Umejitahidi sana baba unasthili pongezi na mungu akujalie akuongoze kwenye kazi yako uzidi kuwasaidia watu wasio na uwezo ila ninachokiona mimi ni bola wahamie mambo mengine yataendelea wakiwa wako humo
@tumainiand6 ай бұрын
Nawaingiee ivo kaka zair mi yangu pia nilingia ivo ukiwa ndani ya nyumba ndio akili ufungukaq zaidi so ni wanawake wataweka mazingira vizuri❤🎉
@sleeprelaxation84316 ай бұрын
waingie na maji yote hayo jamani?
@StelaJohn-nj5yf6 ай бұрын
Mungu awazidishie wachangiaji wote pamoja na Zahiry Mubarikiwe
@sikudhanimoshi69676 ай бұрын
Mashaallah
@aminaali7926 ай бұрын
Ma sha Allah kaka Zahir yaani una moyo wa imani na unapenda kufanikisha Ahadi yako Allah akufanyie wepesi wa kila jambo lako 🤲🏼🤲🏼💙waambie na wao wakipata vi hakiba vyao pia basi wachangie kujenga japo hata siment au mchanga wa kifusi nimemskia happy akisema anahakiba yake anataka kukodisha nyumba basi bora awekeze kwenye nyumba yao Inn sha Allah na Allah atajaalia imalize inn sha Allah 🤲🏼😍
@oliviaseth46526 ай бұрын
Zahir watu wanakufa uarabuni, bora familia iwe pamoja na Mungu atawasaidia
@umsulaiman74686 ай бұрын
Nahuko tz Hawafii hahaha chuki zitakuuwa lol
@umsulaiman74686 ай бұрын
Ukilinganisha huko wanaokufa anawauwa warabun HasbiAllah waneemal wakil
@zuweinaalhabsya87736 ай бұрын
Mbona mnaendelea Kuja kama wanakufa msije kaeni huko Kuna kazi. Huko kwenu mnateswa hasa na mshahara Hakuna mnauliwa kila Leo mnateswa. Sasa kila siku mko kusemwa mnateswa
@rehema71806 ай бұрын
Tanzania hawafi kumbe😂😂
@hamidaalhabsi85682 ай бұрын
Huyu anawivu binafsi wacheni ujinga kuleta uongo mwenyezi mungu hamjalii kwa lolote lile
@aminaomary55676 ай бұрын
Ongera zairi'umefanya we.Wao kama wao hawana kushukuru tu'wao wala hawezi chote chote.weka milango wangie❤❤❤
@maximumtvonline6 ай бұрын
Sawa mchango wako naomba sasa
@NapatNapat-x6i6 ай бұрын
Yaan Hao wanadeka Sana nyumba hiyo unakaa vizuri wao waringa
@reynaaalrawahi41376 ай бұрын
Wanao watu wa kuwapa. Hawa hawana mapungufu yoyote. Wanaweza kufanya kazi. Sema wavivu wamezowea vya bure.
@maximumtvonline6 ай бұрын
Mashimo ndani maji mengi
@aminaali7926 ай бұрын
🤦🏽♀️Eti mwaya Kaka Zahir nae anawadekeza sana nimemskiq huyo Happy akisema anahakiba ya vipesa vyake basi wajitahid kuchakia pia hicho kifusi ndani wanaweza kujazia wenyewe na mengine watakayo weza kufanya na wakihamia watakiwa wepesi wa kufanya wenyewe zaid inns ha Allah
@sleeprelaxation84316 ай бұрын
Jamani kama mtu hutaki kutoa pesa sawa, ila sio kusema waamie nyumba ipo hivi, kwanza hayo maji hapo wakiamia wanakaa vipi, lazima wataumwa maradhi, wakija hapa kuomba matibabu mtu sema pia, kwa hii nyumba ilipo fika wapate kifusi, zege,milango na madirisha hata zikipatikana wavu za mbu na zile nzito wanaweza kuingia wakaweka mapazia.
