my Mom from Tanzania watangoja sana Mungu atakuinua tena kama tai, kama unamkubali Sana Mama yetu, gonga like yako hapa
@evansmkohi38555 жыл бұрын
Watagoja
@christinewambeo8155 жыл бұрын
May God heal you my sister rose
@abalemulibinge59165 жыл бұрын
Kweli watangoja sana .
@renaldamshanga16795 жыл бұрын
Kweli mungu ni mwema sana.usikate tamaaa mwamini mungu
@wonderjohnmalisa30075 жыл бұрын
Kabsaa Mungu akisema amesema
@beckybecky77545 жыл бұрын
Watangoja sana mpaka wa kauke 254 nataka like za empress rose muhando 💞💞💞💞💞💞👏👏👏👏
@phellowmmbunitv60775 жыл бұрын
👏 👏 👏 👏 wakenya tumekubali
@nancywairimu16475 жыл бұрын
tumekubali dadangu 👌👌👌💛💛💛💛
@agneskagendo92005 жыл бұрын
Watangoja sana ,nimebarikiwa
@pendomkami80795 жыл бұрын
Becky Becky 🙏🙏
@beckybecky77545 жыл бұрын
@@pendomkami8079 ameeeen watangoja sana in Jesus name I declare u will shine in Jesus name
@donellarfergus50398 ай бұрын
I just saw this man on Afrimax the state he’s in I pray God answer his prayers love from the Caribbean 🇰🇳🇰🇳🇰🇳🇻🇬
@ejirookotie89997 ай бұрын
Same here life is unpredictable 😢😢😢😢
@baboubelarminoghamboa48715 жыл бұрын
Machozi yamenijaa sana nilipo angalia huu wimbo,yaani nimeiangalia mara 6.....walio pamoja na mimi wagonge like....258
@kipronokigen90045 жыл бұрын
The Lord Almighty God bless you mummy, and fight back your enemies,they have no power over your life in Jesus name, you have been a blessing to many through your songs,
@justerkaregi18925 жыл бұрын
Pole dadaangu nakupeda sana
@aliciahstrongwoman855 жыл бұрын
Ni huzuni sana kumuona mama yetu akiwa kwa hii hali lakini mateso ni ya mda tupu ijakuwa usiku ni mrefu sana.
@mariairene80335 жыл бұрын
Isaih 29:11 mungu anakuwazia mawazo mazuri wala c mabaya. So look 4ward six
@justerkaregi18925 жыл бұрын
+Lucianak mukhwana nikweli umeongea kama wezee kumi wakiwa walevi👍
@lizsharon81395 жыл бұрын
Team Rose nipeni like Kama mnakubali kazi zake😍😍😍,mtangoja Sana
@christineokumuokumu73605 жыл бұрын
Kenya tunakupenda rose,usirudi tanzania tena.
@jjhhkenyammkjnalizegedanik62605 жыл бұрын
I like her songs
@maggykavata94395 жыл бұрын
iluv my siz ROZE.
@kimnyamu72015 жыл бұрын
Watangoja sana watasuburi sana
@ondigombay48805 жыл бұрын
Nice rose
@officialdavid3705 жыл бұрын
Welcome back mum nakupenda mpaka nachanganyikiwa. kama na wewe unampenda mpaka unachanganyikiwa gonga like tuende sawa tz Kenya uganda East Africa kwa ujumla mpoo?
