Ndege zingekua zinajengewa njia huko hewani nisingepanda
@musaguga2 ай бұрын
Mnafosi tupande treni, huku hakuna uhakika wakufika salama, serikali haijawahi kufaulu kwa kitu chochote,sipandi treni mimi.
@musaguga2 ай бұрын
Tunapanda ndege kwasababu zinaletwa zikiwa na uhakika zinafanya kazi, ila zingekua zinatengenezewa hapa tusingepanda, ogopa kitu kinachotengenezewa hapa kwetu, reli imetengenezwa hapahapa ndo maana yametokea haya