@maximumtvonline6 ай бұрын
Mule ndani ni mashimo makubwa sana sijajua watu wanavyosema wahamie wanaamiaje humo
@zeinabbachu83636 ай бұрын
Mbona nyumban imekaa vizuri ata bila plasta na madirisha waeka pazia
@oliviaseth46526 ай бұрын
Falme za KIARABU asiende jamani, mafanikio hata bongo
@zuweinaalhabsya87736 ай бұрын
Haya Sawa bongo Kuna kazi 😊
@aminachoga92666 ай бұрын
Nyumba ni nzuri sema bado watoro ndio maana kuko ivo❤❤❤❤
@maximumtvonline6 ай бұрын
Umeona eeh
@rahma61896 ай бұрын
Pamejengeka jamani hongera Zahiri
@marymanoni55366 ай бұрын
Ongera kkumewasaidia watoto hao madilisha mazuri
@isamony586 ай бұрын
Niwavivu sana hawa watt yani ningekuwa mimi hapo saizi mboga zimejaa viazi miti yakivuli
@mirnababy50126 ай бұрын
Yes yaan atacwenyewe wangeweza kumalizia wavivu kuna watu ambao wanahitaji uhitaji wa dhati sio hao bado wadogo kabisa wasichana wenye nia wangepambana mpaka kukae sawa
@mirnababy50126 ай бұрын
Wangejaza vifusi wangeamia
@maximumtvonline6 ай бұрын
Sawa
@mirnababy50126 ай бұрын
Zahiri unajitahidi sana ila hao wadada hawajiamin. Pia wanajitoa faham namaanisha hawajiamin na iyo nyumba
@fathimamct2326 ай бұрын
Màshallah Allah anaona shida zanwaja angalia mqji kibao ya kisima hapo kuchamba Choo Cha Mapula huko nyuma ya choo na kuwaacha hapo kikikawa kisimankama kina chemchem chini mans mkigeuza Choo itakuwa Kazi bure kitajaa haraka
@maximumtvonline6 ай бұрын
Sawa
@siriyangu47246 ай бұрын
Mashallah kka na jombo lote ingekuwa c ayo maji ndani wange aza makazi ukiwa ndani ndio kila cku utajuwa chakufanya
@maximumtvonline6 ай бұрын
Kweli sema ndo hvo maji maana hili eneo lilikuwa la shimo
@NoorLheyNoorLhey6 ай бұрын
masha allah unajitahdi zahr
@ashamahadi52816 ай бұрын
Allah akuzidishie. Weka kifusi wahamie. Hapo ni sehemu nzuri ya kulima mboga mboga kwa huyo mwenye watoto ili auze apate oesa. Kikubwa anunuliwe mbolea madawa na mbegu ajiajili. Bustani Mr Zahir inalipa.
@rayaabdul-gm3hc6 ай бұрын
Mimi kaka zahir nina mwaka wa 8 mpaka leo najivunia kuwa na maisha yangu na wanangu wanaenjou maisha na bado nipo huku sijui hata siku ya kurudi
@maximumtvonline6 ай бұрын
Piga kazi
@MonadiNadi-j6s6 ай бұрын
Mm nipo km ww my nashukru Wakisema mateso mauwaji hta tz wanauwana na mateso yapo haje Tu mmoja
@OmanOman-y7z6 ай бұрын
Mashallah hongera sanaa kaka zahili wamie Tu mbona nyumba imeisha jamani wajitaidi apo palipo bakia wamalizie wenyewe jamani
@shukranjazzakhaallahukheir18976 ай бұрын
Zahir.wasiingia kabla kufanya kisomo inshaaAllah
@maximumtvonline6 ай бұрын
Inshallah
@AminaLibisa6 ай бұрын
Kwa kweli kila mtu na upeo wake mimi ya kwangu nilifikia kama ivyo nikaishiwa pesa nikaweka nyavu zile za mbu na zile zingine na watu wanakaa maisha yanaenda vioo mpaka nijipange tena
@maximumtvonline6 ай бұрын
Ndani mashimo ndo shida
@AminaLibisa6 ай бұрын
@@maximumtvonline ooh ok
@neemaoman15195 ай бұрын
Kak zahr umejitayid Waamie jamn watu tumetokea mbali kak kwahapo Alihamdulilah ilipofikia watu tumeyamia tunaziba tofali
@fatumamaro87266 ай бұрын
Kusafiri atawaachaje ndugu zake pekeyao hapana mtu mzima jamani muacheni askume nduguzake wakue kidogo Arabuni ipo haikimbii na wao umri bado mdogo watasafiri tu huko mbele mungu akipenda Hawa wadada wameshazoea kukaa pamoja na wenyewe ndio faraja na furaha yao moyo unakua mgumu kuamua mmoja kuondoka na kuacha mwenzie na watoto
@zwinaalhabsi6646 ай бұрын
Mungu akujalie kila la kheir kaka zaher kwa kuwasimamia hawa watt
@maximumtvonline6 ай бұрын
Amiin
@aminamohamed99556 ай бұрын
Maashaallah nyumba mbona iko teali wahamie kwao mm mbona nilihamia nyumba ipo hivo had nikazoee jamani msinyanyasike na nyumba imeisha zahiri Allah akulipe kila lenye her na akuondoshee yenye shali
@maximumtvonline6 ай бұрын
Ndani ni mashimo maama msingi ulikuwa mrefu sana kutokana na kiwanja kilikuwa na shimo
@MonadiNadi-j6s6 ай бұрын
Umejitahidi kaka zahri hongera Sana ❤️❤️👏👏
@wastarangayonga8562Ай бұрын
Mashallah ongera kak
@MoanayediJuma6 ай бұрын
mashallah
@kazungukakiyo6 ай бұрын
Allah akubariki kaka Zahri,,kazi yako nzuri kuhudumia jamii.
