MAMA MKWE ANANICHUKUA NA KUNIPATIA STRESS | ANATAKA AMCHUKUE MTOTO WANGU SLOVAKIA

  Рет қаралды 18,575

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Пікірлер: 120
@rhobyanderberg1101
@rhobyanderberg1101 6 ай бұрын
Nimekusikiliza vizuri sana! Ushauri usizae tena, soma lugha, uwe na kazi yako utakuwa na nguvu ya kujiamini. Mkwe asikusumbue, Muhimu mheshimu ila usimuogope! LUGHA & KAZI IS POWERFUL
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 6 ай бұрын
Shena, hongera tena . Sasa hivi nakufuatilia nikiwa Germany. Huyu bint changamoto anazopata ni za kurekebishika kabisa wala hahitaji kuwa na hofu. Ila tu kitu cha kwanza lazima ajitahidi sana asome Lugha ya Ki slovakia ataweza kuwasiliana kwa Lugha wanayozungumza wakwe na jamii aliyozungukwa nayo. Kwa kuwa mahusiano yao yalikuwa ya maamuzi ya haraka bila kujua. Ndiyo maana anaona anachukiwa. Ajitahidi sana kutokuwa na mawazo ya kuwa anafikiria anachukiwa. Slovakia ni nchi ndogo sana na wengi wao hawajatoka nje ya nchi yao. Hata Waingerza ambao hawajatoka wako hivyo hivyo Na ni vigumu kwa mtu ambaye hajawahi kutoka mahali popote akaelewa culture za watu wengine. Huyo mama mkwe wake si mbaya . Ila ni hofu tu. Mimi ninatambua wazi kabisa akikaa akatulia na kujifunza lugha ataweza kuwa rafiki yake. Ajitahidi sana kuwa mtulivu na ajifunze culture za hizi nchi za wenzetu. Anapotaka kupiga simu zake ajitahidi kupiga akiwa peke yake siyo usoni mwa mama mkwe. Na ajitahidi kuelewa kwamba nowadays kuna devices kwenye simu unapoongea mtu anaku record then anasikiliza mazungumzo yako. Hapo akigundua kama anamsema ndipo ataendeleza ugomvi na kumchukia zaidi. Kuhusu timing hilo halina mjadala kabisa. Witness ajifunze kwenda na muda na kuwa mwepesi wenzetu muda ni muhimu kuliko vitu vyote. Kuhusu watoto bibi wa kizungu wanapenda sana wajukuu. Yeye afungue moyo ampe bibi wajukuu hata kwa kipindi kifupi aweke mahusiano. Asibishane. Ataona furaha ya ndoa yake. Mwisho kuombaomba pesa na kutuma Afrika ataharibu ndoa yake. Aache kabisa. Nina mengi ya kumshauri lakini muda umeisha siku nyingine Mungu akitujalua. Mimi nina miaka mingi Hizi nchi za wenzetu.Nimeshazunguka sana humu Ulaya Natambua changamoto tunazopitia tuliolewa na Wazungu . Japo si wote tunapata changamoto zinazofanana. Wanaume wote duniani ni wanaume tu na binadamu wale wale. Kinachotakuwa ni kujitambua wewe kama mwanamke.Kutulia kiakili na kupambanua mambo baada ya kuingia kwenye mahusiano yoyote, Ukishaingia kwenye mahusiano hiyo ni commitment number moja. Hivyo umekua kimwili kiakili kisaikolojia nk. Unajitahidi kuyavulia maji nguo na kuyaoga wewe mwenyewe. Pia washauri wako wawe wa kukujenga siyo wa kukubomoa. Lazima uwe na kifua cha uvumilivu . Samahani kwa essay. Asante.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Hawaishi Slovakia wanaishi Holland.. Je ajifunze ki Dutch au ajifunze ki Slovakia ?