@innocentmboya88615 жыл бұрын
mungu ni mwema ,
@bck81635 жыл бұрын
what a victory what a win by the army of christ we are more than conguerors in christ jesus who died for us and rose on the third day tena morning si mchana ama jioni
@estherdunku82935 жыл бұрын
Ako saw aendelee kutukuza mungu
@bohboh76925 жыл бұрын
👍🤗
@danielmuigai22295 жыл бұрын
Tunapeda yeye sana tukiwa Kenya Nakuru
@lilianwanjiku5603 жыл бұрын
Rose napenda music kutoka nikiwa 15years mum love u big wish one day will met u
@ilambopetermwakande28915 жыл бұрын
Asante sana kwa baba aliye juu mbinguni kwa kukupa maarifa ya utunzi wa nyimbo za injili unabariki watu wengi ajabu.MUNGU akuongezee maarifa . Majaribu hahakosi kuja kwa mwanadamu ALIYE NA DAMU NA NYAMA. LAKINI UJUE MUNGU ATAYAFUNGULIA MILANGO NA MADIRISHS YA KUTOKEA. GOD'S NAME BE GLORIFIED. TEAM ROSE MUHANDO .
@emmyjohn39705 жыл бұрын
Unaoendeza sana Rose..songa mbele Mungu yupo..nakupenda sana sana sanaaaaa....kama nawe wampenda gonga like apa
@rosetenga43335 жыл бұрын
Mungu akubariki sana dada Rose
@phellowmmbunitv60779 ай бұрын
Nampenda sana mimi Rose ubarikiwe mno
@anneanne84765 жыл бұрын
Utavuma tu wapende wasipende Rose wewe ni wa mungu
@norahkimuyu90975 жыл бұрын
Amen and Amen....
@sarahwanjala66015 жыл бұрын
Ukweli kabisa watangoja
@carolinendasala9355 жыл бұрын
Amen
@wenderoserie15385 жыл бұрын
Amen
@festobosco90685 жыл бұрын
wamevakihuni nyimbohazinaupako mana bibilia inasema kuwa mutawatambua kwamatendoyao
@neemaadhiambo65663 жыл бұрын
Uuuuui!watangoja sana,watasubiri saaaana mwisho mtalaaniwa.Neema hadi Nema katia jina la yesu.
@bramwelsituma6375Ай бұрын
Bado kama unasikiliza huu wimbo 2024,team rose muhando.
@mathewlive13725 жыл бұрын
Haleluya, Nafurahi sana kumuona tena Rose, kama nawewe unafurahi gonga like team Rose tujuane.
@mathiaswanyama57255 жыл бұрын
God don't let yourservant to be ashamed for it is written ,Mathias wanyama
@eddisongarama91135 жыл бұрын
Yes
@lavenderjemutai20615 жыл бұрын
Eddison Garama that's true
@iremashirogp26335 жыл бұрын
Mathew Live and we open a serious WhatsApp ya kumwombea na progress yake
@juliuskenga21545 жыл бұрын
Watangoja sana
@beatricewanjiku33775 жыл бұрын
Amen watangoja Sana waone mwisho wetu lakini hawatauona ....... Team Rose mko wapiiii
@dustanyohana40735 жыл бұрын
Beatrice Wanjiku kwako fundi Rose watangoja xn huyo meneja mkundu wa bibi ake mzaa baba ake
@marieterngwili81025 жыл бұрын
Tupo
@marieterngwili81025 жыл бұрын
Watagonja sana
@virginiakuria94305 жыл бұрын
Rose alienda wapi
@user-iw6ft7ob9y8 ай бұрын
MAY THE LORD REMEMBER THIS WORDS IN THIS SONG AND HEAL YOU JOSE DRAMA
@Janengigy2547 ай бұрын
God will heal him in Jesus name
@liliandavid7163 Жыл бұрын
My favorite Rose Muhando,,,,,All the way from 254#
@annkakitise10375 жыл бұрын
Rose dadangu nakupenda tu Sana God bless you, nyimbo zako zanibariki tu Sana sana
@hamisaally97645 жыл бұрын
Nawatangoja sikuhaitofika
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Ewe Mungu pigana nao wanaopigana na Rose Mhando mkinge na maadui wanaotaka kumrudisha nyuma. Amina kwa wimbo wenu mzuri hakika mmenibariki.