@maximumtvonline6 ай бұрын
Amiib
@listerlujiso60096 ай бұрын
Nyumba umeisha bana hapo ni kuweka wavu kwenye madirisha waweke pazia wahamie ujue wakihamia lazima kwa uwezo wa Mungu choo kitajengwa
@maximumtvonline6 ай бұрын
Maji yaliyojaa ndani vp
@oliviaseth46526 ай бұрын
Kitengenezwa chumba kimoja waamie, iwe na nyavu na sakafu na mlango waamie
@cutealaufy95086 ай бұрын
Kaka zaheer hiyo nyumba bora wangeisungushia michongoma izunguke nyumba nzima km fence hivi itapendeza itajitenga halafu angepanda matembere mihogo pia itawasaidia ktk kipa maana eneo lililobaki kubwa
@victoriamazula55926 ай бұрын
Ubarikiwe sana Zahir
@Ayshernasolo6 ай бұрын
Mungu akuongoze kaka Zahri jamani Unawapigania🎉🎉
@beatricembunda61686 ай бұрын
Mungu akubariki sana. Zairi
@maximumtvonline6 ай бұрын
Amiin
@aqmmsm556 ай бұрын
apande viazi na mihogo na migomba
@mariamsamweri51056 ай бұрын
Edeatu mungu atakubariki
@anethmshahara85196 ай бұрын
Mabinti sikuizi hawapendi kufanya kazi yaan ni wavivu wakikaa sehemu ile kiagizwa na kuhimizwa majukumu wanasema wananyanyaswa
@rayaabdul-gm3hc6 ай бұрын
Umeona yani wanajibweteka tu..
@alisalum56926 ай бұрын
Yaani kweli hao mabinti ni wavivu
@nasramaujuzi42456 ай бұрын
Masha,allah hayawi hayawi mwisho hua
@setiseti52816 ай бұрын
Ongera kakaangu mungu atakulipa amie
@maximumtvonline6 ай бұрын
Amiin
@Njeriii5366 ай бұрын
Tatizo hawa watoto wavivu hawataki kazi wanashindwa kuchoma hata maandazi kuuza hata mbogamboga sisi wengine wazazi walituacha tukiwa wadogo lkn tukawa tunafanya biashara
@maximumtvonline6 ай бұрын
Umewafatilia!?
@Aishaawadhimsloki6 ай бұрын
Mm ningehamia hivohivo
@Sharefa-v6n6 ай бұрын
Kufa ni popote ulkopangiwa umaut ukukute na pia kote binadam tumetofautiana tu haijalsh Tanzania au uarabun ila tu kinachotakiwa nikujifanya mjinga ili uweze kupata unachokihtaj
@isamony5826 күн бұрын
Kwann wasihamiye
@naomipieter46276 ай бұрын
Mimi nilihamia nyumba hata grill hakuna .haina plasta madilisha tuliweka mabati. Mdogomdogo mtafika
@omanoman20446 ай бұрын
Wafunge panzia wahamie taar
@MariamWiliam-z8k6 ай бұрын
Wahamie zahiri waweke turubai madirishan mbn watu wanaishi tu vingine utawamalizia zahiri make ni ahad wakiwa hapo patapendeza sana
@Mery-st4nu6 ай бұрын
Kakangu zahiri wahamishie tu ili wakae kwao kuliko manyanyaso wanayoambiwa hapo palipofikia itawastiri itaisha polepole endapo wamekaa kwao
@HappynesSimon6 ай бұрын
Jamn m nimekwama matiriol sin hat tofali mshukuru mmejengew mm sehm yng imeot pori sina ata jmn 😢
@rayaabdul-gm3hc6 ай бұрын
Nyumba imesha hiyo tayari wahamie tu..
