Рет қаралды 14,123
Watu kumi na wawili wameripotiwa kufariki kwenye ajali mbili tofauti katika kaunti za garissa na machakos. Katika kisa cha kwanza, watu kumi walifariki baada ya basi walimokuwa kugonga trela iliyokuw aimeegeshwa kwenye barabara kuu ya garissa kuelekea mwingi na huko kangundo kaunti ya machakos, mama na mwanawe walifariki baada ya kukanyagwa na trela.