Watu Wa Mungu Hawaozi/ Majini Hawajui Ghaibu Ila Elimu Ghaibu Wanayo / Sheikh Walid Alhad Omar

  Рет қаралды 9,995

DARSA TV

DARSA TV

Жыл бұрын

Watu Wa Mungu Hawaozi/ Majini Hawajui Ghaibu Ila Elimu Ghaibu Wanayo / Sheikh Walid Alhad Omar
Mashaa Allah Sheikh Walid Alhad akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Watu Wa Mungu Hawaozi/ Majini Hawajui Ghaibu Ila Elimu Ghaibu Wanayo / Sheikh Walid Alhad Omar
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 13
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh walid nataka mwanangu aje kusoma quran kwenye madrasa yako naomba nitumie namba yako tuweze kuwasiliana inshaallah
@rukiahassan3444
@rukiahassan3444 Жыл бұрын
ALLWAH AKUBARIK SHEIKH UZIDI KUTUZINDUA
@mariamkai2705
@mariamkai2705 Жыл бұрын
Mashallah mawaidha mazur
@swalehali2757
@swalehali2757 Жыл бұрын
Barakallahu fiikum ustadh wangu....ukija mombasa kwa mhadhara sitokosa kuja kukuona...qulubi 3aarifina lahaa uyuunin❤
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Ushabiki wa dini mbaya sana,anawadanganya mbumbumbu nao wanafurahia.huu mwili tulionao lazima uoze maana asili yake ni hapa duniani
@jamalkishangu
@jamalkishangu Жыл бұрын
Mwasa: Hunikani ni mwanamke au mwanaume, je wewe ni Muislamu? Kama ingekuwa Muislamu ungejua hiyo ndio haki.
@alyanibalbila
@alyanibalbila Жыл бұрын
Unateseka ukiwa wapi
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Huyu ndo shekh alosoma Sio alhadi mussaa kutwa makanisani
@mussakimwaga4645
@mussakimwaga4645 Жыл бұрын
Hiyo heading hawajui ghaibu ila ekimi ya ghaibu wanayo Tafauti iwapi hapo maneno yanajigonga
@thegreenkhidhir3705
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
Kwa iyo kwa muda huo wa mwaka alikua hali chakula, hakutani na wake au ndugu zake na bado hao ndugu, watoto au wake hawajajisumbua kumchunguza au kumsogelea....inaingia akilini kweli mfalme na nabii mkubwa wa aina ya Suleiman afe kisha watu wake wa karibu wasijue kwa muda wa mwaka mzima!? Wakati Rais Magufuli hajaonekana wiki tu hadharani watu wakaanza kujiuliza maswali kuna nini kinaendelea, sasa Nabii Suleiman ambae ufalme wake haujawahi kutokea eti kafa mwaka mzima umepita watu hawajui ha ha ha...hii ni kuikejeli Aya za Mungu na Mitume wake, we are not serious at all! Uelewa mbovu wa aya mutashabihat😂
@budumahmud1008
@budumahmud1008 Жыл бұрын
Sawaa umeshinda
@thegreenkhidhir3705
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
@@budumahmud1008 wala sipo ktk kushindana, dini sio mpira au siasa.
@moneyyousuph3230
@moneyyousuph3230 10 ай бұрын
Watu wa pangoni na mbwa wao??????? , Mambo yote ni ya MUNGU na ndiye mwenye KUWA, AMRI, Na SHANI . Big up Sheikh WALID
MAHOJIANO KUHUSU ELIMU YA MAALIM NA MAJINI
18:48
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 1,1 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 17 МЛН
PAZIA LA KUJIKINGA NA MISUKOSUKO YA MAISHA - SHEIKH WALID ALHAD
37:29
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 74 М.
AINA ZA MAJINI NA KAZI ZAO || BAYANA YA KHUTBAH YA IJUMAA || 12/8/2022
44:57
Ust Abuumuhammad Said
Рет қаралды 8 М.
MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID
17:20
DARSA TV
Рет қаралды 143 М.
SHEIKH WALID AKIMKARIBISHA SHEIKH OTHMAN MAALIM KWA AINA YA KIPEKEE
40:58
FADHILA ZA KUMSWALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
9:40
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 70 М.
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор #cat #топ
0:33
Лайки Like
Рет қаралды 4 МЛН