@Sharefa-v6n6 ай бұрын
Hahahaaa nimecheka tu hapo kwenye malengelenge duu Sasa hzo bustan utazilmaje jaman
@omanoman20446 ай бұрын
Hao ambao mnasem wananyanyasika ndo wamechangia hap kwenye nyumba unayo ion hatutesek ban sii tungerud laki bado tupo huku tunapamban ukijiamin tuy utafika
@shamzone3886 ай бұрын
Tupo na tunaendelea kuwepo tunatafuta pesa za halali
@munirahassan50136 ай бұрын
Naomba connection
@omanoman20446 ай бұрын
@@munirahassan5013 ya uarabuni am tafuta passpot mie nipo hap nitakuunganisha
@SibomanaSaida6 ай бұрын
Sasa nyiye mlisindikishwa na nani si mlijipeleka na kutoka moyoni mwenu waaceni wakiona wame wezwa 😅kabisa wata tafuta ajira kama kuna uko haya hata kulima wangelima si akili yao ina utoto mwingi Sana
@rayahamisi1186 ай бұрын
Nyie msisikilize sasa kwani ukitakufa ata uwe wapi unakufa ss tunajituma mbona atufi
@oliviaseth46526 ай бұрын
Wangeamia sasa hivi, tatizo kuna maji yamejaa kila chumba, kimwagwe kifusi waamie
@halimaoman87266 ай бұрын
Upo siku itakamilika tu inshallah
@maximumtvonline6 ай бұрын
Amiin
@aminaramadhan38156 ай бұрын
Pande na mboga mboga
@ZuwenaSoni6 ай бұрын
Mzuri
@maximumtvonline6 ай бұрын
Asante
@sabahsalim33066 ай бұрын
Mie nimekaa kama nyumba hiyo mpaka leo.nnayo mabati nimelaza na tofali.hembu waache waingie ndani
@isunga19646 ай бұрын
Nyumba nzuri sana naumia kwa choo tu kuwa njee wakati wa usiku ndoo shida
@Oman-p8x6 ай бұрын
Wahamie sana
@NoorLheyNoorLhey6 ай бұрын
nakamahaweziuwarabuni hata tanzaniyakazizipo Joyce kriya ukiyeda anakutafutiya anodising ya wadadasenta silazima uwarabunitu
@maximumtvonline6 ай бұрын
Sawa
@MariamWiliam-z8k6 ай бұрын
Nao hao wavivu nawachafu wahamie tu hapo maisha yaendelee vingine vitafata
@MaryamShabani-n2u6 ай бұрын
Kaka zairi wewe unawepotezea mda acha wamie ivyoivyo kwa sababu wapo watu wanalala nje sasa wao nyumba ishatimia kila kitu
@Salmamkwendasalmamkwenda6 ай бұрын
Maoni yangu kaka yangu bora kiwekwe kifusi wahie tu
@maximumtvonline6 ай бұрын
Naomba mchango wako wa kifusi
@francinenahimana72896 ай бұрын
Muwe hange sana nahicho kisima mnacho nawya nda kwa watoto mukifung kabisa
@maximumtvonline6 ай бұрын
Kwakweli
@sheruajafari16766 ай бұрын
Ongera kaka zair mungu akuwekee
@fathimamct2326 ай бұрын
Hamieni kwenu Acheni kutaka Raha kwenu ni kwenu wekeni bati madirishani na mlango Hata yanmwbati mjistiri Yani watoto wa Leo mnaopenda kilankitu Supesho mtateseka Kweli wallah Kuna wenzenu wengine hawajafika hapo malipo nyie mnaleta Maskhara nyie Eeeee
@@maximumtvonline wenye shida wapo wanaishi kma hapo hata mm ningekuwa nimefikia hapo siwezi kupanga chumba haki ya mungu
@MaryamShabani-n2u6 ай бұрын
Unajua kuishi kwao kuliko shida wazozipata kwenye nyumba ya mtu wanakoso uhulu
@umsulaiman74686 ай бұрын
Kisikiliza maneno ya watu hutoendelea aisha yko
@maximumtvonline6 ай бұрын
Kwakwelj
@rukiabura83816 ай бұрын
Nyumba mona inakalika hiyo wahamie hivohivo itamalizwa kidogokidogo halafu hapo nje mona wanaweza kupanda mbogamboga wakauza mona linaonesha eneo la rutba
@maximumtvonline6 ай бұрын
Watakaa ndani kwenye hayo mashimo!?
