Mombasa: Watu 81 wanaojifanya walemavu wakamatwa

  Рет қаралды 38,160

NTV Kenya

NTV Kenya

3 жыл бұрын

Watu takriban 81 wanaojifanya walemavu na kuishi maisha ya ombaomba wamekamatwa katika maeneo mbalimbali ya kaunti ya Mombasa. Watu hao wanaaminika kutoka Tanzania na wanaingishwa Nchini kimagendo.Watu takriban 81 wanaojifanya walemavu na kuishi maisha ya ombaomba wamekamatwa katika maeneo mbalimbali ya kaunti ya Mombasa. Watu hao wanaaminika kutoka Tanzania na wanaingishwa Nchini kimagendo.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Пікірлер: 98
@mscantraah8210
@mscantraah8210 3 жыл бұрын
Wow very good super thank god 🙏🏻 wallah wamezidikabisa muwatowe
@aliabdiabdi4067
@aliabdiabdi4067 3 жыл бұрын
Mfika Eastleigh pia mtaona Majabu😂😂
@maryngash6100
@maryngash6100 3 жыл бұрын
Na kariobangi 😂
@sophiatessia3914
@sophiatessia3914 3 жыл бұрын
😂😂😂😂true
@mahbubdawood2909
@mahbubdawood2909 3 жыл бұрын
@@maryngash6100 Ata kawangware na old town ya mombasa piya
@mahbubdawood2909
@mahbubdawood2909 3 жыл бұрын
Kweli una machunghu ya lock down ya kibandia ya korona
@layajen1615
@layajen1615 3 жыл бұрын
Warudi kwao kwani kenya imekua inchi ya vitakataka
@aminashabani2850
@aminashabani2850 3 жыл бұрын
TOBAAAAAAA MUNGU WANGUUUU🇹🇿🇹🇿
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂akili ni nywele kila mtu ana zake
@habibasalim3092
@habibasalim3092 3 жыл бұрын
Cha ajabu kwani Tanzania hawawezi omba
@Esty1248
@Esty1248 3 жыл бұрын
Akipata 2k ya kenya afike kwao abadilishe kwa yao ni jackpot 😂😂😂😂😂
@MercyMazmida
@MercyMazmida 3 жыл бұрын
@@Esty1248 haha
@richbird.123
@richbird.123 3 жыл бұрын
Tanzania wanapeana mabaki ya chakula Kuna siku nilimpatia chakula ombaomba si alinitukana mpaka nikajuta kumnunulia
@tysonasuka1156
@tysonasuka1156 3 жыл бұрын
Jamaani Wat u Hawana kazi mtapata dhambi
@dorcasndolo302
@dorcasndolo302 3 жыл бұрын
Kumbe wengine so watoto wao??! No wonder I've seen on several occasions some of the women being so ruthless beating very young children so mercilessly and I used to wonder kama ni shida inawafanya kupiga their own kids like that... LORD have mercy on our land.
@imranndal9493
@imranndal9493 3 жыл бұрын
Kazi ni kazi,toeni kwa mafukara mpate fadhila za Mwenyezi Mungu acheni ubakhili
@richbird.123
@richbird.123 3 жыл бұрын
Haujaona tu vile hao ombaomba wanavyo nyanyasa watoto na mtoto ukimpa lazima apeleke pesa kwa hao wakubwa wakati wao wamelala tu na pesa wanazo ungekuwa wafika blueroom usiku utaona vile watoto walivyo
@Vel42
@Vel42 3 жыл бұрын
Wameharibia wahitaji🤨
@Kridez23
@Kridez23 3 жыл бұрын
Eye opener
@gilbertmexhim4480
@gilbertmexhim4480 3 жыл бұрын
Nairobi should follow suit.Borrow the leaf from Mombasa.walemavu na vipofu kutoka TZ pia wanatumiwa kama kitega uchumi na watu wajanja.saa kumi asubuhi huwa wamesambazwa mjini.Baada ya ombaomba zao hawa huchukuliwa usiku na kurudishwa walikotolewa.
@swahiliwithdavid5910
@swahiliwithdavid5910 3 жыл бұрын
I'm from Tz. We had the same kind of scenario where by disabled people were hired by able bodied Tanzanians to beg in the streets in exchange for food and shelter. Of late, the govt has cracked down on these crooks and trend has lowered massively. I think GOK should interfere and hunt for ppl involved in this business. If I were the Tz ambassador to Kenya, I would seek dialog with GoK to find a solution because I find this as an embarrassment to Tanzanians!