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 6 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance ajifunze lugha zote aanze na mahali alipo
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Shukran 🙏
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 6 ай бұрын
umeongea point sana nakumbuka hata kwetu usukumani kulikuwaga na shida mtu akiolewa kutoka kabila lingine lazima achukiwe asemwe asengenywe
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 6 ай бұрын
Ubaguzi upo mwingi kikubwa usichukue sheria mkononi Ila kuwafokea foka tu ili wajue umekelekwa usimpige mtoto usimpige mtu wa aina yeyote aliyekukosea kwasababu mtu anaweza kukufanyia makusudi ukilipiza wewe ndio unakosa kisheria be strong na jitahidi kutoka nje na kusoma Lugha na tafuta kazi ndugu yangu ❤
@graceramadan5583
@graceramadan5583 6 ай бұрын
Dada changamka na ww unaonekana mpole sana
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 6 ай бұрын
Usimpe mtoto watoto hujawaokota umewazaa na hujawatoa kwenye mti umewazaa shikilia wanao mwaya Kama ni siku mbili au moja inamtosha sio mwezi usikubali hata kidogo❤
@aishaarusha894
@aishaarusha894 6 ай бұрын
Uyu ni pole sana ningekua mimi mama mkwe angekoma ninge mpika mashuti shuti ange koma😅
@DevothaMhaiki
@DevothaMhaiki 6 ай бұрын
Shena Mwamnie Akasome Lugha, Mshauli Mbinu za kuishi Ughaibini Na Ajitahidi Awe na Kazi Asisubili maamuzi magumu Ambayo yanayoweza Mtokea Baadae.
@bahakyejo3800
@bahakyejo3800 6 ай бұрын
Dada jibadili kuwa sharp inawezekana sio akuchulie ulivyoo
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 ай бұрын
Bint mzuri huyu wakwe na sie jmn Sasa unamkataaje kabint km haka kapole kazuri
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 ай бұрын
Kwa miaka 20 niliyoishi Ulaya, na uzoefu wa kuishi na wabaguzi, ni hivi, Mama mkwe wako ni MBAGUZI, usithubutu kumuachia mwanao , kuwa makini hata na chakula alichopika. Kama bado please tafuta kazi ,, utakuwa stronger. Akiwa anaenda kwa mamake umwambie kwa upendo AENDE MWENYEWE wewe haupo comfortable.Hakupendi OK mtoto uliyebeba miezi 9 amtaka wanini? Mtoto nusu mweusi huyo hemu akupishe.
@upendogreutert199
@upendogreutert199 6 ай бұрын
Yaani hapo kuna mtihani sana sio siri , mtoto wa mwaka na nusu amtaka kwa Mimi sio sawa kwasababu bado mdogo jamaniii 😢
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 ай бұрын
​@@upendogreutert199tunawajua sana wabaguzi washaua wenzetu huku ,asijiachie sana atakuja kujuta. Mtoto wangu hata angekuwa na miaka 10 simpi mtu mbaguzi ambaye keshaweka wazi hanipendi NUKTA.
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 6 ай бұрын
Sasa wamao kicheck hawakijui hata wewe, kiholanzi watoto hawakijui wala wewe, sasa ni lugha gani nyumbani watumia na wanao ama na mumeo?
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 6 ай бұрын
I don't want to be negative, but hawa madada wa kitanzania wanaopenda ngozi nyeupe na kuzaa nao watoto half cast almost white, have you thought of your future? Watoto wakikuwa wanakataa mama zao,.wanaona aibu wamezaliwa na mama mweusi, wanaina aibu ku introduce their mums to their friends. Mzee utawakuta kwenye nursing homes if you aren't smart enough, tumeshayaona hayo
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 6 ай бұрын
​@@ameeranassor1619Weee mama ni mama hata awe nyani
@maiyaalhabsi2926
@maiyaalhabsi2926 6 ай бұрын
Shea nakufatialia kipindi chako kina mafunzo Sana. from Oman.
@joycehagman3086
@joycehagman3086 6 ай бұрын
Pole dada janjaruka , kuwa makini na uangali sana watoto vizuri,napata kazi, ili upate mshahala wako pole sana.
