelekea mtakuja kutukosa wapenzi na watizamaji wenu, sidhani kama ipo haja ya hii channel kutoa habari za kisiasa mie nahisi mngebazi sana kwenye habari za kijamii tu siasa mkaziachia channel nyengine. Kumbukeni ya kwamba wazanzibar waliowengi ni wapinzani mkubali mkatae na hata sisi tulio nje ya Tanzania 🇹🇿 ni wapinzani kama mnataka kutoa habari za kisiasa basi toeni za vyama vyote nasio kusifu chama cha mapinduzi tu ilhali hii channel inafatiliwa na watu wa kila chama, na kwa nini mtoe habari za siasa? Mambo ya dini tu yanatutosha pamoja na habari za kijamii siolazima muchanganye mtakuja kutukosa mshangae
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 4 жыл бұрын
Pongezi zenu kwa nyungu ya kisasa
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 жыл бұрын
Mashaallah iko vizuri mm nikitaka kujifukiza natoka nje robosa nyingi nishajikaanga na mafuta yangu mwenyewe yanitoka mmpaka kwa masikio
@helenemasanja8162
@helenemasanja8162 4 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu
@rayaomar6299
@rayaomar6299 4 жыл бұрын
Ujinga tuu
NDEGE KUBWA KUTOKA ITALIA YAWASILI ZANZIBAR IKIWA NA WATALII 320
2:10
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
ONA WATALII WAKIFURAHIA MAISHA ZANZIBAR BAADA YA CORONA KUISHA
6:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,4 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 621 М.
BI FATMA ISSA AFUNGUKA MAKUBWA DKT MWINYI ATAJWA...
19:26
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 7 М.
Arabic Dialects - Which Arabic dialect to learn?
20:46
Muhammad Al Andalusi
Рет қаралды 437 М.
Language Review: Arabic
21:44
Language Simp
Рет қаралды 457 М.
Episode 01 ☪️ In tha name of Allah 💖 #islam #love #ramzan #quran #quotes
48:48
Geethamma & Sarathkrishnan Stories
Рет қаралды 515 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47