Watu 13 wajeruhiwa katika kivuko cha Likoni kufuatia mkanyagano uliotekea katika eneo hiyo

  Рет қаралды 14,714

NTV Kenya

NTV Kenya

Күн бұрын

Watu 13 wamejeruhiwa katika kivuko cha Likoni kufuatia mkanyagano kutokea baada ya feri MV Safari kukwama.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Пікірлер: 29
@favourakitsa3781
@favourakitsa3781 4 жыл бұрын
Enough is Enough with that ferry solution Kenya government should put bridge in likoni
@petma5551
@petma5551 4 жыл бұрын
I saw this coming, these ferries are always in a near colision course on a daily basis, thus is a time bomb!
@samueljr9105
@samueljr9105 4 жыл бұрын
ferry ilikwama mlango haufunguki where is the mombasa government????? watu wa mombasa wanalipa tax mbona ferry isitengenezwe??? kwani huo mlango ni trillion ngapi yenye inaweza hatarisha maisha ya watu
@muelgit3569
@muelgit3569 4 жыл бұрын
Kwanzia wakati wa Jomo till now no govt has come up with a solution....
@yemenniru947
@yemenniru947 4 жыл бұрын
Corruption and thief walking free,kenyans are fast asleep as usual waiting for 5yrs to end then elect another thief mtu wetuu
@hoglawawuda8145
@hoglawawuda8145 4 жыл бұрын
Mungu asaidie ..
@djromeokenya
@djromeokenya 4 жыл бұрын
Disaster in waiting..........
@prettybabygalmichelson6557
@prettybabygalmichelson6557 4 жыл бұрын
Waaaaah
@muscababdalle3789
@muscababdalle3789 4 жыл бұрын
Woow
@saadiaali5609
@saadiaali5609 4 жыл бұрын
Kwanini serekali isijenge bridge halili tatizo likaondoka na hawa wabunge wetu ni maziwa mala na ni mataira maana hawaezi kuyetea hili jambo la ferry likaondolewa wakajengewa bridge ili hii misongamano isiwepo mbona kilifi ilikiweko ikaondolewa gavana joho na wenzake wabunge wakalie kwa bunge huko hili swala lisikizwe
@aminamwinyijuma217
@aminamwinyijuma217 4 жыл бұрын
Mkurugenzi wa kpa bakari gowa.... Jamani
@rgouz2056
@rgouz2056 4 жыл бұрын
Sijui wanangonja nini or till the day ma mia ya watu wapoteze maisha yao kwa hizo hajali. Wakati wa Ferry uliisha with the mordern Technology its Possible. Bit Cause they r share holders in that Ferry Buissness.
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 4 жыл бұрын
Ziligongana ajy surely hii ni shinda ingine tuko nayo kenya
@samueljr9105
@samueljr9105 4 жыл бұрын
huwa zinapishana sasa hiyo moja ilikwama mlango yake ilikua haifunguki ndio ikakutana na ile ingine ikagongwa
@fauzishma8033
@fauzishma8033 4 жыл бұрын
Ikiwa binadam hutembea kwa miguu na Kuna time pia wana gongana itakua ferry chombo kinacho endeshwa na kina elea juu ya maji
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 4 жыл бұрын
@@fauzishma8033 inakaa unajua sana
@nickmedia3439
@nickmedia3439 4 жыл бұрын
Watch and enjoy
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 4 жыл бұрын
Usipojenga ufa utajenga ukuta🙄haiya
@fionaouma8730
@fionaouma8730 4 жыл бұрын
serikali ina aibu kweli suluhisho hapo ni daraja sio vijiferry vizee wangapi watakufa ndiyo waone umuhimu wa daraja...wajenge hata kama itapita mbinguni pesa zafujwa kushoto kulia national government ina uwezo ...inasikitisha sana!
@terahedd2
@terahedd2 4 жыл бұрын
Watu wa msa hawana haraka,lakini wakifika ferry they loose their patience.aibu.
@gigihassy8569
@gigihassy8569 4 жыл бұрын
Kwasababu majority ni wabara wa kupenda vita 😅😅😅
@fauzishma8033
@fauzishma8033 4 жыл бұрын
@@gigihassy8569 sikubaliani na wewe ni watu wote husukumana hapo usiwe mwepesi wa kutupia wengine lawama na kujenga chuki
@lenniefei6710
@lenniefei6710 4 жыл бұрын
Mshenzi sana wewe, in everything you see stereotypes unadhani msa wanaishi wapwani pekee...???! Am so done with twats like you!!!
@lenniefei6710
@lenniefei6710 4 жыл бұрын
@@fauzishma8033 Chuki ilijengwa kitambo hata siku hizi hawafichi! Wabara wameondoa ustaarabu kabisa pwani nzima...Acha kujipendekeza kwa wasiokujali!!
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 жыл бұрын
Wabara na wapwani what is the difference and yet they are served by one president. With that mentality ya kubaguana uhasidi chuki Mtaendelea lini.
Uhuru wa Shiru kwa simu ya rais
3:15
NTV Kenya
Рет қаралды 7 М.
Usalama umeendelea kuyumbishwa na vijana mjini Mombasa
10:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 24 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 22 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
SOKO LA MARIKITI NI KIVUTIO CHA WATALII MOMBASA
3:05
VOA Swahili
Рет қаралды 2,4 М.
Mwanaume ashambuliwa na wahalifu Mtopanga, Mombasa
10:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 51 М.
Bonge la meli yatia nanga Mombasa
5:49
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 116 М.
Why are Smoke Detectors Radioactive?  And How do Smoke Detectors Work?
18:59
Branch Education
Рет қаралды 1 МЛН
Familia zaidi ya 40 zaachwa bila makao Bamburi, Mombasa
4:13
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 12 М.
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,6 МЛН
How Offshore Oil Rigs Work
12:05
Wendover Productions
Рет қаралды 2,9 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 22 МЛН