@repheropuya74215 жыл бұрын
Amen
@marywambui70235 жыл бұрын
Mtangoja xana maadui rose muhando for jesus
@julianamganwa36265 жыл бұрын
Rose ni zaidi ya Majeshi wewe ni chaguo Mungu amemwaibisha shetani na mawakars zake, unanitia nguvu sn ya kuendelea mbele kwa.nyimbo zako barikiwa
@georgesagwe67033 жыл бұрын
Mtangonja Sana neemah yngu Ni yngu tuu 2020 here likes
@bridgettei86245 жыл бұрын
Watching from the city that never sleeps, New York city!!! Watangoja tu!!!! Kenyans love you like their own Rose❤
@edenchulla56635 жыл бұрын
Wapi likes 500 zkae hapa kwa rosee chaap!!
@chrisluzibila92205 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi Rose muhando
@abuuibondo36165 жыл бұрын
Rose dugu yangu rudi kwamungu ambaye nimo1 hafanani nakitu chochote wala hana mshirika nakiumbe yeyote!Mungu nimoja namungu hawezi kuwa mfano wasanam kama wanavyo abudu zehebu laroma yesu kirto wakimuweka mbele nakuungama zambi zao waumini hao!!rudini kwamungu moja nayesu kirto atawapokea kwashangwe ninabii wakweli
@elijahmandela27845 жыл бұрын
Glory to God,,,she was only weary, but in pursuit...... Like Gideon and his soldiers, when they were pursuing the two kings, like Moses, lifting his two hands for Israelites to fight and win....season is indeed the key to breakthrough.
@ltotothepoet18075 жыл бұрын
hivi ndivyo Mungu huandaa wana wake kwa baraka kubwa . Wakikungojea uanguke unabaki kupaa.. If you believe Jesus is mercyful like tu..
@gracegrace22175 жыл бұрын
Asanti mungu kwa huyu mwimbaji huyu alitumwa kukomboa kwa nyimbo 100%sure nabii wa wimbo
@ceciliahmwangi55785 жыл бұрын
Am I the only one excited about this? I shed tears when I heard all the afflictions this lady had gone through. Watangonja sana uanguke...May God hold your hands and lead you Rose 🌹
@marklmatano42635 жыл бұрын
walidhani rose amefika mwisho... our God is Gracious
@getrudashedrack295 жыл бұрын
naomba,.niangalie naagin kwa kiswahili
@marklmatano42635 жыл бұрын
eti niangalie?
@dianahmutheu18004 жыл бұрын
Infact now they feel ashamed
@saramungumwemakweliametend50893 жыл бұрын
Yesu mwema juu ya huduma yako mama
@davidmuindesenior65103 жыл бұрын
Waoh Jose Kama drama kama video amenona sana, blessings after blessings
@dorcaslor21664 жыл бұрын
Rose! Rose Rose Rose Mungu ni Rose Muhando !!!!!! We we Shetani We Hibirisi We Si Unaona Kama Unachindwa we Haduyi we nyoka ya Zamani Asenti Bwana YESU Ulimupigania ROSE MUHANDO Utuchungiye Na Rose wetu A Dumu Milele Amen Hosanna
@annamushy29205 жыл бұрын
Tema checheee shetani ashangae kashindwa ktk jina LA Yesuuuuuu.
