WATOTO WA MAMA HAPPY WAFUKUZWA WANAPOISHI |TOKENI SI MNA NYUMBA YENU |MNATULETEA WANAUME HAPA

  Рет қаралды 11,039

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@AminaAmine-v4m
@AminaAmine-v4m 6 ай бұрын
Wamenenepa wenyewe mashaallh mungu awape afya njema
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 6 ай бұрын
Ni wadogo jamani tuwasaidie tu ata kidogo tu maisha nimagumu sana tuwasaidie
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 6 ай бұрын
Tina njoo Oman happy kaa na watt muendeshe maisha yenu kwasababu kuna maisha baada yakuhamia hapo je itakuaje..niushauri tuuh 😢
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 6 ай бұрын
Kweli vile ajee tuu uku jmn
@nipautago8574
@nipautago8574 6 ай бұрын
Jaman connection
@janemuthoni723
@janemuthoni723 6 ай бұрын
Wasitubutu kuenda Oman hiyo sio Country mnadanganya watu waende mateso
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 6 ай бұрын
Zahir mimi ushauri wangu wazibezibe tu wakahamiye waondokane na mateso matengenezo watafata wakiwa ndani.
@ManaseMoleli
@ManaseMoleli 6 ай бұрын
kaka Mungu akubariki kazi yako ni nzuri sana.
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 6 ай бұрын
Allah atawawekea wepesi wadogozangu.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 6 ай бұрын
Kwakua wanashida haraka tu madirisha na milango hata tails haina haja weka silent tu ili waweze kuamia haraka halafu vitu vingine vinatafanyika pole pole
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 6 ай бұрын
Yukunda yanayowakuta hao wtt iko siku yanaweza kukukuta halina mmoja hili
@chani_tayra_official1860
@chani_tayra_official1860 6 ай бұрын
Zahir good idea yaku wapa mutajiii afazali tuwashangie kwakweli
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 6 ай бұрын
Hiyo pesa ya tails ungeqeja kifusi na silent to floor ya kawaida ha8na haja this kwanza hatoiweza wataanguka na watoto na maji maji kuanguka na kuweka majiko ya ya mkaa
@anethmshahara8519
@anethmshahara8519 6 ай бұрын
Achana na vioo wekaga tu nyavu watoke hapo kaka
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 6 ай бұрын
Watoto wakianza biashara lazima mmoja abaki na watoto nyumbani wasije kuibiwa au watoto kupotea mtaani na watoto kubakwa ni hatari sana dunia ya sasa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 6 ай бұрын
Msindanganye watoto wa watu Oman waje kunyanyasika ndio?ni wachache wanaopata sehem nzuri huko Irabuni.
@janemuthoni723
@janemuthoni723 6 ай бұрын
Kwanza hiyo Oman siwez advice mtu aende mateso tupu kulala later kuamka 5 na ni kila nyumba kazi zote hadi kupika
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 4 ай бұрын
Jamani mmjawapo si aje oman huku. Wengine tulikuwa na maisha magumu sana lkn kwa sasa alhaamdulillah tuna makazi yetu, na sio makazi tu ni makazi aswa! Ndio mtasaidiwa lkn mpaka lini! Mmoja alee watoto, mwingine aje kutafuta maisha! 2 years nyumba hiyo mnaibadirisha hd vioo mnaweka!
@omanoman2044
@omanoman2044 6 ай бұрын
Nikweli ridhika na rangi mait isije ikatisha ukifa hata mie hiyo kaz sifanyi japo nina rangi siwez kujichubuw
@rayaabdul-gm3hc
@rayaabdul-gm3hc 6 ай бұрын
Akuna kuweka vioo kaka hali ngumu mimi nyumba yangu nimeweka grel nikaweka nyavu.chini nimeweka lafu floo watu wanaishi mpaka leo hapa natafuta pesa ya ugali tu😊😢😢
@christinafanuel1587
@christinafanuel1587 6 ай бұрын
Acha roho mbaya
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 ай бұрын
Ulishawahi kuchangia?
