#KWH #Watts #Snashtz #Electronics Watts ni nini ? JE ! Watts 1000 ni sawa na UNIT ngapi za umeme ?
Пікірлер: 63
@shabanyahaya79512 жыл бұрын
huu ni uongo mkubwa fanya investigation kwanza sound watts ni tofauti kwh ya umeme
@jacksonmalegel64332 жыл бұрын
Kwann kwenye electronic devices kama pasi, hometheater nk watt ikiwa kubwa bei inakuwa juu lakini kwenye bulb watt ikiwa kubwa bei inakuwa ndogo ??
@erastomsangi94882 жыл бұрын
umetisha sana kaka
@nicolaussimon42992 жыл бұрын
Zile Watts za kwenye home music system ni uwezo wa sauti na wala sio matumizi ya Umeme, Ukitaka kujua matumizi ya umeme nenda kwenye Plate name yake kule nyuma Tafuta neno W(zingatia sio kwenye speaker) ndo matumizi halisi ya umeme ukikosa hilo neno lazima sasa umtafute fundi akufanyie hesabu
@georgenethomwanga21362 жыл бұрын
Nlikuwa mmoja wapo naingoja sna hii topic,we proud with bro..your vision is too so far
@emmanuelnzaligo62622 жыл бұрын
Sw nimeelewa na Mimi mjanja saizi Kuna vitu inatakiwa tuwe tunajua ila ndio hivyo Tena ahsante mzee kwa ufafanuzi.
@hassanissa29532 жыл бұрын
Dah kak hongera san unatujuza vingi san
@chibudenga89772 жыл бұрын
Kizazi sana mwanangu
@mimikeny2 жыл бұрын
Kwaio kumbe tuache kununua mavitu kisifa 🤣😅 ukiambiwa kitu WATT 2000 we una chukua2 😅🤣
@abelmwakalinga23052 жыл бұрын
Asante sana techswahili
@user-ls1ot6fs4v2 ай бұрын
Niambie diode inanya kazi vipi
@DullahPraveen2 жыл бұрын
Upo sawa snash ..pamoj
@frolianrweyemamu7818 Жыл бұрын
Good
@shabaniramadhani88912 жыл бұрын
Welcome to the world of Engineer brother
@Safwa522 жыл бұрын
Asante Sana bro
@augustinoeliud87142 жыл бұрын
Kaka umetisha kinoma noma 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@Billcriss2542 жыл бұрын
Thanks sana umenifundisha
@sayeedbinazan2 жыл бұрын
Nakubali babaa
@paulbinezekiel82252 жыл бұрын
Daah umenielewesha sana
@shabaniramadhani88912 жыл бұрын
Hii tutaelewa wachache bro I swear utairudia hii🤣🤣🤣🤣🤣 tag this
@johnphani2382 жыл бұрын
Umepunguza ku post videos
@Entertainment_OfficialTz2 жыл бұрын
Jini
@emmanuelmxami56102 жыл бұрын
Nakubal bro p1 xan .unajua bro^
@peternyirenda13752 жыл бұрын
Tunaomba tufundishe jinsi kununua bidhaa mitandaoni kama Alibaba na ali express na masoko mengine
@nayadmason60152 жыл бұрын
Kila nikiangalia video zako lazima niweke earphones ili nienjoy zaidi. Uko vizuri snash nakupa nyota ⭐⭐⭐⭐⭐
@TheNdaki2 жыл бұрын
Yani nimefanya ivo Pia
@salmonmkanula37182 жыл бұрын
ii kalisana snash ziendelee
@5facts602 жыл бұрын
Snash media za habar hazikuoni
@daudiernest99842 жыл бұрын
Kak unawez kutueleza ukiwa unatumia sm uku unaichaji au unacheza game uku unachaj au unaskiliza mzik uku unachaj inamadhara gan cm inaweza lipuk au kitatokea nin ukifany ivy
@hajimnyamato44372 жыл бұрын
Je kuhusu horse power (HP) je inatumika ktk mwenendo UPI na sehemu IPI sababu tunaona ktk magari makubwa maranyng uwaga tunaikuta
@henryzakayo90512 жыл бұрын
Nimeielewa hii ilikuwa inanichangany san😁😁 2po pamoja 🙏🙏
@johnburra49752 жыл бұрын
tumerudi sekondar kwenye maphysics