@blessedmama5367
@blessedmama5367 3 жыл бұрын
Remove them and let the real people with problem be helped .
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 3 жыл бұрын
Kazi ipo
@mildredandeyo680
@mildredandeyo680 3 жыл бұрын
Pale ferry ni wengi mno
@eolele
@eolele 3 жыл бұрын
Watu hawataki kufanya kazi , nothing comes in a silver plate.
@ahmedbadbess8462
@ahmedbadbess8462 3 жыл бұрын
Hio akili mgeitumia kushika wezi wa Mali ya umma mgefaidisha watu kuliko kushika mtu anayeomba shilingi kumi barabarani
@qerysir4410
@qerysir4410 3 жыл бұрын
Ni uozo bana, watu wajifunze kufanya kazi! Wezi wa mali ya imma ni kitengo kingine; usifananishe! Eti mwizi akija kuniibia kwangu nimuache kwa kuwa kuna mafisadi wanaoiba serekalini??
@ahmedbadbess8462
@ahmedbadbess8462 3 жыл бұрын
@@qerysir4410 Huyu hajakuja kukuibia nyumbani ni ww umemwona barabarani ukamsaidia
@qerysir4410
@qerysir4410 3 жыл бұрын
@@ahmedbadbess8462 Ni mlaghai!! Labda wewe unafurahia ulaghai!
@mbwanamazira6851
@mbwanamazira6851 3 жыл бұрын
@@qerysir4410 ni mlaghai vp wakati yy ametulia chini anaomba apate chakushibisha tumbo lake uwizi hawezi kazi hamuwapi chanzo kikubwa elimu yake duni wanaomba pia mnawashika pesa za uma zinaliwa nawalio na uwezo wao waacheni banaa waombeombe wapate chakusongeza siku
@qerysir4410
@qerysir4410 3 жыл бұрын
@@mbwanamazira6851 fungua macho yako, ikiwa hujaona usanii vile mtu anawezakujifanya kiwete, kipofu, bubu, au hata kudai ugonjwa ili akuhadae umpe hela basi hujatembea! Tembea ujionee! Kuhusu mafisadi, wananchi wenyewe wanachangia. Kuhusu elimu, hata mababu zetu hawakuwa nayo ila hawakujiachilia kwa kisingizio hicho. Mifano mingi ya kuigwa ili kujiendeleza ipo kila mahali, tena katika mbinu asilia tu. Ni maamuzi ya mtu binafsi.
@rechealmugure9198
@rechealmugure9198 3 жыл бұрын
Vamieni kariobangi dio mtajua kile mnatafuta,wanamwagika huko Jioni na ma prado
@zueahmed2184
@zueahmed2184 3 жыл бұрын
Please mkuje Eastleigh pia🙏🙏
@isaqlid4289
@isaqlid4289 3 жыл бұрын
Na yoote, ni maendeleo. Tingisa gitole.
@gladyswanjikumaina2594
@gladyswanjikumaina2594 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@gladyswanjikumaina2594
@gladyswanjikumaina2594 3 жыл бұрын
Haguna guachwa nyuma 🤣🤣
@isaqlid4289
@isaqlid4289 3 жыл бұрын
@@gladyswanjikumaina2594 iyo ni gweli tata yangu. Tusonge mbele pamoja na tusingatie matagwa ya gila mutu.
@gladyswanjikumaina2594
@gladyswanjikumaina2594 3 жыл бұрын
@@isaqlid4289 gama guna mtu yeyote nimegosea ...nisamee...jogooo ya ganu..yuu
@isaqlid4289
@isaqlid4289 3 жыл бұрын
@@gladyswanjikumaina2594 iyo ni gweli... Chogoo chuu chuu saiti.