@Wineqeenmajid
@Wineqeenmajid 6 ай бұрын
Witness mdogo wangu upo huko hongera
@BiubwaAljahadhmy
@BiubwaAljahadhmy 6 ай бұрын
Pole sana dada lkn si wazungu hata wanaume wa kawaida kuombwa ombwa pesa halwalipendi hilo jambo
@KudraMgimwa
@KudraMgimwa 6 ай бұрын
Mwambie ampende tu huyo mama mkwe ipo ck huyo mama atajiona mjinga.pia asome hiyo lugha. Maana hana jinsi amishazaa naye mwanaye. Aachilie moyo wake awe na amani.
@AngelaLyimo-d7x
@AngelaLyimo-d7x 6 ай бұрын
Cute jamani nimependa mahojiano yenu❤bravi
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 6 ай бұрын
Ukisikia bahati ndio hizo ❤❤❤
@regulashine8854
@regulashine8854 6 ай бұрын
Namshauri c'ha kwanza ajitahidi anifunze lugha. Asikubali kumwachie mtoto ni mdogo.
@upendogreutert199
@upendogreutert199 6 ай бұрын
Hii kabisa hapana mtoto bado mdogo
@zwuenakhalfan2098
@zwuenakhalfan2098 6 ай бұрын
She a muulize huyo msichana afanue medical check namuonra shingo kama kimevimba check mambo ya Thyroid blood function test
@pricemlay
@pricemlay 6 ай бұрын
Dear kuna wenye shingo za namna hii na hawana shida Yeyote wengine ni maumbile.Asante kwa umakini na kujali pia
@momforone7946
@momforone7946 6 ай бұрын
I noticed that too🙏
@elizajoseph7209
@elizajoseph7209 5 ай бұрын
Atakuwa na Goita awahi matibabu mapema
@ebitariho9720
@ebitariho9720 6 ай бұрын
Mimi na wasauli dada na kaka zetu wa tanzania muondowe fikira za kutaka kuowa au kuolewa na watu wasio kuwa weusi. Kuolewa na mtu asiye kuwa wa rangi yako ni utumwa. Na ni mateso. Tolewa na mwafirika mwezoko maisha utafurahia.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 6 ай бұрын
we tuache na wazungu wetu 😂
@DoreenMwanga-dg7xp
@DoreenMwanga-dg7xp 6 ай бұрын
Tena ukiwa na mwafrica ndo utumwa zaidi usaliti na ngono zisizo na mpangilio
@upendogreutert199
@upendogreutert199 6 ай бұрын
Huyu dada anaonekana Mama mkwe anamsumbua bado, anafaa asimame na Mungu sana, because Wengine wana tabia yakukutafutia sababu ili uachike so she have to be makini sana .
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 6 ай бұрын
Bora apate kaz tu
@sund2553
@sund2553 6 ай бұрын
Mi nikipata mzungu ntamshawishi tukakae Tz huku kwao tutakuw tunakuja kutembea tu #currently nipo USA
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 6 ай бұрын
Jitahidi mzungu awe chaguo la mwisho Mtanzania mwenzangu. Tunahitaji kulinda tamaduni zetu kwa wivu mkubwa.
@AngelaLyimo-d7x
@AngelaLyimo-d7x 6 ай бұрын
Si mpaka mmkubaliane
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 6 ай бұрын
Sio rahisi unavyofikiria kumtoa mzungu kwake kumpeleka nchi nyingine tu kazi sembuse Tanzania
@sund2553
@sund2553 6 ай бұрын
@@jacksonmsendo3478 Kuna wanao kubali Nina best yangu walihamia mwanza up now wapo huko America wanakuja vacation tu.
