Watoto Wazeeka Lakini Mama Yao Abakia Kuwa Kijana | Watengwa Na Kijiji

  Рет қаралды 65,941

Afrimax Swahili

Afrimax Swahili

Күн бұрын

Hii ni Historia Ya kusisimua Inayomuhusu Mama Mwenye Watoto wazee Lakini Yeye Sio Mzee
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda #yangasc #simba #simbasc #habari24
#duet #love #tanzania #simbanayanga #paulmakonda #arushatanzania #daressalaam #ngaoyajamii #comedy #diamondplatnumz #jasonderulo #komasava #trendingvideosintanzania #usajilimpyawasimba #usajilimpyawayanga #wananchiday #sikuyawananchi #simbaday
#azamsports #goldenboy #karma #kenya #uganda #ruto #maajabu #greenscreen

Пікірлер: 145
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 4 күн бұрын
Mama umejitengenezea mbingu mungu akubariki daima mbingu zitafunguliwa kwaajili yako mungu awabariki wote
@FaustaMahimbokisara
@FaustaMahimbokisara 5 күн бұрын
Mungu akubariki sana akutetee Kwa Kila jambo
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 4 күн бұрын
NDIOMAANA DUNIA IPO SALAMA MBAKA LEO,KWAKUA BINADAMU KAMA HUYU MAMA BADO WAPO.
@anethachengula1258
@anethachengula1258 5 күн бұрын
Mama una moyo wa dhahabu. Kutoa si utajiri. Mungu akubariki.
@JuliaZaninka
@JuliaZaninka Күн бұрын
Apana uyu anataka pesa nawutawala hana mapenzi unaona mwazo wavideo awa waze wiko vizuri wananenepa lakini mwisho wavideo wamekonda uyu anataka pesa hana mapenzi anataka pesa tena mutu anawimwa mugongo anafariki ni mucawi uyu maman ukingatwa nanyoka kama hufariki apo apo ukinywa dawa unapona sasa alifariki nyuma aliwawuwa kwa sababu walikuwa wanahakili kuliko wingine sawa
@RoseBoke-p9n
@RoseBoke-p9n 4 күн бұрын
Aki this woman had a golden heart she's blessed 😢
@RachelRobwam
@RachelRobwam 4 күн бұрын
Mungu akubariki mama akupe maisha marefu yenye baraka 🙏🙏🙏♥️♥️
@annenaliaka2879
@annenaliaka2879 Күн бұрын
Mama ubarikiwe sana na kamwe usije kushidwa. Mungu akubariki sana
@JoyceLuhasha
@JoyceLuhasha 3 күн бұрын
Ubarikiwe mama mungu Yuko pamoja nawe🙏
@GreetyWillysiame
@GreetyWillysiame 5 күн бұрын
Mungu hujisazia watu kama huyu
@ZahraOman-f4m
@ZahraOman-f4m 4 күн бұрын
Mungu akubari mama jmn uta kuta ujira wako ❤❤❤
@dorcaspebler453
@dorcaspebler453 4 күн бұрын
Mama you are blessed ❤❤❤
@elesianakabuje5832
@elesianakabuje5832 3 күн бұрын
Watu wenye moyo kama wako mama hapa duniani wapo wachache sana mungu akubariki sana
@FatumaWangu-p2m
@FatumaWangu-p2m 8 сағат бұрын
Mama ubarikiwe sana MUNGU Takupa makao mema hapa duniani na kesho akhera 🤲🤲
@Elesciahmdugo
@Elesciahmdugo 5 күн бұрын
Hongera mama kwa moyo wako, mwenyezi mungu atakujazi
@LilianMkini
@LilianMkini 4 күн бұрын
Mungu akuzidishie mama kwahatua uliyofanya wewe ni dhahabu
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 4 күн бұрын
Mrejesho jamn story ni njema sana😢😢😢
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 49 минут бұрын
I seeee huyu mama ama kweli ana sehem yake I seee🙌🙌🙌
@MaryNjoka-i3t
@MaryNjoka-i3t 5 күн бұрын
Mungu nakuomba baba yangu unibariki na baraka ya kuniinua niweze kutunza wazazi wangu ,Kuwa hawa wazee wananiguza sana nimelia sana .
