Nakupenda ukhty raya na timu nzima kwa ajili yaAllah
@ekyochisikitaya5354 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi hiyo, Mwenyezi Mungu awaongoze ao watoto.
@abcmnbb2610 Жыл бұрын
Mwalimu RAYA mungu akupe afya njema Naumri mrefu inshaallah ❤❤
@salamaally6807 Жыл бұрын
Yaa Allah tuongozee vizazi vyetu ukhi rehma zamungu tunakuomba hizi semina ziendelee na.mashule mufike maana muda mwingi wapo shule Allah awawezeshe amin
@FaizaSalim-y6v Жыл бұрын
assalam aleykum ni mfano mzuri mumeonyesha wa kuigwa tutajaribu na sisi mombasa allah awalipe kheri ❤❤
@kalamuMedia Жыл бұрын
In sha Allah,Alla awaongoze
@bibahhadith Жыл бұрын
Subhanallah😢 Allah waoñgoe watoto wetu YAARABBALAALAMIN
@ummumuuminsalim4330 Жыл бұрын
Ma shaa Allah Allah awafungulie iwe wepes kwenu nyote na Allah awahifadhi watoto wetu
@luqmankasanga-bk7nn Жыл бұрын
Allah awajalie
@eshasalim5496 Жыл бұрын
SUBHANA ALLAH! ALLAH Atustiri Ya Rabb. Jazzaka Allahu Khairan. Allahumma Amiin
@murtadhwamurtadhwa8046 Жыл бұрын
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakaatuh,,, Allah atuongoze wote Aamiina.
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Subhanallah Allah atuongozeye vizazi amiin 🤲 ya Allah 😢
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah ❤
@cheka480 Жыл бұрын
Mashallah 😢😢😢😢subhanallah hakuna kitu kigumu kama ulezi tena haswa kama ni kwa mwanamke peke yake. Allah awalipe kheri nashauri muweke group ili sie tunaokua busy kutafuta tupate alerts ya hizi program na ingependeza shule zinapofungwa
@mwajabuabdallah3544 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu awaongoe wao na ss tuloko nnje ya hapo na watt wetu
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Allahumma Amiin
@MohamedMohamed-fc7vh Жыл бұрын
MashaaAllah Ukhti
@saadysaidzahaze5980 Жыл бұрын
Mungu tusaidie yaarab
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@abdulrahmanhaji1348 Жыл бұрын
Allahumabarik jamani namba yenu
@lordenoughforme4417 Жыл бұрын
Naomba mmoja angaa nimuoe mm,aje tuishi mombasa
@mohammedalwi1865 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah
@arafahassan3451 Жыл бұрын
Mashaalla nawaomba mufike na tanga
@KhadijahIdd-i2k Жыл бұрын
Mashaallah
@ahmedmbarouk3463 Жыл бұрын
Hii darsa ipo wapi tafadhalini
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Masha ALLAH
@rajaburamadhanisaid4076 Жыл бұрын
Malezi ni jukumu letu tutekeleze kwa upendo
@mariammohamed6762 Жыл бұрын
Allah akbar
@mubaarakamussa9567 Жыл бұрын
Semina za watoto hasa wa kike ni muhimu,,,lkn sioni kama ni busara kuzisoma hadharani,,,,,,wangewekewa pazia,,,zisitoke kwenye Media,,,,,,
@zahrahusain7203 Жыл бұрын
Kuna wengine wanatamani tuwawone
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Subhna Allah
@fabssaleh7273 Жыл бұрын
SUB HAANA ALLAH
@hajimgwami5224 Жыл бұрын
As slaam aleykhum, huzi semina kwanini uwa wakati zinaandaliwa uwa hamtujulishi na sisi tulete watoto wetu, au mnafanya kwa watu maalum???? mtujulise na sisi tunataka watoto wema baadae
@mwajabuabdallah3544 Жыл бұрын
Natamani huku tanga pia huku tuliko kungekuwa na darasa ya ivo
@hassanmohdally5217 Жыл бұрын
Hivi hiki chuo kiko wapi naombaa mnisaidie
@aminamohd8941 Жыл бұрын
Sio chuo ila ni walimu wanatoa hizo semina sehemu tofauti wasiliana nae ametoa namba hapo mwisho