@tinaminja5500
@tinaminja5500 6 ай бұрын
Kapole ila usikubali pambana na icho kimama
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s 6 ай бұрын
❤❤nawapenda
@DoreenMwanga-dg7xp
@DoreenMwanga-dg7xp 6 ай бұрын
Amepooza sana achangamke ndo maana wanamzoea ....ni ngekuwa mimi mbona angenikoma huyo mama .....mda mwingine bhn usipooze sana
@zahirallyzorro3940
@zahirallyzorro3940 6 ай бұрын
Mpderator Mike yako ina Vibrations
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 6 ай бұрын
Sister nakuonea huruma lakini huyo Bibi usimpe mtoto wako hata mmoja kaa na watoto wako mpaka wakuzowee kama Mama. Anaweza akamchukuwa na akamzoweya Bibi yake sana akaja akasahau Kama wewe ndiye Mama yake. Kaa uwombe Mungu sana.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 6 ай бұрын
huyu binti ni mpole sana kikubwa rudi shule kasome lugha ukijua atayakuombea maji na kusomea kitu then ulaya ukiwa na mtoto huwezi nyanyasika huyu mama wawezakumwambia Mume wako hivi kam bado mtishie nitaondokq na mwanangu atahongea na mama yke atatulia ,Na wazungu usiwahoneshe kuogopa kwenye eshima toa eshima kam akitret vibaya fungua mdomo mama Nakueshimu hivi hapana ukiwa mpole ivyo sana atajuawickensss zako atazidi
@SophiaJoseph-k9m
@SophiaJoseph-k9m 3 ай бұрын
❤❤❤
@AmirAmir-ct5gd
@AmirAmir-ct5gd 6 ай бұрын
Mwambie huyo dada achangamke yuko pole sana
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 6 ай бұрын
Ilo jicho ulilompa huyo bibi ndio umpe mkweo ssasa akukome😂😂😂😂
@witnessfelix3336
@witnessfelix3336 6 ай бұрын
😂😂😂aya ntafanya ivo
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 6 ай бұрын
Usikubali kumpa huyo mama mtoto abaki nae peke yake na wala usikubali kukaa nae peke yake kabla haja kukubali. Moyo wa mtu ajuae mungu.
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 ай бұрын
Kikubwa jua lugha hayo mengine yote hayatakusumbua kabisa,na heshima itakuwepo,usipoijua lugha kila mara utajiskia mpweke na utahisi wanakusema,na ninahuakika mama mkwe wako anakupenda kama na uzazi alikuja kukusaidia weeh mshukuru,ulaya wamama wakwe hata hawafanyi hivyo,ninawajua sababu mimi mwenyewe ninaishi germany na nina watoto huku na wakwe huku,,maisha ya ulaya kwenye uzazi ni ya upweke aiseee
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 6 ай бұрын
Hao ni wabaguzi sana😭😭😭😭
@MadinaAbduKyabazinga
@MadinaAbduKyabazinga 6 ай бұрын
Uyu dada kwel anaonekana ayupo sharp ata jinsi ya kujibu
@MariamShagata
@MariamShagata 6 ай бұрын
Ndio alivo maumbilie yake? Mpole mpole lkn siku akikasirika ndio ataonekana kashangamka😂
@zenajustus5731
@zenajustus5731 6 ай бұрын
Pole Dada,cha muhimu ni ww na mmeo,sababu hawa watu wa huku kama anavyosema Dada wa izi nchi ndgondgo wako ivo,na sio yy tu hata kwa mwingine,kwa mfano mm nimeoleka Croatia,si kua eti ni wabaguzi wa rangi la tatizo haswa wenye wako kwa islands wanapenda tu kuoana wao kwa wao hawana sana kwa mtu wakuja,sijui ni mazingira wanayoishi afu wengi hawajatoka toka nje sana na pia hamna sana weusi,kama huku kwa island yenye tuko,ni weusi wawili tu,mm mkenya na mmadagaska,sasa basi kurudia kumjibu jibu lake niko na rafiki yangu muingereza imajn waingereza wazungu pia,but mama mkwe ni ivo ivo yaani ni kama anamkubali kishingo upande,so si suala la weusi tu hawaelewi elewi wakuja,ni kama hawapo tyri nao,so mm nashkuru muhimu ni mme wangu na pia vzuri wakaazi hawana shda ni Ile wanakushangaa tu kwa sana.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Shukran na Karibu kwa kipindi Zena +4366764790884
@zenajustus5731
@zenajustus5731 6 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance Asante nimeshkuru na nafurahi coz hua napenda kufatilia nakusikiza vipindi vyako kila nnapokua na nafasi,hongera kwa hili hii ni elimu nzuri sana.