@ashazuber6548
@ashazuber6548 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅​@@christinafanuel1587
@ashazuber6548
@ashazuber6548 6 ай бұрын
​@shanimbaruku2071 hatareee😅😅😅😅😅😅
@budhbd5208
@budhbd5208 6 ай бұрын
​@@christinafanuel1587kabisa
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 6 ай бұрын
Nikitizama hako katoto kakiume ka mlehemu uwa nakumbuka mngi kwenye familly yangu Heppy jitaidi kuwa unakaji sogezea gisi kameka msikini🥲🥲🥲🥲
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 6 ай бұрын
Mungu mwema awaingoze
@missmoona4497
@missmoona4497 6 ай бұрын
Mnaosema tina aje oman hata happy anaweza kuja tina akabak na watt kuna watu wameacha watt wachanga wamekuja oman kupambana yote kwaajir ya kujikwamua kimaisha wanakuja huku kwa shida nasio vinginevyo jipangen mje mtaifanya nyumba yenu mtakaavyo na mtaish soft life hata fenicha za maana mtaweka lkn mkitegemea wawachangie mashaghala na wao wanapambana hivyohivyo kwa shida njoon oman kaz zipo
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l 6 ай бұрын
Hongereni mnaochanga
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 6 ай бұрын
Kaka zahir Pole na maneno ya waja yasikuvunje moyo
@SinaHafidhi
@SinaHafidhi 6 ай бұрын
Ma shaallah ngozi yake. Kama ya marehemu mama yake
@MdAr-q7i
@MdAr-q7i 6 ай бұрын
Ila zair tunakuomba japo.moja mtafutie kazi mmoja akae na watt wapate kujikizi haja
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 6 ай бұрын
Happy anafanya kazi dada anabaki na watoto bado wadogo jamani! Sio kama wanapenda kukaa hivyo! Tuwaombee tu jamani!
@christinakomba689
@christinakomba689 6 ай бұрын
Unajua mzigo anaujua alioubeba
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 ай бұрын
Mimi nakushauri pesa ukipata usitie tailiz pesa hiyo watilie flowe ya kawaida na milango kwa sababu tailz zitawangusha maji maji watoto ndo ndani za maji ni hatari kuteleza
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 6 ай бұрын
Jamani mnaocoment baadhi tunakoseya kuwalaumu hawa watoto anoweza kuchangiya achangiye na asoweza aache na asicomenty mnawatiya unyonge zaidi
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 6 ай бұрын
unyonge vipi mbona wasijitume ata kama wasaidiwa atujakataa ila ni wajishughulishe wako na watoto wawapangia nini watoto wao au haya ndio wamechukua ni maisha mpaka watoto
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi 6 ай бұрын
Kabisacmy❤❤❤
@janemuthoni723
@janemuthoni723 6 ай бұрын
Waende pale kwao kama main doors ziko na madirisha waweke mabati ubaya ni floor baridi na watoto 😢😢😢Mungu awafungulie njia
@ashaissa2435
@ashaissa2435 6 ай бұрын
Kaka.zaili wasikusumbue hao kwkwa nn wasiamie watu wanaweka kanga tu madilishani na wanakaa na family yao maisha yanaenda kama kuwasiaidia ushawasaidia sana ila mwenyewe awajiogezi na kuwa na uchugu nako
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 6 ай бұрын
Awa wasichana wavivu sana awajitumi kutoka mzazi yuko sasa mbona msijitume mpate rizki wenzenu wapambana nyinyinkila leo mtandaoni kuomba mmmmh aya sio maisha
@Gloria-vh5bz
@Gloria-vh5bz 6 ай бұрын
Km kuna watu wa kuwaunganisha huko uarabuni ni bora mmoja aende maana watasaidiwa mpk lini Zahir mmoja aende mwingine abaki na watoto maana kuna watu wengi huwa naona wanasema wapo tayari kuwapa connection ya huko ,but pia wapo so lazy hasa mkubwa ,my dear watu hawawez kukubeba siku zote ,sisi wengine wajane tumeachiwa watoto tumedhurumiwa mali na watu waliahidi kutusaidia lakini baada tu ya kuzika walipotea na hata simu hawapokei ,so nikujishughulisha vyovyote tu ilimradi msimtegemee mtu ,walipowabeba ni pakubwa inabidi muamke nanyie sasa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 23 күн бұрын
Wame nenepa awo
@rehemah5843
@rehemah5843 6 ай бұрын
Hyu tin nikama ako na mimba hyu
@MarthaKeneth
@MarthaKeneth 6 ай бұрын
Ila jamani nyie mabinti embu mjiongeze amkeni jamani mbona mko vzr hamna shida yeyte bc mtafute hata kazi jamani kama nyumba imeshajengewa hata kama haijaisha wenzenu tunaishi nyumba hata hazijaisha kikubwa iwe imepauliwa2 jamani
@نجمهنجمه-ظ2م
@نجمهنجمه-ظ2م 6 ай бұрын
Zahir uyo dada aje Oman
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 6 ай бұрын
Hataki shida mwenzio ayo ya Oman hayamhusu ata kdg kazi kuomba omba tu mdg wake Happy ana opareshen abaki na wtt yeye akapambane ila aligoma mwacheni
@ashazuber6548
@ashazuber6548 6 ай бұрын
​@@dorcaskidoti249wasimlazimishe tu itakuwa shida
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 6 ай бұрын
@@dorcaskidoti249 hawataki dada pia aliwahi kusema pia. Walijibu hawa wezi. Kufanya kazi nje nchi. Wamezowea kupewa bure. Hawa. Wavivu sana tena
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 6 ай бұрын
@@reynaaalrawahi4137 Mbona mda mrefu sana Zahr aliwambia kutokana na maoni ya watazamaji walikaaa, Mnahangaika nao wanini wacheni wapigwe na maisha watajituma tu siku moja, Tatizo Zahr anawaendekeza pesa anawapa kila siku awacheeee
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 6 ай бұрын
Sasa Zahr unanifutia maoni kwani nimetukana? Kwa nn umeweka sehemu sasa ya hayo maoni kama unachagua 😎 haya futa sasa maoni yote
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 ай бұрын
Embu leteni story xa maana,hawa tuuu,nao ni waxembe,lakini hata kujishughulisha,ataachaje kuwa kweupe wakati kula kunya?? Shughulikia wagonjwa bhana.Mwambie ale hiyo rangi yake.