@SuccesRozie5 жыл бұрын
Muhando she is a Strong woman,May God keep fighting for her👍🏻👍🏻👍🏻
@sheilamuhanda12685 жыл бұрын
Amen
@mwenderose72785 жыл бұрын
Amen
@mathewlive13725 жыл бұрын
Amen,
@obirinaom65685 жыл бұрын
Rose muhando💪💪💪💪wataendelea kungoja tena sana love you mamaaaaaaa
@nicholasnzumbi815 жыл бұрын
Akinyi Teckler sanl
@issacgachuhi12655 жыл бұрын
Kama drama kama video. Jose uko juu nice song
@bernicewangui3384 жыл бұрын
Yes Rose wambie wachawi na wafuasi wao washindwe Sana jui baraka yetu ni yetu na hakuna wakupinga
@gerrymoses50295 жыл бұрын
Sitawahi kuchoka kusikiza nyimbo zako Rose ...nyimbo zako hunibariki sana...mwenyewe najiskia vibaya sana wakati unapitia mambo magumu kama haya lakini mungu hamwachi mja wake jikaze Mama yetu
@eduwardsaitoti2235 жыл бұрын
Mungu akusaidie Dada ju hayo mambo magumu unayoyapitia katika maisha
@lindac76015 жыл бұрын
Hata mimi nahisi vibaya sana na kumhurumia kwa yale anapitia. Lakini tayari Mungu ashambadilisha upya
@josephinewema79095 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada Rozy mungu ni mwema
@josephinewema79095 жыл бұрын
Ila mshikilie xna yesu dada wasipate tena upenyo mumy
@lizmomishkalizmwikali28545 жыл бұрын
Pia mimi
@emmanuelmogela58715 жыл бұрын
Hakuna awezaye kuizuia kazi ya Mungu Rose songa mbele Tonga like kama unamkubali Rose
@johanandersson90325 жыл бұрын
Bwana YESU ni UFUNUO NA UZIMA!! Anafufua , kukomboa na kuponya kabisa Mtu Aliye OZA!! na KUNUKA !! Anakuwa Kiumbe Kipiya Kilicho Ngara Kabisa!! Rosie Mungu akubariki sanaa
@rispermoraa21475 жыл бұрын
Team Kenya gonna like if u appreciate our lady Rosa muhando your song are doing amazing
@francislovemore38585 жыл бұрын
Amakwel mungu nimwema
@irenechebet14405 жыл бұрын
Welcome back mum,God bless you .
@joycemaginga53085 жыл бұрын
Haswa watangoja sana
@olleinoah1115 жыл бұрын
keep it real kwani anaimbia wakenya au anaimbia Mungu
@shoselyamuya82065 жыл бұрын
Kama zote mungu muweza
@amosamos60785 жыл бұрын
Like mingi hapa jaman kwa wanaoamini watangoja saana kwa dada Rose
@desmunduwandameno31705 жыл бұрын
Cha Mungu ni Cha Mungu tu kweli hiyo ni Shida kweli watangoja sana
@emmanuelremezo52585 жыл бұрын
Jina na Bwana wetu liinukiwe kwakuwa Mungu wetu hawaachilie walio wake. Haleluyaaaaaa.
@emmanuelremezo52585 жыл бұрын
Karibu tena Dada Roze Hatunabindi kumushukuru Mungu wetu kwa yote aliyo yatenda. Amen.
@leahsimiyu82695 жыл бұрын
Watangoja sana , 254, watching from baghdad Iraq
@kamutua63763 жыл бұрын
How is that land Leah simiyu
@marcelamarcel85725 жыл бұрын
aki rose ubarikiwe sana na nakuomba uendelee kutuimbia nymbo za injili,, bado utabaki kuwa mcristo usikubali kujigeuza twakupenda sana kenya
@judithjeptoo42235 жыл бұрын
shetani ajipange upya,mwenye wivu wajipange upya...nitapaa juu kama tai,nitang'ara kama nyota.. in Jesus name.Barikiwa sana Rozy.God is faithful He will restore everything lost Mara dufu
@risperkubai84315 жыл бұрын
Fanya kazi ya mungu don't listen to what haters say...anayelipa ni mungu....wakenya likes ziko wapi?????tunakupenda mama
@mariaesther98635 жыл бұрын
Esta bueno te miro desde Uruguay buenos movimientos
@tamarrobinson_ke5 жыл бұрын
If you believe God can lift you up despite your enemies fighting for your downfall can i get a like ..
@alicemtui53335 жыл бұрын
vizuri sana
@amosichacha56755 жыл бұрын
Yakupasa ufanye jambo moja bado ikiwa unayemtumikia ni Yesu wa msalabani. Ni lazima uzaliwe mara ya pili uokoke, tofauti na utakuwa unamtumikia yesu mwingine asiyejulikana.