@NicholausMziray
@NicholausMziray 3 күн бұрын
Ameen
@SofiaMichael-ln4ed
@SofiaMichael-ln4ed 3 күн бұрын
Mungu anipe moyo wa upendo kama huu nafasi hii Mungu nijaarie na mimi
@priscillarnjeri7874
@priscillarnjeri7874 2 күн бұрын
Wazee hutecheka sana , watoto wao wanawatupa . Thanks for those who assisted her .
@dorothymwanyika350
@dorothymwanyika350 4 күн бұрын
Mungu akubariki kwa moyo wako mwema. Ubarikiwe sana
@rechopiahmusic9331
@rechopiahmusic9331 5 күн бұрын
Ubarikiwe mamangu god bless you ❤❤❤❤😊
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 3 күн бұрын
Mungu akubariki sana mama
@TeknoPopo-yu5ov
@TeknoPopo-yu5ov 3 күн бұрын
Mwenyezi Mungu tusamehe sana hatujui thamana ya Wazazi Ulimwengu unatisha watu hawana utuu..
@MarthaMwangi-o8o
@MarthaMwangi-o8o 3 күн бұрын
To GOD be the glory more grace woman of GOD
@allypeter1951
@allypeter1951 5 күн бұрын
Mungu akubariki sana mama kwa upendo wako
@HalimaAthman-p5d
@HalimaAthman-p5d 4 күн бұрын
Mungu akubark mama❤❤
@siamakala1945
@siamakala1945 5 күн бұрын
Mungu azidi kumtunza kwaajili ya wengne blessed mom❤
@NeemaMwanga-o2v
@NeemaMwanga-o2v 5 күн бұрын
Moyo wa dhahabu ndio huu
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 2 күн бұрын
Mungu Amsaidie sana Uyu Mama .
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 3 күн бұрын
Ubarikiwe sana mpendwa 🙏🏽
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 күн бұрын
Thawabu yako no kubwa mama oooh MUNGU WETU akubariki
@nduatibenson42
@nduatibenson42 3 күн бұрын
Good work mama
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 5 күн бұрын
Wanyoe vzr, ubarikiwe
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 4 күн бұрын
Wazee wengine hawapendi kunyolewa ndugu
@FortunataChambi
@FortunataChambi 5 күн бұрын
Hongrra sana mama
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 4 күн бұрын
Allah akupe nguvu na uwezo uweze kuwa saidia. Subhana Allah. Allah bless you dear mama
@SerahaGoseStar
@SerahaGoseStar 2 күн бұрын
Mungu akubariki saana ❤❤
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 күн бұрын
Mmmm, wazee.mtihani kuishi.nao
@priscillarnjeri7874
@priscillarnjeri7874 2 күн бұрын
One ☝️ n a million. May God bless her
@mukunirabecca7686
@mukunirabecca7686 4 күн бұрын
Mungu azidi kukubariki mama
@gladnessshola
@gladnessshola 2 күн бұрын
Yani, baraka ambazo huyu mama anazichuma, acha nisiongee sana, narudia hizi baraka ambazo anazichuma huyu mama sio za nchi hii 🙌😢😢😢
@josephvenus3259
@josephvenus3259 3 күн бұрын
HUU NDIO MOYO WA UBINADANU ALIO TUUMBIA MUNGU WETU. MAMA UBARIKIWE SANA HADI USHANGAE.