@muthiipaul365
@muthiipaul365 3 жыл бұрын
Tanzania na kenya sahi ni inchi moja
@maasaimkisii9089
@maasaimkisii9089 3 жыл бұрын
😂😂😂 Kenya ni nchi ya wajanja
@betsyakoko6810
@betsyakoko6810 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@layajen1615
@layajen1615 3 жыл бұрын
Lakini hao c wakenya ni vinyangarika tu wana tuchafulia streets zetu
@alicemuriithi5813
@alicemuriithi5813 3 жыл бұрын
But it's true Kenyan we have disabled children but we are take care of them at home hawa wa barabara ni wa Tanzania in the name of business ukitaka kusaidia eda kijijini juu ata majilani wanawajua hao wasio jiweza juu lazima tuwasaidie Kenya wajiweza Sisi
@mariajemutai2968
@mariajemutai2968 3 жыл бұрын
Afadhali coz wamekuwa wengi hata washindwa itamsaidia nani pia sahi wanafanya field work kutembea mpaka kwa maduka kila mahali wakiomba.i was wondering why sahi wamekuwa wengi sana ukitembea kila mahali unaombwa
@richbird.123
@richbird.123 3 жыл бұрын
Jamani pale blue room wamejaa yaani watoto mpaka usiku wako kuombaomba tu mpaka huruma na wakati mama zao wamelala upande wapili naomba mufike kila alhamisi usiku wamejaa tele
@ahmedanwar1210
@ahmedanwar1210 3 жыл бұрын
TAYARI washaanza Tanzania na Kenya kufanya biashara
@happytimes9747
@happytimes9747 3 жыл бұрын
Hii ndio sababu mimi kusaidia mtu mara zingine inakua ngumu maana siwezi fanya kazi nichoke alafu nipeane pesa kwa mtu mvivu na siku zote ako pale pale😏😏muache kusingizia ramadhan kama huwezi funga wacha, sasa ufunge alafu una koni watu faida iko wapi
@jijodrumbeats
@jijodrumbeats 3 жыл бұрын
1:20 Walirudisha mguu poa juu ya Social distance muhimu....watano nyuma 😂😂😂😂😂😂😂😂
@jaquubjummah7538
@jaquubjummah7538 3 жыл бұрын
Mombasa wamezidi sana kudadeki
@fatmamdigo4701
@fatmamdigo4701 3 жыл бұрын
Aya
@thevineyard7149
@thevineyard7149 3 жыл бұрын
They will come back and rule the streets for years.
@calebmunda9066
@calebmunda9066 3 жыл бұрын
Fine imelipwa on the spot...they are loaded..duuh
@johniemarsha1561
@johniemarsha1561 3 жыл бұрын
Kazi Ni kazi ...kweli kila mtu Ni mwinzi nivile pia wewe hukupatikana😂🤣😂 Suluhu kujia watu wako ...😂,huko n makadara Mombasa kujeni makadara Nairobi
@hamisnyanda-ll7lh
@hamisnyanda-ll7lh 9 ай бұрын
Ungumu wa maisha tu jameni
@ibnmuhammadmaalim6531
@ibnmuhammadmaalim6531 3 жыл бұрын
Nimeona wengi
@kelvomurithi3330
@kelvomurithi3330 3 жыл бұрын
Wueh Tz what’s the issue with your people? Greed
@RK-xv1si
@RK-xv1si 3 жыл бұрын
Somebody somewhere got a company called help fake disabled, what a mess!
@euniceachiengayooeuniceach9966
@euniceachiengayooeuniceach9966 3 жыл бұрын
i never give my money easily siwezi mimi
@delvinsalah7494
@delvinsalah7494 3 жыл бұрын
What??81
@layajen1615
@layajen1615 3 жыл бұрын
Kuna mwingine anapenda kutambaa wakati wa mvua akiwa na mtoto kwa mgongo ndio ahurumiwe mi ata dururu c ziwezi toa
@margaretwanjiku3136
@margaretwanjiku3136 3 жыл бұрын
They didn't steal
@fly69jamual62
@fly69jamual62 3 жыл бұрын
wow someone goes to TZ and picks them with his car, drops them in specific spots then picks them in the night? others rent their kids for 1k cash deal jioni? nimehama Kenya i need to go to another planet!
@tabithamuthoni9840
@tabithamuthoni9840 2 ай бұрын
Brains at work
@geoffreymuriithi1279
@geoffreymuriithi1279 3 жыл бұрын
Uzembe pwani ni mwingi
@jecintachando8087
@jecintachando8087 3 жыл бұрын
Pwani??,,kwn hukuona ya nairobi kwaivo uliona pwani pekeee,jiangalie ww
@geoffreymuriithi1279
@geoffreymuriithi1279 3 жыл бұрын
@@jecintachando8087 nmeishi pwani, naelewa kulivyo..wakaazi na vituko vyao
@chefjaji4225
@chefjaji4225 3 жыл бұрын
@@geoffreymuriithi1279 these are tanzanians in msa, not watu wa mombasa pls
@IanYatich
@IanYatich 3 жыл бұрын
Leave them alone. Focus on the cons extorting the youth. Those who purport to sell odds, hook-ups, cryptocurrency and so on.