@joshuamwita14905 жыл бұрын
Namkubar ROSE hasa nyimbo inasema ukiona hufanikiwi jiulize au ukooo wenu waliwekaje magano mungu amubariki sana
@lidaroserutaguza39875 жыл бұрын
Watangoja Sana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁MUNGU YUPO KUTUTUTEA WAJIPANGE UPYAA HAO NIMEKUPENDA SANA DADA ANGU ROSE NEEMA NI YAKO TUUU N BARAKA YAKO N YAKO TUUUU LAZIMA UPAE JUUUU WAOOOOOOOOOOOOOO UMEBARIKIWA
@rosemisiko37255 жыл бұрын
Mujipange upia. Mungu akutetee Rose My dear friend. Tunakuombea. Kenya tunakupenda
@josedrama20985 жыл бұрын
Watangoja sana sana.maana nitapaa kama tai nitangara kama nyota.maandui wako lazima wajipange upya
@angerinamuhungu12125 жыл бұрын
, nikupenda darozi ninakuombea
@yohanamalaika53865 жыл бұрын
pole sana mama misukosuko
@zainethlwilla89845 жыл бұрын
iseee kweli shetani kajipange Dada wewe kaza but I nakupenda had I nimepona homa yangu
@samanthatotoctoto45195 жыл бұрын
Welcome back Rose i love the new energy ⚡⚡⚡⚡⚡❤️❤️❤️❤️ kama wampenda pita na like 👍👍👍
@estherkagechu75505 жыл бұрын
Yes
@willietembela82795 жыл бұрын
That’s not a energy She’s trash now
@angelinapetro97155 жыл бұрын
😘😘
@mazoyasamson92405 жыл бұрын
Ndioooooo
@mazoyasamson92405 жыл бұрын
Yes
@gloriachep36423 жыл бұрын
Aaaaah....I really love this.....neema yangu....Ni yangu wacha wasubiri....waone
@bakarionesmo81905 жыл бұрын
Jamani rose mhando wanaomfanyia fitina walaniwe na mungu....."Atazidi kung'araa sana " MUJIPANGE UPYA
@marymunyao97815 жыл бұрын
Nice song and comeback Rose...she's been through much and Boom!!! she's back, we should support her in all ways possible through her trial times..tunafaa kumsaidia ata kama tutatoa 10bob!!!paybill icome basi....#watangojasana
@marionrionn5 жыл бұрын
watangoja sana Rose akose imani ya kuendelea kumtumikia Mungu......Baraka yako ni yako tu Rose Muhando,Mungu anakupenda sana Mum
@neemarobert99996 ай бұрын
This man Jose anaumwa sanaaaa Ameisha anateseka hajui ale nini avae nini Yaan jaman jaman Ukristo uko wapi siku hizi
@christinelazarus30505 жыл бұрын
Big ups mama...utazidi kuimba milele Na milele shetani hana nguvu katika mwili wako.....gonga like Kama umebarikiwa Na huyu Dada......I really luv her so much mama.... GOD BLESS U
@carrenchigulu57125 жыл бұрын
Amina watalaaniwa katika jina la Yesu Rose utangara sana MUNGU akuwazia mema watangoja sana
@clintonomwono84915 жыл бұрын
Alafu mtu aseme Rose Muhando alichizi ? Nakubali wimbo huu watangoja Sana
@nelsonmugwe4 жыл бұрын
Amen
@anatolygxulle16984 жыл бұрын
Pamoja xn god blees us
@tabithambiti7884 жыл бұрын
Its very sure that watangoja saaaaana!! AMEN !!!