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 6 ай бұрын
Sio kwamba hataki kufanya kazi ila mkumbuke huyu binti ana ulezi.wa watoto ila mdogo wake si kasema anafanya kazi Sasa uzembe gani jamani
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 6 ай бұрын
Tina amechangamka 😊
@azizaally-x7o
@azizaally-x7o 6 ай бұрын
Tina aje Oman happy akae na watoto wataweza kujikwamua na kumalizia nyumba yao ni ushauri tuu kwa sasa hali ngumu
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 6 ай бұрын
Watu tumehamia na madirisha ya bati
@hamidasaif4065
@hamidasaif4065 6 ай бұрын
Zaher fanye vimba viwil wahamiyr
@zuhurakhasimu969
@zuhurakhasimu969 6 ай бұрын
Jamani mpaka tena huruma ila nataman sana kuwachangia ila zahiri aliniblock kisha nililefeti kwenye group lake kwenye namba hiyo hapo chini
@rosenaheka5137
@rosenaheka5137 6 ай бұрын
Usimwangalie Zahir ww saidia tuu
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 6 ай бұрын
Zahr hapend kushauriwa hyu kaka na inawezekana anashibia humo ndio mana linanenepa km simba😅 ukimkosea anakublock
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 6 ай бұрын
Achen ujinga nyie wa toto ilenyumba imeish. Amieni apo mnapoishi naapo wapi pazuli
@isamony58
@isamony58 6 ай бұрын
Zairi na ww unapenda makuuuu hivi umeona watu uko mikowani maisha wanayo ishi
@ZawadMussa-sd1od
@ZawadMussa-sd1od 6 ай бұрын
Kwel tatizo makuu yanashida ndo maana ata mama baturi nyumba iliishia njiani watu hawawezi changia mtu anajenga nyumba ambayo wachanhiaji Awana iyo nyumba ,,,ata wakiweka mikeka ilimuladi wapo kwao
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 6 ай бұрын
uyu zahir yuachekesha sana kila saa ni hawa na sio wagonjwa sio walemavu wafanye jitihada ya kutafuta maisha na misingi ya watoto wao au zahiri utawasaidia maisha yao mana awa uvivu ndio shida na watapata tabu dunia hii ya leo ni ujitume ndugu jitumeni
@MwaJuma-zf8sk
@MwaJuma-zf8sk 6 ай бұрын
​@@ummiissaabdulissaabdul8117kutoa ni moyo si utajiri jamani hakuna haja ya kuongea maneno yote hayo
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 6 ай бұрын
Wasichana wameweka nguvu zao tu hawapambani
@Nashoora8
@Nashoora8 6 ай бұрын
😅😅😅😅
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 ай бұрын
Zahir wekeni bati maisha yaendeleye almuhimu wana kwao
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 6 ай бұрын
Bati mbona tayar zaman tu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 ай бұрын
Huna kaxieee!
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 6 ай бұрын
Hapo ni madril tu na nyavu za mbu basi wahamie ukarabat watafanya humo ndani mbona mie nilihamia na rafu tu nchini ila sasa nishakarabat
@isamony58
@isamony58 6 ай бұрын
Yani mtu angepata hata nyumba ya miti angeshukuru hao wengine ww unawadekezaaaaaa
@MarthaKeneth
@MarthaKeneth 6 ай бұрын
Kwanza kwanini msitafute kazi jamani nguvu mnazo mna akili timamu kwanza inabidi muwashikuru watanzania jamani mbona umesaidiwa sana jamani
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 6 ай бұрын
Watoto wakianza biashara lazima mmoja abaki na watoto nyumbani wasije kuibiwa au watoto kupotea mtaani na watoto kubakwa ni hatari sana dunia ya sasa
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 15 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН
NYUMBA YA MAMA ZAWADI YAWEKWA BATI NA MILANGO
12:52
DTV
Рет қаралды 2,3 М.
HAPA NDIPO ANAPOISHI MUNIRA KWASASA
5:28
FABIAN KISAKA
Рет қаралды 21 М.
KITASA AFAGIA UWANJA KAMA MALKIA/AMWAGIA PESA BFF WAKE CHIOMA
29:58