@sose6960
@sose6960 3 жыл бұрын
Wamesidi kishenz
@hkmeme5437
@hkmeme5437 3 жыл бұрын
Ndo maana kuna majirani zangu sijawaona ivi karibuni, kumbe kuna msako
@yushuaissa467
@yushuaissa467 3 жыл бұрын
I thought the president of Kenya allowed TZ people to work freely with no permits.
@petermumbi7748
@petermumbi7748 3 жыл бұрын
But not that way
@superdemanka5192
@superdemanka5192 3 жыл бұрын
Nani ameskia wanaingishwa 😂😂😂
@SWAGGELI
@SWAGGELI 3 жыл бұрын
Tombo shida kumamaee
@dennismungai6786
@dennismungai6786 3 жыл бұрын
hao ni watanzania??????
@margaretmuiruri8173
@margaretmuiruri8173 3 жыл бұрын
Maisha n magumu 🤣🤣🤣
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😃
@therealafricana1372
@therealafricana1372 3 жыл бұрын
Wako kila mahali.washikwe wote.tena wanatoka Tanzania na Burundi. Kuna wale wanaskumwa na vijana wenye nguvu.sisi huwauliza mbona wasifanye kazi hata ya mjengo wasaidie kuliko kuskuma? Hakuna mlemavu Mkenya wa kuombaomba..wakenya hata vipofu wanafanya kazi
@marycleo7165
@marycleo7165 3 жыл бұрын
Wako job kaa watu wengine free donation kwa street kila mtu na akili yake kusaka hela life is hard no job's serikali ndio inasababisha hayo yote
@northernkingtransporter3390
@northernkingtransporter3390 3 жыл бұрын
Bad behavior
@vickymakoherkenya6867
@vickymakoherkenya6867 3 жыл бұрын
😂😂😂😂miguu ikafunguka akakaa vizuri
@wlkmwlkm3381
@wlkmwlkm3381 3 жыл бұрын
Hawataki kutoka jasho may God will punish them even it's in the Bible mtu muvivu hafai kukula
@mahbubdawood2909
@mahbubdawood2909 3 жыл бұрын
Muisraili na muamerika alishinda na ameshinda baada yakuchoma moto yakuwagonghanisha wakenya
@qerysir4410
@qerysir4410 3 жыл бұрын
Utakufa na chuki zako binafsi! Huyo kuizraeli alimbishia nani nyumbani kwake ampeleke kuomba barabarani??
@mahbubdawood2909
@mahbubdawood2909 3 жыл бұрын
@@qerysir4410 Don't worry next will be your turn after Palestine
@qerysir4410
@qerysir4410 3 жыл бұрын
@@mahbubdawood2909 al-shabab have been here, we don't live with your threats and fears. Tell us something new!
@mahbubdawood2909
@mahbubdawood2909 3 жыл бұрын
Then don't forget KDF is there also
@qerysir4410
@qerysir4410 3 жыл бұрын
@@mahbubdawood2909 ofcourse, so what's new about Palestine or Israel?!
@geoffreymuriithi1279
@geoffreymuriithi1279 3 жыл бұрын
Wapwani mlizoea dodo na dafu kudondoka, siku zimepita
@chefjaji4225
@chefjaji4225 3 жыл бұрын
Pole yako
Watu wawili wanaswa kwenye CCTV wakivamia duka Nakuru
3:57
NTV Kenya
Рет қаралды 3,8 М.
Watu 2 wapigwa risasi na mfanyabiashara Mombasa
2:19
NTV Kenya
Рет қаралды 17 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 25 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,6 МЛН
Historia ya mji wa Mombasa
4:49
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 19 М.
Mwanamke apatikana amefariki nje ya nyumba yake Bamburi, Mombasa
4:27
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 68 М.
NTV LIVE | July 2024
NTV Kenya
Рет қаралды 331
Watu wanane wanauguza majeraha baada ya kuvamiwa na genge huko Mombasa
9:45
Washukiwa wawili wa ujambazi wapigwa risasi Likoni, Mombasa
3:23
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 29 М.
Mchungaji Akamatwa Na Washirika Wake
3:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 288 М.
Mvutano waibuka kuhusu mipango mipya ya uchukuzi Mombasa
1:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 16 М.
Polisi washika doria katika kituo cha feri Likoni
7:58
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 64 М.
Kaya Bombo Massacre - Headline Hitters 2 Ep 2
18:08
Abel Mutua
Рет қаралды 251 М.
Ajali mbili zashuhudiwa huku magari mawili yakianguka kivukioni Likoni
3:25
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 25 МЛН