@felistermvinge53395 жыл бұрын
Nikweli dad rose watangoja San Barak niyako tuu ubarikiwe sanaaa nakupenda unaibarik Sana kupitia nyimbo zako nasonga mbele Na yesu
@esterkamusi70495 жыл бұрын
Ee Mungu wa mbinguni, tunakuomba umponye mpendwa wetu Rose Muhando kwan kwako hakuna lisilowezekana.
@sarahmtewele18995 жыл бұрын
kweliii mungu ni mungu rose hakika watangojaa xana🙏🙏
@queen-vc6de5 жыл бұрын
Like kwa rose mhando jamani😍😍😍mama anajua kuimba bhana mpaka ukisiliza unahisi kubalikiwa
@wyworry31315 жыл бұрын
Kabisa kwanza nimependa anabyoimba n pamoja n vijana wawili wanabyocheza
@mrlambere88995 жыл бұрын
queen Samora true
@williamsipanje45145 жыл бұрын
kwel rose ww kiboko imba xana maana wtu wamechonga juu yako
@janetkavenge75085 жыл бұрын
mungu ndie mtetezi wko Roxe muhando
@barakamweta99585 жыл бұрын
Rozi tunakupenda sana,Mungu huko nawe hawakuwezi tena,watalujua jiji,wewe Ni umeshabarikiwa,aliobarikiwa huwezi kushindanaye,tunakuombea,umetusaidia kiroho,paaa Dada Rozi.
@elizabethmwandoe22625 жыл бұрын
walidhan watamuangamiza rose..watangoja sana..mungu yupo nae..nipe like kama unaamini maadui zako watangoja sana
@lucianduta57605 жыл бұрын
Wow it's a come back Rose muhando Mungu ni mwema
@flornce123oganda85 жыл бұрын
Kama kuna mwenye anamkubali rose gonga hapo twendeni sawa
@shukurumhagama805 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@azinaelmsolo42865 жыл бұрын
Watangoja sana
@tumsimeclemence53815 жыл бұрын
Namkubal yuko vzr kwa jumbe za kugusa
@dominicmakori14415 жыл бұрын
Thanks almighty
@damariswangari81395 жыл бұрын
Kwa sana my spiritual mami
@barakaelijosephat66554 жыл бұрын
cha mungu ni cha mungu watangoja sana shine rozi next lev mjipange upya amna jpya .tnz god
@deboralyamabumbe45035 жыл бұрын
Nimefurahi Sana kumuona tena Rose anaimba mungu amumbariki sana
@happynyabbysombaso94185 жыл бұрын
Asante yesu maaana shetani ameshindwa,yeeeeeees mwisho watalaaniwa,Amen
kwan kusilim si ni maamuzi yake,,ata wewe akipenda M/Mungu utasilimu tu,,unashangaa nn bado wapo wengi ata kina jaclen welpa watarudi tuu na tutawaowa wapate raha ya dini, dini yenye wawadda na mahaba.
@DiaJoe5 жыл бұрын
kweli watangoja sana
@carrenkapia78415 жыл бұрын
😂😂😂😂
@teachergodfreypeter90525 жыл бұрын
Ismail Tarimo ok
@happinessatugoza87442 жыл бұрын
Rose muhando mungu akupe kila ukipendacho🙏
@floridakindole9395 жыл бұрын
Ashukuriwe Bwana asiyetutoa kuwa mawindo kwa maadui,sifa& utukufu tunamrudishi Mungu anayetuhuisha kwa upya kila wakati,Bwana Yesu akufanye kuwa mpya uzidi kufanyika Baraka kwa Mungu na wanadamu pia, nimeamini hashindwi na jambo lolote.
@kirwairene12835 жыл бұрын
WAS WAITING FOR YOUR HUGE COMEBACK SWEETHEART, COULD NOT IMAGINE THE MUSIC INDUSTRY WITHOUT YOU
@meeknessmaziku90895 жыл бұрын
jamani watu si mmetuambia amekuwa mwislamu mpaka machozi yakanilenga nimeumia tangu jana!... haleluyaaa!!!