@estherkaranja4887
@estherkaranja4887 15 сағат бұрын
God bless you abundantly
@LydiaBenny-q2g
@LydiaBenny-q2g 4 күн бұрын
Mungu akuongezee
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 5 күн бұрын
Barikiwa Mama🎉
@MonicaMpokwa-p1b
@MonicaMpokwa-p1b 4 күн бұрын
Mungu azid kukuongeza kila mahali❤❤❤
@RehemaMbito-j1m
@RehemaMbito-j1m 2 күн бұрын
Mama abarikiwe sana
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 4 күн бұрын
Mama anamoyo mzuri
@sophianabintu6666
@sophianabintu6666 5 күн бұрын
Maman una moyo wa uruma kweli mungu akukubuke na akubariki sana
@davidcitynews
@davidcitynews 2 күн бұрын
Mhhhhhhhhhhhhh amakweliii kutoa siutajiriii
@TimaIsmael-n5q
@TimaIsmael-n5q 5 күн бұрын
Mungu akubarik
@MarryKuzenza
@MarryKuzenza 5 күн бұрын
Mungu akubariki
@KingdeeDavid
@KingdeeDavid 3 күн бұрын
mama ubarikiwe sana umefanya kitu kikubwa sana ambacho hata serikali yenye mabilioni ya fedha aifanyi unachofanya hakika umemkopesha mungu umeweka akiba mbinguni pasipo na kutu Wala wezi
@JosephTherathini
@JosephTherathini 4 күн бұрын
Kuna kitu nimejifunza
@KevinPeterKevinPeter
@KevinPeterKevinPeter 3 күн бұрын
Mama ubarikiwe
@StarMerinyo
@StarMerinyo 3 күн бұрын
Mungu atakubariki mama
@sethadalo1503
@sethadalo1503 2 күн бұрын
Heri mwenye MOYO safi, MUNGU akupe siku nyingi za Heri dada.
@MaryNjoka-i3t
@MaryNjoka-i3t 5 күн бұрын
You are blessed woman
@gabrielisack4230
@gabrielisack4230 4 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@gracemosha5634
@gracemosha5634 4 күн бұрын
Mungu akubariki mama moyo wako ni wa pekee sana.
@rainaldambawi-cq9yu
@rainaldambawi-cq9yu 4 күн бұрын
Barikiwa mama
@chimomobeauty
@chimomobeauty 4 күн бұрын
Kweli kuzaa siyo kupata
@jacobojames7086
@jacobojames7086 4 күн бұрын
More bless
@norakisinane9989
@norakisinane9989 3 күн бұрын
Mungu akubariki mama
@millycherrilyosika6140
@millycherrilyosika6140 4 күн бұрын
Mama mungu hata kubariki katika huse wako mungu ataruhusu uteseke.
@AnneHarold
@AnneHarold 2 күн бұрын
mmh
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 4 күн бұрын
Mashaallah 🎉
@حسنا-ض3ز
@حسنا-ض3ز 3 күн бұрын
Mungu akubariki saana 🙏🙏
@sianagodson3690
@sianagodson3690 2 күн бұрын
Mungu akutunze daima mama,nasi tuige hii tabia ya ukarimu
@JuliaZaninka
@JuliaZaninka Күн бұрын
Uyu hana roho nzuri kwa hawa waze anataka atawale apate pesa hana mapenzi kwa awa wazeee
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 4 күн бұрын
Ubarikiwe mamaangu
@florencefor4061
@florencefor4061 3 күн бұрын
God bless you mom 🙏 🙏 🙏
@LuciaMwambingu
@LuciaMwambingu 4 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu mama wewe kwa utumishi wako huo mkubwa sana
@NunuMwemtsi
@NunuMwemtsi 4 күн бұрын
We mama mungu hata kuacha kwa moyo huo ulio nao.ubarikiwe sana mungu atakujazia unapopunguza
@LugoraMashaka
@LugoraMashaka 4 күн бұрын
Ubarikiwe sana mama
@IddyMajid
@IddyMajid 4 күн бұрын
Mungu akupe nguvu na upendo wa kuwalea wazee haoo
@irenekendigitari3800
@irenekendigitari3800 3 күн бұрын
Blessings mother
@shaloom-it4qs
@shaloom-it4qs 3 күн бұрын
Ee Mungu nipe moyo wa kusaidia kama wa huyu mama hii ni baraka kubwa mnoo
@annewangui547
@annewangui547 4 күн бұрын
Watu wa murima Ni clean heart sana❤
@hoithamacha1503
@hoithamacha1503 4 күн бұрын
Mungu akubariki mama dhahabu yako nikubwa kun cha kujifunza
@RhodaSusan
@RhodaSusan 4 күн бұрын
❤❤❤.more love GOD bless you you mommy
@aminasuphian4018
@aminasuphian4018 5 күн бұрын
Mungu akubariki sana mama,umetufundisha nini maana ya upendo.