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 ай бұрын
​@@zenajustus5731dada njoo akuhoji nawewe ulete uzoefu watu wajifunze zaidi. Please, Shena amekukaribisha hapo na namba amekupa.
@Shalom2018
@Shalom2018 5 ай бұрын
Ushauri wangu dada watoto wako kaa nao mwenyewe.Uholanzi inawajali sana watoto tena wanalipwa,umri wa kuanza shule ni miaka minne,wakiwa wadogo unawapeleka sehemu kama chekechea hivi,kama unaenda skuli kusomea lugha ukirudi mchana unaenda kuwachukua,kama wanasoma skuli na wewe unaenda kazini basi watoto wakimaliza skuli kuna sehemu hapohapo skuli inaitwa kinderopvang unawalipia wanakaa mpaka jioni ukirudi kazini
@Shalom2018
@Shalom2018 5 ай бұрын
Kuhusu mtu wa kukusaidia ukishakujifungua,unaletewa mtu wa kukusaidia muda nimesahau kama siku 4 au wiki,mimi nimezaa watoto watatu huku wala sijapata stress ya mtu kunisaidia,kubwa mumeo tu nae awe anakusaidia.narejea tena watoto wako kaa nao mwenyewe, watoto ni mama.
@Shalom2018
@Shalom2018 5 ай бұрын
Kuhusu lugha mimi watoto wangu nilianza kuongea nao kiswahili,kwa sababu mimi na baba yao ni watanzania,nilipomzaa mtoto wangu wa kwanza kwa huku Uholanzi,siku niliyompeleka kliniki nesi aliniuliza mtoto unaongea nae lugha gani? nikamwambia kiswahili,akaniambia ni vizuri sana kwa sababu lugha ya kidachi (kiholanzi)atakijua tu akienda skuli au akicheza na wenziwe, namshukuru Mungu mpaka sasa watoto wangu wanaongea kiswahili,kidachi na kingereza
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Shukran kwa ujumbe Karibu sana kwenye kipindi tupate kujifunza mengi kupitia wewe +4367764790884
@esterMahenge
@esterMahenge 4 ай бұрын
Uyu dd kama na mjua sura sio ngeni kbs
@chiticollemans
@chiticollemans 6 ай бұрын
Shena umependezaa
@bintibaibe1958
@bintibaibe1958 6 ай бұрын
Huyu dada acheki shingo yake naona km imevimba
@patriciamalligy8503
@patriciamalligy8503 6 ай бұрын
Shena mimi najifunza sana kutoka kwako .mimi nipo na wangu ila bado sijamkubalia kwenda kwao maana naona ni mchoyo sana
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 6 ай бұрын
Shena,huyu dada akaze kamba maana anaonekana ni mpole sana atafurahi na show inatakiwa awe ngangari kweli kweli vinginevyo atapata depression hlf mambo mengine yayowezekana kubadilika abadilike kwa mf.kwenda na wkt,akianza kazi ndo utajua faida za kwenda na muda.
@shamzone388
@shamzone388 6 ай бұрын
Kweli huyu dada inabidi akafanye throat test amevimba sana kwenye shingo
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 ай бұрын
Najua wengine ni ugonjwa wanahitaji dawa ila wengine shingo ziko hivyo .Akapime tu lakini usiogope Witness, kama ugonjwa utapata dawa.
@olivernyange2349
@olivernyange2349 6 ай бұрын
Na kama anayo shida kwa throat ndo maana anakuwa na hasira
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 6 ай бұрын
Usikubali kabisa kumpa mtoto
@AngelaLyimo-d7x
@AngelaLyimo-d7x 6 ай бұрын
Kumpa kwa maandishi au tu hivi hivi? Mhh
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 6 ай бұрын
Mpole mnooo daadh
@graceandrew3988
@graceandrew3988 6 ай бұрын
Wity mi nakushauri usiweke kinyongo na mama mkwe,as long as huishi naye na upo na mume wako,just stick na upendo wa mume wako.Ikifika muda wa kwenda kwa mama mkwe nenda mpende usionyeshe kinyongo chochote,mheshimu na usijibizane naye kitu.Omba Mungu,muda utaongea ipo siku atajiona anakosea..