Wanamzushiatu mi nikashangaa abwiye unga kwa miaka khumi na kila akiimba sauti na umachachali upo pale pale
@roseshiombo14505 жыл бұрын
Hao ni wabaya wake..?ila Rose muhando bado Christian
@ezekielndungugithinji18844 жыл бұрын
Jose wa kama ni video ni kama drama, wow from carwash guy to international songs. Your going far.
@rukiasaid69035 жыл бұрын
Asante mungu kwa mama huyu jina lako lihimidiwe nakuombea mama urud katika hali yako ya kawaida naamin siku si nyingi utakuwa fit kabsaaaa
@marcieakisa25585 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Nice song Team Rose likes 💞💞💞💞
@niyonzimaalex93605 жыл бұрын
Dari pupa
@clementinegerald56335 жыл бұрын
love u guyz
@chepkemoiesther6843 жыл бұрын
Much luv for rose shinning again nakuombea uzidi kuendeleza injili ya bwana kwa mataifa continue blessing many a legend of gospel 💕🇺🇬
@malimimasingija47625 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki mama yetu. Haikuwa kazi rahisi kwa majaribu yalokupata ila kwa Mungu hakuna kinachoshindikana. Nahapo umeqathibitishia uwepo wa Mungu. My God keep glorify you.
@dianasimiyu88534 жыл бұрын
Kweli umeyapitia rose..... Wacha wangoje sana neema iko juu yako hakuna wakupinga
@cudrahharleena60455 жыл бұрын
Yes,watangoja sana 😍😍😍Mungu akupiganie
@florahemmanuel83235 жыл бұрын
Cudrah Harleena Kabisa dear ni maombi yng upae zaidi kwa viwango vya juu zaidi. Watangoja sana uteketee lakini Mungu anakuwazia mema jipe moyo mkuu
@leopoldtibyehabwa15665 жыл бұрын
Rose wewe ni Mashine ya Yesu. Kwa ufupi unakoboa na kusaga hakuna ibilisi anayepaswa kukatiza huduma yako, watu wameokoka kupitia wewe. Tarajia Ushindi kwa yote unayopitia. Adui waendelee kusubiri haswa.
@carolinemusila80455 жыл бұрын
Amen. Mungu ndie mtetezi wake. Namuombea sana Dads Rose
@paulpogba43265 жыл бұрын
god is good rose
@iremashirogp26335 жыл бұрын
Cudrah Harleena amen
@emmanuelkicha22745 жыл бұрын
Nimebarikiwa,nimetunukiwa😁😁😁😁 by my mum rose muhando,God bless you in your right way.
@yvonnemmbone5505 жыл бұрын
Nawaombea maisha marefuu hao mahasidi wanaokutakia mabaya Dada Rosie,,acha mabaya yao yakawafate wao ,,,Watangoja saaaana
@janeedwin83999 ай бұрын
Mwenye ameletwa hapa juu ya comment ya kijana yetu ni mgonjwa sana,,let's say quick recovery to him
@wenderoserie15385 жыл бұрын
Glory to God. Hallelujah. Mungu ndiye ngome yako. Na amekupaka mafuta Rose Muhando. We love you here in London. And you are in my prayers.
@suzzyever36585 жыл бұрын
Watangoza sana ,watasubiri sana,neema yangu ni yangu tu
@victorchena22545 жыл бұрын
Kwa kweli watasubiri waambie ....wimbo mzuri sana ..mbarikiwe tutapaa juu na kung'ara sana kama nyota ...soooo...........nice and blessing
@hylinekerubogetanda92915 жыл бұрын
Am so happy. I thank GOD for what he has done in your life. The devil is a liar bt he has been put to shame. NO Weapon fashioned against u shall prosper. May God protect u with his blood. THANK u GOD.