@tynoblack59962 жыл бұрын
🙏
@la_raib9532 жыл бұрын
Genius👏👏
@yusuphwaitara83402 жыл бұрын
Tufundishe kuhusu amazon FBA brother
@wackserling22832 жыл бұрын
Umepunguza post za video
@richardvalson43132 жыл бұрын
✊✊
@aishaswab24132 жыл бұрын
@Snash naomba utuletee Harry Potter 20th Anniversary
@jonasharagirimana128 Жыл бұрын
lisari ndo nini
@trayoversion2 жыл бұрын
Deep sana hii
@vinivince14102 жыл бұрын
Fanya review ya rolls Royce ya mwaka 2022 Isha tokea
@starafricainc17442 жыл бұрын
@snash iyo background inaitwaje
@yzzarcamel72862 жыл бұрын
Mahacker washafanya hao kwa mange kimambi
@bintech2224 Жыл бұрын
No watt ya kweny sound systeam ni tofauti na watt ya kweny bulb au fridge. Kwenye sound systeam ile ni output powe. Kweny bulb na vifaa vingne ni input power
@is-hakayussuf9981 Жыл бұрын
Ni sawa tu mbona kaka na kama unataka kuamini washa sound system yako chukua waya wa spika kata tia mdomoni ikisha zidisha sauti kdg kdg utaona umeme jinsi unavyoongezeka
@bintech2224 Жыл бұрын
@@is-hakayussuf9981 unanchangany mzee ofcoz utaskia umeme coz inatumia umeme lkn haimanish umeme utakao uskia ndio kiwango kinacho ingia kaka. Naongelea by professional na sio kua naongea tuu.
@is-hakayussuf9981 Жыл бұрын
@@bintech2224 kaka hata mimi naongea kipro max vile vile rabda nikupe mfano tu tafuta feni la sola normal hutumia volt12 lkn angalia watts utaona 17 mpk 25 tafuta tv ya solar normal utaona hutumia 12 volt lkn watts utakuta 35-45 mpk 100 watts unajua ni kwanini?
@bintech2224 Жыл бұрын
@@is-hakayussuf9981 watu mnachanganya out power na power consumption. Km redio yako power consumption yake ni 24V haimanish inatoa 24 watts. Pia km output power ni 1000w aimanish kua ina consume. 1000w nazan mfano n mwepesi sana umenielewa Ile watt kweny home theater ni kizio tuu cha output sound na sio intake power broo. Nawasibwas na professional yako
@isayafrank76362 жыл бұрын
Nimekupata kinomanoma
@karimurashidi30952 жыл бұрын
Kaka snash tuchambulie Samsung s22
@mimidennice2052 жыл бұрын
ukipata muda utupe video Kuhusu NFT na Metavers
@Sam_Ramadhan2452 жыл бұрын
Physics sio mam ako
@k.moneytv90532 жыл бұрын
balbu za watts 10 au balbu 10 zenye watts 100 ??
@LyonWalker_2 жыл бұрын
Physics bhn haipingiki
@k.moneytv90532 жыл бұрын
umesem watts 1000 ukitumia ndani ya 1 hour ni unit 1 imetumika ukasem tena ukiwash hiyo redio ndani ya 1 hour utakuwa imekul unit 4 ndani ya 1 hour dah hapo sijakuelew
@msukumatz56482 жыл бұрын
Mkuu iko hivi, Watts 1000 ni kWh 1 , Kwahiyo kama kama Subwoofer ya watts 1000 then ukaiwasha kwa masaa 3 utakuwa umetumia kWh 3 ambayo ni sawa na kusema UNIT 3
@k.moneytv90532 жыл бұрын
saw ila msikiliza hapa 3:23 anasem zimepunguw 4 ndani y 1 hour hapo ndo kanichngany
@modomfupi99722 жыл бұрын
Kasema ztakua zmepungua sasa 4 ndan ya lisaa limoja akimaanisha kutoka 5 sasa zmepungua zmekua nne ndan ya lisaa limoja 😕 skilza vzr
@k.moneytv90532 жыл бұрын
@@modomfupi9972 yeah nikweli
@ibrahimyusuphofficial45742 жыл бұрын
Ingekuwa poa sana kama ungenitofautishia kati ya watt, voltage, amps