@josephlorri431
@josephlorri431 6 ай бұрын
Shena umependez sana.. wewe ni mrembo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 6 ай бұрын
Jamani watu wa Zanzibar mbona sisikii kuolewa na Wazungu? Au utamaduni na desturi zao haziendani na Wazungu? Naona mabanati wengi wa Tanzania Bara wanapendelea Wazungu watu weupe.
@MaaneML
@MaaneML 2 ай бұрын
Huyu dada atibu goitre hiyo. Ndiyo maana anakuwa na tatizo la kusahau. Ila kama anataka mtoto mwkngine azae kwanza haraka ndiyo aiondoe goitre. Na kuiondoa huenda ikaondoa tezi zote 2 hivyo itabidi awe anskunywa Thyroxin muda wake wote.
@NiceWatson-y7e
@NiceWatson-y7e 6 ай бұрын
Pia inaonekana witness anamuogopa sana mama mkwe ndo inachangia kutopendana ila mama mkwe inaonekana mkal ila anamoyo mzur amgekuwa mwengine mwenye roho mbaya asingekuja kukaa na mtot kipind cha kwenda kujifungua
@pricemlay
@pricemlay 6 ай бұрын
Mi ndio huwa nassema ni bora kukaa kimya kam humpendi mtu maana akijua humpendi umejitengenezea adui wa kudumu hata kama ulikuwa hauko sawa kihisia hutaweza kamwe kumbadilisha akuamini tena.
@BatistaSanga
@BatistaSanga 6 ай бұрын
Uwe unakubali kumwachia mtoto atabadilika.
@niyonizeyeremy199
@niyonizeyeremy199 6 ай бұрын
Na mimi nifanyie dada nahomba 😢
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 ай бұрын
Eeeh huyo mtoto bado mdogo mnoo kwenda kwa bibi ake mwezi mzima tena peke ake bila mama, kawaida wabibi wa kizungu huwa hawakubali kukaa na wajukuu wakiwa wadogo chini ya miaka mitano,labda kwa wikend tuu wanaweza kujaribu,pole sana na ubaguzi uko kila mahali tena kwa sisi ma haus lander,wageni wa ngozi nyeusi ndiyo tunakutana na ubaguzi mwingi
@JulianaMwendwa-b4j
@JulianaMwendwa-b4j 6 ай бұрын
Acha watoto waende usiwakataze kule ni kwao
@graceandrew3988
@graceandrew3988 6 ай бұрын
Shena umependeza sana kipenzi ❤
@DoreenMwanga-dg7xp
@DoreenMwanga-dg7xp 6 ай бұрын
Mdada amepooza huyu jamani bhn😅😅😅
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 6 ай бұрын
Dada Shema mwambie huyu dada amsamehe mama mkwe wake sidhani kama ni mtu mbaya maana kama aliweza kwenda kumsaidia uzazi angekuwa na nia mbaya naye basi asingeenda ajitahidi tu kumheshimu na kumuonyesha upendo nina imani kuwa upendo utafunika yote
@upendogreutert199
@upendogreutert199 6 ай бұрын
Yaaani Ndugu wa Mume au wakwe sio Tanzania 🇹🇿 tu, wanaletaga Changamoto maana Kama Mimi mwenyewe Mume wangu aliambiwa na kaka yake usifunge ndoa kwanza Kaa kwanza, Yaaani red flags zipo sanaaa
@mercydirisha8903
@mercydirisha8903 6 ай бұрын
Acha jazba usiwe unachukia unaumiz moyo wako just ignore it
@GloryMshanga-hx9uk
@GloryMshanga-hx9uk 4 ай бұрын
Bado net inasumbua
@CheerfulJackalope-uu9ls
@CheerfulJackalope-uu9ls 6 ай бұрын
Mm nataman kufanya kaz nje ya nchi nipe njia madam
@JulianaMwendwa-b4j
@JulianaMwendwa-b4j 6 ай бұрын
Apime hiyo shingo
@elizajoseph7209
@elizajoseph7209 5 ай бұрын
Atakuwa na Ugonjwa wa Goita awahi matibabu mapema
@ESTHERKamala-qp7gi
@ESTHERKamala-qp7gi 6 ай бұрын
Wewe muonyeshe upendo tu ipo siku Mungu atasimama na wewe
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 6 ай бұрын
hahaha huwajua wazungu wewe, lazima u standup for yourself.