@annastaciahmuchina2185 жыл бұрын
Watangoja sana nakwamini rose muhando waseme watachoka wuuuuw groly to the most highly God oooh hallelujah
@fridafrank99015 жыл бұрын
from past to peace !love u !mwisho wa ubaya n aibu! God love u cc
@rosejuma87782 жыл бұрын
Neema yangu ni yangu tu🙏🙏🙏a wonderful song
@rosemarykenedy40345 жыл бұрын
Baraka yangu niyangu tu hakuna wakupinga watangoja sana watasubili sana, ubarikiwe my dear wajina wangu m/ awe nawe daima namileleeeee
@anneatanga79585 жыл бұрын
Lovely song mum watangoja sana love watching your songs
@mercystar93305 жыл бұрын
I love you so much mamy
@lovenessluvanda51255 жыл бұрын
Mungu akusaidie akupe maalifa
@eunicekimani20145 жыл бұрын
Amen mungu na akuinue kabisa
@somiaal80195 жыл бұрын
Watangoja sana kuanguka kwako Rose utapaa zaidi mama we love you here in KENYA and more grace keep going mummy
@solomonkorir5 жыл бұрын
Watangoja tuuuuuu
@somiaal80195 жыл бұрын
@@solomonkorir mungu yu pamoja naye na tunamuombea
@alicemangapi91505 жыл бұрын
Hallelujah watangoja sana watasubiru sana Neema yangu ni yangu tu Baraka yangu ni yangu tu.Watangoja mpaka wafe mbele yangu.mubarikiwe sana watumishi wa MUNGU
@agneskadzo61055 жыл бұрын
kweli waambie Dada.. kweli Dada... kweli dadangu.. wamekueibisha bali walijiaibisha wenyewe. ..Nimeamini kweli Mungu halali Dada amekupigania vyakutoshaa OH halleluya.. naja Tz kwa ajili yako my sister
@StephenKasolo5 жыл бұрын
Watangoja tuuuuuu
@jeremiahsuntu66005 жыл бұрын
Brikiwa Rose Muhando ni kweli watangoja sana
@jeremiahsuntu66005 жыл бұрын
Iko juu
@norahkimuyu90975 жыл бұрын
Amen
@angelamuli64455 жыл бұрын
Yes we will mount with wings like agles and shine like morning star. What a message.
@lizmomishkalizmwikali28545 жыл бұрын
Hii imeweza. .
@lizmomishkalizmwikali28545 жыл бұрын
Wah hii nimoto sana. .wapi likes za rose jameni. .nipaa sana kama tai
@kigendorry68545 жыл бұрын
Amen Rose sikilia hapo, imargine nilisikia umerudi kwa msikiti wah. Karibuuuuuuuu dada, na watangonja sana.
@edinamsongole42565 жыл бұрын
mungu yupo pamoja nawe rose shetani na vibaraka wake wameacha midomo yao wazi baada ya kuona jambo lao halijatimia mungu anatupenda sana watasubiri sana tuuuuu.
@supergirl73103 жыл бұрын
I can't hold my tears to my princes rose wen I look at her hand be blessed rose we love you we as kenyan
@faithmwende39085 жыл бұрын
His grace is sufficient.....when he says yes non can say No.....u r blessing mama rose #watagoja sana.
@wamerabmerab18385 жыл бұрын
Hawa mahaters jameni....the message is very clear hakuna mwenye anawezazui favor na baraka za mungu. Nyota ikiangaa lazima itang'aa....wivu wacheni na hizo dislikes zenu. Great clip team Dada rose. Keep it up...wacha waendeleeeeeee kungonja yako ni yako
@elizampeter59585 жыл бұрын
Imba dada!! Tamba kwa kasi ,Ringa kwa furaha!! Futa machozi ya mtihan ulioupitia!! Sema mungu hashindwi wala hapingwi na binadamu!! Ila uamua yeye mollah pekeee!! Nakuombea kila la kheri dada wetu endelea na kaz yako, mwenye husuda, choyo , umbeya, uchawi n.k.Atapambana na mungu na si wewe!! Ameen!!