@rachealbandeke48486 ай бұрын
Apana usienda dada chunga watoto uku batu wakufa sana uku
@azizaally-x7o6 ай бұрын
Mana ata si wengine tumehamia hivyohivyo hata hiyo mbona mtu unaishi
@fatmaally72526 ай бұрын
Iyo nyumba mbona imeisha si waamie tu mbona si kwetu atuna sakafu wala umeme jamani nyie acheni masihara awa waamie kama choo kipo bc inatosha mnafanya mchezo na maisha
@Sharefa-v6n6 ай бұрын
Nakuunga mkono ndug yaan hapo wanaish kabisa yaan Choo kipauliwe na kuweka Milango wahamie waendelee na maisha
@swahibaswaleh13486 ай бұрын
Kili aje oman asiogope
@umsulaiman74686 ай бұрын
Huko Cristina Usha nyanyashwa kwenye hicho kijumba musha timuliwa eti nakuja kukulaghai eti arabuni wanauwa watu Kwan hapana sirikali mpaka wauwe wanao taka usisikilize maneno ya kipuuzi huyo alike kuambia wanauwa alikuja kiumalaya tu hakuja kufanya kazi chuki tu
@maximumtvonline6 ай бұрын
Ndo hvo muoga
@زيتونتنزانيا6 ай бұрын
Zahiri unapenda mambo mzito hapo ni kufunga pazia nakuhamia wewe unataka hadi VİOO şiə tunaochanga tunaochanga kwakuwa tunamoyo lakini tunaishi kwenye hizo nyumba wewe uwaweke pazia wahamie watoto waishi
Zahir usimlazimishe kwenda kufanya kazi kwenda Arabuni watu wanateswa sana wachache wanapata bahati
@maximumtvonline6 ай бұрын
Wapi nimemlazimisha!?
@zainab-zg7bf6 ай бұрын
Mbona naona km mto
@isamony586 ай бұрын
Sasa hawa wanacho shindwa kuhamiya nini
@keyla36416 ай бұрын
Nyumba inakalika hiyo hapobchoo tu wahamie mimi nimejenga nimehamia bila ua gril
@NoorLheyNoorLhey6 ай бұрын
ukisemaetiwatu wanayefa yakaziuwarabuniwanakufa jamanimbona hata tanzaniya wakowanawouwawa
@samiraabdimahamed444922 күн бұрын
Mijitoto mivivu kama nini
@Mpakauseme6 ай бұрын
shimo walifunike ni hatarishi
@maximumtvonline6 ай бұрын
Kwakweli
@aminakawawa58006 ай бұрын
Nawapenda hawa watoto Zahir ebu nitoe block niwasaidie ila wewe bwana 😂😂😂😂😂
@hamidasaif40656 ай бұрын
Wakubali kutumika ishi zaije wakuwa wamalza
@ZekaniS6 ай бұрын
Waamie Tu watu wanalala pabaya
@maximumtvonline6 ай бұрын
Wanahamkaje kwenye mashimo ndani
@nasramohamedi40956 ай бұрын
Kiufupi nyumba ni mzuri lkn zahir unakosea hizo nyumba unazowajengea sio za msaada as if km ya mtu mwenye mapesa! Kwani ungejenga nyumba ya kawaida tu na bati za kawaida pengine chumba tatu au mbili na sebule c ingekuwa poa sana na hata wangepata floor ya sement! Acha kukuza mambo zahiri