@homeandaway2811
@homeandaway2811 6 ай бұрын
​@@sleeprelaxation8431kweli hawajui vizuri wazungu, wengi wao ni maBULLY sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
Well said 📌
@KudraMgimwa
@KudraMgimwa 6 ай бұрын
Shena muulize kabila gani?
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 ай бұрын
Atakuwa msukima.au mbeya Dodoma mwanza
@olivernyange2349
@olivernyange2349 6 ай бұрын
😂😂😂 mchaga je​@@farhannahomary5505
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 6 ай бұрын
Jamani naomba mnisaidie.hiyo tinder unalipia shingapi.mimi hata sielewi.na pia nilazima uwe na account??
@howardmwenguo3953
@howardmwenguo3953 6 ай бұрын
Ni bure
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 6 ай бұрын
Ukitaka kuuonekana zaidi inabidi ulipie. Watu wakikureport wakikublock uufunguui acc mpya had na simu mpya😂😂
@patriciamalligy8503
@patriciamalligy8503 6 ай бұрын
Tinder sio lazima ulipe mimi nilifungua account nikapata mswadish
@gracelyimo6256
@gracelyimo6256 6 ай бұрын
Mdg wangu kajaribu lkn ina mkomand kulipia
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 6 ай бұрын
@@gracelyimo6256 sio lazima lulipia, on 1st week utapata free access baada ya apo kimberley, Google play aweke alipe
@queenofireland898
@queenofireland898 6 ай бұрын
kupendwa na mumeo ndo mpango mzima dear usijitie stress bure ww jitahidi tu kuongea na mkweo vzr muheshimu ukenda kwake jitahidi kumsadia kazi mpende mwishowe atakupenda tu😊
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 6 ай бұрын
Huyu ni msukuma? Mpole mno jamani ndiyo maana mama mkwe anasema hayuko sharp 😢 changamka kidogo my dear 😅
@kiddmagrking1647
@kiddmagrking1647 5 ай бұрын
Nimeskia neno kukoswa nikajua huyu itakuwa WA kanda ya ziwa😮
@Rhobimdenish
@Rhobimdenish 6 ай бұрын
Alizan una korona
@neemajohn6142
@neemajohn6142 6 ай бұрын
Watoto wanaongea lugha gani? Na wao na mumewe wanaongea lugha gani?
@MariamShagata
@MariamShagata 6 ай бұрын
Slovenia nchi ndogo na ubaguz wanao aka vishoka ulaya njaa na maskeen pia wanazaa km wafrica wtt wengi? Wengi wanakimbilia nchi tajir kufanya kazi km hyu mume wake kufany kazi holland ? Sema kazi hiko kujifunz lugh mbil hili aweze kuongeq na familia ya mume?tena unabahat vishoka wengi uuacha wtt Africa wengi tu awajali wako tabia za wafrica? Pambn lugh ya udachi fanya kazi upo nchi za sheria kuliko Slovenia? Wazungu jina masken ?
@NzeyimanaVéronique
@NzeyimanaVéronique 4 ай бұрын
Dada mutaradibu
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 6 ай бұрын
Brainwashing at its best Watanzania wenzangu! Vizazi vyetu vipo hatarini sana.
NILILALA STENDI SIKU 7 KUSUBIRIA VISA | NILIKUA FUNDI GEREJI NA SAIDIA FUNDI WA UJENZI
55:00
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 6 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,7 МЛН
VITU VYA MSINGI VINATAKIWA ILI KUINGIA NCHINI POLAND
7:08
Lilian travel every day &vlogs
Рет қаралды 160
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29