Watu 2 wapigwa risasi na mfanyabiashara Mombasa

  Рет қаралды 17,068

NTV Kenya

NTV Kenya

4 күн бұрын

Watu wawili walipigwa risasi na mfanyibiashara mmoja kaunti ya Mombasa baada ya genge la wahuni kuvamia hoteli yake katikati mwa jiji hilo. Inasemekana mfanyabiashara huyo alishikwa na hasira baada ya vijana wanaoaminika kuwa wahuni kupora mali katika mkahawa moja na hata kuteketeza baadhi ya magari kwenye barabara ya Nyerere.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Пікірлер: 42
@deniskanja1952
@deniskanja1952 3 күн бұрын
Good work to the business man protect you business at all cost
@shukridida
@shukridida 2 күн бұрын
Mbona wawili tu,angeua zaidi
@adamjin777
@adamjin777 2 күн бұрын
Ni sawa wapigwe risasi. Hawa ni wajambazi
@suleimanbett3366
@suleimanbett3366 2 күн бұрын
Mombase we don't need you in next demos please just relax and watch the rest of the country😢😢😢
@huzznei7890
@huzznei7890 2 күн бұрын
They will find out ...shenzi wao
@remiomar7154
@remiomar7154 2 күн бұрын
Nisawa ajihami nalizake walichofanya nimakosa kucho kwanini wavunje maduka ya watu n kuchoma magari yao😢
@zachriahmesente8323
@zachriahmesente8323 3 күн бұрын
Wakora waadhibiwe wasije wakaaribu mali ya wenyewe
@ahmedkulowabdi821
@ahmedkulowabdi821 2 күн бұрын
Ni haki yake ku linda mali yake
@mohaa49
@mohaa49 2 күн бұрын
well done, his is protecting his property.
@saidasalim3376
@saidasalim3376 2 күн бұрын
Haya maandamano hayana maana ni uhuni ndio uliokithiri sasa
@user-jy7ne3iw7y
@user-jy7ne3iw7y 2 күн бұрын
Well-done boss mfanyi biashara.
@Nnji-j3y
@Nnji-j3y 2 күн бұрын
What were these thieves expecting when they went to loot? For the business man to sit back and watch?
@janetsarahsiangani1381
@janetsarahsiangani1381 2 күн бұрын
You don't just go and loot properties,this is a good move
@carolinetanui2382
@carolinetanui2382 2 күн бұрын
Fire took long to respond.......too bad
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 күн бұрын
Yea uwizi .....ww baba katika nyumba ukiwa mwizi mlevi watoto wako watakuwa vipi
@evanstonui3346
@evanstonui3346 2 күн бұрын
Wueeeh This is now another thing
@evankombo3170
@evankombo3170 2 күн бұрын
Hiyo number ni ndogo. Ang uwa rende nzima.
@kimanijohn6843
@kimanijohn6843 2 күн бұрын
Hii ni wizi sasa
@aminaogas6831
@aminaogas6831 2 күн бұрын
Siku za mwizi .....wamepatika Hao...mfanyibishara ana haki ya kulinda mali yake.
@Elibuk
@Elibuk 2 күн бұрын
For self defense
@shortfunnyvediomovies6230
@shortfunnyvediomovies6230 2 күн бұрын
The police are there when everything is happening there he has the right to fight for his property
@georgeochieng2620
@georgeochieng2620 2 күн бұрын
They didn't arrest but instead they had to vacate him away
@user-jy7ne3iw7y
@user-jy7ne3iw7y 2 күн бұрын
Nonsense
@aronsirma9357
@aronsirma9357 2 күн бұрын
Congratulations peace demonstrators for burning Mombasa pesa ya county itumiwe kulipa wenye magari
@omokemorara8656
@omokemorara8656 2 күн бұрын
He has a gun but a coward is a coward.
@junnykimathi2363
@junnykimathi2363 2 күн бұрын
Watandikwe kabisa. Mombasa mjirekebishe
@junnykimathi2363
@junnykimathi2363 2 күн бұрын
Watu wa Mombasa walikubali vijanana kuhangaisha watu mchana na usiku. But govana wa Mombasa wa faa ulinde mbosa vizuri kila Kona. Kama ni ngumu niite niku show vile tutalinda. Hii ni ujinga tupu. Unafaa kuwa na register ya wahuni wote.
@HassanMusdaf-o5t
@HassanMusdaf-o5t 2 күн бұрын
Somali James bone
@watairas2313
@watairas2313 2 күн бұрын
Huyo amefanya vizuri kwa kuwapiga risasi hiyo ndio dawa yao
@mutiojunior
@mutiojunior 2 күн бұрын
Kupiga risasi sio shida juu vijana wamejitolea kufa😂😂
@geoffreymuriithi1279
@geoffreymuriithi1279 2 күн бұрын
Vijana wa azmio
@excelpowerpointmswordtutor7064
@excelpowerpointmswordtutor7064 2 күн бұрын
Huku ni kenya sio somalia
@abdimohammed3394
@abdimohammed3394 2 күн бұрын
don’t try to steal vitu za wasomali they will send you to hell.
@lovecorridor6039
@lovecorridor6039 2 күн бұрын
Tumewaualia wangapi 😂😂 Utajua Kenya ni somalia Malaya wewe I wish ningekua hapo nichukue life kadhaa za wahuni kama wewe
@excelpowerpointmswordtutor7064
@excelpowerpointmswordtutor7064 2 күн бұрын
@@lovecorridor6039 Malaya ni mamako
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 күн бұрын
Ndio uongozi ..... Ukiwa ww umechaguliw kuongoza nchi na nimwizi watt watakuw waizi
@officialhuddart
@officialhuddart 2 күн бұрын
Una akili ngine au n hiyo tu 😂😂
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 2 күн бұрын
@@officialhuddart hiyo SI akili ni vitendo
@LeonardKoskei-xj4ft
@LeonardKoskei-xj4ft 2 күн бұрын
Ujinga hii kweli
@user-dv9pc4rx7v
@user-dv9pc4rx7v 2 күн бұрын
Mtu anaie iba kupigwa risasi Harpo hapo ati a pori mali yangu nami nimeache ati ni gen z akuna hiyo piga risasi kabisa
@diplomatnationalcarriersll6524
@diplomatnationalcarriersll6524 2 күн бұрын
Self defense my foot, the consequences will be worse than his business being looted ! Watu hawana akili
@noahjenkins8408
@noahjenkins8408 2 күн бұрын
Like what 😅😅😅
Maandamano ya kizazi kipya Gen Z yaingiliwa na wahuni
6:32
NTV Kenya
Рет қаралды 111 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 488 М.
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 193 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 37 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
Rais Ruto aahidi kufanya mabadiliko serikalini
3:03
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 10 М.
Citizen TV Live
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 58 М.
Mombasa: Watu 81 wanaojifanya walemavu wakamatwa
3:03
NTV Kenya
Рет қаралды 38 М.
Watu wawili wamefariki kwenye maandamano yaliyofanyika leo
3:09
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 180 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 290 М.
Waandamanaji wakabiliwa na polisi kaunti ya Mombasa
2:52
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
President Ruto full speech
13:27
KTN News Kenya
Рет қаралды 126 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 488 М.