@jacklinemonene9662
@jacklinemonene9662 5 күн бұрын
God bless you abundantly Mummy
@EuniceNjokiMuthoni-fk8th
@EuniceNjokiMuthoni-fk8th 4 күн бұрын
Only God can pay you my sister good job
@MBALASUPA
@MBALASUPA Күн бұрын
Kila binadam akiamua kutumia ubongo wake mwenyewe Dunia ni salama zaidi
@MikeWiz-g1j
@MikeWiz-g1j 5 күн бұрын
Barikiwa sana mama🎉
@evangelistcephaskoech9995
@evangelistcephaskoech9995 4 күн бұрын
May God bless you mummy
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 4 күн бұрын
A golden heart mama much blessings n long life from mighty one,God the father of the entire world
@Sahra3718
@Sahra3718 4 күн бұрын
Asante Mungu kwa kumuweka mama huyo hivi🙏🏿
@richardmagaka9525
@richardmagaka9525 3 күн бұрын
Hakika Kuna baadhi ya watakatifu waishio duniani Nadhani huyu mama ni mmoja wao Ndo maana hata maandiko yanasema unapoandaa sherehe wakaribishe maskini wasiojiweza na ukikopesha usitarajie kurudishiwa lkn hapo Kuna watu Wana mabilioni ya fedha lkn hawana habari na kusaidia lkn wako radhi kuhonga ili waendelee kubaki kwenye nafasi zao
@RuthJohn-j6u
@RuthJohn-j6u 3 күн бұрын
May God bless that woman abundantly
@StevenMungas
@StevenMungas 4 күн бұрын
Mungu akubariki sana mama,ntjifuze kitu hapo
@morrismwenda5087
@morrismwenda5087 5 күн бұрын
Good Job mom ❤❤❤
@beulahenterprises722
@beulahenterprises722 4 күн бұрын
More blessings and more thankful for mom,
@GreetyWillysiame
@GreetyWillysiame 5 күн бұрын
Full ibada
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 5 күн бұрын
Ubarikiwe
@mwanakombojumaakhalid
@mwanakombojumaakhalid 4 күн бұрын
Mungu anamakusudio yake mama kuwa na imani ivyo ivyo endelea kuwalea wazee
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 5 күн бұрын
Mama Mungu akubariki sana
@MariyamImran-yl1lk
@MariyamImran-yl1lk 3 күн бұрын
May ALLAH bless you and family ❤
@ZitaJoseph-bb5wh
@ZitaJoseph-bb5wh 4 күн бұрын
God bless you my mother
@lgdnce8309
@lgdnce8309 5 күн бұрын
mama n mama ubarikiwe mama kwa kuwatunza wa mama
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 5 күн бұрын
MNGU akutunze yaah mama na akulipe ujira wako🙏💙💓💙
Mama Mdogo Zaidi Duniani | Polisi Wawasaka Wahalifu
20:09
Afrimax Swahili
Рет қаралды 30 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Apigwa Tukio Na Wadada Wa Mjini,Aachiwa Watoto 7 Bila Kutegemea
17:37
Afrimax Swahili
Рет қаралды 64 М.
KAMPENI YA SAMIA YAIBUA MGOGORO WA NDOA
3:22
NEWSROOM
Рет қаралды 391
DUNIA (Ep 48)
23:19
ASMA FILMS
Рет қаралды 635 М.
Sitaacha Kula Mpaka Mniue | Wanasema Anamaliza Chakula Cha Familia
10:21
Nimevunja Ndoa Yangu ili Kulinda Ndevu Zangu | Sasa Wanaume Wananiogopa
24:03
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 599 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН